🔴

  Рет қаралды 22,720

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

🔴#LIVE: PANYA ROAD WENGINE WAKAMATWA, KAMANDA MULIRO AELEZA - ''WANACHANGISHA PESA KUMZIKA MWENZAO''
Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es salaam, Jumanne Muliro amezungumza na waandishi wa habari na kutoa taarifa rasmi juu ya vijana wanaosadikika kuwa nipanya road kuvamia maeneo ya Buza na kuwajeruhi watu kwa kuwakata mapanga na kuwachoma na bisibisi.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 103
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Ukiwaona kama mzazi unaumia sana lakini ukikumbuka matendo yao unamwomba Mungu tu 😭😭
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 2 жыл бұрын
Tena Sana nawaonea huruma wazazi wao unasema umepata mtoto kumbe ni mtihani
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 mtihani kwa kweli
@stevejohn611
@stevejohn611 2 жыл бұрын
Big up sana mr. Muliro speech yako ina maana kubwa sana kwa jamii, pia tunashukuru kwa juhudi zako juu ya hili tatizo la panya road, thanks for your rapid response units.
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 2 жыл бұрын
ya Allah tunusuru sisi na ndugu zetu na hii mitihani
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
Amiin 🤲 ya Allah
@jambo3751
@jambo3751 2 жыл бұрын
Hongera JESHI LETU LA POLISI kwa kutimiza JUKUMU lenu la kulinda Wananchi na Mali zao.
@rashidmohammed4887
@rashidmohammed4887 2 жыл бұрын
Hongera sana jeshi letu la polisi. Kazeni buti tu na mahakama itende haki tu
@minazsaid2470
@minazsaid2470 2 жыл бұрын
Afande Muriro namuelewa sana
@amunikanju4342
@amunikanju4342 2 жыл бұрын
Good
@annamushiaminaaa4367
@annamushiaminaaa4367 2 жыл бұрын
Yaani Mungu wasamehe hawa vijana utafkiri wamezaliwa na mmaa mmoja fanana yao
@mozespaul7138
@mozespaul7138 2 жыл бұрын
Nalikubali sana, jeshi lapolisi Tanzania ,lipo.imara sana,kwakweli.linajitahdi sana,hongeren sana jeshi letu,mwenye ebxi MUNGU awalinde,awape msisha marefu,mzidi kutetea wananchi!
@scolarshija3215
@scolarshija3215 2 жыл бұрын
Nakukubali Sana mwamba.mumqu akulinde sana.
@marongotatarakea7458
@marongotatarakea7458 2 жыл бұрын
Hao panyaroad wauliwe
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 2 жыл бұрын
serekali kazi nzuri sana,Sasa anzeni misako na mitandaoni kunamajitu hayana haya yanavaa nguo ambazo hazina maadili alafu yanajiweka mitandaoni.
@dennischarles8524
@dennischarles8524 2 жыл бұрын
Please expand this operation nationwide and Tanzania will become a peaceful place as it was before
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 2 жыл бұрын
Biq up Makamanda. Tz bila uhalifu inawezekana timizeni wajibu wenu na rasilimali mlizonazo kuwamaliza hawa shenz panya road
@peterjohn7613
@peterjohn7613 2 жыл бұрын
Biashara ya uuzaji mapanga kiholela barabarani hasa Barabara ya Mandera na Nyerere unatakiwa ukomeshwe, Siraha hizo hazitakiwi kuuzwa hadharani
@keifatuke99
@keifatuke99 2 жыл бұрын
Ndiyo maana Uingereza hauziwi bila ID kitambulisho
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Mzazi mlezi mtt ananyoa nywele ivyo bado unaangalia tuu mtuhani kwakweli vjana wadogo
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 2 жыл бұрын
Washenzi hawa wakatwe mikono yao
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 жыл бұрын
Next IGP
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 2 жыл бұрын
Safi sana, yani hawa watoto wazur hivi kwa muonekano ndio wanakatakata watu hovyo kama wale wachonja nyama kule tandale, alafu mbona wameanza kuchechrmea, mmeshaanza kuwadunda nini? Wadundisheni jinzi ya kuishi kwenye jamii kwenye nchi isiokuwa na vita.
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 жыл бұрын
Ya rabb Waongoze vijana wetu
@saodashabani2652
@saodashabani2652 2 жыл бұрын
Naumia nikiwa kama mzazi yarabi kiokowe kizazi chetu
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 жыл бұрын
Utafikiri misukule
@muniramunira401
@muniramunira401 2 жыл бұрын
Mkiwa kamata muwache msiwatowe mana wanapotoka wanafanya makosayao
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 жыл бұрын
Wapigeni sindano za sumu tu wanazingua sana
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 жыл бұрын
Asante makamanda wetu mungu awalinde
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Hii mtihani
@abdallahmilaba5407
@abdallahmilaba5407 2 жыл бұрын
Tanzania siyo ya kuchezea.
@arafasalim9948
@arafasalim9948 2 жыл бұрын
mpaka naogopa wallahy😔😔🙏
@samwelmagima6081
@samwelmagima6081 2 жыл бұрын
Muliro piga kazi kamanda wetu pia mwanza tumeku miss
@rebeccamagita9174
@rebeccamagita9174 2 жыл бұрын
Jaman naumia sana nikiwa kama mzazi ukizingatia ni watoto wadogo sana,eee Mwenyewe wasaidie watoto waache tabia zisizofaa katika jamii na hawa wauza madawa ya kulevya natamani wakikamatwa wauwawe tu maana wakiwauzia hayo madawa wakishayatumia ndyo yanawavuruga watoto akili na kufanya vitendo vya kinyama
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Kabisa
@mosongatz4534
@mosongatz4534 2 жыл бұрын
jeshi letu liweke muda maalum wa kumaliza michezo viwanjan kwetu na watu kusambaratika haiwezekan mkae uwanjani mpaka saa 1 na nusu
@gebrastemu5010
@gebrastemu5010 2 жыл бұрын
Kosa la mtoto haliwezi kumwadhibu mzazi, au kosa la mzazi haliwezi kumwadhibu mtoto. Hawa panya wakihasiwa watakuwa wapole na Mori wa kutenda uhalifu unaisha.
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 2 жыл бұрын
Muwahasi na hao wanaoiba hela za umma ili wasiwe wezi kwa kukosa ajira.
@lililili5621
@lililili5621 2 жыл бұрын
Jaman tuomba opereshen ifike na kivule
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 2 жыл бұрын
Mimi nafikiri sasa waliobakia sio panya rod ni wavuta bangi wauza bangi na vijana wakorofi wa maskani na mitaa maana panya rod hawapo wengi kiasi hiki cha kila siku wanaingia central makundi kwa makundi, panya rod wenyewe kwa mimi ninavyohisi ni vikundi visivyozidi hata 5 isipokua ni watu wanaofanya matukio yao sehemu mbali mbali sasa basi jeshi la police lisitutangazie kwamba wanakamata panya rod hao ni wahalifu tu wa kawaida
@iddyissa8110
@iddyissa8110 2 жыл бұрын
Yani wanashuka ktk gari kilaini laini ivyo piga mpaka wasaau walikotoka
@priscillalyimo3659
@priscillalyimo3659 2 жыл бұрын
Inasikitisha sana vijana wadogo sana na ndiyo nguvu ya taifa jamani tufanye nini Ee MUNGU tusaidie watanzania tufanyeni kazi jamani hata kama huna wazazi
@annamushiaminaaa4367
@annamushiaminaaa4367 2 жыл бұрын
Hizo nywele nyoeni kwanza wembe mkali ndo waeleze
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 2 жыл бұрын
Kamanda makini umeeleweka.Unastahili kuongoza jeshi la Polisi.
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 2 жыл бұрын
🤲🙏
@jacksongidion5170
@jacksongidion5170 2 жыл бұрын
7
@samsonimago4692
@samsonimago4692 2 жыл бұрын
Vijana wachanika mnaosuka kaeni makini alf mbona wanachechemea
@joharymussa5820
@joharymussa5820 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@salehaliy7198
@salehaliy7198 2 жыл бұрын
Wanakwenda kuhojiwa kwa kina
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 2 жыл бұрын
Ila kamanda kwa hapo nadhani ni vizur kila kijana atembee na kitambulisho, ili wakishukiwa wajulikane haraka ni kina nani,
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 жыл бұрын
Wakateni viganja vya mikono tuone Hilo panga wanalishikaje.
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
Vijana hawa wana Nini kichwani ? bange lipi wanavuta ?mpaka akili hawana , roho Zao ziko kama chuma ? angalau kuhiba Sawa lakini mapanga na risasi ? AAA sijawahi kuona
@SamsungGalaxy-kx2zj
@SamsungGalaxy-kx2zj 2 жыл бұрын
Duu panya road kwa madolizeni hawa si panya road ni jeshi la mtu kajifantia kwa kuipinga erikali
@zuberimohamedi255
@zuberimohamedi255 2 жыл бұрын
Fuatilia kituo cha polisi cha mbagala maturubai
@magrethgeorge7295
@magrethgeorge7295 2 жыл бұрын
Yes..mbagala inahitaji kuangaliwa haswaa
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Hawa wanyolewe minywele wapat adhab stahik maan washenz sana
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
KWANI KUNYOLEWA NYWELE ADHABU??? WAKATWE MIKONO.
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
@@salimmalaka256 😆😆😆😆😆sheria iyo amn sas ndio maan
@peterjohn7613
@peterjohn7613 2 жыл бұрын
Ni kosa la jinai kuuza siraha Barabarani, hasa mapanga, wauzaji wa mapanga wakamatwe
@swahilit.v7287
@swahilit.v7287 2 жыл бұрын
Panga sio silaha bali ni kitendea kazi
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 2 жыл бұрын
@@swahilit.v7287 hats bunduki na bastola ni kitendea kazi.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
@@swahilit.v7287 PANGA SILAHA
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Tumalizane nao tu site. Mbona wakati wa JPM huu uhalifu haukuwa mkubwa hivi
@mwinyibakarisenkopwa931
@mwinyibakarisenkopwa931 2 жыл бұрын
Sio kweli, Panya road wapo nyakati zote na awamu zote. Wewe upo Dunia gani? Siyo mfuatiliaji wa Mambo.
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm 2 жыл бұрын
sawa baada ya kushikwa serikali imewafanya nini ao sio watoto wanaakili zao timamu watoto awawezi kufanya matukio kama ayo ya ujambazi
@ibrahimissa6261
@ibrahimissa6261 2 жыл бұрын
Ww unaongea nn kwanz mbon unalopoka tu
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
dooh jamani ?!!! hii ni Nini ? watz !!!
@atanasjuma433
@atanasjuma433 2 жыл бұрын
dah hawa ndo wenyewe hasaaa
@asiakisongo400
@asiakisongo400 2 жыл бұрын
Hawaadhimishi msibahuo kwa kupora ila wanakuja kulipiza kisasi yaani ni kuchinja tu, ,sasa hilo eneo liwekewe ulinzi wa muda mrefu hata mwezi hasira zao zipungue,bora wao waue kuliko wao kufa
@samwelipaul1462
@samwelipaul1462 2 жыл бұрын
Yan hao ni hatari Sana
@donaldtadeodontado9991
@donaldtadeodontado9991 2 жыл бұрын
Mbona wanatembea kama walemavu?
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 2 жыл бұрын
Asilimia 90 ya hao vijana watatoka kwasababu polisi hawana ushahidi wa kuwafunga. Watakaa rumande lakini wengi watarudi mtaani.
@babuloliondo5975
@babuloliondo5975 2 жыл бұрын
Sasa ao sivitakua vibinti via jera Sasa sirikari Ina tuzarishia vibinti via jeraa
@samwelmagima6081
@samwelmagima6081 2 жыл бұрын
Hao panya load ningekuwa RAISI wa nchi ningewapeleka mbuga za wanyama na Simba wakawala live.
@flova7022
@flova7022 2 жыл бұрын
Hahahaha jamaaa wanachechemeaa...walikuaa hawataki kuingiaa Kwa defenda bila Shaka hahahaha
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
WAMEUMIA WALIPOKUWA KATIKA UVAMIZI WAO.
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 2 жыл бұрын
Hao miaka 30 inaweza kuwaweka sawa, sio miezi sita kisha munawawachia
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 2 жыл бұрын
Wengine wanakosa hatamda wa kuoga kazikuwaza mauajitu
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Hivi nyie watoto mnajisikiajee hivyo mlivya bomolewa mifimbo mpaka kutembea wengine mnachechemea na kuwapa hekaheka wazee wenu wacheni jamani utukutu watoto nyieee
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 жыл бұрын
Kamanda umeongea Vema nimekuelewa
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 жыл бұрын
Kateni ganja la kulia,watu hawawezi kukosa amani kiss yenyewe.
@gebrastemu5010
@gebrastemu5010 2 жыл бұрын
Hivi vipanya vihasiwe(castration) na viachiwe huru. Hakuna haja ya kuvirundika na kuwalisha bure. Wafanyiwe open castration.
@johnlembo2955
@johnlembo2955 2 жыл бұрын
Ukivihasi vitaua baade kwa uchungu. Vipelekwe kule mbali ya Mbudya Island 🏝 kwa boti halafu vimwagwe kule, kila kimoja na jiwe la kilo 50 kiunoni
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
@@johnlembo2955 si watakufa
@lovehawa4758
@lovehawa4758 2 жыл бұрын
@@johnlembo2955 hahahah we umewaza nin
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 2 жыл бұрын
serekali inabidi iwakamate nawalewa wanaojianika uchi mitandaoni maana uku mitandaoni nibalaa tupu,hawa pia wanaaribu vijana.
@hateebcooper5539
@hateebcooper5539 2 жыл бұрын
Kwani lazima uangali😂😂
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 2 жыл бұрын
Hayati Magufuli akatowa ilimu bure ili watoto wote watz wapate ilimu wawo wanachagua kua makatili wawuaji?
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 2 жыл бұрын
Ulipi hapo mpaka chato nauli ni bei gani🤔🤔
@billgussy6099
@billgussy6099 2 жыл бұрын
Kuna tatizo naliona usikute hawa wala si wahusika maana inasemekana sasa ivi vijana wasio na kazi wanasombwa tu ilimradi polis waonekane wanafanya kazi. Uchunguzi wa kina unahitajika
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
Mh inawezekana
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
USIWATETEE WACHA POLISI WAFANYE KAZI YAO.
@mhogofelwa
@mhogofelwa 2 жыл бұрын
Tulia na wewe tunakujia inaonekana ni mmoja wao
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
@@mhogofelwa😂😂🤣😂
@billgussy6099
@billgussy6099 2 жыл бұрын
@@salimmalaka256 Tatizo la msingi halitaisha vijana wengi hawana kazi, waliokua wamejiajiri kama wamachinga ndo hao walivunjiwa na mpaka leo hawana pa kufanyia biashara. Tukumbuke hawa vijana ni sehem ya jamii na serikali ina wajibu wa kuwawekea mazingira ya wao kujitegemea au kujiajiri. Kuwafunga gerezani au kuwauwa hakuondoi tatizo la msingi.
@dauda-adamadam6283
@dauda-adamadam6283 2 жыл бұрын
Nyie sasa mnakamata wapwa zetu ovyo ovyo,wengine sio panya road
@mrshore7007
@mrshore7007 2 жыл бұрын
Hiii nikwasababu yakukosa kazi selekali iangaliye jinsi yakusaifiya wa vijana kupata kazi
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 2 жыл бұрын
Ebu kateni mikono alafu muone kama wataiba
@bakaryngoneke5606
@bakaryngoneke5606 2 жыл бұрын
Nakukubali sana kamanda mliro kila lakher mkuu mwenyezi mungu azidi kukutia nguvu uendelee kuchapa kazi na mwenyezi mungu ikimpendeza upande ngazi mpaka IGP
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
ANAYESHIKAGA NDEGE ZETU APEWA CHA KUSHIKA
7:06
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 41 М.
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA ZIARA SOKO LA KARIAKOO
16:56
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 22 М.