MAAJABU YA SONGO MNARA, MSITU UPO CHINI YA BAHARI "SULTAN ALIMPA MSIKITI MKEWE"

  Рет қаралды 32,450

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 57
@allythabiti8150
@allythabiti8150 Жыл бұрын
Hakika haya mambo hawaweki uzito katika kuyasema, badala yake tunafundishwa mambo ya ajabu, historia ambazo waliotengeneza ni wazungu, haya ndo yawe ya kutujuza.
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Жыл бұрын
Serikali wameisahau sana kilwa wakati huo ndo ilikuwa nchi inayojitegemea Karne ya 13 na 14.
@111dudi
@111dudi Жыл бұрын
Kitovu cha historia ya uislam na ustaarabu
@djnangaxtwo2975
@djnangaxtwo2975 Жыл бұрын
Nàipenda KILWA YETU😍😍
@FatmaFatmA-qk3zl
@FatmaFatmA-qk3zl Жыл бұрын
Mashallah mashallah
@allyiddy1764
@allyiddy1764 Жыл бұрын
Uteli tosha kabiisa tuliepend tujuane kwa lake
@djnangaxtwo2975
@djnangaxtwo2975 Жыл бұрын
Kivinje apa
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Yaani wange yatunzaa, nna kuyapaka rangi, sisi waswahili hatujui vitu vizuri.
@allythabiti8150
@allythabiti8150 Жыл бұрын
ila mwanahabari umetupa habar Kwa ufupi kidogo, tunaomba utuletee habar Kwa urefu tafadhali nadhan Kuna historia ndefu haijaishia hapo
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 Жыл бұрын
Nenda kwenye page ya jamali mustafa utapata historia nzuri ya kilwa
@abdallahmbwana4135
@abdallahmbwana4135 Жыл бұрын
WaTZ tujisikie fakhari kwa kuwa na maeneo haya yenye historia kubwa DUNIANI.
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Sasa mbona hazing tengenezwii? Si nwisho yata poteaa.
@ibrahimcharlesswaleh
@ibrahimcharlesswaleh Жыл бұрын
Watanzania wengi tumewasoma wakina Mansa Mussa ilhali historia yetu ya kweli hatuijui masikini.
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Biashara kubwa ilikuwa ya binadamu.. utumwa. Mababu zetu waliuzwa kama mbuzi sokoni.
@welcometoeat165
@welcometoeat165 Жыл бұрын
Imagn ingekua ulaya kila mtu angetaka kufika mpaka viongoz wetu 🙄🙄🙄🙄🙄ila iko nyumban humuon mtu
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 Жыл бұрын
Kama umeona simba anakimbiza swala gonga like tujuaje
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Ila Kilwa ilitakiwa pawe mjini bc tuu
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Жыл бұрын
Hapawezi kuwa mjini shida ushirikina mwingi
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@philemonmagesa5548 😁😁😁ushirikina uliupeleka ww alafu soma vzr hy komet yng
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Жыл бұрын
@@khadijahali4837 shida Yako uelewa mdogo mm sijakupinga comment yako.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@philemonmagesa5548 ila ww kwk mdg zaidi unataka kusema sehem zt za vijijini ni washirikina
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Жыл бұрын
@@khadijahali4837 yani mm mwenzangu sikuelewi mm sijaongea Kwa kujumuisha ungeniuliza kama ulitaka ufafanuzi.
@philipgammy8827
@philipgammy8827 Жыл бұрын
History umefupisha sana you must go dip
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
kama inawezekana na huo msitiu samia angewaizia waarabu na wauchukue huko uarabuni apate fedha mifukoni mwake kama wanavyo fanya kwa wanyama kule loliondo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
MPUMBVU MKUBWA WEWE
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
@@salimmalaka256ukweli unauma eeh! basi zaidi ni mwiz , mnyanyasaji , muonevu , na kibaraka kihoka wa wazungu na waarabu simia 🤣🤣🤣
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 HIZO MBUGA ZIMEUZWA KABLA YA HATA HAJUWI KAMA ATAKUJA KUWA HATA MAKAMU WA RAIS KAMA HUJUWI FATILIA UJUWE USIMKEBEHI MTU KWA CHUKI BINAFSI ATI UKWELI FATILIA UJUWE BRO.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 UNASEMA MUONEVU MYANYASAJI BAADA YA KUWAPA UHURU WA HABARI NA KUONGEA CHOCHOTE UNACHOJISIKIA??? YULE MZEE WA CHATO ALIWAFUNGA MIDOMO MKASHINDWA HATA KUJAMBA ULIKAA KIMYA MWANAMME ALIKUWA YEYE PEKE YAKE HUKUSEMA KITU TULIYA WEWE.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
@@salimmalaka256 uruhu gani alitupa samia wa kuongeo , ukiongea ukweli aidha una potea , unaishia jela au unapoteza kazi yako mfano Ndugai kufukuwa uspika kwa kuongea ukweli , mtangazaji wa kituo kwa TV bwana Muhondo alifukuzwa kazi juzi tuu kwa amri ya serekali tena sio kwa tukana bali kukosoa tuu juu tatizo la kopakopa ya samia . watu wamefika hata kuogopa kukosoa mitandaono hizi kwa hofu maaskari kanzi wa samia . unajui samia kawachukuwa bara maaskari kazi wengi kutoka Zanzibar wenda kumfanyia kazi ya mkono wake mchafu kule bara , A. K . mazombi ., hicho ndicho alicho peleka samia Tanzania bara , kama unaishi kwenye nyumba ya kioo usirushwe mawe 💯💯💯
@abdangembe4339
@abdangembe4339 Жыл бұрын
Mashuleni tunafundishwa triangular trade badala ya kusoma vitu kama hivi
@personpeter2221
@personpeter2221 Жыл бұрын
Triangle slave trade inaumhim sana kjufnza acha kpuuza bt puuza evolution of man pamoja na fuvu la binadam wakwanza huo ndo uongo
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Shida ipo wapiii sasa
@magorymara5515
@magorymara5515 Жыл бұрын
Mlikuwa wapi kutwambia siku zote ukimya unaliponza taifa hata kukiwa na fursa sehem ni ngum kujua make nchi ipo kimya sana
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Duuu aisee maajabu yapo kumbe
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Vyombo vyabari kkk vya habari mama
@amsangi9949
@amsangi9949 Жыл бұрын
Kukayaaaa
@NDEWARA
@NDEWARA Жыл бұрын
Biashala😭😂
@zavaramponjika7411
@zavaramponjika7411 Жыл бұрын
Kilwa ni fal.e labisa ambayo ushhidi wake sio Magofu peke yake. Kuna sarafu na falme hiyo ilikuwepo hata kabla ya hizo karne nane. Hivi karibuni mwaka jana tu, kumepatikana sarafu za kilwa huko Australia. Kuna haja ya kuboresha ufahamu wa historia yetu. Tuko pamoja
@zavaramponjika7411
@zavaramponjika7411 Жыл бұрын
Falme***👆🏿
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Жыл бұрын
Serikali wameisahau sana kilwa wakati huo ndo ilikuwa nchi inayojitegemea Karne ya 13 na 14 , IBN BATUTTA alitembelea hapo na alistaajabu kuona mji mzuri na uliyochangamka unaotumia pesa zake Sarafu ya kilwa.
@semenisadiki5842
@semenisadiki5842 Жыл бұрын
Bila shaka najivunia kilwa yetu
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Mmewapa content watu kwenda kufanya habar haijakamilika kbs
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Samia ona hapo songo mnar kilwa Big history utalii uende huko
MAAJABU YA KILWA/ILIKUWA NCHI YENYE SARAFU YAKE NA BENDERA
6:29
Wasafi Media
Рет қаралды 14 М.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 20 МЛН
This Man BUILT HIS OWN HYDRO POWER PLANT from SCRAP
18:15
SEFTV
Рет қаралды 1,6 МЛН
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 3,8 МЛН
MAAJABU BAHARI MBILI ZINAKUTANA LAKINI MAJI HAYACHANGANYIKI
1:21
Millard Ayo
Рет қаралды 112 М.
Safari kuelekea kijiji cha utajiri wa gesi asilia songosongo
3:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4,4 М.
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН