Tazama pambano lote la Loren Japhet dhidi ya Juma Choki, pambano ambalo Choki amemtandika kwa pointi Japhet kwenye pambano lao la raundi nane.
Пікірлер: 51
@andrewmmassy5204 Жыл бұрын
Juma choki mi shabiki wako ila pambano hili umecheza chini ya kiwango nadhani ilitakiwa liwe draw mana limebalance Ningeomba pambano hili lirudiwe mapromota kazi kwenu.
@hassanmwachalika75259 ай бұрын
Kiukweli sijapenda uamuzi wa majaji Lorene kacheza vizuri sana kuliko choki...😢
@MakameJenje-bn3sg Жыл бұрын
Yani uyu loreni majaji wanamuonea nimtu kwel
@KAMBIAsso-pd3yl8 ай бұрын
Juma choki kaka unapigana ngumi tamu sana m/mung akuongoze katika kazi ya mikono yang big up kaka
@muhandoally6501 Жыл бұрын
Loren ameonyesha mchezo mzr sana na natumai ndio mshindi
@eddykatamba1008 Жыл бұрын
Rudien kuangalia huu mchezo chili ameshinda rolen Ni bondia mzuri lakn amepteza
@tukioonlinetv1261 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@user-rg2ri5bs8q Жыл бұрын
Mechi ni droo
@felistagilsonkeyela Жыл бұрын
Pambano hili liludiwe
@m.r.kkiswahili1 Жыл бұрын
Kama kweli unajua ngumi huwezi sema choki kapigwa Bali wamepigana na Kila mmoja amefanya vizuri Kwa round zake round za Mwanzoni choki alipoteza ila za kati kacheza zaidi kuluko mpinzani amestahili kushinda ila wote The best boxing 🥊
@dicksongodson4402 Жыл бұрын
Game droo hiyo
@subzig8521 Жыл бұрын
Inaumiza Sana haki inapokua haitendeki,kwa mtu alie toa jasho,kwa,kupambania kitu,aiseeee,inauma Sana ,,Loren shujaaa,bana
@user-ls1es8sd1s6 ай бұрын
Wa mecheza. Vizuli sana kiu kweli Rakin Ali stairi kupewa Rorene mwamba Ana juA Askate tamah Na mwona mbali A endere. Kukaza2
@emmanuelsichone4681 Жыл бұрын
Loleni atakujakuua namtabilia hii itunwe
@BilalSalim-bx9ju Жыл бұрын
Mnatupotezea muda wetu na uwo ujinga wenu amjifunzi Kwa tony rashidi nyie majage
@mwaramipawa21 күн бұрын
Juma choki is the best fighter
@chayomgonja313129 күн бұрын
55 kwa 77 hilo lilikuwa Pambano gan 😂
@MaryLukindo-fq6wg Жыл бұрын
Loren is the best boxer ever
@ramadhanisalum3898 Жыл бұрын
ivi hawa majaji wanatumia vigezo gan
@Basagamp4Ай бұрын
Dah😢
@HashimSeif-lr2olАй бұрын
Hawa watangazaji wanaegemea upande mmoja
@marcomushi-nd8ku Жыл бұрын
Game droo jaribuni kuwa wakweli kwenye uwamuzi
@abdullahahmedi9586 Жыл бұрын
Hakuna droo hapo choki amemzid point kido loren
@marcomushi-nd8ku Жыл бұрын
@@abdullahahmedi9586 majaji ndio waamuzi nimekubali
@user-kj4nh4vf9b2 ай бұрын
Wawekewe wbo hawa
@athumanimanzabay1894 Жыл бұрын
Mm juma choki namkubali saana,lakn kwa game hii ni droo coz Loren amecheza vzuri saana so majaji wetu muwe mnatenda haki....,nmependa sana hii fight waboxer wote mpo vzuri never give up Mungu atawasimamia Insha'Allah 👏🙏🥊
@athumanimanzabay1894 Жыл бұрын
Na pia Loren big up saana kwa team yko ya huko Ghana wamekuandaa vzuri sana aisee usikate tamaa coz umekuja tofauti hii inaonyesha ww ni professional boxer sio Amatuer👏🥊
@mustafaosman1838 Жыл бұрын
Loren kapigwa taget nyingi
@user-kj4nh4vf9bАй бұрын
Wake waludie away wbo wanastahili
@Tanzania_habari1 Жыл бұрын
Choki Kapigwa Sema Nilichogundua Nikwamba Mah Judge Walikua Wanasikiliza Sauti za Mashabiki Sana, Ndio Maana Wamemuonea Mshindi Kwenye Haki yake, Choki Namqubal Sana Anajua Kupigana, Ila Leo Kusema Kweli Alipigwa, Na Kama Angeonewa Huruma Basi Wangesema Droo Tu, Kuliko Kuvunja Nguvu za Vijana Wengi Wenye Ndoto zakuja Kua Ma Boxes, kwa Ushindi Wa Mchongo Kama Uo.!
@IssaBaresa-ci5db Жыл бұрын
Rolen japhet ameshinda bila ya kupepesa macho hayo mambo yakupigisha watu viongozi wa ngumi muache .hivi serikali bado hawajawashtukia tu unakuta refa nae ni kiongozi judges nao hivyo hivyo mfano mzuri huyo rajabu muhamila ni kocha hapo hapo tena ni referee.Azam wanatia pesa pamoja na makampuni mengine ila kikundi cha watu wachache wanaharibu ngumi za Tanzania
@abdullahahmedi9586 Жыл бұрын
We hujui ngumi,hufai hata kua jaji
@apolinarychristian9325 Жыл бұрын
Another robbery to Japhet!! Mimi ni mshabiki wa ngumi nzuri na namkubali sana Choki but fairly leo kapigwa. Nliona Loren alishida clearly round 1-3 na round ya 7,8 round nyingine zilikuwa close sana zingeweza enda kwa yoyote kati yao, bora hata lingeamuliwa droo. Naomba Majaji tuwe makini vijana wanaweka maisha yao rehani inavunja moyo sana.
@kareempreetboy55168 ай бұрын
Majaji awajatenda haki
@kulwagama3677 Жыл бұрын
Kwenye hii gem upendeleo umefanyika majaji hawako sawa
@abdullahahmedi9586 Жыл бұрын
Angakia gem mwanzo mwisho ndo utajua kama cjoki hajabebwa
@abdulkadirmwalimu9070 Жыл бұрын
Choki kapigwa amebebwa tu
@abdullahahmedi9586 Жыл бұрын
We umeangalia mchezo vzuri mwanzo mwisho
@ramadhansesala4891 Жыл бұрын
Choki katepeta leo
@abdullahahmedi9586 Жыл бұрын
Wamekutana wote wabish
@user-mb5cm6zq7q Жыл бұрын
Ushindi wa mchongo
@ChiefMkwetu Жыл бұрын
Choki Amepewa Live.... Maana Choki alipigwa kama Kuku anakamatwa Bandani. Juma Pewa not Juma Choki. Rolen Japhet ni Bondia hata Wamfanyie fitna Pado Rolen ni Hatari
@hamadeddymaclayz9 ай бұрын
Hujui kitu Juma Choki kascore sana Loren alikuwa anapiga sana body panch tu na point nyingi zipo kichwani
@suleimanhamad-rz4gn Жыл бұрын
Choki kapigwa
@abdullahahmedi9586 Жыл бұрын
We hujui ngumi kabsaa,hufai kua mchambuz wangumi wala kua jaji
@BilalSalim-bx9ju Жыл бұрын
Hao mabondia wenu wakienda nje hawatoboi tz Bado sana
@kitwanathabiti Жыл бұрын
Nenda wewe
@BilalSalim-bx9ju Жыл бұрын
@@kitwanathabiti sawa ila kwenye ukweli tunatakiwa tuongee ss bado
@mwendokasi90 Жыл бұрын
Game Droo!! Mi shabiki wa juma choki,, leo ushindi mwembamba.