2_TUKO LIVE NA MCH.KATEKELA ALIYEKUWA CHIFU WA KICHAWI KUJIBU MASWALI YATOKANAYO NA USHUHUDA WAKE

  Рет қаралды 58,582

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

KUHUSU MAGROUP YA MARAFIKI WA MCHUNGAJI KATEKELA BONYEZA LINK KUJOIN:-
-GROUP NO.1 BONYEZA chat.whatsapp.com/BbvG6Ur6BR1...
-GROUP NO.2 BONYEZA chat.whatsapp.com/G6ymOcE6bc7...
KAMA UNASHINDWA KUJOIN AMA KWA LOLOTE UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA NAMBA HIZI.
-Namba ya Mchungaji Katekela ni +255 756 275 511
-Namba ya promover tv ni +255784074462
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 196
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
KUHUSU MAGROUP YA MARAFIKI WA MCHUNGAJI KATEKELA BONYEZA LINK KUJOIN:- -GROUP NO.1 BONYEZA chat.whatsapp.com/BbvG6Ur6BR1CbSjdEGtopP -GROUP NO.2 BONYEZA chat.whatsapp.com/G6ymOcE6bc7IigyFRL1bML KAMA UNASHINDWA KUJOIN AMA KWA LOLOTE UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA NAMBA HIZI. -Namba ya Mchungaji Katekela ni +255 756 275 511 -Namba ya promover tv ni +255784074462
@emmanuelhatangimana3431
@emmanuelhatangimana3431 Жыл бұрын
Asante
@nzumimawa9853
@nzumimawa9853 Жыл бұрын
Mchungaji kuna makanisa yanawapitisha waumini kwenye maji yenye chumvi na mafuta, je hapo hakuna matatizo ya kuharibiana au kuchukua nyota?
@fredsonkikoko579
@fredsonkikoko579 Жыл бұрын
MUNGU Ni mwema
@emmanuelalberto9132
@emmanuelalberto9132 Жыл бұрын
Asante sana ninabarikiwa sana ila naomba mniunge kwenye magroup ya mchungaji katekera na magroup ya promova tv
@user-sx2rj1lp9t
@user-sx2rj1lp9t 3 ай бұрын
Hii sadaka ya ukombozi ipo vipi naomba kueleweshwa
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 2 жыл бұрын
Mimi Naomba kaka aandike Kitabu, aweke yote hayo. Kwanza atauza sana kusaidia huduma yake na maisha. Pili tutajifunza mambo mengi mno yatusaidie huko mbele ya safari. Ahsante sana Kaka Amiel na Jacktani Msafiri
@meshackmyumpu2139
@meshackmyumpu2139 2 жыл бұрын
Kweli kabisa, ni vizuri Sana Mtumishi wa Mungu Amiel Katekela achukue hatua za kuandaa kitabu kabisa chenye shuhuda hizo na mafundisho na ni kweli kitakuwa na maslahi mapana on both parties.
@rosedamiankabesa5092
@rosedamiankabesa5092 Жыл бұрын
Kabisa, Pastor aandike Vitabu.
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Sanaaaa
@faze_narq6890
@faze_narq6890 2 жыл бұрын
Ufunua mkubwa saana, huyu kutoka huyu mtumishi wa bwana, ati kuwa kutaja jina la Mungu haimanishi eti ni Mungu wa Abraham Isaac and Jacob, Aweza akawa ni Mungu Baal, Ndagoni, cause Shetani ni aina ya mungu.. But hebu tunjaribu Roho, kama ametoka kwa bwana. May the Lord help us to know that the Bible doesn’t require us to take our nails, our hair, or pieces of clothes to any preacher or pastors!! Enter His gates with thanksgiving in your hearts, Enter His courts with praise!!! Enter boldly to the throne of mercy to receive mercy!! Psalm 100:4. The death and the resurrection of Christ qualifies us to go before the Lord without a mediator!! Jesus paid it All with his previous blood. Thanks so much PROMOVER Tv and this wonderful Man of God.. Amieli Katekela.. You are here in times such as this!!!! To glory and honor of His name alone!! Amen 🙏
@skeetergodwins2576
@skeetergodwins2576 2 жыл бұрын
Tunakupenda sana mchungaji wetu. Mungu akubariki kwa kuendelea kutufungua macho yetu.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 жыл бұрын
Mchungaji WETU unayetundisha na jacktan uko naye hapo. Nina tatizo, 2014 feb 11 - 14, aliondoka KIJANA WETU akifanya kazi stend KUBWA ars, akaondoka akiuza simu YAKE apate nauli kwenda dar, LKN hakufika HUKO na hakutuaga ss nduguze kabisa. Tumeomba tumechoka,.je mtumishi unaweza nawe kutuombea ARUDI HAI au ajulikanenalipo. Asante BABA katekela. Hii ni mara ya pili naandika KWAKO mtumishi.
@kanyamunezaclaudineclaudin9627
@kanyamunezaclaudineclaudin9627 Жыл бұрын
Bwana asifiwe mtumishi wa Mungu. Umetufungua sana mimi niko msumbiji naitwa Martin. Ubarikiwe sana
@catenzoka2003
@catenzoka2003 2 жыл бұрын
Kenya tuna kupata vizuri tunaelimika sawasawa.barikiwa mtumishi Na promover tv team kazi njema Tena ya kujitolea.
@annkim2690
@annkim2690 2 жыл бұрын
Studio nayo yapendeza kweli mtumishi wa Mungu nae ako smart ushindi Kwa YESU
@MuyaHappy-j8y
@MuyaHappy-j8y 29 күн бұрын
Ubarikiwe sn mtumishi
@christmyway.8766
@christmyway.8766 8 ай бұрын
Mimi ni benard from Nairobi Kenya kisii nyamira county,kweli mutumishi mungu katekela umekuwa Msaada kwa maisha Yangu sana
@prayerwomen3444
@prayerwomen3444 2 жыл бұрын
Amen nime elewa mengi yalio kuwa maswali yangu ila kwa mada yandoto mutuendelezee ili tuelewe mengi
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 2 жыл бұрын
Jamani kuna watu watapeleka nywele na kucha, Mungu fungua fahamu za watu wako, hizi hila za shetani zishindwe, mawakala wa shetani waumbuke na kazi zako.
@abigailphillip3688
@abigailphillip3688 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu. Tumepata kitu Cha muhimu....
@dawhiteschola8847
@dawhiteschola8847 2 жыл бұрын
Hongera Baba Daniel mubeba maono ya Mungu
@frolasospeter6000
@frolasospeter6000 Жыл бұрын
Hooo!!! Pole sana mchungaji sikua online siku mbili sikujua jamani kua kuna nini, BWANA YESU KIRISTO na Akuponye na Aimalishe afya yako.hata wakuwinde kea mauti watakufa wao kwa jina la YESU na wateketezwe kama majeshi ya farao .YESU KIRISTO atembee nawe kama nguzo ya moto akukinge mchungaji.BARIKIWA sana.
@upendomhagama3236
@upendomhagama3236 3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu, naota ndoto nahojiwa na watu nisiowajua wamekaa kwenye ukumbi wenzangu wamehojiwa mimi nikawa wa mwisho kuitwa mle ukumbini nikambiwa nijitambulishe jina langu,wakasema hatukusikii nikajibu ninaumwa kifua
@pastorypancras2595
@pastorypancras2595 2 жыл бұрын
Navutiwa na mafundisho ya mtumishi amiel namuomba mingu anifungulie fahamu zangu nikapate kufunguliwa na mm siku moja nikaurithi ufalme was mungu amina
@isayanyingi6622
@isayanyingi6622 2 жыл бұрын
God blessed promover tv,protect them from different enemies amenii
@mauwashomari8160
@mauwashomari8160 2 жыл бұрын
Tuna shukuru tena kuku hona kwa maranyingine tena, Mungu akutiye nguvu kwakazi yake
@agathavike7072
@agathavike7072 2 жыл бұрын
Asante mtumishi. Mungu akubariki Kenya tumebarikiwa
@florencemueni1183
@florencemueni1183 2 жыл бұрын
My frnd nilikua nakumiss sna umekua baraka sana kwetu,,, Mungu akubariki sna
@user-iu1ec3vp7i
@user-iu1ec3vp7i 6 ай бұрын
😢mungu. Akubariki sana jacqitan musafiri kwa ufunuo wa promover tv
@ipyanadanny9959
@ipyanadanny9959 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana nimejifunza meengi sana Mungu anisaidie nifunguliwe
@narcisrandrianasolol6980
@narcisrandrianasolol6980 Жыл бұрын
Barikiwa sana kaka naitwa muinjilisti glory nipo komoro
@isakamwambenja7397
@isakamwambenja7397 Жыл бұрын
Prom over step by step endeleeeni kutuhudumia kwenye hii madhabahu kipekee Yesu anajivunia ninyi. Ahsante sana Mwalimu Amieli Daniel Katekela. Mambo unayoyazungumza nayazingatia sana
@margrethemanuel7501
@margrethemanuel7501 Жыл бұрын
Mtumishi Katekela asante San kwa ufafanuzi huu na Mwenye Mungu alikua na kusud nawewe, Niliota nang'olewa nywele utosin na nilipoamka palikua panauma, nikafuta na kubatilisha ila ki uhalisia mambo yangu ni magumu sana, nifanyeje?
@obedcosmas1649
@obedcosmas1649 11 ай бұрын
BWANA WETU YESU KRISTO APEWE SIFA NA UTUKUFU MTUMISHI SAMAHANI KAMA NITAKOSEA KUKUELEZA HAYA YESU BWANA AKUTANGULIE KATIKA KUTAFAKARI NINA SABABU KAZAA INABIDI UJICHUNGUZE 1:ULIPOAMKA NA KUKEMEA WENDA HUKUAMINI NA NIMESEMA HIVI KWASABABU UMESEMA ULIBATILISHA LAKINI HATA SASA UNAAMINI CHANGAMOTO ULIYO NAYO INASABABISHWA NAKUNYOLEWA NYWELE. 2:MAISHA UNAYOISHI UKIJICHUNGUZA WENDA KUNA DHAMBI AMBAYI INAKUSUMBUA KUIACHA MAANA CHANZO CHA KUTOKUFANIKIWA NI DHAMBI ZIKIWEMO AMBAZO HUZIFANYI KWA MATENDO ILA KWA ROHO UNAZITENDA MFANO TAMAA,HASIRA,CHUKI NA WIVU. 3:KUNA FUNZO AMBALO BWANA ANAKUPITISHA ILA UMEWAHI KUKATA TAMAA NAKUHISI SIO HALI YA KAWAIDA HIVYO BASI USHAURI NI KUWA NA IMANI NA BWANA YESU KWAMBA HALI NGUMU LAZIMA ZIFIKIE MWISHO WAKE KWA MSAADA WA BWANA WETU YESU KRISTO BARIKIWA NA UZIDI KUNG'ARA MTUMISHI KATIKA JINA LA YESU KRISTO BWANA WA UTUKUFU
@mwavitafuraha7244
@mwavitafuraha7244 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwaujumbe wako mnzuri sana 🙏
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
😂😂mimi hata nikiogopa hizi majina za mashetani katekela hua anazisema,hua najipata nimebarikiwa na kupata nguvu ki maombi sana sana.barikiwa sana mtumishi wa mungu katekela.🙏
@nancyisoyi8164
@nancyisoyi8164 11 ай бұрын
Barikiwa Barikiwa Barikiwa🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@beatricenyongesa6167
@beatricenyongesa6167 Жыл бұрын
Really nasikia kama ninasaidika saana na mafundisho yako mtumishi wa Mungu
@Majison-qm2sv
@Majison-qm2sv 3 ай бұрын
Pastor asante
@loice123faida8
@loice123faida8 Жыл бұрын
GOD Bless you Mtumishi wa MUNGU kwa Ujumbe mzuri
@reginaruta3249
@reginaruta3249 2 жыл бұрын
Hiyo mipango waliyopanga kuzimu miaka ijayo 2027 aweke seminar ili watu wa Mungu wasimame kuomba kupatirisha.
@perufamily6941
@perufamily6941 2 жыл бұрын
Maombi ya mwenye haki yafaa sana akiomba kwa bidii hivyo mtumishi wa Mungu anza kushambulia wewe Kama wewe na Bwana atawainua na wengine watakaposikiliza seminar uliyoshauri
@user-pq4ow1ed3j
@user-pq4ow1ed3j 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@pamelajerome5644
@pamelajerome5644 Жыл бұрын
Unarikiwe sana tena sana MUNGU waibrahimu naisaka na yakobo akuinue zaidi
@ameokichaka9456
@ameokichaka9456 Жыл бұрын
MZEEE KATEKELA,,DADA YANGU ALIFARIKI 2006,,KISHIRIKINA,,NI DADA YANGU MPENDWA,WALIKUWA WAWILI TU,,NAOMBA UNISAIDIE ARUDI,,NI IMANI SANA NA MUNGU WA MBINGUNI,,NAJUA ATATENDA,Anaitwa VAILETH MAKECHELA KIKOTI,nisaidie mchungaji,
@mapenziesperance4161
@mapenziesperance4161 Жыл бұрын
Mungu azidi kukutiya nguvu tu uwe na mwisho mzuri.
@user-pw8nu8gf4m
@user-pw8nu8gf4m 8 ай бұрын
Mimi ni margeret,ninaingiliwa nangufu yanginza nisahindie,kanzi nambata shinda namaloho nzanginza.niombe kutoka kenya
@sashalemmoh3264
@sashalemmoh3264 5 ай бұрын
Asante yesu kwaupendo wako ❤
@emmanuelhatangimana3431
@emmanuelhatangimana3431 Жыл бұрын
Amina amina amina!! Na wew pia ubalikiwe mno.
@liripamoise7878
@liripamoise7878 2 жыл бұрын
Aksate Mungu akubariki sana.kupitia mafundisho Yako ninagundua Siri nyingi.
@vailethkabulunze6036
@vailethkabulunze6036 2 жыл бұрын
Asante sana mch .nimeendelea kukufuatilia ila mwanangu ana miaka 6 akiota ndoto yoyote huwa ananiambia.mojawapo ni kuota nyoka anamimbiza lkn huwa anajikuta yuko hewani nyingine ni anaota apita kwenye drj na anaona shimo na mto alafu anakuja mtu anamvusha. Nifanyaje ? Mana nilipinga tu kwa jina la Yesu.
@Mazoea
@Mazoea Жыл бұрын
Nyoka maana yake shetani
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@noelashaoona
@noelashaoona 2 жыл бұрын
Be blessed sir
@elizabethnekesa652
@elizabethnekesa652 2 жыл бұрын
Amen, amen,amen.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 жыл бұрын
Umebarikiwa kupata watoto EMANUEL NA DANIEL KWA MKEO ANNA, MUNGU AWAPE MAISHA MAELFU VIANA HAO WA KIUME WA AWALI KTK MAISHA YAKO, KWAMBA HUKUTARAJIA KUWA NA FAMILIA JAMIINI. WEWE UNATUPONYA NAFSI KABISA, MI NAFURAHI NA WEWE KABISA KUJITOA KWAKO KWA MAFUNDISHO SAHIHI. PROMOVER TV HOYEEEE.
@marymatekwa6867
@marymatekwa6867 Жыл бұрын
Bwana asifiwe Sana mtumishi wa Mungu mimi vitu Sinaeza kufanyika kisuri kabisa lkn vile nitakuja kujua na Kwa njia za ajabu just life si kwa ndoto ama maono na Kama ni maono unakua ukweli kabisa tafadhali niambie
@erickebiath-pq6pd
@erickebiath-pq6pd 6 ай бұрын
Asante mch katekela
@rakaieva5472
@rakaieva5472 2 жыл бұрын
Congratulations Mchungaji Amiel bilikuwa sana.
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 2 жыл бұрын
Good program nawafiatilia
@rakaieva5472
@rakaieva5472 2 жыл бұрын
Tuna mushukuru Mungu kwa kukupatiya Baby 👶boy mwingine 🥰👍🙏congrats 👏
@anethmt6383
@anethmt6383 2 жыл бұрын
Amen Mchungaji
@jacymueni1671
@jacymueni1671 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu
@daisymuthoni675
@daisymuthoni675 2 жыл бұрын
Najifunza mengi barikiweni sana
@nuswemwakasala8687
@nuswemwakasala8687 2 жыл бұрын
Hapo sasa, Yesu ni Bwana,, uzuri wako haufichagi kitu
@christmyway.8766
@christmyway.8766 8 ай бұрын
Naomba Maombi kwetu na kwangu,tuko na shida kubwa, family,kwanzia wazazi Hadi watoto tuko na shida ya kuoga na kuolewa, ndoa azidumu
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 6 ай бұрын
Kuoga kivipi dada
@perufamily6941
@perufamily6941 2 жыл бұрын
Nimefunguliwa sana kutokana na shuhuda zako komola unyagu siku nilipokuwa nasikiliza kuhusu hilo nilikuwa hivyo mgongoni nikashangaa dude likaniachia, lakini pia elimu kuhusu ACD imenisaidia kupambana Ili nguvu zangu za rohoni zisikamatwe na mengine mengi ubarikiwe sana mtumishi
@rhodahsavayi5146
@rhodahsavayi5146 2 жыл бұрын
Unatusaidia Sana hongera
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 2 жыл бұрын
Ameeeeeeen mtumushi wa MUNGU
@lovenessmtaita1879
@lovenessmtaita1879 3 ай бұрын
Amina
@elizabethmuthike9623
@elizabethmuthike9623 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu Daniel kweli ulirudiswa na mungu ili kwaajili yetu (ila jamani nilikupingia ukasikiliza shinda zangu ila aukuona vyema kabsa kuniudumia sijui nini uliona dani yangu jamani ata nikitumia text unaangalia na unanyamaza tu mchungaji sijui nilikosea wapi kweli )
@lispamagu5810
@lispamagu5810 2 жыл бұрын
Amen
@jastinmkoba
@jastinmkoba Жыл бұрын
Binafsi shuuhuda za amieli zimenisaidia mno pia apo mwanzo zilinitisha ikabidi nimuulize Mungu..lakini Mungu akaniambia nataka ubadilike kupitia shuuhuda........😥😥🙌🙌
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
Amina tukopamoja
@marymassawe8655
@marymassawe8655 Жыл бұрын
Mchngaji mi naomba utoe flashi za kutosha tutumiwe mpaka mikoani Asante.
@WillyWbakuju-by1yp
@WillyWbakuju-by1yp Ай бұрын
Binamu yangu alipotea kwenye mazingira ya ajabu alianza kwa kujitahili mwenyewe mpaka Leo hajawahi kuludi anaitwa graison Paul bakengi
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Dah cku hizi napitwa Sana Sana na hiz mambo jamn yahn toka nmehamia Nairobi Kenya.imekuwa c Sana kma nlivyokuwa home tz piya kaka jacktan pole niliskia umefiwa n uncle jmn mpka mmekatisha mkutano wa Adam Aston mbya...nilitamn niwepo ila ulifanyika mbali na hapa mm nko nairob mjin kabsaa.jmn missing you pastor.pamja n group lote la promover tv.bdo tuko pmja ila mtuombeee jamn j4 Leo ndo tunapiga kuraa .asnten blessed all
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Amen amen
@MargarethMapunda-tf6tc
@MargarethMapunda-tf6tc 9 ай бұрын
Someni maandiko mtaijua kweli ya Mungu nakufanya maombi kufunga Mungu atawafunulia Nini la kuchua nalipi la kuacha hizi nisiki za mwisho kitabu Cha torti kisitoke midomoni
@user-uq4wg1hm3t
@user-uq4wg1hm3t 10 ай бұрын
Promover tv samahani hivi ushuhuda wa pastor Amiel katekela
@marymbodzembodze2707
@marymbodzembodze2707 2 жыл бұрын
Barikiwen sana watumishi wa BWANA
@faithkiondo400
@faithkiondo400 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi naomba nisaidiwe no yake ya simu tafadhari wapendwa
@neemajoseph9109
@neemajoseph9109 Жыл бұрын
Bwana yes asifiwe minakfatilia Sana nshakuelewa kwaupande was nyota Sina nyota kabisa naomba msaada wa maombi yako sijaolewa wanaume nikiwapata wananikimbia nimezalia nyumbani nateseka nisaidie nilichukuliwa kila kitu pembe tano zanyota sina
@user-cf6lx5vn4g
@user-cf6lx5vn4g Жыл бұрын
Mungu akujaze nguvu sana mtumishi wamungu
@oscarkibate1913
@oscarkibate1913 2 жыл бұрын
Jacktan Mkutanishe Huyu bwana na aliyekuwa mwalimu wake Munyeshani.
@neemamsafiri743
@neemamsafiri743 2 жыл бұрын
Nakubaliana na ujumbe mtumishi wa MUNGU Kwa ushauli kwamba adika kitabu kielezee shuhuda zako
@patrickchisale8792
@patrickchisale8792 Жыл бұрын
Talk and talk and talk Pastor Amiel Katekela till we know the deep secrets of the devil. Huku ni Malawi,bj
@loice123faida8
@loice123faida8 Жыл бұрын
Mtumishi wa MUNGU . Mimi ni mkenya kulingana na mafundisho hekima kilajambo.nimefungukwa mm.nimtoto watatu kwa boma letu na mm pekeyangu ni kuolewa bibi wa pili na nyanyangu mzaa baba alikuwa bibi wapili na he mimi munaweza kuvunja vp haya madhabahu?
@loice123faida8
@loice123faida8 Жыл бұрын
Mm na thakala kuvunja haya madhabahu na niko na watoto watatu na msichana 1 na vijana 2.
@makewafrancis5887
@makewafrancis5887 2 жыл бұрын
Tunatengea mada ya manibii wa uogo sana jaktan
@frankinspired6486
@frankinspired6486 2 жыл бұрын
Long time tangu utoke kenya. Bado tunasubiri ufundishe kuhusu manabii na wachungaji wa freemason
@kanyaombewekab2738
@kanyaombewekab2738 7 ай бұрын
Amen amen.
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Yaani huyu mchungaji anahubiri kweli ya MUNGU
@jacymueni1671
@jacymueni1671 Жыл бұрын
God bless you mtumishi
@harunigaitani338
@harunigaitani338 2 жыл бұрын
Aaamina kuu mtumishi wa mungu
@jesusismyking5292
@jesusismyking5292 2 жыл бұрын
Ndungu Amieli unanga’kuwa Yesu
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 2 жыл бұрын
Hakika MUNGU atusaidie lkn hakika ukimpokea KRISTO hatakuacha
@Estherm309
@Estherm309 2 жыл бұрын
Oh kabisa pia Babu yangu aliaga Kwa njia hiyo ya msukule aliaguka barabaranii Na akawa hivyo Na Ugonjwa wa kisukari mwisho alifariki Kwa mwezi mmoja
@benjaminkabebo6581
@benjaminkabebo6581 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana kukuona kamanda wangu
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 жыл бұрын
Mtumishi nauliza, naijua FAMILIA moja, wao wakiketi.wanapiga nne, tena wanatingisha MIGUU YOTE wakiwa waketi kwenye kitu, na utakuta hata hawajitambui kabisa ba hata wanachoka na wanaweza kucheze meza ya chakula, na HATA mmoja alienda interviw akawa anatingisha mgua na alikisa kazi interviewer alidhani amelewa au anakula bangi hajitambui mkao MBELE za watu. NISAIDIE mtumishi hili.
@user-sx2rj1lp9t
@user-sx2rj1lp9t 3 ай бұрын
Hii sadaka ya ukombozi ipo vipi naomba kueleweshwa
@elishamafulu106
@elishamafulu106 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@christmyway.8766
@christmyway.8766 8 ай бұрын
Naomba isaidishi
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 3 ай бұрын
Geodev nadhan ndo shetan mkuu anaejifanya nabii wa bwana
@maycolakwy5833
@maycolakwy5833 Жыл бұрын
Ubarkiwe
@ramsdenjames9782
@ramsdenjames9782 Жыл бұрын
Haya mafundisho yahifadhi katika storage disks na Cds zihifadhiwe kabisa ni muhim sana
@christmyway.8766
@christmyway.8766 8 ай бұрын
Maisha Yangu yamepdirika Sana na naendelea kusaidika saidika
@sarahkapange252
@sarahkapange252 Жыл бұрын
Ameni mtumishi
@esbonkimani9489
@esbonkimani9489 Жыл бұрын
Aksanta mtumishi kwa ufunuo huuu
@Deojames98
@Deojames98 Жыл бұрын
Sikuizi makanisa lazima uwe nayo makini sana, waganga wamekuwa wengi makanisani usipo kuwa makini unajua umeenda kwa Mungu kumbe kwa shetani.
@user-sk4mt4hd2b
@user-sk4mt4hd2b Жыл бұрын
Ameeeeen
@kigongomasalu7402
@kigongomasalu7402 4 ай бұрын
Ndoto naogelea maji mengi
@daisymuthoni675
@daisymuthoni675 2 жыл бұрын
Maruerue ni hallucinations
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Zingine ni za kipepo pepo ndugu
@ramsdenjames9782
@ramsdenjames9782 Жыл бұрын
Huyu pastor anajua sana
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 43 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 13 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 55 МЛН
MCH.KATEKELA:MALANGO YA KUZIMU NA MANABII WA UONGO WANAVYOSHIRIKIANA
1:34:31
Day2_"Nguvu ya sadaka" SEMINA ITILIMA SIMIYU NA MCH.AMIEL KATEKELA
1:49:54
MNAOWEKA PIKO KICHWANI,SIKILIZENI USHUHUDA HUU, KILICHOMTOKEA JESCA. Sambaza Ujumbe huu.
41:08
KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Рет қаралды 367 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 43 МЛН