MAAJABU YALIYOPO TANZANIA. TUNA WAZIRI ASIYE NA ELIMU YA WIZARA

  Рет қаралды 14,045

huduma ya kristo

huduma ya kristo

Күн бұрын

Пікірлер: 236
@giftmed1a332
@giftmed1a332 2 ай бұрын
Wooooooyoooo wacha mwalimu awafunze madokta,nA madokta wataenda kuwafunza walimu Tz ni nchi ya burudani na maajabu duniani!!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Kwa kweli Mama hapa kachemsha kabisa katoa Mwanasheria kwenye Afya sasa kaweka Nqalimu Mama angemuweka Dr Gwajima hii yote kwa ajili ya kuwekana tu utimu Mungu tunaomba utusaidie
@tumwesigyejackson9421
@tumwesigyejackson9421 2 ай бұрын
Pamoja na anacho kusoma kuwa ameandikiwa. Anashindwa kusoma vizuri kabisa.
@augustinechitemo8207
@augustinechitemo8207 2 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza nakuona mtumishi ukicheka sana katika hili, ni kweli saa ya mama imefikia mwisho😭
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 2 ай бұрын
Huyo mama amekuwa waziri miaka mingi, sijui amawapatia nini huko peramiho, SITEGEMEI MABADIRIKO KTK AFYA, AIBU TUPU,
@Kwazulu1
@Kwazulu1 2 ай бұрын
Si azungumuze kiswahili. Kuna wasomi wameachwa pembeni ndo maana GEZ wanapigania haki zao..
@MeridaChawe-kd9is
@MeridaChawe-kd9is 2 ай бұрын
Kweli kazi ipo!
@MuzneOthman-l7i
@MuzneOthman-l7i 2 ай бұрын
SUBHANALLAH. PERAMIHO NINAYOIJUA MIMI NDIO PRODUCT YAKE NDIO HIYO. SIAMINI KABISA. UZURI WA MKAKASI NDANI KIPANDE CHA MTI.
@kepharichard4183
@kepharichard4183 2 ай бұрын
😂😂😂😂Jamani kubebana bebana huku jamani tunaaibishana jamaniii khaaa
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
Wewe umeaibika nini, kingereza sio akili. Shida yake ni kuongea lugha hiyo. Angeongea kiswahili tu. Kimsingi kuongea lugha ya kingereza sio akili. Wachina, wajapani, wa Russia, wajerumani. Hatuwazidi maendeleo. Kusema mtu kua ajui lugha ya kigeni ni kuendekeza ukoloni.
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 2 ай бұрын
Ajabu sana hayo mambo yapo tanzania ni hatari sanaa (Big disaster disasters)
@albertvalentino130
@albertvalentino130 2 ай бұрын
Hiyo ndiyo bongo yetu ya maajabu na miujiza yake " yaani hata alichoandikiwa anashindwa kusoma vizuri "
@dassustephen731
@dassustephen731 2 ай бұрын
Na hata aliyemuandikia hajui kiingereza kabisa..Hicho NI kiingereza kiswahili.Matamshi yenyewe NI kama kisukuma
@justinmangusha2956
@justinmangusha2956 2 ай бұрын
Huo ni mwanzo tu. Nchi ya wapumbavu na wajinga Laana tupu
@Vuvuzelaz1
@Vuvuzelaz1 2 ай бұрын
Uongozi sio kiingereza tu bali Uaminifu alionao ni zaidi ya kiingereza chenu. Am proud of you Honorable @Jenister Muhagama you did well achana na hao piga kazi my dear
@omuze1290
@omuze1290 2 ай бұрын
Anapiga kazi ipi? Kubebana tu! Mtaendelea kuvuna aibu hadi mkome.
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 2 ай бұрын
Elimu na English ndio ngao kwa mazingira ya maisha ya Sasa. Tuache kujidanganya dunia inasonga mbele
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
​@@christinainnocent3184 mpumbavu sana, wewe diamond ana elimu gani, mbona ana hela kukushinda wewe?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
Well said
@noelbryson7840
@noelbryson7840 2 ай бұрын
We hujui unachoongea, Hapa tunachosema ni kwamba wenzake wote wana taaluma ya mambo ya afya ila huyu wakwetu hana idea yoyote ya mambo ya afya na ni waziri wa afya.. Halafu kingine ni kwamba huyu waziri anasoma kingereza cha kuandikiwa na bado anaboronga, Kama siyo aibu ni nini hiyo?
@akonaayako7185
@akonaayako7185 Ай бұрын
Wachina hawajui kiingereza lakini wanaongoza kwa sayansi na technolojia.
@akonaayako7185
@akonaayako7185 Ай бұрын
Kuwa Waziri wa Afya siyo lazima uwe Medical Dokta. Tu.mekuwa na Mawaziri wenye digrii. Lakini walishindwa uwaziri wa afya.
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 2 ай бұрын
Hivi NI k weliii au😢mi si elewi..mbona Pana watu wazito hapo? Si wangemwandikia jamani..duu? Mr chair ?😢😢😢
@dassustephen731
@dassustephen731 2 ай бұрын
Wote hawajui.
@rastheunique
@rastheunique 2 ай бұрын
Jomoni mbona mnatuvua nguo hivi! Tufunikeni japo nyeti zetu basi😰😰
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 2 ай бұрын
Kaz ipo kazini😂😂😂 Yan hapo hakulala usiku kucha alikua anakalili hiyo mistar ya misita chair lakn wapi😂😂😂
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 ай бұрын
😅😅😅😅mambo alioenda kutufanyia. Kulee😢😢😢😢😢😢😢😢
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 2 ай бұрын
Kwani Stergomena Tax ni mjeshi?
@tumwesigyejackson9421
@tumwesigyejackson9421 2 ай бұрын
Tanzania mtu anapewa tu uwaziri kwa kuwa amekaa sana bungeni chini ya chama tawala.
@allyshaban406
@allyshaban406 2 ай бұрын
Hili Taifa tunaongozwa na vihiyo, ndio maana tunaburuzwa tuu.
@norahfrank
@norahfrank 2 ай бұрын
Jiulize tu.unaenda kusimamia professors, specialists, surgeon's, nurses ,kisha hiyo elimu Huna.unaendaje kuwaongoza????kwa nini Rais hapewi msaada jamani.nahama nchi
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 ай бұрын
Kiongozi anaweza kuongoza popote pale.
@dorambaga2667
@dorambaga2667 2 ай бұрын
Mi nilisema hùu uteuzi wa huyu mama kila siku kila siku kuchagua walewale ni upumbavu mkubwa sana Hana jipya, vijana wenye ueledi wa kisasa wapo ila anachagua mazee ya sikuzote yasiyokuwa na impact ktk nchi hii .ni huzuni kwakweli 😢
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 2 ай бұрын
Changamoto kubwa sana
@MACHAGGECHACHA
@MACHAGGECHACHA 2 ай бұрын
Tanzania tuna raisi mzigo.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
Rais akiwa mzigo na raia mzigo mkubwa zaidi na wewe ukiwemo.
@MACHAGGECHACHA
@MACHAGGECHACHA 2 ай бұрын
@@GodfreyOsward Uwezo wako wa akili ni mdogo sana hata unashindwa kutambua uvundo mbaya ulioko nyumbani kwako. Wewe ni kati ya wale wanaoitwa “HOUSE SLAVES “
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
@@MACHAGGECHACHA Vyovote itakavyo kua hoja ni uwezo wa mtu kujua kuongea kingereza na maisha ya watu. Mara nyingi sipendi kuudhi mtu. Hakuna link ya lugha na maisha yetu huo ndio ukweli. Aibu ya kweli si hiyo ambayo mnataka tumaini. aibu ni ukasuku tu. Kwa taarifa yenu kuna wa tz wenzetu wanaunga kingereza cha kuunga kama waziri. Mataifa makubwa wanawanunua kwa gharama kubwa kuunda mifumo na technology za juu. Sisi kwa akili ya kikoloni tukiona mtu kakariri lugha huyo msomi!. Tupanue Wigo wa kufikiri tusilishane mataputapu. Ukweli hiyo lugha mnayotamba nayo inatupa maarifa yasiyokidhi viwango. Hii ndio hoja. Kwa iyo si sawa tukisia fulani imemshinda tunaona ni KIHAMA kimelifikia taifa. Tukumbuke kwamba tunapotoa fikria zitakua tofauti tu . Na hiyo ni hekima ya Mungu. Hatuwezi kufikiria sawa. Kwa hiyo hakuna haka ya matusi. Na utashangaa na lugha tunatumia ni ya kukariri sisi sio waingereza. Narudia tena lugha ubeba maarifa. Kama wasomi wetu Mnaojua hiyo kingereza mbona kila nyanja ya maisha mnatenda bila maarifa au hekima. Tatizo mojawapo ni lugha ya wageni kutumika kuandaa watu. Leo lugha puani utendaji zero, uwezo wa kufikiri zero. Ukibanwa kidogo. Tunabwatuka vijimnaneno vya mkoloni. Eti apo inaonyesha kiburi cha usomi. Mimi nafikiri ukikutana na mswahili anaweza kutengeneza mfano AI ya Kiswahili na makampuni duniani na serikali tajiri duniani akaja wamekbia kununua au kushirikiana naye hiyo ndio Elimu tunataka. Sio ujinga huu. Aibu halisia kwa taifa ni mfano kama huo hapo inakuwaje mswahili mwenzako anavumbua kitu cha maana kinatafutwa duniani wewe unaangalia anajua English, inakuwaje tunapuuza uhai?, inakuwaje tunatelekeza viwanda?, inakuwaje tuwe na mti mfano unatibu cancer tunapuuza wenzetu wanachukua?, Inakuwaje vijana tunalanda mitaani?. Ni nini chanzo?, Changamoto inaweza kuwa mojawapo miaka mingi tunazodoana nani anoongea kingereza kizuri. Elimu yetu ina upogo. Hivi kufuga ngombe afike kilo 1000 kwa miaka 3-4. Tukauze mfano china kingereza cha waziri kinahusika vipi?. Wasanii wa kukoga watu kwa lugha za kigeni mmetufikisha hapa tulipo. Iq za watu sio hoja kwetu ndio maana tuko hivi leo. Eti aibu ya kitu gani. Haibu kwangu zipo nyingi sana. Mmoja ni chunvi ya Kenya . Wanasoma hapa wanatengeneza kwao wanaturudishia tunabugia. Vitu vya namna hiyo ndizo aibu za kweli. Aibu kweli tunagawa ajira vijana wanapanda boda, wengine wanakufa, wengine vilema na nk. Hizi ni aibu kweli. Aibu kupitia zote ni kuona aliye kariri kizungu kuwa msomi. Someni kitabu ka Kupaa na Kutunguliwa kwa Azimio la Arusha, pia volume 38 za mao Rais wa china. China ya leo ni zao lake. Hoja hoja hoja.
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 2 ай бұрын
Jenister ni mtendaji mzuri lkn kwa wizara hiyo wanataka aharibu ili wamtoe, Ni upuuzi wa cabinet inayomshauri Rais. Acha wanalizane.
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 2 ай бұрын
Ndio maana ya kuomba katiba mpya,nafasi yeyote academic qualification lazima iwe a pre requisite
@MariaMgogosi-tq4rj
@MariaMgogosi-tq4rj 2 ай бұрын
Mimi Namponeza Muheshimiwa jenster Muheshimiwa raisi alisema jenster ni kiraka anapoona panapwaya atawekwa hapo pia huyo waziri anajituma na kazi sana Mtiieni Moyo Watanzania msimvunje Moyo
@JesuinaBabili
@JesuinaBabili 2 ай бұрын
Weka kiraka TAMISEMI… Afya kweli panahitajika mzaha Kama huu kweli?????? Ni mpumbavu pekeyake atasadiki. Aseme tu ukweli kuwa weledi hawapo ccm so inabidi kufunikafinika tuu bora lyende !
@mxfsedtirz
@mxfsedtirz 2 ай бұрын
Elimu kuanzia sekondari hadi vyuo inasoma kwa Kiingereza. Asiyeweza kuongea Kiingereza hapa nchini shuleni alihudhuria tu shuleni lakini hakuhitimu! ...Eti Mr.chair au very best...ni nini? Kama siyo aibu duniani ni nini basi!?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
@@mxfsedtirz wewe ndio mjinga kabisa
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 2 ай бұрын
Aibu tu,yamekalia kubebana tu ngoja yahaibike na tatahaibika sana
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 2 ай бұрын
Lookooosalaaaaaaaleeeeeee !!!!!!!!!!!! Jamani jamani tuomwombe Mungu wetu avtujalie chaguo lake ili tuanze upya.
@adamlikati3364
@adamlikati3364 2 ай бұрын
We are too far from behind
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
Yale Yale wengi wetu tunaelewa lugha ya kiswahili. Unaandika kutisha kwamba Unajua lugha ya kingereza. Haupo ushaidi wa kuongea kingereza kuwa una maendeleo kuliko wote wasio jua kingereza. Wasomi wetu ukweli mna kirema kikubwa. Mnafikri kinyume kinyume. Pengine hiyo lugha ya kingereza mnayojidai nayo imetumika ku reverse ubongo wenu. Mfano mmoja tu mimi ambaye sijui kingereza naagiza mzigo to nchi ya wasiojua kingereza mfano china. Konteina linafika bandari dar. Meli inashusha mzigo. Mimi mwenyewe mzigo nazunguka hapo miezi Tano na pesa ya Kodi mfukoni, Mnaojua kingereza mnatwambia kodi hazitoshi. Mtaani mnakimbizana mama ntilie awape ushuru. Mnaongea kingereza kizuri leo hii mko tayari kununua gari la mil 300, ukaacha kuanzisha kiwanda kidogo Ndugu zako wakapata kazi. Ni elimu iliyojifunga kwenye kingereza chenu, imetengeneza watu wengi mnafikri kinyume kinyume.
@rockusngalela6581
@rockusngalela6581 2 ай бұрын
Hapana Hapana Hapana na sio lazima Kila wizara awepo mwenye Taaluma yake. Hebu jamani sio Kila kitu kisemwacho kipo sahihi
@DodomaTanzania-r5z
@DodomaTanzania-r5z 2 ай бұрын
Eeh Mungu tunusuru na huu ukoloni mambo leo mbn marekani marais wao huwa hawajasoma lkn kwetu lazima awe dokta hata kwa kufosi
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 2 ай бұрын
Tz inaongozwa na watu wasio na akili. Wenye akili wamejiweka mbali na siasa. Haya yanayotokea tusishangae, ni kwa sababu walioaminiwa na Mungu wamejiweka mbali na siasa ilihali mfalme daudi alikuwa nabii na mfalme hapo hapo.
@JosephLadisilaus
@JosephLadisilaus 2 ай бұрын
Daa ila jaman tumelogwa na nan?
@RehemaMtono
@RehemaMtono 2 ай бұрын
Walioturoga walishakufa haaaa
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 2 ай бұрын
Jamani jamani😮😮😮waziri daa...si wamchukue form six leaver awe waziri jamaniiiiiii
@yordanyona1234
@yordanyona1234 2 ай бұрын
Aibu
@RehemaMtono
@RehemaMtono 2 ай бұрын
TANZANIA aibu loooo kingereza hakipandi kabisaaa aibuuuuu
@tonnyojambo1731
@tonnyojambo1731 2 ай бұрын
Kuna aibu kuto juwa kingereza tena! Ni aibu kutojuwa kiswahili
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
​@@tonnyojambo1731well said
@antonychitara5707
@antonychitara5707 2 ай бұрын
Watu wa Dibeti Tujuane hapa jamani,,,, thank yuuu misita onolabo😂😂😂 unakariri wiki nzima ijumaa tuna competition na shule Jilani
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 2 ай бұрын
Hicho kiswahili chetu tu umeshindwa kujua R na L zinatumika wapi sembuse kiingereza. Wabongo bhana ulimbukeni unatutesa sana.
@antonychitara5707
@antonychitara5707 2 ай бұрын
@@reginaldmapunda6702 we pia ndio walewale,,, mapapai ya rangi moja yanatoka kwenye miti tofauti 🤣🤣😏
@dassustephen731
@dassustephen731 2 ай бұрын
Kiingereza kibovu Bora angeongea Kiswahili Tu.Mambo ya aibu Sana haya.
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 2 ай бұрын
Waache kubebana na wasio bebwa jamani aibu kubwa sana kwa watanzania
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
Wewe aibu ni yako tu, wengine hakuna shida hiyo lugha si lugha ya Mungu. Ni ya mzungu sema ukweli bado unaogopa mzungu. Nyerere,karume na wenzake waliwafukuza hao wakoloni. Tujadili aibu tujadili kosa, kwa nini waziri aongee kingereza wakati lugha yetu ina maneno na adhi kubwa tu Dunia. Kupigia chapuo kingereza ni kuendelea kupigia chapuo umatonya tu. Nchii hii miaka akina matonya na waigizaji wa kingereza tunao wengi. Lugha ubeba maarifa ya mambo mengi tu. Sisi kwa kukariri lugha za watu hatuna maarifa kwa sababu ya hizo lugha za kigeni. Tumeambulia umatonya na kuwaza kinyume. Tunajifunza lugha hizi ili tuweze kubembeleza misaada kama si serikali ni NGOs Zetu kutoka kwa hao wenye lugha zao. Kwanza ingawa kingereza tunakipa chapua kwa nini ki china hatukipi kipaumbele si na mchina ni bwana wetu pia?. Tukijikita kujenga taifa letu wenyewe hizo lugha si kitu kama mmoja wetu hajui. Mpaka leo unaona hizi lugha zinatumika kudumaza akili Zetu. Mambo mengi hapa ukiyatafari yanatendwa bila maarifa na weledi. Tatizo liko pia liko kwenye lugha inayotumika kuandaa hawa watu. Bandari inatushinda, sheria, viwanda vimetushinda. Hata pale ambako upo utajiri wa kuzoa tu kwa taifa inatushinda eti ukiongelea puani basi wewe wa maana. Akishindwa mwenzako eti aibu. Kuna haibu kubwa kama kuua viwanda, kuua mashamba?, kuna aibu kubwa kama inayozidi kubaka, kutoa uhai, kuteke, kufuja pesa ya umma, kununua vima, vijana kuranda mitaani, utapiamulo, afya duni ya kujitakia, ushoga?. Haya yote sababu ni wenzentu hawajakariri vizuri lugha za kigeni?. Kuna upogo kwenye hoja Zetu.
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 2 ай бұрын
@@GodfreyOsward hiyo ni kwako stop you’re nonsense mind set
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
@@sabinaboas6760 Toa hoja bwana haupo ushaidi inaonyesha kwamba wewe ambaye Unajua kuandika hiyo nonsense, ni tajiri au una maendeleo kuliko wasiojua hicho kingereza, na Kwa sababu ya hiyo lugha uliyo kariri huwezi kujenga hoja. Kwa hiyo ni sahihi kusema unafikiria kinyume kwa sababu hiyo lugha haikupa maarifa yanayo faa. Utakimbilia kuchukua vimaneno vya kukariri tu. Ukweli uko wazi mbona hatuoni shughuli Zetu na tukazifungamanisha na hiyo lugha? Mmejaa mtaani mbona mranda tu, mbona vitu kama bandari inatushinda na tunamwita mwarabu kama kingereza ni cha maana. Achageni kukariri lugha na kutamba mtaani. You have a reverse mind .
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
@@sabinaboas6760 Nasubiri kupata ushaidi inaonyesha kwamba mtu anajua kuongea kingereza ni tajiri kuliko asiyejuwa. Toa hoja usiandike lugha hiyo uliyokariri. Lugha usiyoelewa vizuri haukupi maarifa ya kutosha, utabaki kubwatuka tu kama hayawani tu. Lugha usiyoelewa kwa mzungumzaji ni mapambo tu. Hakuna tija kama ilivyo tz. Mko mmejaa na bahati mbaya alitawala mngereza. Hivyo ukijua vijimnaneno umeukata wakishindwa wengine aibu?
@EutropiaLyamuya
@EutropiaLyamuya 2 ай бұрын
Mmm jamai😮
@GideonLenard
@GideonLenard 2 ай бұрын
Aibu kubwa hata kusoma vizuri kingereza halijui hali linchi la tanzania shida tuuu
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 2 ай бұрын
Lakini huyu mdada mbona yuko miaka mingi saana kwenye uwaziri kwani walikua hawajui mmh jamani
@Shalom803
@Shalom803 2 ай бұрын
Mwenge hakuna kingine ni mwenge umetufanya mbumbumbu😢
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
Mwenge hawezi kuzidi waganga na watumishi wa Mungu uchwara. Watu mashuhuri duniani wana tabia kuiga mambo ya kimungu. Kuyafanya ya kijamii. Kile kitabu cha Kutoka wana wa Israel Mungu aliwaamuru kuokota mawe 12. Ili watoto au wajukuu wakiulizwa nini maana yake. Ndipo wazee waadisie ukuu wa Mungu kwa watoto. Hili ni kutunza kumbukumbu ya ukombozi kutoka Misiri. Nyerere naye aliweka Mwenge wa UHURU tunapouona sasa tujiulize maana yake nini?. Badala ya kuwa na tafsri fifi, yatupatasa kukumbuka kuwa tulitawaliwa tuliwahi kuwa chini ya watu wengine kama vile wana wa Israel walivyokuwa watumwa na kutumika kama wanyama. Hata sisi ilikuwa hivyo. Mwenge unapaswa kutukumbusha madhira Yale na kuyakataa. Tuepuke kuwindana kama Digi Digi. Waarabu waliuza Babu Zetu sokoni, leo hii mganga na wasiojulikana wanatamba. Hii inaweza kutokana kuupa Mwenge tafsri fifi. Bora tuuwashe Mwenge. Ili tupone!. Uwaziri cheo cha kisiasa kama alivyo Rais wa nchi.
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 2 ай бұрын
Palikua na madaktari hapo lakini walikua wanawakataa madaktari wenzao, waonevu kwa watumishi wa chini. Bora ma waziri ambao sio madaktari kwa Tanzania. Fanya utafiti kwa ma waziri na naibu waziri wa lio pita hapo waulize watumishi wa Afya utajua.
@shadrackjacob800
@shadrackjacob800 2 ай бұрын
Ya alaaa !
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 2 ай бұрын
Yani hii nchi inaongozwa na viongozi viraza kweli yani ji vichekesho kila mahali kwel ccm wamechoka kimifumo kiakil kimbinu yani kila mahali
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 2 ай бұрын
Anahema hatari. Kiingereza chenyewe anatamka neno zima zima pia anaonekana kuwa na hofu iliyompelekea kutetemeka 😮.
@martinmsacky2069
@martinmsacky2069 2 ай бұрын
Sioni tatizo kwenye hili,. Kuwa mwalimu haiwezi kuwa question⁉️ nadhani tuangalie zaidi uwezo if ata deriver it's cuil then,.. unaweza ukasomea udaktari na ukawa very qualified yaani mbobevu lakini swala la huongozi likakushinda ,. IWE TUNAMWANGALIA MTU KWA UWEZO WAKE WA KUYATAFSIRI MAZINGIRA KWA KUZIBAINISHA CHANGAMOTO NA KUTUMIA MBINU ZINAZOTEKELEZEKA ,. SO VEMA KU DEMORALIZE CARRIER ZA WATU
@AmanNdabatunga-l7b
@AmanNdabatunga-l7b 2 ай бұрын
Nakuunga mkono Mhagama,wengi wanaofahamu kingereza vizuri,wamekua madalari wa kutuuza.Kinachohitajika kwa kiongozi ni utii na nidhamu,wizarani kuna watendaji wa kutosha
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 2 ай бұрын
Unaendaje kuiwakilisha nchi kwa lugha hiyo?
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 2 ай бұрын
Mh hata anavyosoma ni kama yule wakili wa makonda kwenye ziaraa yake ya kwanzaaa ndo huyu mama anasoma kama anasoma darasa la sita jamani et ndo wazir wa afya yani
@HAAM670
@HAAM670 2 ай бұрын
Kwakweli kuna mambo kadhaa hayako sawa. 1. Hata hio biography yake hawajaiandika vizuri, mfano hio Masters haijawa specified, 2. Speech unaweza uka exercise hata mbele ya mtu 1 kabla hujaweka in public. 3.Hii speech imeandikwa, lakini kuna maneno yanavyotamkwa sio kabisa.
@estherlemburismollel5901
@estherlemburismollel5901 2 ай бұрын
Sifa ya kiongozi: uaminifu, uvumilivu, haki, utii wa sheria, uwazi, uadilifu na uwezo wa kufikiri kwa niaba ya unaowaongoza. Kuna wenye PhD na masters zao na wenye vi-ngereza lukuki pia tunawaona lakini hawana sifa kama zilizoorodheshwa ila kuna wenye cheti, Diploma au first degree lakini wapo vizuri sana. Kwangu mimi sioni mtu kupewa cheo kikubwa ni dhambi kama anaweza ku-deliver na tukaona matokeo.
@isayamangala5613
@isayamangala5613 2 ай бұрын
Kwa hiyo tunamsubiri mheshimiwa Rais atuteulie waziri stahiki. Huyu Jenister si waziri wa afya.
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 2 ай бұрын
Tatizo nikatiba alieteu aliteuliwa Sasa mnashangaanini msingi ndio uboleshwe Yani katiba
@isayamangala5613
@isayamangala5613 2 ай бұрын
Nadhani hapo maadam president ameamua kuweka mtu shikizi wakati bado anatafuta mtu stahiki..
@AbdulAzizAli-i6x
@AbdulAzizAli-i6x 2 ай бұрын
Bora hao wasio soma kuliko waliosoma kwa sababu muna utafautiano katika kuiba pesa za umma waliosoma wizi wao mkubwa kuliko hao wenye elimu ya kufuta ujinga
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 2 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu tunamsujudia na kumtukuza Mungu wetu aliyetupa maarifa katika Mungu "Mithali4:13"lakini sisi tunatembea kwa matakwa ya upendeleo "Mit1:7wa mioyo yetu katika mamlaka zetu ndio mana kipofu anaongoza vipofu!. Ccm ina kasumba ya kuibuana wao kwa wao kutoka makada wao kusudi wasipate challenge ndani ya serikali yao ya kimfumo! Wananchi tumeona maamuzi mengi yasiyofaa yakifanyika ccm kwa awamu nyingi!. Mfano:Dr.Ndugulile aliyebutuliwa asione madudu yao leo ni nani umoja wa mataifa?! Itoshe tu kusema,ni kweli utawala wa ccm sasa unakwenda kubutuliwa na Mungu mwenyewe waliyemkaidi na kumuacha kwa miaka mingi.
@odiliaamnaay4429
@odiliaamnaay4429 2 ай бұрын
Shida si ligha basi, mnaonaje nchi zingine waziri wa Afya wamesomea fani zao. Tz. Mwalimu.
@aggreynsemwa
@aggreynsemwa 2 ай бұрын
Huna uelewa wa Utumishi wa Umma. Fuatilia historia ya mawaziri waiowahi shida Wizara hiyo
@FurahaNelson-z6c
@FurahaNelson-z6c 2 ай бұрын
Akapike ma ndazi nyumbani huyu mwana ccm afikili huko wanaonyesha kadi ya ccm njoo ufundishe walimu hawatoshi upewa usicho sitaili uu uccm bwana
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo 2 ай бұрын
Bado awaja sema mpaka waseme😂😂
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 ай бұрын
Kiingereza hovyo kabisa km chekechea mmh aibu tupu
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
Hapo ndio utaamini kwa nini nchi inasaini mikataba mibovu, kila kukicha madeni .
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 2 ай бұрын
Watu kama hawa ndio wataweza kuchambua mikataba kweli? Hizi nafasi wanapataje​@@leokamil6284
@benswai8099
@benswai8099 2 ай бұрын
Huyu mama anajua tu kusema mwongozo kule bungeni ila kitaaluma, Daaah
@dennislihepa2247
@dennislihepa2247 2 ай бұрын
Shida ya kiingereza sio lugha ya mtanzania na tulibanwa sana kutoka na nafasi za uwaziri ni za kisiasa labda tubadili utaratibu na sheria za kibunge
@NETIQIncorporation
@NETIQIncorporation 2 ай бұрын
kiingereza hamna hapo du!!
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc 2 ай бұрын
Mwl ndy Kila kitu, daktari mwenyewe kapitia Kwa mwalimu. Ummy mwalimu hakuwa daktari alikuwa mwanasheria lkn aliimdu na kuongeza vema wizara ya afya.
@ANNAKILLO-o7d
@ANNAKILLO-o7d 2 ай бұрын
Kazi iendelee
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 2 ай бұрын
Hahaaaaa dangerous vibes mtumishi wa Mungu wacha waaibishwe na Mungu
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
Mungu yupi huyo?. Wewe. Angetuumba wote tuongee lugha moja basi. Kingereza sio akili. Hakuna ushaidi hapa tz kwamba mnaongea kingereza vizuri mna maendeleo kuliko wasio jua kuongea vizuri. Kingekua kingereza ni nyenzo ya kipekee leo tungeona viwanda vyenu, mashamba makubwa, huduma za kupigiwa mfano. Akili yetu ya kufikiri kinyume kinyume kwa kila kitu. Waziri aongee Kiswahili lugha yetu inajitoshereza. Hayo ya aibu hakuna ni mawazo ya kimbavu. Ni lugha ya taifa ipi ilitufanya tushindwe kusimamia viwanda, bandari, sheria Zetu na nk?.
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 2 ай бұрын
@@GodfreyOsward wewe ndio mpumbavu mind your own business
@nicolausisaya
@nicolausisaya 2 ай бұрын
Patafika siku Mungu atazidi kuwaumbua tu
@noelbryson7840
@noelbryson7840 2 ай бұрын
YANI HUYU MAMA AMEANDIKIWA KINGEREZA ASOME NA BADO AKACHEMKA🤣😅?
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅NACHEKA KAMA NI MAZURIVILEEE😮😮😮😮😮
@AlphanSamwi
@AlphanSamwi 2 ай бұрын
Tulipofika hata kama huna elim utaona tu labda ubishe tu lakin kwa sasa hata kipofu anaona ya tz,
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 Ай бұрын
Alitakiwa aongee Kiswahili mwanzo mwisho
@thewellministry9008
@thewellministry9008 2 ай бұрын
Kwa mini siku pews Mimi hiyo nafasi jamani niwasaidie ? Hata Kama ni na kadgrww kamikaze ningewakungutia kizungu hadi wafikirli ni Marekani au mwingereza huyu?? Expossure nayo inasaidia sana jamani ! Wanawaokotaha wapi? Sis wa somo Tuko huku hata hawatuchagui??
@RoseMayige-gn9qb
@RoseMayige-gn9qb 2 ай бұрын
Aibu ilioje!! Tz in wasomi waziristan sana ila wanabadilishana Wizara tu! Acha Mungu awaaibishe.
@ZakayoYohana
@ZakayoYohana 2 ай бұрын
Kwani huko wanakwenda kutibu watu huko usituchanganye
@SuzannaNdege-pj9zg
@SuzannaNdege-pj9zg 2 ай бұрын
Duhhhhh!!! Ni hatari
@joas_vid5147
@joas_vid5147 2 ай бұрын
Hoja haina mshiko. Mwl Julius Nyerere alikuwa mwalimu na aliongoza nchi kama Rais, sembuse Waziri?
@CornenciaFaustine-pd2rc
@CornenciaFaustine-pd2rc 2 ай бұрын
Yes yes mzungu kala mafenesi.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Wameanzia mbali sana hata huyu alipotoka pia hakuwa wa medical. Hata Magufuli pia ndiye aliyemuweka Mwaimu aliyetoka ndiyo akapewa Muhagama. Hii Inchi ina matatizo makubwa sana.
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 2 ай бұрын
Huyu ni waziri au ?
@siashao169
@siashao169 2 ай бұрын
Mwalimu
@elioimer8423
@elioimer8423 2 ай бұрын
Eleweni kuwa hizi nafasi za uongozi za kuteuliwa haijalishi una elimu ya aina gani. Huyu anasimamia tu sera za who ever is ruling nikiwa na maana chama. Sasa huyu waziri hajakosea chochote kwa sababu Hutuba yenyewe kaandikiwa na hawa wataalam wetu Ambao pamoja na kuwa na ma- phd nao lugha za kigeni zinawapiga Cheng a. Msemaji hujamtendea huyu waziri haki, utafikiri ni mgeni na Tanzania yetu. Hatupo vizuri kielimu. Mifano iko mingi…… profesa wa ile swali la makenikia…. Juzi balozi aliyejichanganya akiwaeleza taasisi zaUlaya kwa nini serekali inawaondoa Wamasai huko Ngorongoro. Kwa hiyo sioni cha ajabu Tanzania.
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 ай бұрын
Yaani wamludishe gwajima yule mama ndiyo professional yake,
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 2 ай бұрын
Rose Migiro yuko wapi?? Kwanini mnamtenga yule mama Profesa?? Msomi mkuu mwenye degree 15 bado ana nguvu na akili timamu.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
Haya magofu ya viwanda hao wenye degree 15 na kingereza kizuri si wapo na walikuwepo. JPM tulisema hajui kingereza ndio maana aendi nje. Naya akajibu Kwamba anayo Phd ya kemia. Leo tunashangilia kudhubutu kwake. Angalia bwawa la umeme, reli, ndege, afya Raias Wetu anaendeleza lakini chimbuko ni Mtangulizi wake. Tuliyemsimanga kwa hiyo lugha. Lugha sio hoja kama mtu anapenda taifa na watu wake na anamoyo wa kutumikia. Lugha Ziko nyingine sana za kujifunza sio kingereza tu. Kingereza kimetumika kama kigezo cha usomi, lakini ukitafari ni kama hiyo lugha ni ya kuandaa watu wa kua omba omba kwa niaba yetu. Yaani mwingereza matonya. Sio jingine kipi wamefanya wanaojua lugha ya kingereza kuliko wasio jua. Matonya tu na wanyonyaji wetu. Wakishajua kuongelea puani hawataki kujishughuliaha au wanakuwa ruba kwenye jamii. Na mafundi wa kufikiri kinyume kinyume.
@HonorataMafala
@HonorataMafala 2 ай бұрын
Sasa nafasi z 21:55 iwiane na taaluma.
@gidongailo7174
@gidongailo7174 2 ай бұрын
Hata kuwa Waziri wa Elimu tu hana😂😂😂
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 2 ай бұрын
My god raisi ametiwa aibu na huyu Genita muhagama hajui kuongea kizungu waziri mzima😂
@JoshuaSiara
@JoshuaSiara 2 ай бұрын
imagine kama imeshaandikwa na anasoma hivo what if aambiwe aflow free style.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
@@JoshuaSiara hakuna shida kukosea, kiingereza sio lugha yetu
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 2 ай бұрын
Kwa hiyo kiswahili ni lugha Yako ? Au unajiongelea tu Unajua chanzo Cha kiswahili wewe ? Lugha Yako,ni lugha ya kabila lako,
@JoshuaSiara
@JoshuaSiara 2 ай бұрын
@@jumakapilima7295 shida ipo kama alijua kunakukosea kwanini asingetumia lugha anayoweza kuzungumza kwa ufasaha?
@JoshuaSiara
@JoshuaSiara 2 ай бұрын
@@AlphaxardMRusweka-jr1wi shida sio lugha yangu, shida ipo kwenye ufasaha na matamshi ya lugha husika.
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
​@@AlphaxardMRusweka-jr1wiIwe ya nani au nani, kingereza sio akili. Tuna watu wengi wanaongea vizuri sana. Viwanda vyenu, mashamba makubwa, makampuni yenu, huduma Zenu zinazo lipa Kodi Kwa maendeleo yetu Ziko wapi. Ukoloni uko vichwani mwetu. Pamoja na hizo lugha kiswahili au kingereza Africa bado tumesubiri wageni watuvumbue. Tunafikiri kinyume kinyume. Wakati wengine wanaenda mbele sisi tunarudi nyuma tukishangilia kweli. Kwanza tuna wengi mnaigiza tu, kingereza hatujui ndio maana hatuna maarifa na uadilifu. Waziri mwache afanye kazi.
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 Ай бұрын
Hao Mawaziri wasomi tuli washinda kwa kishindo na Dr Faustin Ndungulile ni Director wa W H O kanda ya Africa lugha siyo ishu China hawajui kingereza kabisa wana karibia kabisa kuongoza uchumi wa Dunia
@johnsonfredrick
@johnsonfredrick 2 ай бұрын
Uwaziri wa afya sio kutibu jamani bali ni kufanya uratibu wa wizara ndio maana naibu wake ni dokta mollel
@hermanclemence7728
@hermanclemence7728 Ай бұрын
Utawezaje kuratibu vizuri na mambo huyajui, si utakuwa unadanganywa better awekwe mtu mwenye idea
@tumainipeter458
@tumainipeter458 2 ай бұрын
Kwani watu wa Afya hawapo?
@bezalelmbijima8182
@bezalelmbijima8182 2 ай бұрын
Inasikitisha mnoooooo
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 2 ай бұрын
Wewe TV yako ni ya majungu tuu
@johnsonfredrick
@johnsonfredrick 2 ай бұрын
Mbona hata ummy mwalimu hakuwa daktari jamani
@salummohamed2689
@salummohamed2689 2 ай бұрын
Pamoja na kuandikiwa waziri anawayawaya hivi. "Shame for our country and us".
@MariaMgogosi-tq4rj
@MariaMgogosi-tq4rj 2 ай бұрын
Mheshimiwa raisi alimaanisha kabisa kumchagua Muhagama Ili akapate uzoefu na huko
@chamimdesa148
@chamimdesa148 2 ай бұрын
Aibu naona mimi, kuna jamaa anacheka pembeni daaa. Halafu unataka ahoji kuhusu mkatba mtu kama huyu
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 2 ай бұрын
Sasa bro ana kosa gani uyu mama mbona an joexpres vzr tu na anaeleweka lkn aceni roo mbaya jmn kwani ni mzungu poa tu anajuwa tu
@Frank255-e5g
@Frank255-e5g 2 ай бұрын
Watanzania sisi ndo wajinga imebaki siku chache utaskia ccm mbele kwa mbele kuna mambo kwetu bado ni magumu mimi nachokiamini nikuwa tukiamua kwa umoja hakuna atakae iba kura wa hatutatangaziwa matokeo fek
@norahkahwa4241
@norahkahwa4241 2 ай бұрын
Uwiii
@thewellministry9008
@thewellministry9008 2 ай бұрын
Kwani huwa Wanafuataga criteria gani?? Yaani hata hiyo lafudhi tuuu jamaniii !! Duuuh shame!!
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 2 ай бұрын
Unamweka mtu kama huyu aongoze vichwa vyote vya madaktari!!!!!
@gibsonsilungwe685
@gibsonsilungwe685 2 ай бұрын
We elect the worst to lead us.
@MACHAGGECHACHA
@MACHAGGECHACHA 2 ай бұрын
@@gibsonsilungwe685 She was not even elected.! Blame Kikwete!!! Ndiye kamuweka hapo. Mama raisi! Bonge la mzigo.!!
@salummohamed2689
@salummohamed2689 2 ай бұрын
Nini cha ajabu, hii nchi kama unajua kumsifu Kuhani utateuliwa tu.
KUMEKUCHA !!!
20:16
Oliver Paul Tz
Рет қаралды 28 М.
UNABII UNATIMIA.MSIOMBE VIFO VIISHE ACHENI VIENDELEE.
37:06
huduma ya kristo
Рет қаралды 3,5 М.
Wait… Maxim, did you just eat 8 BURGERS?!🍔😳| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 9 МЛН
Disrespect or Respect 💔❤️
00:27
Thiago Productions
Рет қаралды 22 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 124 МЛН
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU, O6 NOVEMBA, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,5 М.
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 216 М.
WATUMISHI WA MUNGU WANASHIRIKIANA NA WAHUNI.
45:39
huduma ya kristo
Рет қаралды 2,4 М.
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 694 М.
Wait… Maxim, did you just eat 8 BURGERS?!🍔😳| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 9 МЛН