LIVE: MAOMBI KWA WAGONJWA WENYE MAGONJWA SUGU // HOMA SUGU

  Рет қаралды 3,553

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Mathayo 8:15
Akamgusa mkono, homa ikamwacha; naye akaondoka, akawatumikia.
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 70
@kapamevenas79
@kapamevenas79 4 ай бұрын
Ume ni ponya Leo baba. Ata wazazi wangu ume waponya katika jina la yesu Christo. Amen !
@janehabakuki4564
@janehabakuki4564 5 ай бұрын
Ubarikiwr mtumishi unagusa Maisha yetu Mungu atusaidie tupone
@RukiaSalum-n4m
@RukiaSalum-n4m 4 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe naomba maombi mme wangu asumbuliwa na kisukari yesu anikumbuke niko kwenye madhabahu hii
@KSA-hu5he
@KSA-hu5he Ай бұрын
Kilamagojwa katika mwili wangu ambayo haeleweki kwajina la yesu nataka uzima kwajina la yesu watoto wangu wafunguliwe kwajina la yesu
@collenskessy-uv9mr
@collenskessy-uv9mr 21 күн бұрын
Asante Mungu wangu nukushukuru kwa kibali chako neema yako siku ya leo asante Yesu
@mariahabokea2085
@mariahabokea2085 4 ай бұрын
Napokea uponyaji in Jesus mighty name 🙏
@sarahfeni1866
@sarahfeni1866 5 ай бұрын
Asante Bwana Yesu kwa uponyaji wako naamini napoa ngozi yangu 😭😭😭
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
ndiyo mtumishi wangu sio huongo naumwa ugojwa ambapo mimi sielewi kabisa
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
amen napokea mtumishi wangu siwezi kufa kwa ajili ya ugojwa wo wote wagiza hapana mimi taishi kwa nguvu ya mungu
@FausterLawrence
@FausterLawrence Ай бұрын
Mungu Baba mponye mwanangu katika jina la Yesu Msamehe makosa yake yote
@JaneNkata-tq5oi
@JaneNkata-tq5oi 5 ай бұрын
Asante Yesu euphoria my wake Innocent Mashauri nimepokea uponyaji.Ameen
@marymaria6544
@marymaria6544 5 ай бұрын
Asante yesu asante yesu asante yesu🙌🙌❤️🙏
@JustinaKambimbi
@JustinaKambimbi 5 ай бұрын
Aksante sana kwa maombi mutumishi wa bwana yesu
@FausterLawrence
@FausterLawrence Ай бұрын
Ee Mungu baba mponye mwanangu katika jina la Yesu
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
Amen mtumishi wangu
@kapamevenas79
@kapamevenas79 4 ай бұрын
Asante Mungu kwa uponyaji wa Leo. Baba niko apa mazabauni. Una pokumbuka wengine nami uni kimbike amen !
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
bwana mungu wa pastor Innocent mashauri please kupitia iyi maombi acha nione muujiza leo kwenye afya yangu baba
@HAPPYOSCAR-nj5xq
@HAPPYOSCAR-nj5xq 4 ай бұрын
Yesu tenda ktk maaiahaa yangu na Familia yetu
@Samanthanicodemsamagoal
@Samanthanicodemsamagoal 4 ай бұрын
Amina nimepokea uponyaji naamini nimepona kwa maradhi yanayonikabili🙏🙏🙏
@EvelyneNdabunga
@EvelyneNdabunga 4 ай бұрын
Nahihaji kila aina ya ugojwa ninao ijua na nisio ijua mwilini mwangu kwenye damu machono nipone kwajina la YESU Amina
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
Amen mtumishi
@irinenjombo3368
@irinenjombo3368 4 ай бұрын
Ameen Ameen Mungu akutunzee zaidi mtumishi wake🙏🙏
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
amen mtumishi wangu
@Witney4124
@Witney4124 4 ай бұрын
Niponye na mimi Bwana Yesu
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
mungu azidi kukubariki mtumishi wangu sina cha kukupa ila mungu wa mbinguni azidishe kipaji chako
@AsnatCharaza-qr3dl
@AsnatCharaza-qr3dl 5 ай бұрын
Asante yesu kwa uponyaji
@yusterlucass
@yusterlucass 5 ай бұрын
Mungu akitie nguvu usikate tamaaa
@Chizi.mfame.ke-if5t
@Chizi.mfame.ke-if5t 4 ай бұрын
Niko mbele zako baba mahali nimepitilia kwa mawazo mbaya kwa ajili ya ndoa yangu baba naomba unisamehe
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
akuna ugojwa wo wote ambalo mungu awezi kuponya akuna bwana asante
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
Asante bwana yesu
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
ndiyo mtumishi wangu
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
Amen Amen Amen thanks
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
asante bwana kwa kibali cha asubui kupitia mtumishi wako
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
amen Amen amen
@AsiaH-jf5fo
@AsiaH-jf5fo 5 ай бұрын
Barikiwa,sanaaaaaaa mm nashukuruu
@annnjeri4121
@annnjeri4121 4 ай бұрын
Amen Amen and Amen
@Chizi.mfame.ke-if5t
@Chizi.mfame.ke-if5t 4 ай бұрын
Ni josphine luhunga ubarikiwe sana paster kupitia maombi yako niko na imani mume wangu atarudi
@azerejohn
@azerejohn 5 ай бұрын
Niko hapa Bwana
@salamam8721
@salamam8721 5 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏 🙌 👏
@SekelaCholela
@SekelaCholela 5 ай бұрын
Asante Mungu kwa yote
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
asante bwana kwa ajili ya iyi maombi
@kapamevenas79
@kapamevenas79 4 ай бұрын
Leo ni me pokeya uponyaji wa bwana na sema asante sana sana kwa ku ni ponya
@Evansserede-uw4tb
@Evansserede-uw4tb 5 ай бұрын
Thank you Jesus Kwa uponyaji !!!
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
Mungu wa madhabau iyi leo katikati ya watu unaweza kuwa ponya leo please nakuomba nione na mimi pia
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
Napokea
@ProsperMushi
@ProsperMushi 5 ай бұрын
Amina
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
Amen
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
Magojwa yote toka kwenye mwili wangu wato
@SevAl-p9k
@SevAl-p9k 5 ай бұрын
Ndio bwana yesu 🙌 nitenganishe na Kila dhambi ya kifamilia,baba😭dhambi za madhabahu mbalimbali baba nisaidie untoe bwana yesu nahitaji kukutumikia wewe pekee yesu🙌🙌🙏
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
ndiyo mtumishi wangu ivi niko sina ata pesa kidogo zote zinaishia kwa kutafuta dawa mbali mbali
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
amen
@Chizi.mfame.ke-if5t
@Chizi.mfame.ke-if5t 4 ай бұрын
Ni josphine luhunga pastor nisaidie leo kuomba nimeomba Kiwanis mume wangu sense 2019 ha 6:37 6:38
@gwitaba6944
@gwitaba6944 4 ай бұрын
Amen 🙏🏾
@Chizi.mfame.ke-if5t
@Chizi.mfame.ke-if5t 4 ай бұрын
Ni josphine luhunga ombea mume wangu moses omido afunguliwe nateseka na watoto paster anisaidie kulea watoto sina kazi paster ninateseka na watoto wangu amekata mwaka watoto nisaidie pastor nateseka
@AshmanLuke
@AshmanLuke 5 ай бұрын
I pasonal thank God for helping me to get close to you,,,am now some how better because I used listening to you every little time ihave and am placed with your prayers,,, your prayers have opened my new life,, life in Christ,,,but I need your prayers due to change my life
@JaneNkata-tq5oi
@JaneNkata-tq5oi 5 ай бұрын
Ameen
@AsiaH-jf5fo
@AsiaH-jf5fo 5 ай бұрын
😢mm Nina,amini nitapoa pumu kupitia mathabahu yamutumish wangu
@sarahfeni1866
@sarahfeni1866 5 ай бұрын
Ubalikiwe sana muchungaji wa MUNGU gupitia kwa MAOMBI YAKO UNATUOMBEA na hutujui 🙏🇧🇮🇸🇦
@JaneNkata-tq5oi
@JaneNkata-tq5oi 5 ай бұрын
Bwsna pokea sifa na utukufu wake juu yangu na uzao wangu Ameen
@LucyIwsy
@LucyIwsy 4 ай бұрын
Nko na kindanda kinapo arafa kirudi tenda na ujungu sana nihitanji maobi
@Chizi.mfame.ke-if5t
@Chizi.mfame.ke-if5t 4 ай бұрын
Josphine luhunga naitaji uponyaji katika kifua change kupumua ni shida bwana yesu naomba uponyaji kutoka kwako
@MondiSeif
@MondiSeif 4 ай бұрын
kupitia wewe mtumishi wetu MUNGU anakutumia nina IMANI leo ninapona kila kinachonisumbua kwenye mwiliwangu
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
bwana mimi lazima ni shuudiye ukubwa wako kwenye madhabau iyi
@easterfraha5008
@easterfraha5008 5 ай бұрын
Niko mbelezako baba nina tubu uovu wng n unisafishe tena kw damu yako
@GabinKamwanggabin
@GabinKamwanggabin 5 ай бұрын
Amen amen🙏
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
Amen
@JaneNkata-tq5oi
@JaneNkata-tq5oi 5 ай бұрын
Ameen
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y 5 ай бұрын
Amen
@Evansserede-uw4tb
@Evansserede-uw4tb 5 ай бұрын
Amen
@MarieMakiwa
@MarieMakiwa 5 ай бұрын
Amen
#LIVE: NAMNA SAHIHI YA KUTAFSIRI NDOTO ZAKO  // DAY 16
1:21:32
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,7 М.
LIVE: IKATAE SAUTI HII NDANI YAKO, NI YA SHETANI KABISA
29:08
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 9 М.
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 21 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
#LIVE: KUOMBEA LANGO LA NDOTO // DAY 15
1:21:19
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,8 М.
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA GIZA by Innocent Morris
28:01
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 315 М.
#LIVE: SADAKA YA KUKUVUSHA // Friday 28,2024
1:08:55
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,1 М.
LIVE: MAOMBI YA KUFANYWA MOTO MBELE YA ADUI ZAKO // PRAYER WORRIOR
1:43:42
JINSI YA KUTUNZA MOTO WAKO  WA NDANI ||PASTOR GEORGE MUKABWA ||08/06/2023
1:25:55
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 80 М.
LIVE: MAOMBI YA KUSEMEZANA NA MUNGU WAKO
57:36
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 11 М.
LIVE: MAOMBI YA KUKUSAIDIA // USIISHIE NJIANI
1:30:49
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,9 М.
MAOMBI YA WATOTO by Innocent Morris
34:26
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 46 М.
LIVE: MUNGU HAJAKUSAHAU WALA KUKUACHA // MKUMBUSHE KUHUSU WEWE
2:02:05
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 21 МЛН