🔴

  Рет қаралды 460

MAGOTI TV

MAGOTI TV

Күн бұрын

Endelea kubarikiwa na somo hili.
..........................................................................
Neno la Mungu ni Taa ya Miguu yangu na Mwanga wa njia yangu.
Neno la Mungu ni Pumzi ya maisha yangu, unapolisoma neno la Mungu hautapotea gizani bali Nuru ya Bwana itaangaza Maishani mwako kila wakati.
..............................................................................................................................................................................................................................................................................................
Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Mungu amenipa baraka ya mke mmoja Veronica Japhet Magoti na watoto wawili wa kiume Jayson na Jayvyn Japhet Magoti.
...............................................................................................................................................
Unaweza kushiriki huduma hii kwa sadaka yako ili tuzidi kupeleka injili kwa watu wengi kwa njia zifuatazo:-
Mpesa 0764062976 jina JAPHET MAGOTI MATOTI
Safaricom mpesa number 0713307222 Japhet Matoti
Tigopesa 0712526937 Veronica Kanick
CRBD BANK 0152318092200 JAPHET MAGOTI
Mungu akubariki sana.

Пікірлер: 4
@user-pq9be8re6i
@user-pq9be8re6i Ай бұрын
Ameeeeeen 🙏🙏🙏🙏
@user-pq9be8re6i
@user-pq9be8re6i Ай бұрын
Team magoti pamoja na familia zenu mmelindwa na mungu 🙏🙏🙏🙏🙏hakuna lililo gumu kwake 🙏🙏🙏 yote mtapata Kwa jina lake
@hoycekavishe7199
@hoycekavishe7199 Ай бұрын
Ubarikewe sana Mtumishi wa Mungu kwa kutufundisha yale yaliyo mema.
@SAUTIYAMATUMAINICHOIRNGAENISDA
@SAUTIYAMATUMAINICHOIRNGAENISDA Ай бұрын
Barikiwa sana
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 39 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 30 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 63 МЛН
THAMANI YA MZALIWA WA KWANZA - Ev. Japhet Magoti
46:55
MAGOTI TV
Рет қаралды 21 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: LISIKIE NENO LA MUNGU
1:10:28
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 16 М.
SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAHU || PR DAVID MMBAGA
56:10
Ikwabe Injili tv
Рет қаралды 21 М.
USITENDE DHAMBI TENA KIMBILIA KWA YESU, MNENAJI MCH. ABIUD MISHOLI
1:07:07
CROCODILE PRANK🫣🐊
0:18
Candy Superstar
Рет қаралды 3 МЛН
小路飞居然接到了#海贼王#路飞
0:18
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 2,4 МЛН
Проверил, как вам?
1:00
Коннор
Рет қаралды 3,9 МЛН
НЕ ДАЛ СЕБЯ ОБМАНУТЬ (@ertuuu_ - TikTok)
0:15
В ТРЕНДЕ
Рет қаралды 8 МЛН