Jamaani, Hilo la paka limenigusa sana. Kuna kipindi paka alimaliza week 2 akiwa anakuja kila ikifika saa moja jioni mpaka wapangaji wenzangu wakaogopa. Siku moja alikuja akalilia mlangon pangu, akalia sana..ghafla nikaskia mwili unassmka, nikatambua siyo paka wa kawaida, niltoka nje, yule paka hakukimbia badala yake alinikazia macho, namim nikamkazia, nikamnyoshea kidole, nikamwambia " nmekutambua kwamba wewe siyo paka wa kawaida, nakuamru kwa jina la Yesu toweka na usirud Tena". Yule paka hakuonekana Tena. Masomo yako yananijenga sana, Mungu aendelee kukuinua mchungaji.
@mahumamahuma61963 жыл бұрын
Nakubali broo
@lilianlima86092 жыл бұрын
Uniongoze eeh Yesu kwa pendo lako kuu, ukayatulize mawimbi yaliyo katika haya maisha katika Jina la Yesu Kristo Amen🙏🙏🙏 utukufu kwa Mungu juu
@adonismuganyizi2262 жыл бұрын
Yesu ashukuliwe kwa jinsi anavyo kutumia Pr. D.Mmbaga kutuelimisha na kutukumbusha tunavyopendwa na Bwana Yesu, ubalikiwe sana
@chancekambale34982 жыл бұрын
Kweli Mungu anatupigania kwahali yoyote. Mimi ninavio sema ame nilinda pengi. Siezi nikaelezea yote yaka isha. Acha tu aitwe Mungu. 🥰🥰🥰🥰
@mossesjoseph22022 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi kwa chakula kizuri cha roho.
@violethswai80613 жыл бұрын
Amen. Tupo hapa wa madhehebu mengine tunakusikiliza.
@nelsonsalumuclovis7532 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@roselineombati670 Жыл бұрын
Amen hakika napenda kurudia mafundisho haya ulifanya kwa wk nzima tho nilikua live mpaka mwisho yananisaidia sana sikua najua kuhusu vita ya kiroho tangu ufundishe nilibadilika
@rosepeter89963 жыл бұрын
Amen.nimepata kubarikiwa na mafundisho yako mchungaji
@isabelavictor99643 жыл бұрын
Wewe ndiye mwalimu wangu Asante Sana mtumishi wa Mungu Amen 🙏
@Mapenzi2635Ай бұрын
Ukweli hadi ufunuo. Umebarikiwa sana ,Mch Mmbaga
@racheljmo61273 жыл бұрын
Najifunza kitu ,barikiwe sana mtumishi mungu akupe maono mapya
@lydianyachama2286 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@esthermsely35372 жыл бұрын
Ubarikiwe Pr
@marthadaniel4904 Жыл бұрын
Amen
@estherkusaga91813 жыл бұрын
Asante yesu kwa ujumbe huu wa kunifanya nikutegemee maana ww una nguvu zidi kumtumia mjol wako upendavyo aguse madhaifu yetu ili utuokoe
@margarettoroitich57772 жыл бұрын
amen
@yakobofumbuka-ry4mh4 ай бұрын
Barikiwa
@upendoeliudi51963 жыл бұрын
Aminaa Mungu akubariki sana pastor Mmbaga
@roselineombati670 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@imgracesamwel39993 жыл бұрын
Amen 🙏 asante mchungaji kwa mafundisho ya kututia ujasiri na kutambua mamlaka tulionayo barikiwa na bwana
@marymalkiadi56153 жыл бұрын
Barikiwa mchungaji nafuatilia law makini sana
@DotiFwihiro3 ай бұрын
Barikiwa mchungaji
@wadyanali9003 жыл бұрын
Ameeen
@marieetabo97343 жыл бұрын
Amina
@selahmateso8363 жыл бұрын
Mungu hakubariki sana
@imgracesamwel39993 жыл бұрын
Barikiwa na bwana
@jordanmashaka503 жыл бұрын
Hili somo nililitafuta bila mafanikio....leo ndiyo nimeliona.
@roydzilah73293 жыл бұрын
Bwana asifiwe pastor..nafuatilia nikiwa Cairo Egypt..ubarikiwe sana mchungaji
@judithnjalambaya245010 ай бұрын
🙏
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌️.
@elieshambakatembo92803 жыл бұрын
Tunabarikiwa apa DRC
@thereseuwezo94493 жыл бұрын
Tuko pamoja mchungaji japo utofauti wa siku .neno HAI LITABAKI KUWA HAI TU
@matukioyasikuzamwisho76533 жыл бұрын
ngoja nili download niliangalie, somo la jana nimebarikiwa sana, nimerirudia zaidi ya mara 1
@estherwambuies17823 жыл бұрын
🙏🙏
@DotiFwihiro3 ай бұрын
Neno nalipata fresh ni kama nafunzwa leo
@leahdaniel2713 жыл бұрын
Waitwao ni wengi wateule ni wachache EE MUNGU tusaidie