VITASA | Saleh Kassim vs Said Bwanga |

  Рет қаралды 15,094

Azam TV

Azam TV

Жыл бұрын

USIKU WA VITASA: Hivi ndivyo bondia Said Bwanga alivyompiga Saleh Kassim kwa pointi katika pambano la raundi nane.
Ni pambano la utangulizi kuelekea pambano la Kidunda vs Mukadi katika usiku wa vitasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
#UsikuWaVitasa #VitasaNight #NgumiJiwe #Boxing #Saleh Kassim #SaidBwanga

Пікірлер: 30
@abduryjumbe7447
@abduryjumbe7447 Жыл бұрын
Big up champion bwanga ushindi bila kona kona 💪
@MartinyMaryogo-nt6xg
@MartinyMaryogo-nt6xg Жыл бұрын
huyu dogo anajua ngumi na anahimili ngumi, akikomaa atatisha familia yake vzr kuptia mchezo huu yuko vzr
@AbbyClassic-sn1ce
@AbbyClassic-sn1ce Жыл бұрын
Bwangaaaa
@Basagamp4
@Basagamp4 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/hnTNmYiBbad-f68si=4vHQ9JQ097rEO6cI
@kapompoto
@kapompoto Жыл бұрын
Bwanga you are too far Good comrade....keep it up champ
@aliymwazoa3051
@aliymwazoa3051 Жыл бұрын
Wazanzibari hapa kwa salehe kassimu wamepata bonge la man card kama watamjali nakumthamini bondia wao .ni bondia mkali sana.
@ZeeCute-ru7oz
@ZeeCute-ru7oz Жыл бұрын
Bwanga bondia ili game kashinda kiuwalali💪
@kivurichumamwerumungwi9382
@kivurichumamwerumungwi9382 Жыл бұрын
Safi sana champion bwanga. Unajua kuchunguria. Babu kubwa
@Basagamp4
@Basagamp4 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/hnTNmYiBbad-f68si=4vHQ9JQ097rEO6cI
@tonnyelias9454
@tonnyelias9454 9 ай бұрын
Jamaa uwa sichoki kutazama mapambano yake saidi bwanga anajua mpk anajua tena nataman siku wakutane na salim mtango itakuwa game nzuri tena iwe main card
@Basagamp4
@Basagamp4 7 ай бұрын
Na nilimwimbia goma hili kzbin.info/www/bejne/hnTNmYiBbad-f68si=4vHQ9JQ097rEO6cI
@EvalistTokwa-lw8hf
@EvalistTokwa-lw8hf 9 ай бұрын
Saidi bwanga saidi bwanga nakuona mbalisana kwenye mafanikio yako yangumi dogo ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
@Basagamp4
@Basagamp4 7 ай бұрын
Na nilimwimbia wimbo huu broo kzbin.info/www/bejne/hnTNmYiBbad-f68si=4vHQ9JQ097rEO6cI
@abubahammy3710
@abubahammy3710 Жыл бұрын
Said is a winer
@user-ls1es8sd1s
@user-ls1es8sd1s 6 ай бұрын
Pambano kasim ndie Ame shinda saidi bwanga majaji wa me Amua kumpa
@ZeeCute-ru7oz
@ZeeCute-ru7oz Жыл бұрын
Bwanga unajua
@aliymwazoa3051
@aliymwazoa3051 Жыл бұрын
Saidi bwanga bondia aliyepitishwa njia ngumu sana.Ana mustaqbali mzuri iwapo uongozi wake utasimama nae imara
@Basagamp4
@Basagamp4 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/hnTNmYiBbad-f68si=4vHQ9JQ097rEO6cI
@user-lh8xq2se7i
@user-lh8xq2se7i 7 ай бұрын
💪💪🤝
@KorodineMukanduwayo
@KorodineMukanduwayo 25 күн бұрын
Huojama anahusika nangi Mana namuonaga kiramechi
@haydarabdallah7914
@haydarabdallah7914 Жыл бұрын
Wamempendeleya alo shinda saleh kassim
@SaidiBwanga-zi4iv
@SaidiBwanga-zi4iv Жыл бұрын
Wa zenji nn mwenetu
@SaidiBwanga-zi4iv
@SaidiBwanga-zi4iv Жыл бұрын
P1
@fadyboy2554
@fadyboy2554 Жыл бұрын
sale kassim kashinda iyo gem ata ukiangalia, ila ao majaji sijui ata vp
@SaidiBwanga-zi4iv
@SaidiBwanga-zi4iv Жыл бұрын
Sawa ndugu
@khamisiiddi2470
@khamisiiddi2470 Жыл бұрын
Naona majaji mnataka kuharibu mchezo wa ngumi sasa sindio huo mchezo ulikua ni sare waote wamepugana achezi upuuz uko
@SaidiBwanga-zi4iv
@SaidiBwanga-zi4iv Жыл бұрын
Sawa judge mkuu duniani
@kitwanathabiti
@kitwanathabiti Жыл бұрын
Hapana said bwanga kashinda vizuri kwa mchezo huu saida kacheza vzuri na hata mpinzani wake sio mbaya pia ni mzuri
@KOBAKIMANGA-le9gh
@KOBAKIMANGA-le9gh 3 ай бұрын
Bwanga unajua
@KOBAKIMANGA-le9gh
@KOBAKIMANGA-le9gh 3 ай бұрын
Bwanga unajua
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 39 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 4,3 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
HILI HAPA PAMBANO LA; Selemani KIDUNDA VS Asemahle WELLEM
16:43
Mustapha Amadu vs senad gashi ganzer Kampf #tripleaaa
7:09
Sinan1705
Рет қаралды 3,9 М.
Lamine Yamal & Williams 😍
0:18
Fearron
Рет қаралды 9 МЛН
Стань Роналду 🤯
0:27
MovieLuvsky
Рет қаралды 614 М.