MAAJABU TULIYO YAONA KWENYE UBATIZO NDANI YA BARAFU | UKWELI MINISTRIES

  Рет қаралды 7,791

Ukweli Church of Christ

Ukweli Church of Christ

Күн бұрын

Пікірлер: 73
@LidyaPeter-nl9bt
@LidyaPeter-nl9bt 17 күн бұрын
Bwana awasaidie kazi yenu isiende bure ,,Natamani hata mmoja wenu asiukose ufalme wa Mungu kwa maana mnajitoa sana, ,l real love you Mtume MaliyaBwana, Ev. Duedonne, Barnabas,Mchungaji Solomon, Ishmael God bless you
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 8 күн бұрын
Yesu asifiwe sana heeh mungu nisamehe mimi mwenye zambi sistaili kulitaja jina la lako baba heeh mungu ahomba nibadilishe niwe mihongoni mwawaliyo wako 🥹🙏🧎‍♀️
@user-ok5zy3br2g
@user-ok5zy3br2g 17 күн бұрын
My God!! Have mercy on me,,mimi ni mwenye dhambi yesu unibadilisha na uniweezeshe kubatizwa,,mimi n mwenye dhambi,yesu have mercy on me
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 8 күн бұрын
Heki mungu ni mwema kwa baridi ya sino na bado watu wake wako Dani ya maji bila baridi mungu upewe sifa 🙏
@ShukuruDaudi-ue6in
@ShukuruDaudi-ue6in 16 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 MUNGU awadhidishie na awabariki, sifa na utukufu kwa BWANA YESU KRISTO 🙏🙏
@JUMAMwambeule
@JUMAMwambeule 14 күн бұрын
Haleluya haleluya! Utukufu Kwa Bwana .Baba ninaomba hao wapendwa waliobatizwa siku hii wape nafasi ya kushuhudia Hali zao za afya ili kuujulisha ulimwengu kuwa hakuna lisilowezekana Kwa Mungu wetu.Amina Amina.
@OwenAkala-p9u
@OwenAkala-p9u 17 күн бұрын
Amina Mtume Bwana akuinue viwango vya juu umenibadilisha sana
@PastorDavidAlbogastTLCMWANZATA
@PastorDavidAlbogastTLCMWANZATA 17 күн бұрын
Sifa zote zimwendee Bwana Yesu Kristo wa nazareth....
@RehemaMtono
@RehemaMtono 17 күн бұрын
Amen amen jina la BWANA LITUKUZWE daima
@PastorDavidAlbogastTLCMWANZATA
@PastorDavidAlbogastTLCMWANZATA 17 күн бұрын
Ameen ameen....kazi njema sana mtume wa Bwana Yesu Kristo...
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 16 күн бұрын
Hongera Mtume MaliYaBwana
@dayemukalai3427
@dayemukalai3427 16 күн бұрын
Amen Amen Bwana YESU Kristo asifiwe
@SengaLukomya
@SengaLukomya 17 күн бұрын
Amina Amina, atukuzwe Kristo Yesu
@sifakarulange
@sifakarulange 17 күн бұрын
Amen Amen utukufu kwa Bwana Wetu Yesu Kristo
@salomenunda-wl5gz
@salomenunda-wl5gz 17 күн бұрын
Amen Sifa kwa Bwana. 🙏🏾
@SamweliMushi-xl9ui
@SamweliMushi-xl9ui 15 күн бұрын
Amen Baba
@EvelinWilson-zx6uq
@EvelinWilson-zx6uq 15 күн бұрын
Sifa ni kwaBwana yesu. Natamani kama ningekuwepo hapo kwa muda huo nikibatizwa.Mungu awabariki sana.
@nancykimaru8
@nancykimaru8 15 күн бұрын
Our God is wonderful, be blessed all
@Abelmasinde.
@Abelmasinde. 15 күн бұрын
Hallelujah
@julianawanjala6495
@julianawanjala6495 17 күн бұрын
Amina utukufu ni kwa Bwana Yesu Kristo
@macylulu8581
@macylulu8581 16 күн бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah
@Mjakazisara55
@Mjakazisara55 17 күн бұрын
Amen Amen Gloria to our Lord Christ
@NellyKombe
@NellyKombe 17 күн бұрын
BWANA YESU awabariki sana wapendwa
@IreensisterAndobeSisterAndobe
@IreensisterAndobeSisterAndobe 16 күн бұрын
Amen mungu awabariki sana.
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 16 күн бұрын
Hongereni Sana Watumishi
@florencemuthoni6301
@florencemuthoni6301 17 күн бұрын
Sijawai ona upendo kana huu wa KRISTO na IMANI kubwa kama hii nimejifunza kitu MUNGU awazidishie zaidi na zaidi nami nipokee IMANI na UPENDO wa KRISTO kama huu
@florencemuthoni6301
@florencemuthoni6301 17 күн бұрын
Hallelujah Hallelujah
@queensgambit5496
@queensgambit5496 17 күн бұрын
I pray you come to Kenya this year, I want to be baptized me and my household. Amen and shalom.
@vitabuvyashuhudazamungu
@vitabuvyashuhudazamungu 17 күн бұрын
Hallelujah ❤
@DuniaPeter-h7k
@DuniaPeter-h7k 17 күн бұрын
Amen 🙏
@DuniaPeter-h7k
@DuniaPeter-h7k 5 күн бұрын
Kweli baba
@Word649
@Word649 17 күн бұрын
Sifa kwa Bwana
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 17 күн бұрын
Amina
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o 16 күн бұрын
Mbarikiweee
@TheofridahChigumbi
@TheofridahChigumbi 17 күн бұрын
Amen Amen
@Jeshikubwalayesutv
@Jeshikubwalayesutv 16 күн бұрын
THE BOLD ARMY OF THE LORD.
@adakenzo4412
@adakenzo4412 17 күн бұрын
AMEN
@nenenene20301
@nenenene20301 17 күн бұрын
Amen Amen Glory to to the Lord of heaven and earth for the Babtisim by the holy ghost,, brethren.s God bless you in abundance.the Kingdom og God is near.it is written. Shallom shallom
@asminmakoha6889
@asminmakoha6889 17 күн бұрын
Amen Hallelujah 🙏
@JulianaLucasAtanasioAtanas-u7b
@JulianaLucasAtanasioAtanas-u7b 17 күн бұрын
Amen
@DuniaPeter-h7k
@DuniaPeter-h7k 5 күн бұрын
Wanadamu siwatu wazuri
@mmm4199
@mmm4199 16 күн бұрын
Mariam musa AMEN AMEN AMEN
@lydiajoseph2571
@lydiajoseph2571 17 күн бұрын
Naomba kuuuliza je unamtambua mtumishi wa MUNGU Pastor Paul Rika wa Nigeria???
@gloriamkiwa6395
@gloriamkiwa6395 15 күн бұрын
NipeNaba
@DuniaKalenga-hr2lz
@DuniaKalenga-hr2lz 10 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimahajabu
@RandB_Channel
@RandB_Channel 16 күн бұрын
Guys shida how mnaeza batiza watu mmaji ya ice kiyasi hicho?? This is crazy mtakuja kuuwa watu siku moja njo mtajuwa maji yamajiwe kweli? Nonononono wamoja najuwa walitoka apo waka uguwa homa
@UkweliChurchofChrist
@UkweliChurchofChrist 16 күн бұрын
Heri kuumwa kwa ajili ya Kristo kuliko kuwa mpumbavu anae linganisha ufalme wa Mungu na homa.
@lucaschacha633
@lucaschacha633 16 күн бұрын
Mungu gani kwanza anakuruhusu ufuge rasta, eti unasema ndivyo Mungu alivyo kwelekeza una pepo ukidhani ni Roho Mtakatifu mgeukie Mungu, 1 Wakorintho 11:14 [14]Je! Hayo maumbile yenyewe hayawafundishi ya kwamba mwanamume akiwa na nywele ndefu ni aibu kwake? Doth not even nature itself teach you, that, if a man have long hair, it is a shame unto him? Usipogeuka utaishia kuzimu ya moto
@UkweliChurchofChrist
@UkweliChurchofChrist 15 күн бұрын
Hayo yote umeyaongea kimwili na hauna Roho Mtakatifu ndani yako.
@lucaschacha633
@lucaschacha633 9 күн бұрын
@UkweliChurchofChrist mnapotosha maandiko, Roho Mtakatifu hapingi maandiko niambie ni andiko lipi linawaruhusu kufuga nywele ziwe rasta..? Kwenye agano jipya acheni kumsingizia Roho Mtakatifu, hayo ni mapepo yanawadanganya mnadhani ni Roho Mtakatifu, geukeni mkatubu jiungeni na (Holiness revival movement world wide) mpate maarifa ya Neno la Mungu la Utakatifu na Haki.
@MichaelAbel-m5y
@MichaelAbel-m5y 15 күн бұрын
Wajinga ndiyo waliwao, huyo ni Nabii wa uongo,ktk Kristo hakuna Imani ya mafundisho ya jinsi hiyo.Amen
@lucaschacha633
@lucaschacha633 16 күн бұрын
Ninyi ni Watumishi ambao shetani amepofusha akili zenu, mnapotosha maandiko maandiko, Ubatizo unatakiwa uwe kwa jina la Baba, na la Bwana na la Roho Mtakatifu, lazima utaje majina matatu ya Uungu Mtakatifu wa Mungu, Mathayo 28:19 [19]Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; Go ye therefore, and teach all nations, baptizing them in the name of the Father, and of the Son, and of the Holy Ghost: Ndivyo Yesu Kristo alivyoagiza, shetani amewapotosha ninyi, mnaotokewa na shetani mkizani ni Yesu Kristo.
@UkweliChurchofChrist
@UkweliChurchofChrist 15 күн бұрын
1. Acts 2:38 Peter replied, "Repent and be baptized, every one of you, in the name of Jesus Christ for the forgiveness of your sins. And you will receive the gift of the Holy Spirit." 2. Acts 8:12 But when they believed Philip as he proclaimed the good news of the kingdom of God and the name of Jesus Christ, they were baptized, both men and women. 3. Acts 8:16 (For as yet he had fallen upon none of them: only they were baptized in the name of the Lord Jesus.) 4. Acts 10:48 So he ordered that they be baptized in the name of Jesus Christ. Then they asked Peter to stay with them for a few days. 5. Acts 19:5 On hearing this, they were baptized in the name of the Lord Jesus. Maandiko yako wazi hilo jina la Baba Mwana na Roho Ni Yesu Kristo. Basi na wewe utueleweshe jina la Baba ni lipi, Mwana ni lipi, na Roho Mtakatifu ni lipi. Kuliko kuongea tu kama mwanamke mpumbavu kwenye siku zake za hezi. Karibu
@lucaschacha633
@lucaschacha633 9 күн бұрын
@UkweliChurchofChrist I pit you because you are deceived by demons, especially the demon which deceived Prophet Aston Adam Mbaya it has deceived you also.
@lucaschacha633
@lucaschacha633 9 күн бұрын
@UkweliChurchofChrist Jiunge na Holiness revival movement world wide utajua ukweli or listen to Pastor Paul Rika, this Movement preach undiluted word of GOD
@UkweliChurchofChrist
@UkweliChurchofChrist 9 күн бұрын
@@lucaschacha633 Paul Rika is a heathen who cant even keep his wife from preachong to men. Hypocrites you all are. Id rather be callrd deceived than live in sin.
@UkweliChurchofChrist
@UkweliChurchofChrist 9 күн бұрын
@@lucaschacha633 show one scripture where people were baptized in the name of the Father Son and Holy Ghost and I will join your lost church.
@Enemyofallah-y4u
@Enemyofallah-y4u 15 күн бұрын
Kwa nini kubatiza watu kwenye maji ya baridi sana ivyo .
@UkweliChurchofChrist
@UkweliChurchofChrist 15 күн бұрын
Kwa sababu tuna nguvu za kufanya hivyo. Je. Wewe hauna nguvu ya kubatizwa kwenye baridi?
@AnnaKenzo-y2d
@AnnaKenzo-y2d 17 күн бұрын
Amen 🙏
@Estherbonga9280
@Estherbonga9280 17 күн бұрын
AMEN
@zipporahmibei9007
@zipporahmibei9007 17 күн бұрын
Amen Amen
@AmosiKaswahili-ud8bc
@AmosiKaswahili-ud8bc 17 күн бұрын
Amen
@GastonMulondani-j8v
@GastonMulondani-j8v 16 күн бұрын
Amen
@JulieniKashindi
@JulieniKashindi 16 күн бұрын
Amen 🙏
@chaleetch9394
@chaleetch9394 17 күн бұрын
Amen Amen
@JulieniKashindi
@JulieniKashindi 16 күн бұрын
Amen 🙏
@languages2015
@languages2015 16 күн бұрын
Amen
@hellenmnyazi220
@hellenmnyazi220 16 күн бұрын
Amen amen
@MachoziRachel
@MachoziRachel 14 күн бұрын
Amen 🙏
@MtNehemia-k1o
@MtNehemia-k1o 15 күн бұрын
Amen
@faithwangara1642
@faithwangara1642 13 күн бұрын
Amen amen amen
@tabithambweka
@tabithambweka 15 күн бұрын
Amen
ZIPO SAUTI MBILI | YA MUNGU NA YA SHETANI
1:09:24
Ukweli Church of Christ
Рет қаралды 1 М.
JINSI YA KUJIANDAA KIROHO | IBADA YA JUMAMOSI
2:00:37
Ukweli Church of Christ
Рет қаралды 1,5 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
MUNGU AJIIZIRISHA KWENYE UBATIZO | IOWA CITY | MLIMA WA UKWELI
59:00
Ukweli Church of Christ
Рет қаралды 30 М.
DUNIA (Ep 46)
22:12
ASMA FILMS
Рет қаралды 241 М.
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 662 М.
21 January 2025
1:22:11
KATEKELLA TV
Рет қаралды 2,1 М.
MUNGU ATAINGILIA KATI MAMBO YAKO? | PR.DAVID MMBAGA -
1:23:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 100 М.
MAOMBI YA KUMSHINDA ROHO WA KUKATA TAMAA | MTUME MALIYABWANA
42:55
Ukweli Church of Christ
Рет қаралды 507
MAJINA YAO YAMEONDOLEWA KWENYE KITABU CHA UZIMA
32:00
Ukweli Church of Christ
Рет қаралды 58 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН