🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 3 SIMULIZI YA PHILIPO - MARCH 20

  Рет қаралды 11,760

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

4 ай бұрын

🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 3 SIMULIZI YA PHILIPO - MARCH 20
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
efmtanzania
TWITTER:
efmtanzania
FACEBOOK:
efmtanzania

Пікірлер: 40
@sweetlady-xs5vo
@sweetlady-xs5vo 2 ай бұрын
Dada Vero hadithi zinanigusa sana . Unahadisia vizuri sanaaaa
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 4 ай бұрын
Mungu ni Mungu katika nyakati zozote ni mbaya sana kutazama wanadama wakati unafanya kazi ya Mungu aiseeee
@user-uu6ei1ys3k
@user-uu6ei1ys3k 4 ай бұрын
SAHIZ UKISHINDWA KUTULIA KATIKA ZEHEBU LAKO BASI BORA UWENDA TU KWA MGANGA UJURIKANE MCHAWI BASI MAANA WANATUCHANGANYA NAJINSI TUNAVYOPENDA KUPOKEA,NAKUSIKILIZA SHUUDA NDOKABISAAA TUNAKUA VICHAA KWENYE MAKANISA YANAYOJAZA WATU KM KUNA MECH YA SIMBA NA YANGA
@hasnanadhiru2168
@hasnanadhiru2168 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@banguha
@banguha 4 ай бұрын
Natamani kesho kumsikiliza mambo ya Mungu unaweza kupambana sanaa ILa mwisho wa siku lazima ushinde had Philip anatusimulia inamaana ameshashida
@namukwayamweshihange8866
@namukwayamweshihange8866 4 ай бұрын
Hi veronica with love namukwaya from Denmark
@BeatriceJoseph-ie4sz
@BeatriceJoseph-ie4sz 4 ай бұрын
Nakupata vizuri kutoka arusha.
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 4 ай бұрын
Halow dada Veronica ,Mungu akutunze
@NeemaTango-zs3mu
@NeemaTango-zs3mu 4 ай бұрын
Da vero unavyosimumli Ivoo utakuwa unaomba sana usiku eeh maaan
@IbrahimMohamed-eq4ek
@IbrahimMohamed-eq4ek 4 ай бұрын
💯💯💯💯
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 4 ай бұрын
Wa pili leo🎉
@MariaLenny-fg6nv
@MariaLenny-fg6nv 4 ай бұрын
Watu wa Mungu wapo kwenye vita kubwa na shetani ndo maan philipo kupitia mateso ni anafnya vta ma shetani
@LucyHaule
@LucyHaule 4 ай бұрын
Basi mchungaji alotembea na waumini kwenye simulizi ya rozy alikuwa kwenye hiyo connection
@jacklinemasanja5246
@jacklinemasanja5246 4 ай бұрын
Hahahaaa kabisaaaa
@user-rw8gc1is6m
@user-rw8gc1is6m 4 ай бұрын
Ndyo yupo hadi leo na ndyo kazi yake hyoo
@hamissahassan2831
@hamissahassan2831 4 ай бұрын
Anaitwa nani huyo mchungaji wa kwa rose​@@user-rw8gc1is6m
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu 4 ай бұрын
jamani cku hizi tutaacha kwenda kwa watumisi 😢 maana kl cku tunasikia maovu vipenzi vyangu tupige goti tumuombe mungu tutajibiwa inshaallah
@user-qs4tj8ry4y
@user-qs4tj8ry4y 4 ай бұрын
Hivyo ndo inatakiwa kila mtu hautafute USo wa Mungu mwenyewe
@user-hm6gh4vp8p
@user-hm6gh4vp8p 4 ай бұрын
Isije kuwa uyo rafiki wa Filipo! Ni FREEMAN..😱Wacha tuone itakuwaje?
@LilianMpenda-gw5pp
@LilianMpenda-gw5pp 4 ай бұрын
Huyu asijekuwa ndio yule mchungaji feki aliyemrubuni yule dada wachuo
@mariammuhamed6669
@mariammuhamed6669 4 ай бұрын
Nikajua philipo ndo mtuwake rozi😅😅😅😅😅mungu atusaidie sana aya makanisi nimungu2 shida zetu zinatupeleka kubaya sana
@user-st7ho5ly5q
@user-st7ho5ly5q 4 ай бұрын
Freemason hyo😢😢😢😢
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 4 ай бұрын
Mmmmmmh haya mambo kumbe kwel yapo?
@shaluuanthony1836
@shaluuanthony1836 4 ай бұрын
Yapo sana kaka 😢
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 4 ай бұрын
@@shaluuanthony1836 mmmh mwenzangu wee
@user-st7ho5ly5q
@user-st7ho5ly5q 4 ай бұрын
Wa kwanza leo🎉
@user-nx9qc8my5x
@user-nx9qc8my5x 4 ай бұрын
Kwakweli inatuvunja moyo
@gracelyimo6256
@gracelyimo6256 4 ай бұрын
Kwenye hii simulizi dada Vero umekua serious sana,ngoja tuendelee kujifunza..barikiwa 🙂
@janemsangi2429
@janemsangi2429 3 ай бұрын
Alipoenda kulala kwa rafiki ndipo ufahamu wake ulipokamatwa
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 4 ай бұрын
Hyu filipho sio hyu mwenye kanisa Chanuka hyu nahis ndio hyu hyu
@naomicharles5444
@naomicharles5444 4 ай бұрын
😂😂😂😂itakua yeye kabisa
@emmahbooooo
@emmahbooooo 4 ай бұрын
Ndio yeye
@neemamsalege6325
@neemamsalege6325 4 ай бұрын
Nahisi ndio yeye
@user-oh9bh9ko8j
@user-oh9bh9ko8j 4 ай бұрын
Mujue vero yuwatunza siri za wateja wake😅😅😅iwenda ikawa mwamposa wenu🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@munirahassan5013
@munirahassan5013 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-pp1gz1qt1o
@user-pp1gz1qt1o 4 ай бұрын
2 ameniiii❤
@JanethAnold2023
@JanethAnold2023 4 ай бұрын
Tunapaswa kumuomba sana mungu
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HASSANI SEHEMU YA 10   -   26 JULY
57:08
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 76 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
NILIJARIBU KUIBA MTOTO MUHIMBILI KUNUSURU NDOA YANGU
14:05
Wasafi Media
Рет қаралды 25 М.
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERCY SEHEMU YA  2   -  MARCH 27
43:16
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA PHILIPO, MARCH 25 -2024
44:48
🔴LIVE : E SPORTS YA EFM    -   26 JULY
54:45
EFM TANZANIA
Рет қаралды 1,1 М.