PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...

  Рет қаралды 231,167

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU MSTAAFU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 307
@ooafrica3626
@ooafrica3626 2 жыл бұрын
Kama ulikua huijui team kikwete ndo hii hapa, hii ndo team ilitaka kumuweka Membe awe rais lkn Mkapa akasema hapana tumpe Magufuli
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 2 жыл бұрын
WanAfik hawa wanafanya tz yao ya ukoo
@erickcleophas682
@erickcleophas682 2 жыл бұрын
Ila hawa siyo bure kuna kitu wanapongezana. Jogoo halijawika tutaona mengi.
@idrisarashidi4046
@idrisarashidi4046 2 жыл бұрын
Hiyo utajua ww
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 2 жыл бұрын
Dunia hakuna Siri inayodumu maisha yote...tatizo huwa ni muda tu
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
Hakuna Siri Duniani Hapa haitafichuliwa....
@naftalimhemi1208
@naftalimhemi1208 2 жыл бұрын
Mzee Moses Nawye alitutembelea JKT Oljoro 1978.Anapopiga siasa yake alipiga na Kodiani.Makruti hadi walisahau muda wa kula.Walicheza sana.
@barnaba3037
@barnaba3037 2 жыл бұрын
Shujaa JPM ameondoka ndo wanatoka adharani, tulikuwa tunasikia sauti za kurekodi tu dadek
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 2 жыл бұрын
Wamefurahi serikali imerudi mikononi mwao wanafiq wakubwa 😏
@mohammedshaaban9509
@mohammedshaaban9509 2 жыл бұрын
Wew ndio mnafiki wa kwanzaa,kwa kuongea usichokijuaa
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 2 жыл бұрын
@@mohammedshaaban9509 kwendaaa ww unakijua nn eeh😏😏
@isayamganule1741
@isayamganule1741 2 жыл бұрын
Ujue muangalie mara nyingi sura ya mtu inaendana na matendo yake kazee kanafiki hako na s yy na timu yote ilokoo hapa ni ya wanafiki na mafisad wa mali za taifa
@Emmadav1
@Emmadav1 2 жыл бұрын
Mioyo yenu imejaa chuki na visasi
@mablogu5850
@mablogu5850 2 жыл бұрын
Major Yusuph Makamba, Kanali Jakaya Kikwete, Kanali Abdurahman Kinana wakimzungumzia Brigedia Jenerali Moses Nnauye
@rosemongi5273
@rosemongi5273 2 жыл бұрын
Mmmh ama kweli damu ya mtu nzito iko siku mtasema yote mliyo yafanya.
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Unamaanisha nini?
@getitdoneright1938
@getitdoneright1938 2 жыл бұрын
Hii ni dalili ya Nape kusaka madaraka
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 2 жыл бұрын
Wanajeshi wasitaafu katika ubora wao, Kikwete, Makamba,Kinana wote ni Wanajeshi wasitaafu wanamkumbuka mjeshi mwenzao Moses.
@sleimbh
@sleimbh 2 жыл бұрын
Dakika ya 3 Mzee kaongopa ! Ni hadith na sio Quran.
@francisibrahim2206
@francisibrahim2206 2 жыл бұрын
Siasa za maji taka! Hata mfanyeje, "Wa mbili havai moja"
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Sio wakati wa siasa za maneno....Ni wakati wa maendeleo kwa vitendo....darasa tuliisha Pata... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Hata hawa watekaji wakisema na kutupiana sifa, hakuna kiongozi Tanzania, aliowaguusa watu kama JOHN POMBE MAGUFULI. LEGACY YAKE HAITAPOTELEA KWENYE MANENO YA HAWA WASALITI WA WATANZANIA WALIO WENGI. HAWATAIFUTA KAMWE. Watajisifu wawo kwa wawo na familia zawo, lakini Watanzania walio wengi wanaona kama hadithi zisizokuwa na ukweli wowote.
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Aliwagusaje watanzania? Alifanikiwa kuondoa umasikini?
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
@@itwaaky75 Kama Mwenyezi Mungu angemuweka zaidi ya miaka mingine mitano Tanzania ingepiga hatuwa kubwa.Mmutakataa, , mutamubeza, , mutamutuhumu, lakini hamutafuta mengi aliyoyafanya pale watangulizi wake walishindwa. Ndiyo maana mpaka sasa watekaji wao serikali hii wamejaribu kulibulula jina lake kwenye matope wameshindwa kufanikiwa. JOHN POMBE MAGUFULI ATABAKI KWENYE MIYOO YA WATANZANIA WALIO WENGI. .
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
@@gracegrace6200 kama hakuajiri, watu walifunga biashara amabazo zilikua zimeajiri watu na wakaenda kuwa machinga huoni aliongeza umasikini zaidi, sasa angepunguzaje?
@immaculatemakene7546
@immaculatemakene7546 2 жыл бұрын
@@itwaaky75 Wewe hata umchukie vpi Magufuri unadhalilika tu !!! Hivi huoni aibu !!!!??? Wewe ni Mwizi wa mali za Umma unazo chuki binafsi.
@immaculatemakene7546
@immaculatemakene7546 2 жыл бұрын
@@gracegrace6200 Grace ungemfahamu huyu mwenye jina hilo usingemjibu lolote ungemdhalau tu, huyu ni Mzenji atakuwa au Cheti feki !!!!!
@alfredibrahim9251
@alfredibrahim9251 2 жыл бұрын
Sawa nchi ya kurithiana tusubiri na januari mtoto wake apewe cheo na riziwani mwanae atapewa wale ambao hawana wazazi serikalini tusubiri mwaka 20100
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Umeona eeeh ndo nimeelewa kwa nini hawakumpenda Magufuli, walilidhiana uangalizi wa watoto wao lol! Kisa wana historia ndani ya serikali. Angalau Magufuli hakupenda kuuendekeza huu upuuzi kwani na sisi hatufai kuongoza? Mafisadi wakubwa
@benardmapuga8370
@benardmapuga8370 2 жыл бұрын
Nalo neno hilo ndg yangu maana majina yanaanza kurudi koo zilezile utadhani wengine hawajasoma
@thomaschengena6369
@thomaschengena6369 2 жыл бұрын
kila mtu anahaki ya kuwa kiongozi
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@thomaschengena6369 ndo maana tunashangaa Kwa nini uongozi uwe WA kiukoo?
@sweetbertmachomba4448
@sweetbertmachomba4448 2 жыл бұрын
Fisi wameachiwa bucha kuuuzaaa !!!!!!!!!
@emamkuyu4061
@emamkuyu4061 2 жыл бұрын
Wafu hawana kumbukumbu lolote,sema usemavyo,lakini kila mtu atakufa
@gracejulius3966
@gracejulius3966 2 жыл бұрын
Hakika umenena
@thadeusalucas2823
@thadeusalucas2823 2 жыл бұрын
Kwa kauli ya Makamba baba yake Freeman Mbowe aliiachia nchi hii sadakat el jalia je yanayompata mbowe ndiyo malipo sahihi ya aina hiyo ya sadaka?
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 жыл бұрын
NAMBA CHAFU HIZO ZILIZOMDONDOSHA JAMAA...!....ZIMEKUTANA...!
@ibrahkimesu2402
@ibrahkimesu2402 2 жыл бұрын
Madhulmati wanaoiteketeza nchi yetu, wanaodhani wanaimiliki nchi wako ndani. Iko siku Mungu atatulipia. Devils on the loose.
@Gcuttter
@Gcuttter 2 жыл бұрын
Kweli kaka mashetani hawa
@jameskemege2663
@jameskemege2663 2 жыл бұрын
Barakoa vipi leo
@Emmadav1
@Emmadav1 2 жыл бұрын
Jisumbue kwa mawazo yasiyo na maana.
@mohammedshaaban9509
@mohammedshaaban9509 2 жыл бұрын
Shetani wa kwanza ni wew
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
@@mohammedshaaban9509 mwiisilamu hajawahi kuwa mwema
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 2 жыл бұрын
Wahuni
@augustinesimwiya9091
@augustinesimwiya9091 2 жыл бұрын
Asanteni kwa Kumbukizi hii Muhimu ya Mzee wetu Moses Nnauye imetujuza mengi kuhusu nchi yetu🇹🇿🇹🇿🙏
@benardmapuga8370
@benardmapuga8370 2 жыл бұрын
Miso jiongeze ndg yangu
@ooafrica3626
@ooafrica3626 2 жыл бұрын
Hakuna mtu mbaya na anayeharibu hii nchi na kutengeneza makundi mabaya kama kikwete
@dadialidadi1622
@dadialidadi1622 Жыл бұрын
Achaa kumsemaa kikwete mbuz wewe kikwete aliajir mpaka wengne wakawa wanachaguaa kaz kaa kimyaaa nyau kutesaa kwa zamuuuu kwan huu uongoz wa saiv upo sawa tuu kikwete is the king of tz alikua anajua kuish na watuu
@dadialidadi1622
@dadialidadi1622 Жыл бұрын
Mbnaa mambo yako swa sisahau magu alirejesha watu jkt walivurugwaa mpakaa wengne wakajinyongaa lakn kikwete alikuaa ukingiaa jakata utaumiaaa lakn utapata japo panadol ya ajiraaaaa achaa aendeleeeee ding wetuu hahahahahahahaa
@kastulideemay6721
@kastulideemay6721 2 жыл бұрын
Makamba akikutana na Kikwete, nawe jiandae kuvunjika mbavu kwa kicheko kama huna nongwa nao! Anayosema ni ya kweli vijana wa ccm choteni katika historia ya hao wazee na hao wanaowafanyia dua, hawakua na mapito yaliyo mepesi!
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 2 жыл бұрын
wazee wa kuliangamiza Taifa🤣🤣
@princemucho6067
@princemucho6067 2 жыл бұрын
Yaaaani nimecheka mbaya Daaah🤣🤣😅😅😅🤣
@luvangakalinga8698
@luvangakalinga8698 2 жыл бұрын
Haya ndio mliokuwa mnayataka kurithishana watoto na vitukuu wenu kulipana fhadila na JPM Hakutaka na alitaka kuyavunja haya madudu yenu na hapa umeyasema yote na kuonyesha dhamila yenu na why mlimchukia. Story nyingi ohh sijui wazee wa nchi zaidi ya unafki tu
@geraldtarimo2550
@geraldtarimo2550 2 жыл бұрын
Kumbe kadri umriunavyokwenda nimeamini dishi linayumba
@najumongdeoxcar6728
@najumongdeoxcar6728 2 жыл бұрын
Dah kwer tuxhapigwa na kitu kizito Kama mwendo ndo huu
@isayamganule1741
@isayamganule1741 2 жыл бұрын
Sura mbaya kama kibwengo sasa iv mnakula bata tu kwa mh.Magufuli mlikiona cha Moto kwanza CCM itakufa na kupotelea mbali
@jameskemege2663
@jameskemege2663 2 жыл бұрын
Watu wanasherekea ushindi ila angalia pia zenu zinawaelekeza wapi
@mosesembughi4284
@mosesembughi4284 2 жыл бұрын
Hawa wazee jamaani ni mafisadi makubwa tena yanarithishana nchi na wajukuu wao.wameamuwa kutoa mkapa na john magufuli ili waendelee na watoto wao.jamani mnisamehe nasema ukweli ebu angalia ktk nchi ya tz viongozi wanaturudisha nyuma ni waisalamu viongozi hao huwa wanajipenda wao kama wao .tena wao huchaguwana vitoto vyao.wakamuwaisha mkapa na magu wakati mda wao bado.waliona nchi inaenda vizuri wao na pepo lao halitaki tz iendelee.angalia yanayosema sio ya maendeleo mbali ni ya unjaunja fulan ya majifuno .hilo ndilo kundi LA vigogo waliommaliza magu.lakini puwa zao zimeangalia wapi ?chini mbinguni lazima mungu ataamuwa watalala tu
@godfreyngajilo2653
@godfreyngajilo2653 2 жыл бұрын
Mkikamatwa mtoe ushahidi mnaanza kutoa udenda
@geraldtarimo2550
@geraldtarimo2550 2 жыл бұрын
Anampigia debe nape, hiindiyo timu jakaya
@edithkovary5771
@edithkovary5771 2 жыл бұрын
Lazima aongee alilolitaka ameshalipata.Alinyamza kimya baada ya JPM Kuondoka kila mtu anarudi. Japo wameshastaafu.
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 жыл бұрын
Wacha watu wawe huru jambazi sugu limezikwa chato
@alimussa2655
@alimussa2655 2 жыл бұрын
@@ghoststpatrick9878 😂😂😂
@ibrahkimesu2402
@ibrahkimesu2402 2 жыл бұрын
Hawajastaafu kuiba wamestaafu uongozi tu. Upigaji una kustaafu?
@ibrahkimesu2402
@ibrahkimesu2402 2 жыл бұрын
@@ghoststpatrick9878 baa yako angevaa condom kusingezaliwa takataka kama wewe nguruwe kasoro rangi. Mnashindana na marehemu wakatiijambazi halisi inaendelea kuwaibia! Lazima wewe ni ndugu zako hayo majangili yakipora unatumwa timwa nayo. Tunawazoom tu ipo siku mtatafuta pa kutokea
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 жыл бұрын
@@ibrahkimesu2402 ahahahaha Ibrah umepanick ! Jambazi jambazi tuu we tukana unavyoweza it won't change anything ... Chaliiii in chato 😂😂😂
@vickykapama8386
@vickykapama8386 2 жыл бұрын
Uongo mtupu! Hakuna kiumbe asiye na adui duniani, lol😭😭😭😭🙃
@meryevance6944
@meryevance6944 2 жыл бұрын
Huyu Mzee makamba nimunafiki ndio maana munapehana nafsi za ugozi nchi mumefanya yenu mpk magufuli mumemua naunafiki mtupu
@benardmapuga8370
@benardmapuga8370 2 жыл бұрын
We nae jitahidi kuandika tukuelewe hoja nzuri lkn maneno unatuchanganya
@conasmalale1073
@conasmalale1073 2 жыл бұрын
mzee kikwete huwa yeye ni mtu wafuraha masaa yote
@missmoona4497
@missmoona4497 2 жыл бұрын
Hiz comments za humu hatar sana mweee🙌🙌🙌🙌
@geofreynjanga6794
@geofreynjanga6794 2 жыл бұрын
Dunia ni mapito mzee ....
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 2 жыл бұрын
MAJAMBAZI WAKUBWA!
@thobiasmushangaki9470
@thobiasmushangaki9470 2 жыл бұрын
Wazee wanaiharibu Nchi hii maskini RIP JPM
@mekin8684
@mekin8684 2 жыл бұрын
Yaani huyu mzee anaona daraja kupewa jina la mtu ni kitu kikubwa sana kwake ndiyo maendeleo kwake. Hii ndiyo sababu mpaka leo miaka 60 baada ya Uhuru bado tunahangaika na umeme, maji, madawati, madarasa, Barabara. Tanzania tuko nyuma sana for 60 years tungelikuwa tunajenga blockchain infrastructures DeFi, POV, metaverse, tungelikuwa na research instructions kama research solar energy, cancer, diabetes. AI. Mambo kibao. Lakini kwa style hii 60 years hire kabisa. Omg brain ni bidhaa adimu sana
@athumanhassani9794
@athumanhassani9794 2 жыл бұрын
Maisha tanaenda lesi mzee wakusambaa mnafiki aliongiza mkoa kibabe nakiwabomilea machinga leo yupowapi kazeeka kawaachia wengine wacheni ufisidi msiwanyonye maskini ikiwa mnakula nguvu zao
@meryevance6944
@meryevance6944 2 жыл бұрын
Mungu atayaweka azalani maovu yao timu kigogo mumuhue mtu heti mtamalaki nchi Mungu atawaumbua subiri wanafiki kubwa Mungu Mambo yenu niwkt tu yatakuwa qazi
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
Utupolo wakiwa wanajipongeza
@nuraansuhail2578
@nuraansuhail2578 2 жыл бұрын
Huyu mzee hakuna lolote kama mtoto wake yananiboa
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Mmh, acheni kujifanya miungu watu. Acheni KULITUMIA JINA LA NYERERE
@kuntakinteomolo2832
@kuntakinteomolo2832 2 жыл бұрын
Na Field marshall john okelo apewe mtaa gani Zanzibar?
@atengitimkarichard6776
@atengitimkarichard6776 2 жыл бұрын
Dunia hii asie adui ni nan? Naamini mtu mwenye hekima ni yule anae mpokea na kusamehe adui
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 2 жыл бұрын
Hawo ndiyo mapapa wa nchi miradi yote ya kimkakati imesimama wananchi tujipange 2025 tuumalizie huu uchafu tuanze upya
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Haha hilo jambo sahau aisee nchi hii ni mali ya CCM na maslahi ya chama kwa ujumla
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Mjipange kweli hayo mapapa hayatakubali kuiachia nchi kiurahisi hivyo! Kama wamemuondoa mwenzi wao kisa alikuwa anawabana!
@blessroberto764
@blessroberto764 2 жыл бұрын
Fisi kakabiziwa bucha
@salvatorymtunga2802
@salvatorymtunga2802 2 жыл бұрын
Hamna kiongozi aliyeongoza kwenye nchi hii na hata nchi zote duniani aliyekosa mapungufu na mema, wote wametawala kwa nyakati tofauti na huwezi kuwalinganisha maana mda ulukuwa tofauti.Viongozi ni kama wachezaji wa mpira wa miguu, mchezaji akikosa kufunga goli.utawasikia mashabiki wanavyomshambulia, ila wewe shabiki ukiingia uwanjani unaweza usiguse mpira kwa dk 30 nzima.
@saimonjmai801
@saimonjmai801 2 жыл бұрын
Upo nchi gani ndugu, hii inchi iogope Sana siasa yake nizaidi ya hizo fikra zako
@FIFO28
@FIFO28 2 жыл бұрын
Dunia imefikia mwisho kwa kweli.... maneno mengi no results...
@hamsinitimbersupplytanzani4928
@hamsinitimbersupplytanzani4928 2 жыл бұрын
Tanzania ndio nchi mtu anakuchukia hata hajawahi kukuona😂😂😂😂😂
@benardmapuga8370
@benardmapuga8370 2 жыл бұрын
Sio lzm uonekane tulifundishwa somo la history kuwa babu zetu walinyanyaswa na wakoloni nasi tukawachukia kwani tuliwaona?
@costantinejoseph4907
@costantinejoseph4907 2 жыл бұрын
Hizi namba mungu anaziona!! Pumzika baba
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 2 жыл бұрын
Alijipachika jina lake mtaa wenye historia ya wapigania uhuru eneo la gerezani kariakoo mtaa wa mbaruku akaita makamba kuforce tu.maeneo ya kutoa jinalake yapo mengi nchini lkn kataka sifa ya kishamba tu.aende zake
@meshasjaguar6136
@meshasjaguar6136 2 жыл бұрын
Sisi atutaki story zenu tunataka mabadiliko ya maisha
@mabubambassa2333
@mabubambassa2333 2 жыл бұрын
Hii kumbukizi haikufanyika miaka yote, kwa nini sasa??
@davidmvukie3273
@davidmvukie3273 2 жыл бұрын
Ungekuwa unasoma na kufuatilia vizuri.Usingekurupuka kuuliza hili swali
@mabubambassa2333
@mabubambassa2333 2 жыл бұрын
@@davidmvukie3273hujui kinachoelendea wewe dogo. Sisi tunajua na lengo lao kubwa lilikuwa ni lipi? Kwa taarifa yako haikuwa kumbukizi tu hiyo, kuna hiden agenda nyuma yake. Endelea kulala tu hivyo hivyo, zwazwa wewe.
@davidmvukie3273
@davidmvukie3273 2 жыл бұрын
@@mabubambassa2333 Sasa kama unaijua na umeamka,nend ucounteract
@sememakolo9360
@sememakolo9360 Жыл бұрын
Hawa ndio WAHAINI WA inchi YETU hawafai hata kuongoza mtaa, wanatetea MADUDU.
@jamalrichmond2892
@jamalrichmond2892 2 жыл бұрын
RIP MAGUFULI
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Waisilamu walifurahi MAGUFULI alipokufa
@faiditv5535
@faiditv5535 2 жыл бұрын
Wazee wakukunja nne
@daviddouglas8943
@daviddouglas8943 2 жыл бұрын
Anampigia promo Nape apate cheo toka kwa mama SHH, dah.
@rosemongi5273
@rosemongi5273 2 жыл бұрын
Ishi miaka 1000 hapa duniani kwa mungu ni sawa na siku moja tu,endeleen na unafiki wenu mungu wetu anakuonen,na tunakuomba usituache pigana nao wanao iyumbisha Tzania kwani tangu JPM aondoke hatujui kinacho endelea ktk nchi yetu hatuwezi peke yetu hatuwezi tunaomba toba na rehema pale tulipokosea tukaenda kinyume na wewe unatujua vyema tunomba rehema zako mungu wetu ameren.
@godfreyngajilo2653
@godfreyngajilo2653 2 жыл бұрын
Haya maisha jamani Mungu ndo mbabe kuliko takataka yoyote hapa duniani,kuna bwana mmoja alitaka hawa wazee wale nyasi lakini sasa hivi wanakula bata kwa amani zote,
@conasmalale1073
@conasmalale1073 2 жыл бұрын
kweli Jpm alikuwa anaogopeka kwa watu wote wasingeweza kuongelea maswala ya nnauye
@nassirmasoud2545
@nassirmasoud2545 5 ай бұрын
Nyerere ana sadaka jaria gani?usipeane sifa zikapitiliza mzee ama ndo huo uzee unakuingilia vbaya?chunga usemayo mzee wangu ulimi usikuponze
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 3 ай бұрын
Pamoja na madhaidha yako mazuri nakushukuru sana Mhe Yusuf Makamba Mhe daktari Kikwete Rais mstaafu jamani wazee wangu nna uchumba na Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu jamani mpenzi wangu jamani lakini naona mambo kama hayaendi kabisa naomba Dua zenu nyingi zinahitajika sana Mhe Rais mstaafu jamani.
@jaffarichimbuvu9409
@jaffarichimbuvu9409 2 жыл бұрын
Ndio Mike nnch ina wenyewe,ukionekana c o unazimishwa,unavunja katiba bunge lilikuwa la chama k 1,na gia za kutete wanyonge hutufai poreni,mataga
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 жыл бұрын
RIP shujaa wawili wazalendo walimu wawili JK Nyerere na JPM ..,. Haya mliobaki uzeni nchi hata vijukuu vyenu siku moja vipige makaburi yenu kwa urafi na ubinafsi wenu..
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 2 жыл бұрын
Duuuh, Umejuaje?
@akramissa3393
@akramissa3393 2 жыл бұрын
Aliposema moyo wa ukarimu na upendo, Nape got emotional akakimbilia ndani kwenda kutoa chozi kidogo
@davinaheven4794
@davinaheven4794 2 жыл бұрын
Ma Yudaaa!
@KilonzoGodson
@KilonzoGodson Ай бұрын
Ubunge alikupaje mzee mbona unatoboa siri tena hadi Mh anaangalia chini
@hamisiizadini3938
@hamisiizadini3938 2 жыл бұрын
Mmmmmmmh mzee makamba amechanganyikiwa...kwahio hizo nyimbo ni swadakka tuljaaria...innalillah wa innaillah rajiuuun
@aishaally2611
@aishaally2611 2 жыл бұрын
Mwehu
@mhandoomary8539
@mhandoomary8539 2 жыл бұрын
Nchi ipo mahala salama sasa
@SubilagaKabango-bu8tu
@SubilagaKabango-bu8tu Жыл бұрын
Yakima Mzee makamba amenikumbusha mbali Nyimbo hizo za CCM kuzaliwa moyo umeshtuka kumbe mpo?
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 жыл бұрын
Wenye CCM yao wamerudi safii sana
@bepalilogathbepali9547
@bepalilogathbepali9547 2 жыл бұрын
Mpaka rahaa jaman
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Usafi uko wapi enzi zao ukivaa nguo ya ccm kaliakoo unazomewa au mmesahau
@ibrahkimesu2402
@ibrahkimesu2402 2 жыл бұрын
Wanajijenga wakupigeni halafu nyie hao hao mnashangilia. Waafrika bwana
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@ibrahkimesu2402 wanafurahia dili Lao la bandali ya Bagamoyo hela inaingia siku si nyingi unaona mkwere anavyocheka Kwa raha zake na wabongo walioshikiwa akili wanafurahia anyway labda hao nao wako kwenye mikondo ya upigaji
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
We mzee vipi nyimbo swadakatul jaaria Utubie usiku mzima we
@aishaally2611
@aishaally2611 2 жыл бұрын
Amepotoka...! Porojo nyingi sana,mtu mwenye hekima ni yule anayekaa kimya.
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 жыл бұрын
Mliua nchi nyamaza kabisa baba yangu
@omaryabunwas9937
@omaryabunwas9937 2 жыл бұрын
Mnacheka chekatu wanafik
@mwigaali1942
@mwigaali1942 2 жыл бұрын
Bado tena bado kabisa wazee waaina hii ktk dunia ya sasa ni mzigo tu hawanafaida kwa Taifa
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Punguza chuki
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 2 жыл бұрын
Mzee makamba kama huijui dini bora unyamaze nyimbo sio sadakatul jariya unazusha mambo ktk dini na kuimba ktk dini ya uislamu makosa na ni dhambi
@madamuhimu9354
@madamuhimu9354 Жыл бұрын
Naomba baba utusaidie aya ya ngapi wengine hatujasoma
@petermtey5508
@petermtey5508 2 жыл бұрын
Wacha tufurahi chakula kimerudi mezani
@goodluckmunisi4340
@goodluckmunisi4340 2 жыл бұрын
Wenye nchi yao wamefika moto tunao🤣🤣🤣
@SubilagaKabango-bu8tu
@SubilagaKabango-bu8tu Жыл бұрын
KWA kweli mh jakaya ni mtu wa mfano ktk ma Rais Tanzania!
@stanleymathias7877
@stanleymathias7877 2 жыл бұрын
Serikali yetu imerudi tupige hela
@faiditv5535
@faiditv5535 2 жыл бұрын
Ahahaha
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Kama uko kwenye system why not kazi kwetu walala hoi tusio na watu serikali wala chamani
@BabuJuma-ze6to
@BabuJuma-ze6to Жыл бұрын
Wanaokufa wanadhambi kweli!
@evampuya4552
@evampuya4552 2 жыл бұрын
Namkumbuka mzee moses Nnauye alikuwa mlezi wa shule yetu sumve sec Kwimba Mwanza mungu amlaze mahali pema peponi
@nassirmasoud2545
@nassirmasoud2545 5 ай бұрын
Ni aya gani hyo ilosema mrumi kalia wakati mtto wake kafa?
@MegaAbby1010
@MegaAbby1010 2 жыл бұрын
Hii historia tamu sana
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 2 жыл бұрын
Wamzee muongo sema tu mwanao au watoto wenu mnatka watuongoze maisha manguful aliwayoosha kwel saf sana mlikuwa kimnya
@errydeo8865
@errydeo8865 2 жыл бұрын
WANAFIKI WATUPU..KAENI PEMBENI
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Wanasheherekea walichomfanyia magu
@cocorita8367
@cocorita8367 2 жыл бұрын
Msambaa wetu unatabu wewe
@anosiata8242
@anosiata8242 2 жыл бұрын
Natamani ccm wale wote wenye ushawishi ndani ya ccm Wajiuzuru ubunge na uwaziri wachukue Chama kidogo Ambacho kimesajiriwa wajiunge nacho wasiende chadema wala ACT. Baada hapo wataitusha uchaguzi wataenda kugombea Kwenye majimbo yao Najua watashinda Kwa kishindo. Harafu hao wazee wawaachia ccm yao tuone watafika wapi. Ccm yao .
@omarymkamba3045
@omarymkamba3045 2 жыл бұрын
Hao wenye ushawishi tofauti na hawa wazee ni akina nani? Inaonekana huijui nchi hii.
@anosiata8242
@anosiata8242 2 жыл бұрын
Kina kabudi, bashiru’,pole pole, Gwajiboy, kina silaa, Msukuma’ kina lusinde, , na wengine ambao sikuwataja
@immaculatemakene7546
@immaculatemakene7546 2 жыл бұрын
@@omarymkamba3045 Wewe ndiyo huijuwi Tanzania ya leo, wewe wa zamani sana enzi ya Kikwete !!!! Hujuwi lolote 😆😆😆😆😆WaTanzania km wewe wapo 10 tu kati ya Millioni 60 ya WaTanzania wooote !!! Pole sana.
@immaculatemakene7546
@immaculatemakene7546 2 жыл бұрын
@@anosiata8242 Hukuwa na Sababu ya kumtajia ungemnyamazia kimya tu!! Hajitambuwi yule halafu anajifanya eti anajuwa.
@ooafrica3626
@ooafrica3626 2 жыл бұрын
Hajatokea kilaza duniani kama Nape, Nape ni kilaza, kilaza kilaza adi co poa
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Kwa sababu aliomba deni lichunguzwe
@daudabdallah7843
@daudabdallah7843 2 жыл бұрын
Ccm ina wenyewe na wenyewe mmewaona, c c m , c c m
@abdihq4228
@abdihq4228 2 жыл бұрын
WAAACHENI WASTAFU NA WAFU MAANA NI HISTORIA TU.
@malaakyakub2559
@malaakyakub2559 2 жыл бұрын
Subxanallah nyinbo sio sadakatul jaaria ?
@mako331
@mako331 2 жыл бұрын
Jamaa wameanza kuwika tena, miaka mitano iliyopita walinyamaza sasa kazi. Bandari bagamoyo tutajenga tu
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Wao ndo wenye nchi si wanakwambia jinsi gani walivyoenda vitani ili ujue umuhimu wao. Wakigawa vyeo kwa watoto wao uone ni halali
@malcomx4067
@malcomx4067 2 жыл бұрын
Hii ndiyo team ya kigogo, ukitaka kujua nyuma ya panzia wanapongezana kumlaza uncle katika nyumba ya milele. Huu ni unafki wa hali ya juu. Mungu anawaona.
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Una ushahidi?
@evampuya4552
@evampuya4552 2 жыл бұрын
Mungu awape Maisha marefu wazee wetu mna hekima utu na upendo tele
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 51 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 102 МЛН
Azam TV - Mzee Makamba awasha moto tena, ampiga dongo Lowassa
12:52
Namna hotuba ya Mzee Mwinyi ilivyoleta faraja kwa wafiwa
18:54
Salama Na JK Ep48 | MSOGA UNO PART 2
29:35
YahStoneTown
Рет қаралды 292 М.
Salamu za Mzee Makamba
9:50
KKKT DKMS Online TV
Рет қаралды 159 М.
ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94
26:39