Рет қаралды 1,993
#UfalmewaMunguNdaniYako
#MakambiMtaawaMwenge2023
#SikuyaTatu(3)
#PrDavidMmbaga
##MchRahisiMande
#Makambi2023
#NitakwendaKujihusisha
Karibu katika Makambi Mtaa wa Mwenge Siku ya Tatu (3) 22.08.2023
CHORISTERS
Susan Ngussa
John Ndibato
Upendo Manongi
Grace Marwa
Neema Lameck
Meshack Mkwawa
WAHUDUMU
Daniel Matondo - Mwenyekiti
Pr. David Mmbaga - Mhubiri
Levana Leonard - Mkalimani Lugha ya Alama
Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji. Rahisi Mande +255 677 048 049
Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 713 215 930 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz au sdamwenge@gmail.com
SADAKA YA MAJENGO
Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 767 122 508 (Mhazini wa Kanisa- Sharon Gesase).
SADAKA ya MAJENGO:
CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 767 122 508 (Mhazini wa Kanisa- Sharon Gesase).
ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 767 122 508 (Mhazini wa Kanisa- Sharon Gesase).
Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 767 122 508 (Mhazini wa Kanisa- Sharon Gesase). Mungu akubariki.
Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: bit.ly/SUBSCRI..., watumie na marafiki pia.
Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye:
Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz
Facebook Page: Mwenge SDA Church Live
Instagram: mwengesdachurchlive
Mungu akubariki.