Maalim Seif amlaani Haji Omar kuteswa watu Pemba

  Рет қаралды 94,108

Weyani Tv

Weyani Tv

Күн бұрын

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amemtaja Waziri wa Vikosi vya SMZ, Haji Omar Kheri, kuwa muhusika mkuu wa utesaji watu kisiwani Pemba.

Пікірлер: 334
@yussufhussein1954
@yussufhussein1954 4 жыл бұрын
Mshenz haji omar kher tena hana imani yy mbele masilahi tu
@ramilialiy3725
@ramilialiy3725 4 жыл бұрын
Ndo watanganyika wakaaz wakija zanzibar kufanya hayo 2
@rayasaid4099
@rayasaid4099 4 жыл бұрын
Laantullah in shaa Allah M. Mungu amjaalie siku yake ya kufa ale Mavi yake huku roho inatokaaa. AAAAAMIN YaaaRabiyyy 🤲🏻
@RioIpo
@RioIpo 4 жыл бұрын
@@rayasaid4099 Allah atupe Khatma njema
@hashimuabdallah4211
@hashimuabdallah4211 4 жыл бұрын
Ila anaehubiri kuapishwa Hadi uchaguzi mwingine unafika huyo hatesi watu? Watu wanatoka bara barani, yy yupo uingereza huyo hates watu? Watu hawazikani, hawasalimiani, n.k.kwa ajili ya siasa mwisho wa cku akawa mmoja wao katka serekali ya umoja wa kitaifa na wale wale wanaoambiwa wanatesa watu, wanaua watu, je huyo hates watu?
@rayasaid4099
@rayasaid4099 4 жыл бұрын
@@hashimuabdallah4211 utakufa nalo hilo jiti la roho! Kasumba zako za kijinga unataka kufananisha na ukatili wa dhuluma wa Zahir umechelewa babaaa! Kama tulikua tumelala sasa tumeamka na kama unakerwa na seif pole usishindane na nyota eeee!? ⭐
@abdulihafidhali5379
@abdulihafidhali5379 4 жыл бұрын
Maalim seif ww ni mzalendo wa wazanzibar sisi tuko pamoja na ww, Allah awajalie kauthabit hao waliotangulia na hao majeruhi awaponeshe na wagonjwa wapoe insha Allah.tupoleni sana wanzanzibar.
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 4 жыл бұрын
Allah atawalipa mmoja mmoja kila anaefanya maovu kwa wenzao dah .
@kassidpandu866
@kassidpandu866 4 жыл бұрын
Kwa hili la kupigana Mimi siwezi sapoti si kwa wafuasi wa ccm au wale wa act, mapigano so mazuri, Shari ni mbaya naomba Imani itawale tusigombanishwe na watawala, au wanatafutia utawala, sawa jamaniii!
@suleimansuleiman2436
@suleimansuleiman2436 4 жыл бұрын
HAJI OMAR SHARI
@ashajuma438
@ashajuma438 4 жыл бұрын
Hajj Omar khery Allah akuhifadhi na midomo ya watu isikudhuru.
@isaachayes9783
@isaachayes9783 4 жыл бұрын
Sera sera sera babu, mbona waongea personalities badala ya Kamwaga sera?
@hudhaimasaleh5756
@hudhaimasaleh5756 3 жыл бұрын
Ww vp mwalim ndo kiogoziii anayeee faaa hapa zanzibar
@mimiapa8436
@mimiapa8436 4 жыл бұрын
Ya Allah tunakuomba uwahukumu hapa hapa duniani hawa watu usiwasubirie aghera
@ghadnehamed9138
@ghadnehamed9138 4 жыл бұрын
Aamin yaa Rabb
@sniper93999
@sniper93999 4 жыл бұрын
Kiukwel mm naongea ivi Dr shein yupo vizur na anafany kaz ila viongoz wake wa chini ndio wanamuharibia 👌👌👌👌atakay pishaaa aje na police
@khamiskhamis6286
@khamiskhamis6286 3 жыл бұрын
Nimeangalia hadi machozi yananitoka kumkumbuka maalim alikuwa hapendi dhulma na ubaguzi na uonevu kwa watu allah amrehemu
@saidabdala4980
@saidabdala4980 4 жыл бұрын
Mijitu mingine bado wana.mizimu ya NYERERE. Maiblis wanaoitiya ufukara ZANZIBAR.
@simonmagaigwa6634
@simonmagaigwa6634 4 жыл бұрын
Acha chuki kauli hizi si za kiungwana. Fanya kazi kwa bidii utaushinda umaskini.
@issaibrahim7325
@issaibrahim7325 4 жыл бұрын
@@simonmagaigwa6634 tatizo sio kuushinda umaskin bali ni maendeleo ya nchi
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
@@issaibrahim7325 Fanya kazi
@ramilialiy3725
@ramilialiy3725 4 жыл бұрын
Bado wamamiss mama yao wataifa nyerere alowauwa wazanzibar na baba eti karume
@issaibrahim7325
@issaibrahim7325 4 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 me maendeleo yangu nashkuru Allah ila vipi maendeleo ya Zanzibar
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 4 жыл бұрын
Allah tunakuomba huyu Haji Omar Heri mpe mwisho mbaya na wa mateso
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
Hivi vyama visitutowe kwenye Uislam, kwa matendo yetu, hii sio dua ya Kiislam
@hajiha6507
@hajiha6507 4 жыл бұрын
Mohamed Turan Kumamako. Amekufanya nn Haji omar. Kafirwe na Sefu huko
@issahassan8361
@issahassan8361 4 жыл бұрын
لا إله إلا الله
@issaibrahim7325
@issaibrahim7325 4 жыл бұрын
@@hajiha6507 acha ukuma wewe kwahiyo wewe unafirwa na hao ccm wenzio fala wewe
@ramilialiy3725
@ramilialiy3725 4 жыл бұрын
@@hajiha6507 kachangie kwenu tanganyika uko unawashwa
@abuuhashr8351
@abuuhashr8351 4 жыл бұрын
Allah awazalilishe madhalim na abatilishe vtendo vyao aamiyn
@sahlomar6397
@sahlomar6397 4 жыл бұрын
Amiin
@zubeirali6323
@zubeirali6323 4 жыл бұрын
Ww ndo ulosem mwenyw mapnga,nondo,mundi waingie njian na video zip saiv unasem sera ya ccm madev mbn unaboronga baba.
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 4 жыл бұрын
😄😄😄😄
@ally1702
@ally1702 4 жыл бұрын
Alisema wakiwadhukumu kwenye kura je kura tayari kwani
@smileboy6199
@smileboy6199 2 жыл бұрын
Mnao mlaani mh haji na nyie hivohivo washenzi pia mungu awalaani nyoote
@sniper93999
@sniper93999 4 жыл бұрын
Halaf maalim ww ndio umesema wenye mapanga, weny majembe , wenye mawe, wenye visu mara hii kieleweke ss why ni sera ya ccm wakati umewaamrisha ww
@zubeirali6323
@zubeirali6323 4 жыл бұрын
Hajielew huyu
@muddyhamad2159
@muddyhamad2159 3 жыл бұрын
Ww harangwe umesikia wap akajielewa
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 4 жыл бұрын
Mshenzi sana tena sana mungu atamuonesha kwani kwa mungu sio mbali asijidanganye Allah tulipie maovu haya
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 4 жыл бұрын
Allah amlaani yeyote asoitakia mema nchi yangu ZANZIBAR
@ashajuma438
@ashajuma438 4 жыл бұрын
Aamiin yaraby
@charlesmwilima5548
@charlesmwilima5548 4 жыл бұрын
Toa Sera kila kukicha ni kuonewa tu
@ghadnehamed9138
@ghadnehamed9138 4 жыл бұрын
Sera zitakuja Lazima paanze na matukio ww Vp au Jamaa yako Haji Omar hutaki alaaniwe
@isaachayes9783
@isaachayes9783 4 жыл бұрын
Huyu SHIKAMOO atastaafu lini awaachie vijana?
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 4 жыл бұрын
Ata sijui.
@abdulkhamis6692
@abdulkhamis6692 4 жыл бұрын
Isaac unafirwa wewe
@isaachayes9783
@isaachayes9783 4 жыл бұрын
Abdul Khamis unasemaje we shoga wa kipemba!!
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 3 жыл бұрын
@@abdulkhamis6692 achen matusi jamani".... haifai...
@mudhainaomar2734
@mudhainaomar2734 4 жыл бұрын
Kweli
@amanmohd9435
@amanmohd9435 4 жыл бұрын
Mwanakharam Hutu Hajj Omar Kheir
@abdallafeda8836
@abdallafeda8836 4 жыл бұрын
Ww unajijua km ya halali?
@fatmahamad9314
@fatmahamad9314 4 жыл бұрын
@@abdallafeda8836.Elewa kwamba haramu sio ile isio kuwa na baba haramu ni vitendo sasa Hajji Omar Kheri ni mwanaharamu popote tutasema km na ww ni mmoja wapo utupishe
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 4 жыл бұрын
​@@abdallafeda8836 Anaetetea dhulma ni part ya dhulma. Wewe Abdalah Feda ni part ya dhulma, na inaonesha dhahir na wewe umekuja duniani kwa dhulma.
@musajems1294
@musajems1294 4 жыл бұрын
@@mohamedturanardan8871 ivi nyinyi mnadhulumiwa Nini hasa nijuwe
@ruwaidakheir7044
@ruwaidakheir7044 3 жыл бұрын
mwana haramu mwenyewe
@ruwailaomar6501
@ruwailaomar6501 4 жыл бұрын
Haji omar shari akipikwa supu namla
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
😳😳
@ramsonramadhan4156
@ramsonramadhan4156 4 жыл бұрын
wa pili..
@saadasm6756
@saadasm6756 4 жыл бұрын
Poleni watu wa Kangagani Allah yupo pamoja na wenye kusubir. Allah atawalipia kwa hilo alilowafanyia haji o. Kher
@mtumwamohd2571
@mtumwamohd2571 4 жыл бұрын
Allah amlaaaaniiiiii mara elfuuuu amuadhibuu katk motoo
@shersaid7988
@shersaid7988 4 жыл бұрын
Allah amlaani
@aliarkam9548
@aliarkam9548 4 жыл бұрын
Subhannallah mwenyez Mungu awajalie kaul thabit amsamehe makosa yao , wagonywa asatie nguvu kupona Kwa majaruh Inshaa allah
@aliarkam9548
@aliarkam9548 4 жыл бұрын
Mwenyez Mungu atamuonesha hapa dunia
@talhaabuy1035
@talhaabuy1035 4 жыл бұрын
Lanatu Allah mola atawahukumu ccm apa apa dunian
@saidmungulu7053
@saidmungulu7053 4 жыл бұрын
Ww miaka yote ni RAIS zanzibar . Sema wanatuibiaga tu hao chama tawala KULA YANGU KWAKO MAALIMU SEIF
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 6 ай бұрын
Kila anaye Dhulumu Allah unaijua Bakora Yako ya kumpiga munaonea Watu munawadhalilisha na kuwauwa ikisha usema Allah akuache Kila anayefanya anayeshiriki Kwa Lolote Allah mpe Mateso hapa Duniani mpaka kesho akhera Madhalimu Wakubwa Hawa
@aliissahongerababanazenjit6824
@aliissahongerababanazenjit6824 4 жыл бұрын
Mmm
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 4 жыл бұрын
Hongera maalim
@tifumunguatamlipaaliendewa4927
@tifumunguatamlipaaliendewa4927 4 жыл бұрын
Nikweli karibu siku tatu za za nyuy haji omar Ali enda pemba
@nassorhamad1700
@nassorhamad1700 4 жыл бұрын
Dah
@mulhatyyakub7144
@mulhatyyakub7144 4 жыл бұрын
Tatinzo tumewalea Sana mpka wakatuzowea Sana kwnn tusiseme Sasa bac
@RashidAli-vb3zi
@RashidAli-vb3zi 4 жыл бұрын
Ata mm nahc hilo ndio jambo la kufnya kwa hapa tulipofka, vikoc pmba wamepelekwa weng sn
@fatmamansour2369
@fatmamansour2369 4 жыл бұрын
Iko siku itafika nae mungu atamuhukumu kwa anayoyatenda mshenzi kweli lkn kila mmoja atakuja kulipwa kwa anayoyatenda kwa watu
@MAPETEE
@MAPETEE 4 жыл бұрын
Kweli kabisa malim seif
@TheOthmoney
@TheOthmoney 4 жыл бұрын
LIMETOKA KWA MJAMBAJI LIMEENDA KWA MTEMA MATE
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
😁😁
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 4 жыл бұрын
Mtihani mhhhh
@sideseif8577
@sideseif8577 4 жыл бұрын
Huo sio ungwana na sio wanachama wa ACT musifanye uwovu kila cku mkitaka kufunzwa adabu mukasema munaonewa kitendo cha unyama huyo mzee ameishiwa kila xku nyiyi tutu kwa matokeo ya kinyama
@tweety9362
@tweety9362 4 жыл бұрын
Ombi langu 🙏🏽 wekeni mkutano wote kamili😁
@mnyamismwakilambe2533
@mnyamismwakilambe2533 3 жыл бұрын
Uyooo haj Ana roh mby xn xn to muach aend
@bablee4484
@bablee4484 4 жыл бұрын
Vipi
@zubeirsalum128
@zubeirsalum128 4 жыл бұрын
Hawa CCM wanaifanya pemba ndio kichakaa chakujifundishia kupiga watu mikwaju na risasi kwasababu ya unyonge wao lakini Allah yupo anayashuhudia haya
@suleimanbakar3429
@suleimanbakar3429 4 жыл бұрын
Allah amlaani mbwa huyu haji Omar heri
@ruwaidakheir7044
@ruwaidakheir7044 3 жыл бұрын
wasenge nyinyi atakulanini mafala
@hatimmohamed4299
@hatimmohamed4299 4 жыл бұрын
Kweli mtupu maalim seif
@simaimarijanmarjan3097
@simaimarijanmarjan3097 4 жыл бұрын
Kuna moto tu uko msiwe mnatusiana na sio kama yameisha bado kwa mungu
@RashidAli-vb3zi
@RashidAli-vb3zi 4 жыл бұрын
Woga ni adui wa haki, km watu wanaingia majumban mwa watu kwnn wackamatwe na wao ili wakajulikana
@jumamwadhini6263
@jumamwadhini6263 4 жыл бұрын
Hahahaaaa mzee wwe kiboko eti nimshezii hahahaaaa yaanii hta ukimuona maalimu anatoka cheche ujuetu Kuna mtu ka haharibu hali ya hewa znz kwaza chapa kazi mzee
@alimakame9215
@alimakame9215 4 жыл бұрын
Zanzibar uazishwe utawala was ufalme ili chuki na mapogano yapunguke
@nassoursaleh3144
@nassoursaleh3144 4 жыл бұрын
tena ishallah Mungu awatie adabu kabla y huu uchaguz naskia eti siro kaenda pemba hebu wazee wetu mfukizieni huyu mtu apate adabu jpo mwaka tu kitandani
@yusrabakar4755
@yusrabakar4755 4 жыл бұрын
Hahahahahah bora miaka
@suleimankhamis1564
@suleimankhamis1564 4 жыл бұрын
Acha usenge huo kuiponda CCM
@iddisalum4988
@iddisalum4988 4 жыл бұрын
Oya komamayo
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 4 жыл бұрын
Peace home zanzibar people message from USA marekani ⚖🇺🇸
@umakramzahor4836
@umakramzahor4836 4 жыл бұрын
Mshenz mama yk mbwa ww
@faridaali6850
@faridaali6850 4 жыл бұрын
Iko cku yake na yy atateseka acringie puunzi ALLAH ndie hakim
@othmanal-nabhany9243
@othmanal-nabhany9243 4 жыл бұрын
Serikali ya ccm inanunua magari ya washawasha ,mabomu na bunduki kwa ajili ya wazanzibar hasa wenye asili ya Pemba, mafunzo ya majeshi yao majaribio kwa wazanzibar hasa wapemba kila mwaka wa kampeni na uchaguzi ,jeshi la polisi wamepelekwa wengi sana na vikosi vyengine tunashangaa munauwa watu munatarajia kuwaongoza nani halaf mnajifanya munaimani na wananchi, unafik mtupu huo
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
Toa sera wee babu
@zahorrashid5459
@zahorrashid5459 4 жыл бұрын
Hapo uliposema mtu mmoja kafanya kosa wanateshwa.wengi. hl nitatizo kubwaa.
@abasamwame6583
@abasamwame6583 4 жыл бұрын
Mimi sijui ni sheria IPI inayotumika kuwaadhibu watu wengi kwa kosa LA MTU mmoja? Sijui ni kigezo kipi kilichotumika kuweza kujua ghafla kwamba Huyo aliemshambulia mwenzake ni act wazalendo mpaka wakasombwa watu wengi kwa wakati mmoja? Je hakuna utaratibu wa kumfuatilia muhalifu mpaka ukamjua na kumchukulia hata kuliko kuwabebacwatu ambao hawana hatia? Hili jambo lilihitaji uweledi Limebebwa kisiasa na linetatuliwa kisiasa .ndugu zangu wenye dhamana mjue kwamba cheo ni dhamana alokupeni mungu tendeni haki na kuweni waadilifu msifanye kazi kwa misukumo ya kisiasa unapomuhukumu MTU kwa kosa asilohusika nalo hiyo ni dhulma na ogopeni dhulma kwani haidumu na ikidumu itaangamiza .dhamana uliyopewa kuna siku mungu atakuuliza uliitumiaje ? Watamikieni wana siasa ila machozi ya watu wasio na hatia mtayalipia hapa hapa duniani kwani malipo ni duniani ahera ni hesabu tu Viongozi wangapi waliokuwa majabari hapa dunia mwisho walidhalikika isikuhadae cheo na bunduki ulioshika kila kitu ni muda tu muda ukifika na wewe yatakukuta kwa naomba ile ile uliyimtendea mwenzako
@selwanmohmmed8792
@selwanmohmmed8792 4 жыл бұрын
Njia ni moja tu tutafka sote watajibu viongoz na mamlaka yao dunia isiwahadae
@azizaabubakar5595
@azizaabubakar5595 4 жыл бұрын
Wazanzibar mnadanganywa sana huyo mzee kwanza anakaa nyumba ya serikali anapewa mahitaji yakila siku nyie anwadanganya tu alafu huyo mzee seif. Hicho chama nichabara na sio cha wazanzibar alafu mnaambiwa eti hamuataki wabara wakati chama cha ACT ni cha bara tena kigoma wapinawapi nawazanzibari pia muwenamacho namasikio mnafanywa wajinga na seif na zitto tena Hata rangi ya bendera ni ya zambarau au paple hiyo rangi ni ya msiba maana msiba ukitokea hasa sisi wakristo tunatunia kuwapambia marehem wetu sasa nanyinyi mnafanywa waaafuu tena watarajiwa na hao seif na zitto wakati ninyi niwazima mbaandaliwa maandalizi mabaya hao watu sio wazuri kwenu wazanzibar mjitafakari sana ndugu zangu mbapunbazwa kweli2 alafu mnavalishwa hiyo rangi inatisha ebu mkiogipe ACT Tanzania hoyeeeeee Amani oyeeeee
@masoudapology9230
@masoudapology9230 4 жыл бұрын
Mbwa ww
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 4 жыл бұрын
Ccm chama cha wapi????
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 4 жыл бұрын
Panda juu wende ukazibe?
@bichichiahmda1153
@bichichiahmda1153 3 жыл бұрын
Ovyoooo katubu kwanza we babu acheni kupumbaza watu mkisha pata kura mnajaza mtumbo yenu wananchi wateseka simsapoti at a mmoja sowewe wala mwinyi
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 4 жыл бұрын
Tarehe 29 lipa kisasi
@hajiha6507
@hajiha6507 4 жыл бұрын
Hiyo ndio dawa yenu. Mukimpiga mtu Panga tunakutieni bakora mtaa mzima. Endeleeni tena, kama mumezoea kuachiwa sio utawala huu
@binsultan6981
@binsultan6981 4 жыл бұрын
Abdallah bin ubaida
@zubeirjuma1856
@zubeirjuma1856 4 жыл бұрын
Utawala wa ALLAH tuu acha akili za kikafir shehe kw itikadi za kifal ingekuwa baba ako jee au mam ako
@sideseif8577
@sideseif8577 4 жыл бұрын
Seif sharifu acha umama kama huna kazi jiunge na club ya simba wapo wazee wenzako kama unyango na kagere
@NaseebLugusha
@NaseebLugusha 3 жыл бұрын
Side Seif kweli akili yako ndo imeishia hapo? au kwenu hamna wakubwa? au ndo ulivyolelewa hivyo?
@mussaelisha5535
@mussaelisha5535 4 жыл бұрын
Mungu hatamtoa kama Goliath
@azizabdallah585
@azizabdallah585 4 жыл бұрын
Oooh Mama Zanzibar....Oooh Mama Tanzania.
@ramilialiy3725
@ramilialiy3725 4 жыл бұрын
Ohh mama tanganyika hakuna Tanzania uko tanganyika .zanzibar kwanza
@saidb20ty52
@saidb20ty52 4 жыл бұрын
mbona sion sera anaongelea watu tuu
@mustywamuago5217
@mustywamuago5217 3 жыл бұрын
Kweli
@adiladil345
@adiladil345 4 жыл бұрын
Hakuna tofauti bali mtoto wa nyoka ni nyoka tu
@TeamKRX
@TeamKRX 4 жыл бұрын
Sasa Huyu ataenda kukaa wapi Kesha akhera Huyu Omari ameshazoea kuwapiga watu vibaya wala hachukuliwi Hatua kwa sababu ni ccm daah iko siku Yako
@hajiha6507
@hajiha6507 4 жыл бұрын
Kafirwe uko
@abdilfertterhhealer5329
@abdilfertterhhealer5329 4 жыл бұрын
Ww ulie wapa amri wananchi washike,mapang na majembe kenge ww
@ramadhanineneza7317
@ramadhanineneza7317 4 жыл бұрын
Ww mzee kweli ni mshezi tu huna maneno mazuri kama mgombea wa urais unatoa lugha ya matusi
@fathilaothman7870
@fathilaothman7870 4 жыл бұрын
Allah atamlipa hapahapa duniani katimea huyo.namabosi wake.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 4 жыл бұрын
Ramadhan; huyo si mapenzi,washenzi wanajulikana kwa vitendo hayo,viwe vya siri siri au dhahiri. Madhalimu wanaodhulumu haki za watu ndio washenzi number one
@zuwenasalum1563
@zuwenasalum1563 4 жыл бұрын
@@ahmedalbalooshi8518 Mshez ni wewe na familia yako yote njau wewe
@ibugharib389
@ibugharib389 4 жыл бұрын
Huyu nadhani baba yake alikosea huyu ni haji omar shari mshenzi tu mshenzi tu
@mgeniiddi5308
@mgeniiddi5308 4 жыл бұрын
Aaaaa huna lolote waachie vijana babu ushagonga huachii tuu
@estamwenda9706
@estamwenda9706 4 жыл бұрын
Njooo umchukulie mdogo wako fomu aje agombeee
@makamemufadhil627
@makamemufadhil627 4 жыл бұрын
Iko siku watu watachoshwa na woga
@abuunuswaibahahmadi8288
@abuunuswaibahahmadi8288 4 жыл бұрын
Haji omar heri hana Imani dini
@hajiha6507
@hajiha6507 4 жыл бұрын
Ww unayo
@ramlajaffar3169
@ramlajaffar3169 3 жыл бұрын
Huna sera tulia babu ww Huwezi ww tangu 1995 mpk leo huna lako jambo harangwe😂😂😂
@ramlajaffar3169
@ramlajaffar3169 3 жыл бұрын
@@bencarson6863 mm au huyo harangwe
@munguamuekemahalianapostah3338
@munguamuekemahalianapostah3338 4 жыл бұрын
Duh lile jamaa linaroho ya kijibwa has a au anajua haifiki siku watu wakamkamua Mavi akazikwa na Sanda Haji omary kheri Jina zuri matendo ya kijibwa
@hajimasondo8881
@hajimasondo8881 4 жыл бұрын
Kwan kafanya kubwa gani
@yussufhaji6705
@yussufhaji6705 4 жыл бұрын
Babu huna sera kalee wajukuu
@mgeniiddi5308
@mgeniiddi5308 4 жыл бұрын
Mm sijaisikia sera yako uyo mwinyi na haji omar kheri ndo watakao kaa madarakani hatuwaabgusi kamwe na utakaa pembeni ww
@mwinyimjaka4782
@mwinyimjaka4782 4 жыл бұрын
MUNGU atawalani wote ambawo hawaitakii mema Pemba jeshi ambalo limepelekwa Pemba litakufa huko huko halirudi tutalipika supu mungu akipenda
@abdilfertterhhealer5329
@abdilfertterhhealer5329 4 жыл бұрын
Mwalim tulia huna siasa ww ume kaa kma Islamic state
@salimmohamedalr-iamy7162
@salimmohamedalr-iamy7162 4 жыл бұрын
Kama hawajampa mwalimu seif mwaka huu basi juweni wananchi hatujapewa haki zetu na tumedhulumiwa
@mdungially2342
@mdungially2342 4 жыл бұрын
Na mtasubr sana kusubir haki
@oyay2821
@oyay2821 4 жыл бұрын
Na yeye avamiwe apigwe kama anavyo wapiga
@abuubakarjuma3230
@abuubakarjuma3230 4 жыл бұрын
Wanatutesa kweli hao hatuna amani kweli wapemba du! tumekosa nn kwa mungu ss
@musajems1294
@musajems1294 4 жыл бұрын
Hamjakosa kitu mungu anamjuwa Nani mtenda kosa na Nani mtendewa kosa
@silimahaji7220
@silimahaji7220 4 жыл бұрын
Wew maalim achatabia ya kusengeny watu nad sera, ewe mola wetu making mh haji omar kher zid ya maadui wot
@MAPETEE
@MAPETEE 4 жыл бұрын
Mshenz mkubwa uyo
@hamidomar7474
@hamidomar7474 4 жыл бұрын
Msengemmoja kumamamake ndiyoana akawa mwanaharam
@ummuzainab2332
@ummuzainab2332 3 жыл бұрын
Ulpo tupo maalm
@nassoursaleh3144
@nassoursaleh3144 4 жыл бұрын
hawa siro na huyu haji Wazee wetu hebu wafungieni kaz wakae kla mwaka tu kitandani
@omarmussa9000
@omarmussa9000 4 жыл бұрын
Maalim kuwa mkweli unajuwa kila kitu hata ww Mungu anakuona ss tupo kangagani unawashawishi ww wakifanya unadanganya watu wallah Mungu atakuonesha
@zubeirsalum128
@zubeirsalum128 4 жыл бұрын
Anawashawishi vipi
@omarmussa9000
@omarmussa9000 4 жыл бұрын
@@zubeirsalum128 njoo kangagani utajuwa tumechoka
@zubeirsalum128
@zubeirsalum128 4 жыл бұрын
@@omarmussa9000 ww SEMA tu ujumbe utafika na tunauona
@samo5315
@samo5315 4 жыл бұрын
Malipo yake atayapata duniani na akheira adhabu kali inamngoja.
@amosmoses7800
@amosmoses7800 4 жыл бұрын
MTU ALIEKUFA KWA LISASI MUNGU AKAMFUFUA. .. UJUE HUYO NDIE MTU WA MUNGU ALIECHAGULIWA HUKO MBINGUNI. BWANA YESU ASIFIWE ! HALELUJAH
@oopsm3574
@oopsm3574 4 жыл бұрын
Umepata wapi hiyo , au bangi nyingi?
@godisgreat1845
@godisgreat1845 4 жыл бұрын
Nani alikufa kwa risasi Mungu skmfufua huyo au kwenye movies
@ramilialiy3725
@ramilialiy3725 4 жыл бұрын
Bwana yesu lazima na yy afiwe ajue uchungu wa mazishi usituletee mahubir nenda kanisan uko
@ramilialiy3725
@ramilialiy3725 4 жыл бұрын
@@oopsm3574 😂😂😂
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 4 жыл бұрын
Haji Omar kua makini maana ujue unafamilia yako huku pemba..unawajua wapemba vzr au unawasikia tuu?
@ramilialiy3725
@ramilialiy3725 4 жыл бұрын
Tunamuachia Allah 2
@nasrynnassor1492
@nasrynnassor1492 4 жыл бұрын
Utamuona Babu Kama in mjua
@asiakhamisi469
@asiakhamisi469 4 жыл бұрын
Pigeni halbadiri jamani
@naimaali9888
@naimaali9888 4 жыл бұрын
Asnte
@bintyussuph4979
@bintyussuph4979 3 жыл бұрын
Halbadiri ndio iliosambaratisha CUF
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 жыл бұрын
Hii kulaani tutaondoa ifanywe haki
@nawwafomar4518
@nawwafomar4518 4 жыл бұрын
huyu mvuvi kutoka tumbatu laana ya mungu imshukie yeye na ukoo wake
@alibero6937
@alibero6937 4 жыл бұрын
Ubak salama ww mnunuz wa samak wa tumbatu
@bakarmuhidin5223
@bakarmuhidin5223 4 жыл бұрын
Na wewe pia
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 4 жыл бұрын
Mzee acha kundanganya watu inamana watu.wa CCM wanapiga wezao wa CCM mapanga tena msikitini?
@mulhatyyakub7144
@mulhatyyakub7144 4 жыл бұрын
Mkundu unakuwasha sio
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 4 жыл бұрын
Ni kweli ni ccm wacha kupiga wanachoma mpaka maskani zao ikisha wanasema ni wapinzani
@aldaghariaziyz6420
@aldaghariaziyz6420 4 жыл бұрын
njia haibadiliki ya chama tawala
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 4 жыл бұрын
@@mulhatyyakub7144 pumbavu
@fatmahamad9314
@fatmahamad9314 4 жыл бұрын
@@aldaghariaziyz6420 Mwaka huu itabadilika biidhin llah
@khamisissa452
@khamisissa452 4 жыл бұрын
Babu Ali shoga maalim achana nae
@ramilialiy3725
@ramilialiy3725 4 жыл бұрын
Popote ulipo kula chips naja lipa😂😂
@hajimasondo8881
@hajimasondo8881 4 жыл бұрын
Yy mnaaza vurugu kwenye nchi hii yaamani kisha mnajitia wanasiasa wazur ww sefu kuwa na akili lakn uzeee unakusumbua kalee wajukuu zako kwaza mh haj yupo sawa
@mudy4604
@mudy4604 4 жыл бұрын
Wakwaza
Maalim Seif Akimjibu Raisi Kikwete
4:29
The Habari
Рет қаралды 124 М.
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 20 МЛН
MAALIM SEIF AJIVUA UMAKAMO WA RAIS ZANZIBAR
10:09
Mtembezionline
Рет қаралды 77 М.
JUSSA AWEKWA KIKAANGONI NA MHE:NADIR
10:02
SN TV Online
Рет қаралды 12 М.
Maalim Seif 'aianika' mipango ya Magufuli kwa Z'bar
29:50
Weyani Tv
Рет қаралды 238 М.
Mkutano wa Chama Cha Wananchi CUF BUBUBU; Terehe 22 Septemba 2012; Part 4
25:31
HAJI OMAR KHERI NA HAMZA H JUMA ..jino kwa jino
5:53
PWANI HABARI
Рет қаралды 8 М.
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17