Asante sana ndugu K na Ulimwengu ila mnampigia mbuzi gitaa hawawaelewi.
@raymondnlelwa42710 ай бұрын
Mzee Generali Ulimwengu mimi naomba press itakayofuata iwe ya Mh. Mpina ambaye ni mzalendo pia wa kweli.
@msafirimaulidi505410 ай бұрын
Shida nyingine ya awa watu wakipewa uwazili awayasemi aya😢
@simpsonisoe89949 ай бұрын
Katiba katiba mpya ndio mwisho
@issakatoba7410 ай бұрын
Kwakweli Hamis Dr unaeleza mambo ambayo kwakweli ndiyo tatizo la nchi hii 🎉🎉
@BeatusKLeon10 ай бұрын
Hongera sana Dr Kigwangalla kwa interview hii, maelezo yako yana ukomavu kwa viwango vyote na mafunzo kwa wengi.
@gilbertgabone914010 ай бұрын
I love this interview between Dr. K and uncle Jenerali. The interview is so insightful. I do understand why Dr.K don't wanna say a lot about his vision about needed changes and accountability to leaders despite the political affiliated. Always uncle Jenerali wants good things for Tanzania residents.
@prnkrtq10 ай бұрын
nzuri hii. very insightful. na Jenerali tayari anafanya endorsement ya candidacy ya Hamis discreetly.😉
@EdwardSamson-uf1ee10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Eti discreetly
@benedictaustard558310 ай бұрын
Mzee Jenerali,Hii kazi nzuri sana umefanya, Keep it up!.
@charlesmakena373110 ай бұрын
Hongera sana HK kila mtu anamapungufu,angalau wewe unaongea vitu vinavyogusa nchi bila kuangalia wengine watasemaje,UNAUTHUBUTU,nafasi ikitokea gombea URAIS
@felicianfrancis989510 ай бұрын
Asante kwa kumleta mtu huyu. Nimejifunza kitu kutoka kwa huyu ndugu. Matatizo ni sehemu ya maisha ila uthubutu, uvumilivu na kujituma kuna manufaa
@gilbertgabone914010 ай бұрын
Dr.K have more great ideas. I would love his visions to be transformed to all leaders who want to help other leaders to provide necessary services to normal citizens
@gilbertgabone914010 ай бұрын
Uncle Jenerali internal frictions within the party are needed to strengthen the party. In some countries they call this "check and balance ". The fights within the closed doors are needed to make sure leaders are challenged within as to make them stronger
@gilbertgabone914010 ай бұрын
Kudos to Dr.K and Uncle Jenerali. I know you're both great. Thanks for sharing great interview. I like Dr.K analysis and multi questions from Uncle Jenerali. ❤
@athumansaid79610 ай бұрын
Mzeee ulimwengu mungu akuweke saaaanaaa
@biasharabaridi647710 ай бұрын
Ukisikia mahojiano ya nje ya siasa unaona kabisaa wote wanahitaji katiba itakayokua na meno makal ya kutengeneza mifumo imaraaa
@EdwardSamson-uf1ee10 ай бұрын
inshu sio katiba inshu ni uwezo wa kusimamia hiyo katiba. sheria bila usimamizi inakuwa haina maana yoyote. tunachotaka ni mabadiliko ya kweli na sio kujificha kwenye kimvuli fulani tu. hata tubadilishe katiba kila baada ya miaka 5 kama hakuna usimamizi madhubuti ya hizo sheria mambo yatabaki kuwa yalee yalee tu
@jamesmfinanga171710 ай бұрын
Hela/ zawadi nyenzo za kutafuta uongozi 😢 .... Mzee hongera uwe unawaleta hawa tuwaone / tuwasikilize upeo wangu kiongozi anapatikana kwa agenda manufaa ....
@casmirmakoye301710 ай бұрын
Kujenga mifumo na kuisimamia ifanye kazi katika nchi zetu za Africa ni udikiteta au inahitaji udikiteta😢
@gilbertgabone914010 ай бұрын
Nakuelewa point yako lakini nchi zetu za Africa zinahitaji "uwazi"
@sonnyr189910 ай бұрын
Hatujitambuwi na ndio maana tunaona kuwa uongozi ukisimamiya vitu kwa umakini kuwa ni udikteta. Utawala wa awamu Ya 5 ulikuwa unatowa projekt na pia kuifuatiliya hadi ikamilike.
@JosephMoses-y5p10 ай бұрын
Anayajua mengi sana huyu mheshimiwa Hamis na nimependa alivyoongelea uhalisia
@EK-kp2np10 ай бұрын
Ndiyo maana Mwamba Magufuli alikupenda sana. Ungefaa sana kwa uongozi lakini itabidi mbuyu ung’oke kwanza 😢
@keaally164510 ай бұрын
Nimekuelewa Sana kigwangalla
@josephmkami10 ай бұрын
Mh. Kigwangala ndiye aliyesimamia ujenzi na utoaji wa huduma ya maduka ya dawa ktk hospital za serikali. Pia na mifumo ya ukusanyaji wa mapato ya huduma za hospital. Mapato yalipanda sana. Utendaji wake mzuri ndio uliompandisha kuwa waziri kamili Wizara ya maliasili.
@albertinamichael612310 ай бұрын
CCM ni genge la majambazi hasa ngazi za juu lakini ndani ya CCM kungekuwa na Robo ya watu kama kigwangala na wengine naamini wamo kiasi CCM ingekuwa bora.kuliko hata vyama vingine Sasa chama kimetekwa.
@simpsonisoe89949 ай бұрын
Huyu ni mumoja walioangusha katiba nzuri ya warioba
@lovenessmohamedy632910 ай бұрын
Kigwangalla kauli zako huwa zime nyooka
@bigmachinempower468010 ай бұрын
I think HK has a point 👉, we need to think twice otherwise we are done.
@Salumchiwili202310 ай бұрын
Wew mwenyew ulikua mbunge hata miaka mitano ya mwanzo haijaisha ulinunua Range Rover ya milioni zaid ya miambili
@gilbertgabone914010 ай бұрын
I watch all interview ❤❤❤
@jabarmalid539310 ай бұрын
28:28 dakika "anaachwa anaendelea"
@CharlesRwiza-uq3kj10 ай бұрын
Mimi nawaelewa ila wao hawawaelewi.
@gasperswai696310 ай бұрын
Mh HK na Mhe Generali kuna gap kubwa ndani ya serikali maana mifumo ba ile report mechanism imekuwa aina accountability, ofisi ya.mkaguzi mkuu wa serikali kila financial year anatoa report na kutaja kabisa sehemu fulani hela zimeibia lakini hakuna hata siku moja mtu anachukulia hatua sasa hii inafanya wezi kuimarika n kuzidi kuchafua chama, mbaya kabisa wamo.ndaniya chama hii ni tatizo kubwa saana wananch wanakosa imani na chama chao
@emanuelyigwira251110 ай бұрын
Mhhhhh Tanzania yetu duuuh haya bn
@shafiiamiri802810 ай бұрын
Taifa hili la ajabu, kasema mambo nimeyasema tangu 2016, huwezi kupambana na mtu mmoja, weka mfumo upambane na kila atayekengeuka
@jamalmnema833410 ай бұрын
Mkiwaga nje ya mfumo mnakuaga na akili sana ukiingia ssa
@EdwardSamson-uf1ee10 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 na wewe unaendana na beat mna anza kucheza style inayo fanana
@Gift2213610 ай бұрын
01:07:10, Kigwangalla amechemsha yeye na chama chake. Kuhusu jinsi ya kugombea nafasi kwenye chama chakavu. Yaani wanaangalia jinsi ya kutengeneza network ili apate nafasi badala ya kupata candidates kwa kuangalia integrity na skills. Ndio maana tunaongozwa na viongozi wa hovyo kabisa. Nchi zilizoendelea huwezi kukuta upumbavu huo. Hovyo kabisa.
@vinenswilliam353410 ай бұрын
Dkt anasema kuwe na freedom of expression... lakini yeye mwenyewe anasema hataki kumtaja mtu... sasa nani atataja? Nadhani ni mfumo wa makuzi kwa watanzania wote... unahisi ukisema uovu umemchoma "mwana"
@dinisantonio973610 ай бұрын
Sheria walio tunga chama chake kita mfunga, hata kama ni Kweli,ila hairuhusiwi kuweka wazi.
@vinenswilliam353410 ай бұрын
Oooh...
@mawazoaliselemani10 ай бұрын
Unashindwa kuelewa na sababu kuu una chembe za unafiki,yeye anajaribu kukuonyesha uhatari uliopo hapa nchini kama utakuwa msema kweli,anachojitahidi ni kuhamasisha wadau wapenda kweli wajijue watengeneze nguvu itakayosaidia kuwakinga wasema kweli. Na Africa nzima sio jambo geni kukuta mtu kauliwa kwa ajili ya kuwa mkweli-patrice Lumumba ni mfano Bora aliuawa kwa ajili ya ukweli Sasa hata Mimi sidhali nitakubali nife kisa niseme ukweli. 15:01
@modestwenceslaus910 ай бұрын
Kigwangala aliwahi kuongoza mgoma wa Madaktari pale Muhimbili miaka ya nyuma kama sikosei😂😂
@lufingodaniel885810 ай бұрын
Jenerali next time usituletee watu waoga kuzungumza uhalisia kama Huyu.
@saidimpako518610 ай бұрын
Sema hivi akuite wewe ukaseme bila uoga
@dassustephen73110 ай бұрын
Kigwangala ameongea Jambo la msingi kuhusu kubadili mifumo ya kuongoza Tanzania Kwa sasa mifumo hivyo kabisa inafuga na kuzalisha wezi,uzembe,kutowajibika miongoni mwa viongozi wetu wa umma.
@willardbarongo507610 ай бұрын
Je kwenye huu mswada wa kuwaongezea marupurupu ya wenza wa marais wastaafu alipiga kura gani ya ndiyo hapana? Kama alipiga ndiyo... anachosema ni usanii
@eugee89110 ай бұрын
Big brain
@RichardMatoli-t6d9 ай бұрын
SORRY KWAHIYO NENO FURSA KATIKA MAZINGIRA YETU YA KAZI YASIFANYIWE KAZI
@Pamella.Muhorakeye7610 ай бұрын
Kigwa is still young in politics, very naive. My advice to you Bwana mdogo, take time away from spotlight and learn.. Unakurupuka sana na itakucost usipokuwa makini.
@kimalinganomhelela837710 ай бұрын
Nimemsikia mara kadhaa Generali amekuwa akisema kuwa vyombo vya habari vimenyamazishwa.Lakini yeye mwenyewe ana vyombo vya habari kikiwemo hiki anachotumia sasa.Kwa nini hafanyi uchunguzi na kuandika uovu huo?
@msafirimaulidi505410 ай бұрын
Ss unafanyaje uchunguz ambao ukiuweka adhalani unashtakiwa?
@paulhintay691610 ай бұрын
Jamaa anaongea vzr mbele ya kamera!!
@jumakapilima729510 ай бұрын
Mama samia hakuwa kiherehere wa kugombea urais, lakini leo ndio Rais, tena anamudu vizuri tu
@DougalSam10 ай бұрын
Haya yoote Katiba mpya ndio muarobaini wake,Dr. k hagusii huko why?
@saidipara413410 ай бұрын
General tuletee kiongozi mmoja wa din ya kislam kat ya wale waliokuwa wanasapot mkataba wa bandar na DPP
@mwingiramotorcycle593810 ай бұрын
MUNGU AWAWEKE
@ManaseJubilate-kk2gz10 ай бұрын
Kigwa unashangaa kweli kiongozi wa nchi hii kununua nyumba kwa $10mil.dubai!?Kwamba hujui hamna uzalendo kwny chama chako?imefika mahali watz tuwe aggressive ili hizi dharau zikome!Na Kila atakae tawala kutoka chama chochote ajue asipowatumikia wananchi hawezi kuwa salama!!
@jumakapilima729510 ай бұрын
Nchi hii bwana mtu akiwa nje ya mfumo tu, basi atasema mambo yanakwenda ndivyo sivyo,,,,,,!!!!
@eugee89110 ай бұрын
Ameongea ukweli lkn bado kuna mambo anaogopa kuyasema
@godfreytz866810 ай бұрын
Yani ukweli anaujua ila anaogopa kusema na sababu ni zilezile njaa.anajua atakula chuma kizito.
@oscarmisiru972510 ай бұрын
Ile sanamu ya pale chato vp
@levidavid115610 ай бұрын
umejitahidi kuonge. wenye akili tumeelewaa😂😂😂😂
@AUDIFANCEACHITIMBWA10 ай бұрын
Kwa katba iliyopo?
@jumakapilima729510 ай бұрын
Siasa = si ha sa
@gasperswai696310 ай бұрын
Pia bunge kama separate entity's inapaswa kufanyia report ya mkaguzi wa serikali, na hao wahusika wanajifunika na huo mwafuli , Cag anarwport wezi lakinihawachukuliwi hatua wqpo tuuuu wanaendelea kuwepo ni tatizo.kubwa saaana, hakuna accountability kabisa viongozi wengi wamebaki kusifia tuuuu, sawa tusifie piatuangalia wanaotoboa mtungi wetu hao wa atakiwa kuputwa na kuzamishwa kabisa kina kurefu saaana
@AkhanThomson10 ай бұрын
Wabunge wengine wanaongoza wananchi walioko bara wanaishi Masaiki ajabu kabisa
@godfreytz866810 ай бұрын
Wala haihitaji kuwa doctor kujua mambo hayaendi
@jdanny49710 ай бұрын
Ummy na Ndumbaro wamegombania nyumba masaki the same amount ummy kashinda public auction
@jeremiahngoka498010 ай бұрын
Pl
@jeremiahngoka498010 ай бұрын
Pl😊😊😊😊😊😊
@shafiiamiri802810 ай бұрын
Hatari
@lusajokyando348010 ай бұрын
Mmmhh!
@gowekogoweko580310 ай бұрын
NDIVYO SIVYO INA MAANA MAMBO HAYAENDI VIZURI
@emmanuelmayunga151810 ай бұрын
Unafiki mtupu...
@egbertmachumu855210 ай бұрын
Generali fanya kipindi kuhusu miswada ya sheria ya tume ya uchaguzi.
@knight675710 ай бұрын
Wenye akili wanaelewa kinacho fanywa... hizi danadana !
@suleimanikirassahassan971110 ай бұрын
Huyu ni mla rushwa na ameyasema hayo kwakua kasukumwa nje ya mfumo atueleze mali zake
@adenmwakalobo76010 ай бұрын
Kigwangalla hafai kabisa, anaona mabaya ya serikali akiwa nje ya uwaziri! Alipokuwa waziri hakuwa mfuata taratibu hata kidogo! Ni opportunist wa kawaida kabisa kama wenzake ktk ccm; na ndiyo maana anakanusha hata aliyoyatamka mwenyewe dk chache zilizopita ktk mazungumzo yake! Mf kama anadai Rais SSH anayoyafanya ni mazuri, hayo mabaya ya serikali hii yamesababishwa na nani na anayewajibika ni nani?? Mara unamsifu Rais SSH na hapo hapo unalalamikia kutokuwepo uwajibikaji, ni nini hapo umesema? Unachokikubali ni kipi, na unachokikataa ni kipi? Uzungumzaji wa Kigwangalla ni wa mtu anayetafuta kuonwa na Rais ili amteue ktk uwaziri baada ya kuhisi amesahauliwa! Kule bungeni amelalama mara nyingi akidai prof Mkenda (waziri) alimchafua akiamini ndiyo ilisababisha akose uwaziri; alipotakiwa kuthibitisha akaishia kupiga blah blah zisizo na mashiko!
@samsonmwakikuti531810 ай бұрын
Hamis una akili kubwa sana!
@ndogoroedson19910 ай бұрын
Ukiona mzee Kama huyu anakataa uzee ujue Ana matatizo kichwani! Huyu ni pepo
@VIPSwahili10 ай бұрын
Kajitahidi.... Unataka azungumzaje?
@karimmohamed509610 ай бұрын
Take it easy, he was just making the conversation lit.
@joshuamtinangi695810 ай бұрын
Wale waliosomea Accountancy wanajua kuwa ukiandika mahesabu ya mwaka ya kampuni au hata Taasisi ya Serikali yanatakiwa yawe Audited na baadaye Audit report iwekwe wazi Kwa kila MTU kuisoma. Watumishi wa Umma na hata watu binafsi mapato na matumizi Yao yafanyiwe Audit na yawekwe kwenye vyombo vya Habari ili kila moja aweze kusoma. Hakuna haja ya kufanya audit na baadaye ukaifanya Siri.