LULU DIVA AKIRI VIDEO CHAFU ILIYOSAMBAA NI YAKE, ASIMULIA MPENZI WAKE ALIVYOMREKODI - "ALITAKA NIFE"

  Рет қаралды 17,826

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@carolinejohn1976
@carolinejohn1976 2 жыл бұрын
Pole Sana diva huyo mwanaume Hana utu kbs,na Wala usijali imekuwa imekuwa hakuna Cha kubadili,Songa mbele na maisha mapya,usiishi habari za jana,zipotezee tu dadangu,wataongea watanyamaza siku hazigandi,maisha yaendelee
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 2 жыл бұрын
Hawa nao wamezidi wameendekeza tamaa mbele sana safi iyo mwendo kupost tu
@karimjuma4019
@karimjuma4019 2 жыл бұрын
Mpuuzi sana huyu dada
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 2 жыл бұрын
Pole sana. Haina shida usijiue ulikuwa na mpenzi wako sioni kama ni issue kubwa mie
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Pole sana .
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 жыл бұрын
Atariiiii Sana jmn aiseeeee aiseeeeeee tuweni makini na wanaume zetu
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q 2 жыл бұрын
Kujiua?! Ujiue huku aliye kuudhi anatanua na maisha?! Lulu, wape salami zangu kamati ya ufundi kule "UPARENI!"
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 2 жыл бұрын
Kwenye simu unakaa uchi unajiachia????unafanya mapenz kwa njia ya simu????Daaaaah aya bhana
@munamuna4621
@munamuna4621 2 жыл бұрын
Kwanza ni ujinga kwa wadada kujiachia kwenye video call 📞 na janaume..naachana na mijanaume wengi sabbu hiyo mtu anakwambia eti bby nitumie uchi wako loh
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 2 жыл бұрын
Mtihani kwa kweli pole sasa inakuwaje wakati wafaragha na cm huu ni mtihani ebu tubadilike wakina dada wapokonyeni hao wanaume cm wakati wa tendo na pia tutulieni wakina dada tujistiri mpaka tutakapopata ndoa mume wa ndoa hawezi kukufanyia haya ya kusambaziana uchafu labda umkute mume aso maadili ndugu zangu hawa mabwana wakuokota okota madhara yake ndo haya Mungu akusamehe na Fanya Toba kabla mauti hajafika
@reginakirway3626
@reginakirway3626 2 жыл бұрын
Hata kama umependa kupitiliza just usikubali kufaya jambo ambalo mwishowe itakupa majuto # Akiku video call jistiri ili kuepusha majuto kama haya
@nice58765
@nice58765 2 жыл бұрын
This is a police case, people should stop degrading and crushing women's dignity
@chazp6436
@chazp6436 2 жыл бұрын
Wanakula pesa na kuondoka
@sharonenson
@sharonenson 2 жыл бұрын
Kwanza pole yake pia kwanini akubali video cool ujinga
@mmn7480
@mmn7480 2 жыл бұрын
Ndo mkome mnajisaau sana
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 жыл бұрын
Duh hatari sn ile vidio baraa maana dah
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA 2 жыл бұрын
@@kiehbhzh7044 mmh! Nitumiee tugawane dhambi
@misojibahati6110
@misojibahati6110 2 жыл бұрын
Mnachiachiaga sana wanaume siyo wote niwakweli
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
Pole ndio Tuwe makin Japo ukweli unajua mwenyew
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 2 жыл бұрын
Hee😁😁😁kwanini hajafa?
@DM_15
@DM_15 2 жыл бұрын
Ulikua una date na mtumzima mwenye miaka 54 uyo alikua sponsa alikua anakugharamia that's why ame amua kukufanyia hivyoa atakua ana machungu yakuachwa huyo ulitumia fwedha zake
@amirikoshuma3039
@amirikoshuma3039 2 жыл бұрын
Acha tu wapigane mashine na waposti
@sulainanamkasa165
@sulainanamkasa165 2 жыл бұрын
Mshenzi
@hamidamer8849
@hamidamer8849 2 жыл бұрын
Hahahhahahahahahaha ndo akomeeeeeeee
@homebase6644
@homebase6644 2 жыл бұрын
Anitumi3
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Pole san
@fraterndonath2176
@fraterndonath2176 2 жыл бұрын
Mnafanyaga ujinga wenyewe afu mjakuja kutia huruma uku
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 2 жыл бұрын
Mimi cjaona chochote iyo video
@abuuabeid3647
@abuuabeid3647 2 жыл бұрын
Ma slay queen bhana miaka 55 huyo si babaake kabisa
@sulainanamkasa165
@sulainanamkasa165 2 жыл бұрын
Umri ni number
@zenamilanzi1471
@zenamilanzi1471 2 жыл бұрын
Hakamatwe iliwakome hawa wanaume washenzi
@kinglastbornmedia1474
@kinglastbornmedia1474 2 жыл бұрын
Ndo ujiw3ke mwenyew
@munamuna4621
@munamuna4621 2 жыл бұрын
Mkomee mmezidi kuona mnapendwa kumbe mnachorwa tu. 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣
@dianamsangi7816
@dianamsangi7816 2 жыл бұрын
Msiwaamini hivyo,,jamani ona alivyokudhalilisha, inaumiza zana
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 11 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 28 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52
FRANCIS DANDE (Habari Mseto)
Рет қаралды 28 М.
Brother..😂💀#trollface #prank #funny #memes
0:17
i am Кругляш
Рет қаралды 10 МЛН
#memes #прикол #мемчики #funny
0:15
МемДня
Рет қаралды 3,6 МЛН
Name of the animals 🐄 #fnawy
0:35
(Fnawy)فارس برناوي
Рет қаралды 79 МЛН
Please Help This Loving Boy ❤️
0:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 17 МЛН