🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA 4 - 4 JULAI

  Рет қаралды 9,295

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

25 күн бұрын

🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA 4 - 4 JULAI
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
Efmtanzania:
TWITTER:
Efmtanzania
FACEBOOK:
Efmtanzania:

Пікірлер: 61
@farajamsigwa4002
@farajamsigwa4002 18 күн бұрын
Mimi binafsi nafurahii tuuuu kukusikiliza hata matangazo yangekua dakika 50 alafu dakika 5 unasimulia sina shidooooo kabisa be blessed sister vero❤
@ChristinaAloyce-pp6vj
@ChristinaAloyce-pp6vj 23 күн бұрын
Matangazo nimasharti yakipindi ndo wadhamin wakipindi ukikereka usisikilize.
@RebecaMackenzi
@RebecaMackenzi 21 күн бұрын
Ukituambia hivyo unatukosea sana kwasababu hao wadhamini wamepata wengi kwasababu ya sisi tunaosikiliza kuwa wengi. Wanatakiwa watujali pia wateja wao
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 23 күн бұрын
Yaaani dada vero sikuhizi nasikiliza simulizi zako ni sababu ya mazoea tu ningekushauri ubadilishe kiwe kipindi cha matangazo miaka ya nyuma haukuwa hivi ina maana matangazo hayakuwepo au? Matangazo ni ya muhimu ndio ila si kwa kiwango hiki, sisi pia ni wa muhimu sana kwako bila sisi ni bora ukae nyumbani sababu hakutakuwepo mtu wa kukusikiliza labda nyumbani na familia yako, this is too much
@DixonCassian-ey2ll
@DixonCassian-ey2ll 23 күн бұрын
Mh, polepole dada, japo umeongea ni kwl, ila lugha uliotumia ni harsh!
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 22 күн бұрын
@@DixonCassian-ey2ll anaboa bwana
@khorima
@khorima 22 күн бұрын
Wanafanyia hivi makusudi Kwa sababu Wana wasikilizaji wengi. Sio sahihi Wala sio sawa. Ni ulimbukeni flani. Sasa subiri watu wachefukwe kidogo kidogo kama hivi tuanze kukichukia hiki kipindi tuone wasikilizaji watakavyopotea na kipindi kitakufa .aana ma sponsor hawataoa pesa kama hakuna a😊udience....
@khorima
@khorima 22 күн бұрын
Hajaomhea lugha harsh...wanatuchukuliaje Kwa mfano wanatuona hatuna akili sio eeh?
@PaulinaMhoja
@PaulinaMhoja 22 күн бұрын
Da vero punguza mbwembwe stori inakua ndefu sanaaaaaaa
@khorima
@khorima 22 күн бұрын
Inakuwa ndefu bila sababu yoyote kabisa.
@lilianmkemwa
@lilianmkemwa 22 күн бұрын
mimi baada ya kuona matangazo mengi siku hiz nasikiliza kesho yake do matangazo tu napeleka mbele sitak shida mimi
@perajiampipi4473
@perajiampipi4473 22 күн бұрын
Km mm tu yaan
@khorima
@khorima 22 күн бұрын
Hahahaaha kama ulikuwepo mimi pia Huwa nafanya hivyo maana sio Kwa kupetezeana muda....dah
@user-uq2hg1xu5k
@user-uq2hg1xu5k 22 күн бұрын
Da vero punguza kupamba stor unarudia sana maneno
@siyangasamson7963
@siyangasamson7963 22 күн бұрын
Ha ha ha huyo ndo Vero anakufundisha hadi kikombe ni nini, kikombe cha chai hichi mara nyingi tunanywea chai ama uji vinakua vya udongo ingawa kuna vingine vya plastic ambavyo mara nyingi hutumiwa na watoto, yeeees naongelea kikombe siyo glass no ni kikombe kinakua kama kina mkono hivi yani kakitu cha kushikia tofauti na glass, nadhani wenye vikombe watakua wamenielewa, haya anatueleza rafiki mpenz ndugu mtanzania mwenzetu anaitwa Veronica Simulizi.
@eneafrancis9166
@eneafrancis9166 22 күн бұрын
Hahahaha hahahaha hahahaha daaaah naona unatka kuwa kma da vero.uko vzr
@siyangasamson7963
@siyangasamson7963 21 күн бұрын
@@eneafrancis9166 anazingua sana anazidisha mbwembwe na kurudia maneno
@AnjelaMichael-cn9rg
@AnjelaMichael-cn9rg 19 күн бұрын
😂😂😂😂
@sylviakitalika9719
@sylviakitalika9719 19 күн бұрын
😂
@StellaJohn-dz6gv
@StellaJohn-dz6gv 10 күн бұрын
Mwee😂
@Deedlr4767
@Deedlr4767 23 күн бұрын
Mbwembwe nyingi chumvi kilo mbili story robo kijiko
@ashurahakim1923
@ashurahakim1923 23 күн бұрын
😂😂
@ashurahakim1923
@ashurahakim1923 23 күн бұрын
😂
@naomicharles5444
@naomicharles5444 23 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@PendoMacha-ib6oc
@PendoMacha-ib6oc 23 күн бұрын
🤣🤣
@scholamwasi
@scholamwasi 23 күн бұрын
@@Deedlr4767 mi nipo Moro yaani efm haishiki kabisa km ikishika inasikrachi mpaka spika za redio zinataka kuungua so kwakuwa tunakupenda na tunapenda simulizi zako dada Vero hatuna shida tunaangalia live KZbin sasa lkn utuntendei haki 😟😟 fanya isani nawe umeokaka muogope mungu 🙏🙏
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 18 күн бұрын
usiniambie Veronica ni wa Shkamo sasa tana binti huyu Shkamo jmni 😅 alafu mwenyewe anajidai eti marahabah khaa
@vee4296
@vee4296 22 күн бұрын
Yani matangazo ya kusoma .....na kwenye break pia ....na kurembesha str ad kero yani
@Ayshernasolo
@Ayshernasolo 22 күн бұрын
Punguzen matangazo jaman pesa ngum matangazo nawewe umo mhhh eheee Eeee muelewe neno bando mbwembewe Tu kusimulia Aaaaahh😢😂
@RhobinaDaudi-iz4ju
@RhobinaDaudi-iz4ju 18 күн бұрын
@@Ayshernasolo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nmecheka
@Ayshernasolo
@Ayshernasolo 18 күн бұрын
@@RhobinaDaudi-iz4ju 😄😄🤣
@febiolam5904
@febiolam5904 12 күн бұрын
Hii ni Redio ambayo kipande cha kipindi chake kimekatwa na kuwekwa KZbin sasa matangazo yanapunguaje, kama unaona bando linaisha sikilizia kupitia Radio ni Bure Tu.
@scholamwasi
@scholamwasi 23 күн бұрын
Saizi sijui amekuwaje ata sisi tunao angalia KZbin tunatoa ela bana punguza matangazo
@MsAggie5
@MsAggie5 23 күн бұрын
Yaani stimukizi kidogo sana yaani kama robo habari 😂
@scholamwasi
@scholamwasi 23 күн бұрын
@@MsAggie5 tutaandamana km wakenya we muache atufanye Kama ruto
@claramboya2018
@claramboya2018 23 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂​@@scholamwasi
@claramboya2018
@claramboya2018 23 күн бұрын
Hamna aja ya kusikiliza matangazo bana,wakina ss tunao sikiliza hk,unazogeza mbele unaachana na matangazo bana
@scholamwasi
@scholamwasi 22 күн бұрын
@@claramboya2018 Aya km ukipeka mbele kwann matangazo mengi kuliko simuliz🤭
@MsAggie5
@MsAggie5 23 күн бұрын
Hata kama matangazo ndo yanafanya kipindi kiende hewani lakini Vero this's too much! Ila huyo Eli mwana kulifind mwana kuliget. Watoto wa kishua huwa wakifungiwa, wakifunguliwa tu shida.
@crizeyaden6158
@crizeyaden6158 9 күн бұрын
Ivi nyie mnao lalamika matangazo hamjui hayo matangazo ndo yanafanya mpate kumsikia veronica wanalipa pesa kudhamin kipindi … mnakwaza bwanaaaa
@eggysulle7988
@eggysulle7988 22 күн бұрын
🔥🔥🔥
@shirimaoliva7695
@shirimaoliva7695 22 күн бұрын
😅 kwenye you tube , PUNGUZA matangazo please, watu tunatamani tubadilike
@user-wh1iw4cf5k
@user-wh1iw4cf5k 23 күн бұрын
Mayangazo 90% story 10% heee bika sisi wasikilizaj wew nwenyew hupati hela embu punguza matangazo vero au uwe uansikiliza simlizi wew nafamilia yako tu wasikilizaj tusisikilze tuone
@Loyce-Samwel-ko6ze
@Loyce-Samwel-ko6ze 23 күн бұрын
Yaan DA VERO katika vipindi vyote vya jioni ya leo wewe ndo unaongoza kwa kutangaza hayo madude yenu mbona wenzako hawako hivo kwenye vipindi vyao🙄. Punguza matangazo
@francispaschally5933
@francispaschally5933 21 күн бұрын
Ina maana ata ACOUNT yako binafc ya KZbin matangazo ni yale yale tu
@mussaluhwago
@mussaluhwago 22 күн бұрын
Tuweni wavumilivu jaman matangazo nayo yananogesha kipingi sometime
@estershilla1560
@estershilla1560 22 күн бұрын
Njoen niwaambie msiopenda matangazo maana hayo ndo yanaendesha kipindi,, msiingie live subirin amalize kwanza badae ukiangalia uwe unavusha kwenye matangazo simple tu!!!😅😅😅
@eneafrancis9166
@eneafrancis9166 22 күн бұрын
Ofcz kwasababu matangzo hawez acha kutoa maaana ndio yanalinda kipindi.so jitahd TU kuwa mvumilvu
@RoseAidanchatila
@RoseAidanchatila 22 күн бұрын
Yani wew kama mimi tu nashangaa watu wanalamika wakat wezao ayo matangazo ndio yanawapa hela 😂😂😂😂
@perajiampipi4473
@perajiampipi4473 22 күн бұрын
Me sahv nasubir akimaliza live ndo nasikiliza 😂😂na mm
@RebecaMackenzi
@RebecaMackenzi 21 күн бұрын
Hata ukifanya hivi bado inakera maana unajikuta hujasikiliza kitu kipya, mfano kama hapa bado yupo kwenye introduction ya hilo penzi jipya tuu😢😢😢😢
@estershilla1560
@estershilla1560 21 күн бұрын
Ewaaaa sema anavuta sanaaa mahi wetu😂😂😂🙌
🔴LIVE:RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI  SEHEMU YA 5  -  JULY 05
53:07
🔴LIVE:RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA  7   -   JULY 09
56:39
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,1 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HAMZA SEHEMU YA 05  - 19 JULY
50:36
DAWA YA MSALITI - PART 03 [ MWISHO ]
3:00:05
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 25 М.
🔴LIVE: SIMULIZI  YA ELIBARIKI SEHEMU YA KWANZA JULAI 1 - 2024
53:34
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,1 МЛН