🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 7 - APRIL02

  Рет қаралды 10,613

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

3 ай бұрын

🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 7 - APRIL02
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
efmtanzania
TWITTER:
efmtanzania
FACEBOOK:
efmtanzania

Пікірлер: 67
@user-qp6rb4vj5j
@user-qp6rb4vj5j 3 ай бұрын
Mkasa wa mercy ni mzuri unatufunza sis mabint kujielewa na kujitambua katik suala la mahusiiano da Vero jamn nakupenda
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Shida ingine kwenye maisha watu wanadhani yanayowakuta wengine wao hawawezi kutwa nayo hivyo ni wachache sana ambao wanaweza kuchukua hili la mercy kwamba ni lake Eeeeehe majuto baadae
@user-rw8gc1is6m
@user-rw8gc1is6m 3 ай бұрын
Marafiki wa kike wanatumika vibya sana kua cheni ya kumfikisha mwingine kwenye uovu hasaa uku chuoni nakumbuka nanile ya mchungaji Kuunganishiwa kma ivi sasa
@neemamohamed5009
@neemamohamed5009 3 ай бұрын
Duh mabinti wa kimaskini hua tunajisahau sana tunapo pata pakustulika hatukumbuki tulipo toka
@aryanahahmed4850
@aryanahahmed4850 3 ай бұрын
Yaani daah, mabinti kusema ukweli ni mtihani, ni Mungu you amuepushie na hilo balaa. Kubana kote anakwenda kuangukia kwa mpuuzi mmoja mlevi,mvuta swaleti na master key konkodi😢😢😢
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 ай бұрын
mie napenda sana kakaake na Mercy..ila huyu Meshak naona si mtu mwema yawezekana mafya flani akaanza kumvizia kakaake na Mercy
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Mercy anapendwa sana na hii familia ila nadhani anaweza kuharibu kila kitu kwasbb hana msimamo wa maisha yake na safari ake inaweza kuishia njiani
@Lilian2023-pc1lr
@Lilian2023-pc1lr 3 ай бұрын
Daaa jaman uyo meshack anaonekana siyo mtu mzuli jaman asije kumuingiza kwenye genge la madawa ya kulevya jaman☹️🥲mercy mbona kaka anakupenda jaman
@annathomas784
@annathomas784 3 ай бұрын
Da vero Nakupenda sana
@MarySimoni-tz3fm
@MarySimoni-tz3fm 3 ай бұрын
MESI nimempenda Sana ❤❤
@SwahibahSwedy-li5du
@SwahibahSwedy-li5du 3 ай бұрын
Merc anaazakusahau maisha yske masikini .mm nigepata bahati kama yake!!
@PricillahNinga
@PricillahNinga 3 ай бұрын
Natamani sana nipate kaka kama wa mercy 🥲 napenda sana kukanywa na kuonywa napenda sana😔 lakin hakun mtu wa kunifuatilia hivi😩
@asmahassan5661
@asmahassan5661 2 ай бұрын
Unajikanya mwenyew 😢hat mm hakun daa
@RosemarryJulius-sf8cl
@RosemarryJulius-sf8cl 3 ай бұрын
Ila da Vero hili wig hapana haliendani na sura yako wewe unapendeza ukiweka nywele za kuachia then ijae
@DevyHereman
@DevyHereman 3 ай бұрын
Good story
@user-dr9ky5oo1i
@user-dr9ky5oo1i 3 ай бұрын
Nimewah leo mashallah
@DevyHereman
@DevyHereman 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@user-ei7il9pd7c
@user-ei7il9pd7c 3 ай бұрын
Jaman mungu akusaidie
@user-ly9dd4oh1s
@user-ly9dd4oh1s 3 ай бұрын
Mim Calvin hiyo simulizi nzuli sana
@babdulla3779
@babdulla3779 3 ай бұрын
Huyu Meshaki yupo kwa ajili y kumuharibu Merc
@user-dl3ip5gj9b
@user-dl3ip5gj9b 3 ай бұрын
Mmmmmh
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Neno la Mungu linasema tuwe wapole kama huwa ila tuwe wajanja kama nyoka maaja dunia hii ni ya watu wengi sana waovu
@evarmoses7981
@evarmoses7981 3 ай бұрын
Mungu wangu mess asije aka Anza kuvuta sigara😮
@VivianManka
@VivianManka 3 ай бұрын
Mmmh ngoja tuone 🔥
@vumi8371
@vumi8371 3 ай бұрын
Mmmh
@evarmoses7981
@evarmoses7981 3 ай бұрын
Maskin daaa mess uwiiii😢
@user-iq6gx4pr8b
@user-iq6gx4pr8b 3 ай бұрын
Huyo mess ananiudh sana bora cmuliz iishe
@user-no4rf5tu3h
@user-no4rf5tu3h 3 ай бұрын
Yaan sijui ni kwa nn hajionei huruma na kusemwa kote huko jaman
@vumi8371
@vumi8371 3 ай бұрын
Ndio maana amesimulia ili watu wajifunze😄
@adophmmole6389
@adophmmole6389 3 ай бұрын
Aiseee inaumiza Sana. Yaan anaenda kwa mtu amjuh uyo mwamba unaweza ukamkuta aishi apo no kwa mshkaji tu uyo anatolewa bkla na lazma awe mlevi
@StelaMwita-ld8uw
@StelaMwita-ld8uw 3 ай бұрын
Kwa kwel hap kwenye kuonja pombe ndo hatari sanaaaaa bor tuachane
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 3 ай бұрын
Mmh ila wee mase nawe haupo makini, unafanya mambo kama mtoto wa primary
@user-rw8gc1is6m
@user-rw8gc1is6m 3 ай бұрын
Uyo ata siyo mama mdogo ni Mtu kapangwa apoo yaani
@user-no4rf5tu3h
@user-no4rf5tu3h 3 ай бұрын
Ww umefikiria kama mimi vile yaan ila sijui wacha tusubirie mwisho wake
@hurumalupasa3844
@hurumalupasa3844 3 ай бұрын
Ukute meshaki sio binadamu utashangaa jini 😭😭😭
@Lilian2023-pc1lr
@Lilian2023-pc1lr 3 ай бұрын
Nibinadam ila anaonekana siyo mtu mzuli anaweza kumuingiza kwenye genge la madawa ya kulenya jaman☹️🥲
@jacobmwandenga3364
@jacobmwandenga3364 3 ай бұрын
Kaka wa hiari wa mercy anaakili kama yangu dada zetu bila kuwachunga tunawapoteza nina hofu sana na meshaky
@MerrySamweli-qv2wb
@MerrySamweli-qv2wb 3 ай бұрын
Mungu amuepushe na marafik wa baya asome😢😢
@hurumalupasa3844
@hurumalupasa3844 3 ай бұрын
Nafuu ajazwa mimba kuliko kupata ukimwi na atampa ukimwi mimi nipo kaka yake mesi yuko vizuri anaenda sana dada yake asialibikiwe ila mesi kichwa kugumu huyo meshaki sio mtu muzuri mimi nipo ukimwi ataupata
@camilamosha7539
@camilamosha7539 3 ай бұрын
Ila kaka ake mecy mmh mbona kama na yeye anammendea😢
@SwahibahSwedy-li5du
@SwahibahSwedy-li5du 3 ай бұрын
Merc katabia kake kakutoka nyumbani bila ya kumuaga baba mbona kamemjenga sana au hakukuwa ktk tabi a ya kuaga toka utoto wake
@mkwajiJeremiahphineas-te9us
@mkwajiJeremiahphineas-te9us 3 ай бұрын
Afanalekiiii😔😔
@jasminesebe761
@jasminesebe761 3 ай бұрын
Mes ni sikio la kufa haki😅
@asmahassan5661
@asmahassan5661 2 ай бұрын
Hakika had anaboa
@shammssa6816
@shammssa6816 3 ай бұрын
🔥🔥🔥
@adophmmole6389
@adophmmole6389 3 ай бұрын
Anachoshindwa kujua meecy ni kuwa kila kinachoenderea apo kimekwisha kupabgwa
@MeshakiJulias
@MeshakiJulias 3 ай бұрын
Dad vel imalize wiki hii
@SwahibahSwedy-li5du
@SwahibahSwedy-li5du 3 ай бұрын
Merc ana chezea shilingi kwenye shimo
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 3 ай бұрын
Huyu jamani inawezekana hii apatment sio ya kwake
@user-iq6gx4pr8b
@user-iq6gx4pr8b 3 ай бұрын
Huyo mess acha ajazwe mimba ndo atajua
@joharimanyanda3358
@joharimanyanda3358 3 ай бұрын
SI Bora mimba ndg akiiginzwa kwenye madawa ya kulevya Kwisha habari yake
@aliciaprojestus2336
@aliciaprojestus2336 3 ай бұрын
@@joharimanyanda3358unawaza kama mm
@RayRay-dr6rf
@RayRay-dr6rf 3 ай бұрын
Huyu kaka anataka kumharibu mess jmn dah
@mwanaidiAwazi
@mwanaidiAwazi 3 ай бұрын
Mmmh mess ndo kashaapenda jaman😅😅
@HappynesJovenary
@HappynesJovenary 3 ай бұрын
Me nasoma comment tu 😂😂😂
@hamisiMzuzury
@hamisiMzuzury 3 ай бұрын
Kaka ndo anakera sasa
@kelvinjohn-ke8ie
@kelvinjohn-ke8ie 3 ай бұрын
Huyo meshak lazima atakuwa na familia yake Nmekaa paleeeee😊 Maana naona kabsa anaishi maisha kama yang enz zang chuo aisee nko nmeacha mke na mtoto lakin chuon bdo watoto wakali walijaa sana kwenye mfumo wang wa kujiacha🤦
@ArafaAlly-gs3yi
@ArafaAlly-gs3yi 3 ай бұрын
Weeeeh usikute ww ndo meshak mwenyew😂😂😂😂😂 jokes
@shaluuanthony1836
@shaluuanthony1836 3 ай бұрын
@@ArafaAlly-gs3yi😂😂😂😂
@shaluuanthony1836
@shaluuanthony1836 3 ай бұрын
Ni kweli mm nmewah kua na mahusiano na huyo kaka mmoja hv kumbe anaowengine 7 yoka hapo stak ata mahusiano😢😢😢
@mariapius9392
@mariapius9392 3 ай бұрын
​@@ArafaAlly-gs3yi😊
@janethkomba4485
@janethkomba4485 3 ай бұрын
Namashaka nakaka wa mesi kuchunga kumepitiliza adi kero sasa💔💔💔 pia rafiki wa mes sio mzuri lazima atamshaeishi aingia kwenye mahusiyano yamtu feki,sijui km atoachwa namimba,na mkwimwi hapo ndomwanzo wandondo zake kukatika😢
@jacksomabartholomeow4503
@jacksomabartholomeow4503 3 ай бұрын
Wee nae kumbe haujielewi, sasa kaka marcy anakera nini ? Kwahiyo aache mercy ahalibikiwe , ana mchunga sana kwasababu yeye ni mwanaume na anawajua wanaume ni waharibifu.
@RayRay-dr6rf
@RayRay-dr6rf 3 ай бұрын
Umeona ee huyu nae sio muelewa kabisa yaan​@@jacksomabartholomeow4503
@Kiddohsanga-fw7jh
@Kiddohsanga-fw7jh 3 ай бұрын
Nmelipenda jibu lako wifi yangu kipenz😅😅😅
@Kiddohsanga-fw7jh
@Kiddohsanga-fw7jh 3 ай бұрын
Ahh kumbe kaka
@berthasamuel4507
@berthasamuel4507 3 ай бұрын
Modern girls wakichungwa kwa faida yao wenyewe huwa wanaona ni wanateseka 😂😂😂😂😂 this generation Z
🔴LIVE:RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA  7   -   JULY 09
56:39
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 53 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 24 МЛН
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU YA 8  -  APRIL 4
52:40
RAIS SAMIA /SABABU UONGOZI MBOVU.MFAUME PASTORY /DORA KACHECHE
24:39
RIPOTI YA LEO  FRANK VOLUME 02
24:57
SHARE & HEAL
Рет қаралды 10 М.
Huyu bwanangu hata hajui miaka yangu!
16:56
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 22 М.
Top statehouse secrets between Ruto and Raila exposed
13:32
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 13 М.
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA MERC SEHEMU MWISHO - APRIL 5
55:05