Narudia tena... Kaka unajitahidi sana ... Kwa neema ya Mungu utafika mbali. Wewe na Salim Kikeke mnafanya vizuri sana....
@dottieray54353 жыл бұрын
BBC LEVELS indeed....Huyu mtangazaji is so underrated, levels zake ni za BBC...namna anavyostructure maswali yake, namna anavyoengage na huyo mama hadi anacheka, anakua confortable kujibu maswali is on another level...KUDOS for the goodjob.
@issaofficialvideo63752 жыл бұрын
Hata mm mwanzo nilizani Salim kikeke
@hono12323 жыл бұрын
Mama nimekukubali kwamba watoto wa kike ndo walezi !! Hongera sana mama
@raykhalamour36662 жыл бұрын
Allah amrehemu maalim...bi Awena kajibu vizur..kwakweli very smooth short and clear..hongera kwa mtangazajiii..indeed ..he is very conving one...Anafaa kua international mtangazaji..BBC swahili wamchukue tu ...
@ZuwenaNassor-b6m11 ай бұрын
Allah amjalie Kila la kheri kwenye maisha yake ya kaburini natunakukumbuka sana maalim seif mtetezi wa wanyonge
@sadabkari55323 жыл бұрын
Mashallah mama yetu awena Allah akupe kher na uvumilivu na upate mume mwema Kama baba yetu Almahrumu seif sharifu Hamad.
@mustafa-wh8gi Жыл бұрын
Allahuma amiin❤
@Youngchimodzi82311 ай бұрын
Awena ni.mke mwema,mcheshi, muangalifu,mvumilivu,msiri na akili nyingi.Mume mwingine wa nini Sasa? Atambulia uharibifu kimwili ,kiroho na mateso kwake. Abaki hivyo hivyo mama Awena akimuenzi mume wake Maalim Seif wakati alipokuwa hai na Leo akiwa amekufa. Ameongea vizuri lkn napata shida Zanzibar itawezaje kuwa huru kabla ya Pemba-,Tumbatu na unguja bila kudai uhuru na kila kisiwa kujiamulia mambo yake. Huu mtihani,dhambi ya ubaguzi Haina tabia ya kusimama,inakwenda kama moto wa nyika.muungano udumu milele😂
@nassorshaaban72953 жыл бұрын
MashaAllah nawapenda Sana Dar 24 na hasa we Mtangazaji na Brother Shaban kondo
@sprettysalim46592 жыл бұрын
Allah Ampe Kauli Thabit Tumempenda Sana Maalim Saif hivi Sasa Hivi Natoka Machozi ,Pole Sana Mama Awena ALLAH atakupa Subra
@bakarali96573 жыл бұрын
Pole sana dada yangu bi Awena M mungu akuzidishie subra In shaallah.
@yahyahamad18023 жыл бұрын
Hongera sana mtangazaji uko vizuri mashallah kwenye kazi yako
@Alykondo993 жыл бұрын
Asante sister wangu mpenzi Mungu akuzidishie Subra na akupe furaha Daima Ameen love you Usijali Seif mdogo tunaye nakulelea
@inthekitchenwithnona44273 жыл бұрын
Ahsante sana mpenzi wetu, Allah akupe nguvu na wepesi Yarrab... Na babaetu Allah amkutanishe na maswahaba na ma walii Yarrab
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e6HVk5t7fNyHhqc
@DamianDavid-hz5gp9 ай бұрын
Hongera mama Awena kwa ujasiri ulionao baada ya kuondokewa na mwenzi wako, Mwenyenzi akujalie maisha marefu
@bintsalimalbimany2873 жыл бұрын
Innalillah wainnailaih rajiun Allah amlaze mahal pema pepon ammin 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔Maalim wetu hatuwezi kumsahau daima jaman 💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭
@nadyasalim79562 жыл бұрын
kaondoka lakini bado atabaki kuwepo ndani ya mioyo yetu
@saumusalimuhassan24993 жыл бұрын
Allah Amrehem Mzee wetu Maalim Seif
@jumabias49179 ай бұрын
Allahuma aaamin yaa Rabb
@sabihaibrahim1433 жыл бұрын
Nafurahi unajistiri mtii mume wako Allah akukutanishe naye peponi inshallah
@nadyasalim79562 жыл бұрын
Amiin
@halley8072 жыл бұрын
Ameen
@AlisuleimanSalim11 ай бұрын
Ammin🎉
@hamishemed93963 жыл бұрын
Mama makini sana Allah akujalie subra inshaallah
@chamchuuconsult46822 жыл бұрын
Mama yupo vizuri Sana sisi tulioowa walimu tunafaidi Sana full busara Nampa tano mama anajitambua Allah akustiri na kila Shari na watoto wako Allah amsamehe maalim seif amuingize Janna Firdausi.
@imraniqbal007653 жыл бұрын
Mama tumekuelewa na pole Sanaa na Tunamuomba allah Amrehemu marehemu aliko Akhera
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gqK3k5WHha6hg8k
@Nassra_alzakwani3 жыл бұрын
Allahuma Ameen yaa Rabbi
@sophiafaith475010 ай бұрын
Pole mama. Allah akupe nguvu. Yaaarabi. Mwenyezi Mungu akupe nguvu.
@hamoudabdullah54973 жыл бұрын
Mashallah. Aunt Aweina amejieleza vizuriii.
@allymunir54802 жыл бұрын
Masha Allah
@B3n1n_boys11 ай бұрын
M / mungu. Amfanyie wepesi. Mama Awena Tupo pamoja.
@ucjvvjcjjvih99343 жыл бұрын
Muna tz pole mama allah AKUZIDISHIE afya na uzima uzidi kuwa na furaha ndio amani kwa sote
Hongera sana bi Awena, hicho ndio kipimo halisi cha uvumilivu kuna jambo kubwa sana la kujifunza kwako kwa vizazi vyetu vijavyo, Allah akubariki 🙏🙏
@nassorshaaban72953 жыл бұрын
Habari zenu ni za uhakika Panapo Jaala ya Allah mtafika Mbali sana
@allymwatima540111 ай бұрын
Interview nzuri sana. Hongera mwandishi
@SitiKombo-c9p9 ай бұрын
Mashalah mama ❤Awena umeongea vizuri sanaa
@hawamohammed9740 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭maalim wetu kipenz chetu mtetezi wetu allah ampe jannah yaa Rab pole mama awena umeumia sana zaid ya sisi lkn allah atawakutanisha pepon
@mustafa-wh8gi Жыл бұрын
Allah amsamehe makosa yake maalim seif wetu😭😭😭😭😭😭 tunamuomba allah atuekee mama awena wetu❤❤❤ amuuondoshee mahasid
@rayaalhabsi17252 жыл бұрын
Hasbiya Allah wani'mal wakiil Mwenye Enzi Mungu ata walipia kwa uwezo wake yaarab
@yordanidigital50113 жыл бұрын
BBC levels🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Huyu Mtangazaji anajielewa saaaaaaaana
@abdelnasseraq71339 ай бұрын
الله يغفرله ويرحمه ويدخله فسيح جناته ويلهم اهله الصبر والسلوان وانا لله وانا اليه راجعون
@ramadhanmasiku41053 жыл бұрын
Allah akupe nguvu mama hongera
@janegeogre32343 жыл бұрын
Daah!... yan mama la mama yan mama ni cute kwelikweli!
@muryd69992 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@yahyaburhan47983 жыл бұрын
Mama awena Mashallah Mashallah Mashallah umeongeya vizuri
@jumahamis2273 жыл бұрын
Mama mvumilivu sana huyo anavyoonekana 😆, hongera sana dar 24 pia, wanasema ukitaka kuwaelewa viongozi vizuri, wahoji wake zao, wanawake wa viongozi wanapitia mengi,wanajua mengi, wavumilivu sana na wana siri kubwa ya kuelewa jinsi ya kuwalea viongozi.
@Nassra_alzakwani3 жыл бұрын
Allahuma Ameen yaa Rabbi
@msuyarashid94823 жыл бұрын
Mama anaongea vizuri Inaonekana naye ana busara kama matehemu mumewe
Mashallah! Mama umejaaliwa busara mwenyezi mungu akupe kheri
@kawtharalbarwani13372 жыл бұрын
Tunakupenda mama 😍😍😍Allah akulinde pamoja na family yako inshaAllah amiin
@assumptamuzima274510 ай бұрын
Mama yetu huku anaongea vizuri saana mstarabu saana kwa kweli ahsante saana mama
@msemwawalter8373 жыл бұрын
Wanasiasa mjue kwa Mungu ni mbali. Aiseee........
@enterenter19213 жыл бұрын
Innalilla wainna Illayh rajiunah 😭😭Allah azid kukupandisha darja firdaus,, binafs nilikua nampenda kwaajili ya ALLAH,, ALLAH amjaze subr mkewe maalim Seif naawape furaha family
@amanimyolo14789 ай бұрын
INNALILLAH wainna ilaih rajiuun Allah akupe shifaa mama yangu
@allykingu69543 жыл бұрын
Maashalah mama yupo vizur ,na Hongera bonge la mtangazaj
@amirybeka9602 Жыл бұрын
Mashaallah mamaa. Allah akufnyie wepes ktk kbri lake. 🎉
@hemednassor23629 ай бұрын
mashAllah maam awena ni mtu wawap
@Hassanali-sq2dm Жыл бұрын
❤❤❤❤hongera mama etu mpendw upo mchesh na umejibu vzr sana mama
@goodluckriwa3425 Жыл бұрын
Mama Ana jielewaa kweli Yuko vizuri Sana kichwani , Mungu amjalie Maisha marefu,
@aisharevelian69333 жыл бұрын
Mama bado mzurii kabisa yan...halaf anaongea vizur😍 mashallah
@muryd69992 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@alluabdallah689311 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 Hongera mama nimekubali maoni yako
@aishakh50462 жыл бұрын
Pola sana Ati yangu pole sana dada yangu misimba miwili kwa mwaka moja Allah akupe subra wazazi wetu hao nikombali nanyiyi ila Allah atatukutanisha insha'Allah
@VENANCEAUGUSTINO10 ай бұрын
Nimempenda sana mama mstarabu sana.mwenyezi mwenyezi Mungu amjalie na busara hizo.
@MAPETEE2 жыл бұрын
Mama Wetu twakupenda sanaa nipo oman nikija zanzibar inshllah nitakuja nikuone 😭😭😭
@yussufdarus Жыл бұрын
Hongera mama kwa kujibu maswali ipasavyo Allah akupe kilichobora zaid
@husseinkarim76633 жыл бұрын
Mama ni smart mno, nimependa na majibu yake ,ingekuwa mwingine angekurupuka kuongea ovyo lakini mama anajua kuongea kutokana na wakati uliopo,hajamlaumu wala kukashifu mtu.
@husseinkarim76633 жыл бұрын
@sheshi beshi umeshakula mirungi!!😅
@yordanidigital50113 жыл бұрын
Mtangazaji 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@gracemima52343 жыл бұрын
Siasa ni nzuri. Hakuna mwanasiasa masikini
@Maryam-yt8lw3 жыл бұрын
Mashaallah dada etu Allah amlaze mahali pema peponi mzee wetu Amin
@masoudrashidmohammed41243 жыл бұрын
Allah akupe nguvu mamaetu kipenzi ila mm nalia bila kituo nakumbuka madhila na mateso tuliopitia wazazinzibar mungu atakupa nguvu zaidi na team DAR 24 MEDIA YETU PENDWA TANZANIA 🇹🇿 ila brother lambat levo yako sio kufanya kazi Africa bbc .dw. au voa sauti ya 🇺🇸
@jumamohammed53782 жыл бұрын
MashaAllah mungu akupe kila la khery mama
@rashidjuma19693 жыл бұрын
Mungu ampe kauli thabit huko alikoo pamoja na sisi sote
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e6HVk5t7fNyHhqc
@jafaribori54282 жыл бұрын
Pole Mama Awena nimekukubali kwa maelezo yako
@barakambilinyi25073 жыл бұрын
Mama yupo vizury.....apewe siku nyingi za kuishi
@manilabonalumanula10143 жыл бұрын
Vizuri siyo vizury
@hamishassan6784 Жыл бұрын
Historia hii ya Mama inatuwazisha kubadili Namna ya uendeshaji wa Siasa Zetu. Kutofautiana kisiasa kunakuwapo lakini baadhi ya madhila ya kisiasa yasio yalizima haukunahaja ya kuyaendekeza. Hasa Haki za Msingi za waambata wa kisiasa na wale wanaowazunguuka. Nimpongeze sana Rais Mwinyi kwa mabadiliko chanya ya Siasa Zetu Upande wa Visiwani. Ninamatumaini yajayo yanafurahisha
@gracemima52343 жыл бұрын
Siasa nzuri. Hakuna mwanasiasa masikini.
@AHIMTYKIJANGWANIPEMBA-bc2wj Жыл бұрын
Pole sana mama pamoja na watoto wko pia poleni sana watoto mliopata sulubu hiyo ila nawao waliowatesa watoto hao mungu atawahukumu mpka kiama
@abduliauni80482 жыл бұрын
Mama nakupenda san nakuwona kam mama yangu Allah atakupa tahfiki
@YussufMashaka-e2o10 ай бұрын
Mh maa pole sana, mshkur mungu tu
@HamadHamad-oy7mp Жыл бұрын
Nakupenda sana mama Awena
@sadabkari55323 жыл бұрын
Mtangazaji mashallah saut cute 🥰🥰🥰🥰🥰
@rajabseifabdalla71011 ай бұрын
Allah akupe subra mama Awena
@anawa43263 жыл бұрын
Pole sanaaa Mamaaa
@salmasalim60553 жыл бұрын
Pole sana mwalimu wangu
@ebrahimosman54773 жыл бұрын
Allah akupe kila la heri inshaa Allah🙏
@Mukhairat10 ай бұрын
Wewe mama unaongea vzur km mumeo mashaallah
@AbdulThaniZanzibar10 ай бұрын
Interview ya Nyota 5. Nimeipemda sana❤
@paulombay68842 жыл бұрын
Pole mamangu CCM CHAMA CHA AJABU SANA
@allyboka4264 Жыл бұрын
Mama anaekima sana jaman tumuombe mung ampe maisha marefu
@sabrinasabrina83953 жыл бұрын
Wewe mwandishi huwa uko very smart yanii nakupendaga sana
@jumannerajabu63243 жыл бұрын
mwanandishi kweli umeenda darasa upo vizuli
@getitdoneright19382 жыл бұрын
Pole sana Mama wa taifa
@salehesalehe29673 жыл бұрын
Ahsante mama
@zainabmohammed67002 жыл бұрын
Pole San kW a matatizo bi Awena mungu akuzdshie subra
@suleimanmuhammed13472 жыл бұрын
Dr mwinyi ni raisi mwenye mawazo naamini Atafkiria na kumpa Ajira biawena na kumsaidia inshallah nakujenga umoja na ushikamano zaidi
@khamissalim3701 Жыл бұрын
Ajira gani na huyo ni mke wa kiongozi wa juu kabisa na analipwa mpaka kufa kwake.
@khamisjuma76162 жыл бұрын
Mama awena mlezi wa watoto na mlezi wa marehemu wa maalim seiif
@bonylove61923 жыл бұрын
Mungu akubariki mkewe masrimu seif
@IssaJuma-rk5qb11 ай бұрын
Mungu ampe kauli thabit maalim seif
@hassanmfaume45222 жыл бұрын
Bado kijana Maasha-Allah nitajivuta hapo .!
@gracejulius39663 жыл бұрын
Inavyoonekana Wazanzibar ni Wapole sana na Wenye busara.
@ummusamira35183 жыл бұрын
Nikweli wengi tuko hivyo ila hakuna kizuri kikakosa kasoro na tabia yapili pia wapo ila hawana nguvu kubwa kwasababu asili yetu ni hivyo shukran
@hassanally49603 жыл бұрын
Shukran yote ni kwasababu ya imani ya uislam
@Khalid-mf3iu2 жыл бұрын
Wazanzibari ni wakarimu....kutoka mombasa salaam kwenu
@amosmwanga40273 жыл бұрын
Wa kwanza ku comment ni mm toka Bara,
@mombasa00763 жыл бұрын
Safi sana
@rukiaiddyyahaya95063 жыл бұрын
Wanawake wa viongozi oyeee😂👌👌👌👌🙏wanakula kiapo kuwatunza waume zao safi....
@naosson.656911 ай бұрын
Sio Hayati ni Marehemu mpe Rehma.
@SideKhamis11 ай бұрын
Pole sana mama yangu ila mungu atalipa kwakile ulichokifanya😢😢😢
@TecnoBoys-ul7mj11 ай бұрын
Mungu akulinde mamaangu
@mombasa00763 жыл бұрын
Hongera mama
@mwanaishakhamis80693 жыл бұрын
Allah ampe kauli thabit Amin.Maalim seif Hamadi 😂kutoka🇰🇪001county mambasa
@Nassra_alzakwani3 жыл бұрын
Allahuma Ameen yaa Rabbi
@kiri58073 жыл бұрын
Amin
@activetravel74123 жыл бұрын
Ameen
@Khalid-mf3iu2 жыл бұрын
@sheshi beshi wewe senge la mtwapa acha kutangaza tarabu zako hapa
@Khalid-mf3iu2 жыл бұрын
@sheshi beshi huna heshima yani watu waongea ya maana ww watuma tarabu zako how senge la mtwapa mombasa ww nakujua vizuri sana
@husnamohamed92453 жыл бұрын
Mama awena nakusalimia mashallah
@MwanahawaZuberi-u8t11 ай бұрын
Mama Hongera Umejibu Kama Mama Wa Familia
@oparetionmaalum90303 жыл бұрын
Mama umeeleza vizuri sana Kuna tofauti kubwa Kati ya mzanzibari na mpemba vitu viwili tofauti na ndio Maana kipindi hicho kulikua na Chama kinaitwa zppp lakini wapemba wengi hawalijui Hilo wafahamisheni walijue Hilo
@hemedalawy65272 жыл бұрын
Hujui lolote ww
@ahmedzahor2975 Жыл бұрын
Usitubague hakuna Zanzibar bila ya Pemba wala hakuna muungano wa Unguja na Pemba