No video

#LIVE

  Рет қаралды 4,632

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 31
@shukuruphanuel1729
@shukuruphanuel1729 Ай бұрын
Safi kabisa, wasilisho zuri sana
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 Ай бұрын
Kidogo kidogo tutafika I stand with you guys 👦 ❤️
@kamandaraster7899
@kamandaraster7899 Ай бұрын
Mnatukanwa.bado..mnanyenyekea...sababu.za.ziki.zenu..awo.ccm.hajali..watu..wala.wanyonge..mtalalamika.mpka..acheni.ujinga...G..ez..mtaani.salute
@oscarwasenga1333
@oscarwasenga1333 Ай бұрын
Nyinyi wenyewe mnawatia kiburi mlimtuza nakuosha gari yake. Ndio mkome kujikomba
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 Ай бұрын
Tusipochukua hatua kama GEN Z wa Kenya niwahakikishie tutaendelea kulalamika na hakuna hatua zinazochukuliwa. Hawa CCM walishalewq madaraka kwa kuwa wanapewa nafasi na sio kupigiwa kura. Jiandaeni uchaguzi ujao watu muamue kufanya kweli sivyo mtaendelea kulialia na kuomba mama mama!!!
@RamaHRIzmaelov
@RamaHRIzmaelov Ай бұрын
Kumtuza na kuosha gari yake,,Hapo mlikosea sana
@IsmailKidongo
@IsmailKidongo Ай бұрын
Tatizo watanzania hatuna maamuzi magum ndiomana wanawazalau kiongozi was Kenya awezi Seema ilo
@oscarwasenga1333
@oscarwasenga1333 Ай бұрын
Good we unajua kujieleza safi sana
@GervasMighayo
@GervasMighayo Ай бұрын
alliikosea inchi nzima kauli hizo hata watoto wako huwez watusi hivyo
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Wanaviburi vya uzima
@othmanali5362
@othmanali5362 Ай бұрын
Viongozi wengi wao wana viburi
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 Ай бұрын
Acheni ngonjera fanyeni maamuzi. Huyo ni Chalamila mnamwomba asirudie whaaat!!
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 Ай бұрын
Ninyi ameshawaona ni wapumbavu ,SAWA nikuizika CCM vinginevyo ache I mpaka maskini wote wawazike kwenye jabuti moja na kwasikumoja
@amos878
@amos878 Ай бұрын
Siku nyingine huyu chalamila akirudi kuongea nanyi kipumbavu nanyi amjifunze kumuacha aongee peke yake na ufupi wake wa akili mtakuwa mmefanya jambo la busara sana
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Sana watu wanatakiwa wajifunze kususa wakivunjiwa heshima maana watu wazima wanafokewa kama watoto wadogo. Hiyo sio nidhamu na maadili ya uongozi
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Ай бұрын
Mpaka sasa ccm niwakolofi kirakona
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Wanajua watashinda tutake tusitake Mh mwenyewe alisema hata mkishinda mpinzani hautotangazwa
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo Ай бұрын
Eti mnasafisha garil loo
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Ай бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@neemageorge7082
@neemageorge7082 Ай бұрын
Chalamila sio kiongoz Bora bala ni mkandamizaji wa haki za watu na pia kajisahau Sana na kuona kafika kwenye uongoz wake sisi tumechoka na matus yake ahamishwe mara moja aende akaongoze Ngombe na sio watu
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 Ай бұрын
Achen uoga mabango yanashida gani ..msiogope mtu hii nchi yetu sote
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 Ай бұрын
Mna serekali ninyi?
@sainatv2688
@sainatv2688 Ай бұрын
Huyo anatakiwa afanywe kama tramp ndo watajua watanzania wamejilewa sasa
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Kiongozi mwenyewe kajaa uchawa, hajitambi! Unahamasisha wafanyabiashara wenzako mmchangie Mkuu wa mkoa vijisenti na kumuoshea gari.Ofisini kwake wameajuriwa watu na serikali wa kuosha magari yake, halafu akiwaita manafiki mnakuja juu. Hadi hapo mtakapojitambua na kuacha uchawa, kujidhalilisha, kujidunisha na kulamba viongozi ya miguu mezeeni matusi, acha kulialia!
@eunho9529
@eunho9529 Ай бұрын
Yaani chalamila ni mtu asiye na hadhi hata ya kuongoza mtu zaidi ya mmoja yaani ajiongoze peke yake na si kuongoza mtu yeyote katika dunia hii. Kwa bahati mbaya watu wa namna hiyo Tanzania ndiyo wanaopewa nafasi za kuwaongoza wengine.
@user-kr9xx8br4o
@user-kr9xx8br4o Ай бұрын
Jambo kubwa la kushughulikia kwa sasa siyo kauli, bali ni hatima yenu kibiashara.
@user-kb6pz9dk8n
@user-kb6pz9dk8n Ай бұрын
Mimi nadhani mgekiwasha kumbe mnajieleza
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Hahahahahahahahahaaa.ngoja niongeze siku za kuishi,Tanzania nchi yangu sihami,kuna vituko chungu nzima.muda mwingine unaweza kulia,muda mwingine unaweza kuhuzunika,muda mwingine unaweza kuumizwa na muda meingine unaweza kucheka.
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 17 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 4,1 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 11 МЛН
#LIVE: LEMA ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU JUU YA UTEKAJI WA SOKA NA WENZAKE
1:15:35
MJUKUU WA NYERERE AUTAMANI URAIS.
7:02
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 84 М.