No video

#Maalim

  Рет қаралды 82,963

ITV Tanzania

ITV Tanzania

Күн бұрын

Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our KZbin Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg

Пікірлер: 173
@yunussothman7422
@yunussothman7422 3 жыл бұрын
Alie angalia hii video na akamsikia malim akimshukuru allah. Agonge like hapa
@abdulihafidhali5379
@abdulihafidhali5379 3 жыл бұрын
Kwa hapa zanzibar hakuna kiongozi km maalim seif sharif hamad anaeamini haya maneno like hapa chini km👇👇👇 mm.
@geneusndege9959
@geneusndege9959 3 жыл бұрын
Ukongwe wako Maalim ni wa kiwango cha juu Sana Sana..
@fatmahamad9314
@fatmahamad9314 3 жыл бұрын
@@geneusndege9959 Hayakuhusu babaako pia kikongwe mbona hujamtupa
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 3 жыл бұрын
😱😂😂Hawezi kumtupa nyau wa bandarini huyo amfuja malim wenyewe kila akiwa mzee tuna muenzi
@badranassor3303
@badranassor3303 3 жыл бұрын
Namuomba Allah swt kwa uwezo wake awaoneshe hawa viongozi wa ccm nguvu zake kwamba Allah swt yeye ndio mwenyenguvu zote. Kwa uwezo wake Allah tunaomba amsimamishe maalim kwa znz. Na tundu lissu kwa tanganyika. Ameen
@sgfdhaikuhusu6086
@sgfdhaikuhusu6086 3 жыл бұрын
Na wala hushidwi tuko pamoja na ww in shaa allah mkono kwa mkono ulipo tupooooooooooooooooooo love you 😘 maalim seif
@salimmawiya6473
@salimmawiya6473 3 жыл бұрын
Maalim Mungu akupe umri mrefu
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 3 жыл бұрын
Hongera maalim sefu tuko pamoja na wewe kwa asilimia kubwa INSHALLAH
@olekiroya6224
@olekiroya6224 3 жыл бұрын
Tuko pamoja nawewe mwalimu sefu
@abuuraslani4133
@abuuraslani4133 3 жыл бұрын
Ww ndie mkombozi wa wazanzibari Allah akupe nguvu
@jabumakame6895
@jabumakame6895 3 жыл бұрын
Aamiin
@goddytarime1626
@goddytarime1626 3 жыл бұрын
Mungu akubariki maalimu ushinde kwa kishindo🙏🙏
@khaledsuleiman9819
@khaledsuleiman9819 3 жыл бұрын
I love you Maalim!
@nassorshaaban7295
@nassorshaaban7295 3 жыл бұрын
Mashallah Wazanzibari Tumuombeni sana Allah atupatie huyu kiongozi yupo na Nia njema na sisi lkn pia Anaipenda Nchi yetu Zanzibar
@martinemaganga2546
@martinemaganga2546 3 жыл бұрын
Hahahaaaaa,miaka 25 anagombea anashindwa si awapishe vijana wajaribu bahati zao
@salehmadawa7035
@salehmadawa7035 3 жыл бұрын
@@martinemaganga2546 wewe hujuwi chochote kuhusu Zanzibar maalim seif hajawahi kushindwa uchaguzi
@iddyally4439
@iddyally4439 3 жыл бұрын
Ww ndio kiongoz wa wazanzibaar kila ck tunakuombea dua Allah azidi kukujalia na hao maadui zako Allah awalaani
@abuuraslani4133
@abuuraslani4133 3 жыл бұрын
Tuna kupenda sana maalim seif
@riahaji1976
@riahaji1976 3 жыл бұрын
Tuko pamoja maalim
@hadadsaid8246
@hadadsaid8246 3 жыл бұрын
Maalim mwaka huu ana hasira sana na CCM umechoka na vitimbi vyao
@mselemmchina8098
@mselemmchina8098 3 жыл бұрын
Ndiyi tumehoka na ccm Zanzibar
@mrbcomedy6052
@mrbcomedy6052 3 жыл бұрын
Saf sana maalim. Mungu akupe nguvu zaid
@abdulbogoyo1243
@abdulbogoyo1243 3 жыл бұрын
Simba wa nyika mitamboni bigup sana maalem
@eliabusultan3673
@eliabusultan3673 3 жыл бұрын
Umezungumza vzr sana. hongera sana seif
@mshuamshua8305
@mshuamshua8305 3 жыл бұрын
Allah Skype umr mref nakupend sn Kiongoz
@mshuamshua8305
@mshuamshua8305 3 жыл бұрын
Dah nakubal maneno yko yn mn nlkua huy mzee nlkua cmpend ila kukaa chin nakuanza kumsklza point zke nna miak km miwil t ndio nmeanza kumuelewa we jemedar big up ulpo tupo ww ndio kiongoz wa Zanzibar😍
@mzeewashamba7657
@mzeewashamba7657 3 жыл бұрын
Apeweeeee
@mselemmchina8098
@mselemmchina8098 3 жыл бұрын
Tumehoka sana na ccm hatutaji tena ccm
@michaelmagoma546
@michaelmagoma546 3 жыл бұрын
Maalim anatosha sana Hapo Zanzibar
@Werema3760
@Werema3760 3 жыл бұрын
Kipenz cha wazanzibar!
@ibrahimmakame5304
@ibrahimmakame5304 3 жыл бұрын
Maalim ni mkweli na muwazi sana hata mambo ya serikali huyaweka wazi kiongozi mwenye maslahi na zanzibar tunamuhitaji sio fisadi wala mwizi wa mali za umma . Maalim binafsi nakuelewa sana tukiwa wamoja zanzibar tukiondoa itikadi za vyama vyetu tutafika pahala zanzibar.
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 жыл бұрын
Niko tafauti na wewe kwa yote hayo uliyompamba Mwalimu wako lakini naheshimu Mtazamo wako
@ibrahimmakame5304
@ibrahimmakame5304 3 жыл бұрын
@@kassidpandu866 kwann kk pengine ni tofauti ahsante kwa kuheshimu mtazamo wangu
@jumahabib1693
@jumahabib1693 3 жыл бұрын
Maalim Seif ndie shujaa wa wazanzibar
@kassimharoub9075
@kassimharoub9075 3 жыл бұрын
Siku zote mpigania haki ,lazima apate tabu na asumbuke ,mifano iko waz wazi kwa mitume hata nabii yussuf alifungwa gerezani miaka saba ,kuachiliwa tu huyo adui wake ndio aliompa uongozi . Kwahivyo mwaka huu ccm wenyewe ndio watakao toa mwanya wakumpa maalim seif kiti cha urais .
@mkubwamasoud2776
@mkubwamasoud2776 3 жыл бұрын
Huyo ndio kiongozi ambaye Allah ametupa lakini madhalim hawataki kumpa nchi kwasababu maendeleo ya znz yatakuwa makubwasana
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
Ina maana Madhalimu wana nguvu kuliko Mungu, Mungu akitaka jambo lolote litakuwa ukiona haliwi Mungu hataki. Kila mmoja apende Mgombea anaependa ni yale yale hakuna maendeleo yoyote Mhe. Seif alikuwa NEC CCM, Waziri, Waziri Kiongozi, Makamo wa kwanza wa Rais, Katibu Mkuu wa CUF kwa zaidi ya miaka 20, mote humo kaondoka bila maendeleo yoyote. Hana "legacy" yoyote. Ndie aliyekuwa Mwenyekiti mwenza wa Vikao vya Katiba 1984 tunayoilalamikia leo, kaondoka CUF anatwambia haina hata Ofisi nk, haya matumaini ya maendeleo ya Zanzibar mnayatowa wapi?
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 3 жыл бұрын
@@hajihassan5433 Mungu ameweka Pepo na Moto ,binadamu amepewa akili ili ajue hili baya na zuri ,na binadamu wamejitungia taratibu zao na sheria zao wenyewe za Mungu wakaziweka pembeni ,lakini hizo sheria walizojiwekea pia wanashindwa kuzifuata hivi ni vichekesho ,mtu ukiwa hujampa mamlaka ya kujiamulia juu ya mfumo wa uchumi anao utaka juu ya kujiendesha itakuwa historia Zanzibar kufanya mambo makubwa ,pesa hata za kujenga kituo cha daladala za abiria haina ,hiyo ndio Zanzibar toka 1964 mpaka 2020 ukitoka bandarini unashindwa kujua kituo cha gari kiko wapi.
@yasiralkindi5332
@yasiralkindi5332 3 жыл бұрын
@@hajihassan5433 Hatutaki longolongo tukutane tarehe 28 au 27 mwezi wa 11 mwaka 2020
@fatmahamad9314
@fatmahamad9314 3 жыл бұрын
@@yasiralkindi5332 kwanza hujui ata uchaguzi ni mwezi wangapi unaropokwa hebu tuache
@arafahassan5257
@arafahassan5257 3 жыл бұрын
@@hajihassan5433 jaribuni kumpa muone
@alifaki8741
@alifaki8741 3 жыл бұрын
Wape elimu hao Maalim
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 3 жыл бұрын
Amwachie nan wakati katiba inaruhusu ,katiba inasema kuanzia umri wa miaka 18 na kuendelea unaruhusiwa kugombea uongozi Tanzania siyo eti ana umri mkubwa katiba haisemi mzee asiombe kuchaguliwa kuwa raisi
@MAPETEE
@MAPETEE 3 жыл бұрын
Kweli baba seif tupo pamoja ila Mara hii Hatukubali tena haizuru tufe
@fatmaali6437
@fatmaali6437 3 жыл бұрын
Nakupenda maalim seif Sharif hamad
@abbasisaidiy3832
@abbasisaidiy3832 3 жыл бұрын
Zanzibar ccm ni ndoto kuchukua uraisi
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Tutaona okt!!
@fahadAlloufy
@fahadAlloufy 3 жыл бұрын
Kilichokuwa kikinichekesha pekee hapa ni Farhiya Middle kakosa hata nafasi ya kuongea uwanja wote kautawala mwenyewe mzee hahahahah
@naifatkhamis6315
@naifatkhamis6315 3 жыл бұрын
Mungu ibariki Zanzibar
@mustafasureboy138
@mustafasureboy138 3 жыл бұрын
Mustafa sure boy k Kutoka ubena zomozi Mbona police wengi lakini ajali bado zinatokea kila siku shida nini Mustafa sure boy Prince wa Zambia
@mustafasureboy138
@mustafasureboy138 3 жыл бұрын
Mustafa sure boy Prince wa Zambia Ajali zipunguzwe jamani
@omarsaid4661
@omarsaid4661 3 жыл бұрын
Ccm ndyo ving'ang'anizi Dada hatuwataki lkn bado sizing,wangalitupa vipande vetu na uchaguz wendeeka cku moja tu na wagombea wetu kwnn wawaekee pingamiz na bila haki amani haiji hatuna at a maendeleo coz hatuna uhuru,cc twamtegemea Allah tu,na akipata maalim hatutaki mwengne,maalim havunji ahadi na akipata wazanzibar twarudi kwetu
@alifaki8741
@alifaki8741 3 жыл бұрын
Kwa tawhid hii Maalim bado we ni mkombozi wa wazanzibari
@aidoactalipotupo2200
@aidoactalipotupo2200 3 жыл бұрын
Good performance
@mwinyimjaka4782
@mwinyimjaka4782 3 жыл бұрын
Hawo ccm kila mbinu wanafanya lakini Mara hii hawana lawo Malini pambana tupo nyuma yako mungu atuweke sote tupate mafanikiyo ya zazibazi
@adammwangatwa9914
@adammwangatwa9914 3 жыл бұрын
Utapita inshallah jamani tunamtaka huyu kiongozi kwann mnatufosi kuongozwa na watu ambao hatuwatakiiii
@felistamaembe4895
@felistamaembe4895 3 жыл бұрын
CHADEMA na ACT hawajafanya Siasa miaka mitano hivyo Watanzania wengi sana walishakisahau hiki chama. Ghafla CCM na Polisi wa nchi hii wamekipandisha CHADEMA na ACT sana kiasi kwamba kwao sasa ni tishio. Binadamu unapopanga MUNGU wa mbinguni anapangua. Msije kushangaa CCM na Polisi hao hao MUNGU akawatumia kumuweka Tundu Lissu na Maalim Seif Madarakani. Safari hii kuna viongozi wa Serekali, Tume za uchaguzi, na Polisi wataenda mahakama ya ICJ. Hilo liko wazi kabisa.
@AbdulKadir-pb1xm
@AbdulKadir-pb1xm 3 жыл бұрын
Uko sawa maalim
@aminahhamed747
@aminahhamed747 3 жыл бұрын
Maalim bado uko ngangari kinoma tunakupa tu urais kwa uwezo wa Allah
@stevennchimbi1833
@stevennchimbi1833 3 жыл бұрын
Hivi waandishi hawaruhusiwi kumpa shikamoo alie mzidi!
@sajidatejpar316
@sajidatejpar316 3 жыл бұрын
Acheni habari ya uchuguzi Yemeni habari ya corona
@suleiman_002
@suleiman_002 3 жыл бұрын
Rais wetu wa ZANZIBAR💯
@omarsaid4661
@omarsaid4661 3 жыл бұрын
Dada rudia tena mazungumzo na mpendwa wetu naona bado hajatumalizia vimondo,rudi tena Zanzibar.
@alifaki8741
@alifaki8741 3 жыл бұрын
Mzee ndio mwenye uwezo wa kuongoza
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 3 жыл бұрын
Huyu ndio kiongozi
@alifaki8741
@alifaki8741 3 жыл бұрын
Bado tunaimani na Maalim Seifu
@mabulakanuda2252
@mabulakanuda2252 3 жыл бұрын
Muogopewana sms oyeee....
@tatujk6260
@tatujk6260 3 жыл бұрын
nawakaribisha kupakua na kusikiliza nyimbo yangu Mpya support yenu muhimu Sana mdundo.com/song/1656428
@almostgoro564
@almostgoro564 3 жыл бұрын
Simba 🦁🙏🙏🙏👊
@janethmambona1132
@janethmambona1132 3 жыл бұрын
Utapata shekhe wangu kikubwa uwe na subra
@maliy_mohammed
@maliy_mohammed 3 жыл бұрын
😍😍😍😍
@alijafar8887
@alijafar8887 3 жыл бұрын
Na mara hii subiri utangazwe basi
@sameramwajdu9029
@sameramwajdu9029 3 жыл бұрын
Mara hii nduguyangu kitaeleweka hakuna kufa mara 2 au 3au nakupendelea tutakuwa mata moja tuu
@abdullatifhassan9399
@abdullatifhassan9399 3 жыл бұрын
Wallah maalim swadakta bila bila haki hakuna Amani na nyy viongozi WA dini wallah msipojiangalia mtakwenda choma kwa unaafiq wenu waambieni watawala watende haki kwanza na nyy ndio mtangaze Amani na hapo Amani itadumishwa lkn hamtaki kufanya haki Kisha mnajidai Amani amani...... Hamna llte ni unaafik mtupu ongee I ukweli hata km mtakosa dunia inshaallah mtapata aakhera wacheni unaafiq
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 3 жыл бұрын
ACT WAZALENDOOOO TAIFA KWANZA MAALIM SEIF NA ZANZIBAR YAKE ZITO NA TANGANYIKA YAKE ZWNZIBAR KWANZAAA
@tifumunguatamlipaaliendewa4927
@tifumunguatamlipaaliendewa4927 3 жыл бұрын
Mwambie tu ukweli malimu hatutaki muungano naninachokijua mwinyi ataka kutumaliza je yy alika mitano na mwanae ampe mtano akisha aende tanganyika atatumaliza malimu mm kila nikisali nakuombea
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
@@tifumunguatamlipaaliendewa4927 Haiwezekani kuikomboa Zanzibar kupitia Muungano kupitia vyama vya siasa. Wagombea wote wanachaguliwa Bara. Hata Wazanzibar wasimpigie kura hata moja Rais wa Tanzania atakuwa tu, hii sio sawa. Ni kweli 100% Muungano unatuonea Wazanzibar lakini tukizungumza kama mtaji wa kisiasa hatutafanikiwa.
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 3 жыл бұрын
@@hajihassan5433 Sasa tujiulize kwa nini watu wanawaunga mkono wtu wanaotumika kudhulumiwa Zanzibar wakati wanajua kuwa Zanzibar inadhulumiwa juu ya Muungano ,hapaa ndio utaona kuwa watu wanaakili za kitoto sana unadhulumiwa huku ukijua kisha unawaunga mkono wanaotufanya tudhulumiwe.hivi ni vichekesho.
@stellawaithira1178
@stellawaithira1178 3 жыл бұрын
Hayo yote yanawezekana ikiwa muungano utavunjika kwanza kinyume na hapo Maalimu utawadanganya tu Wazanzibari.Kwa sababu muungano umevunja Tanganyika na Zanzibar na kuzaliwa taifa moja tu Tanzania.
@princesysilivester5662
@princesysilivester5662 3 жыл бұрын
tunaomba sana sana jamani mumhoji na,rais wetu mpendwa magufuli
@martinemaganga2546
@martinemaganga2546 3 жыл бұрын
Magu hana muda wa kukaa kuhojiana na wana habari
@Natureo-hr9xc
@Natureo-hr9xc 3 жыл бұрын
Sawa sawa?
@chocolatebby68
@chocolatebby68 3 жыл бұрын
co wazanzibar wote tunokukubali ucseme wazanzibar wote we mzee ckuchukii ila ckukubali ata kidg
@salehhamadi6070
@salehhamadi6070 3 жыл бұрын
Media ya Zanzibar mmeshindwa kumuhoji Maalimu munaogopa sio
@geofreyburchard432
@geofreyburchard432 3 жыл бұрын
Kweli
@youssouphsalum786
@youssouphsalum786 3 жыл бұрын
Mim naomba gheri tu kwa waislam wezanguu
@issaabdalla2856
@issaabdalla2856 3 жыл бұрын
Kilala la heri malim sef tuko pamoja huna shida ya madaraka ww unauchungu na wazanzibari na kama enge kua una shida ya madaraka ungebakia kule kule ccm usenge hama na pia unge baki kua makama wakwanza waraisi na ww hukutaka uka baki na wazanzibari tuko pamoja mzee bega kwa bega
@muksinally2922
@muksinally2922 3 жыл бұрын
I am not going out to the end of the week if you are still interested please let us know when you're ready and tomorrow so I won't have to check o the meeting is at work tomorrow and Friday
@shukurumwalukopetro6757
@shukurumwalukopetro6757 3 жыл бұрын
Nalipongeza maarimu kwa maongezi yako
@asiakhamisi469
@asiakhamisi469 3 жыл бұрын
👍👍✌
@royalsecuritysolutions5610
@royalsecuritysolutions5610 3 жыл бұрын
GATE MOTOR. Epuka adha ya kushuka kwenye gari na kwenda kufungua geti hasa wakati wa mvua na usiku. Huna haja kupiga honi tena ukifika kwako, Huna haja ya mtu wa getini tena , huna haja ya kutumia tena kufuli kwenye geti lako, huna haja tena ya kuamsha mtu usiku akufungulie geti . Kwa rimoti yako tu (single touch) unayafanya yote haya . Mashine ni bora na imara kutoka south Africa . Hii inaifanya Gate lako kuwa automatic, Utaweza ku control Gate lako kwa kutumia remote kwa umbali wa mita 100 Tunakufanyia installation ya Gate motor kwenye Gate lako kwa gharama nafuu sana na huduma za uhakika 071201330
@kabamedestrong3917
@kabamedestrong3917 3 жыл бұрын
Ndugu zangu Mimi ni kijana mwenzenu mpambanaji naomba support yako kutazama video yangu ya pineapple kwa kugusa picha yangu hapo juu nakuomba pia u subscribe Ahsanteni sana.
@miracleslike7982
@miracleslike7982 3 жыл бұрын
kichwa kinafanya kazi mtaalam
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 жыл бұрын
Si kweli hakuna mwana ccm atakayekushauri ugombee unatusemea kwa hilo
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Mwaka huu tunakustaafisha siasa!!!
@ruwailaomar6501
@ruwailaomar6501 3 жыл бұрын
Hivi ww ccm imekupa nn au ni laana ya mungu tu inakusumbua
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
@@ruwailaomar6501 kafiri wewe
@ruwailaomar6501
@ruwailaomar6501 3 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 kwani ww dini gani
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
@@ruwailaomar6501 kafiri wewe
@zuwenasalum1563
@zuwenasalum1563 3 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 Kamstaafishe mama yako na baba yako waache kulala kitanda kimoja nyau wewe, pumba wewe
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 3 жыл бұрын
Mbona mgombea wa uraisi wa ccm amumuhoji?
@naymasaid7315
@naymasaid7315 3 жыл бұрын
Apo sasa
@sameramwajdu9029
@sameramwajdu9029 3 жыл бұрын
Hana la kuzungumza ni uongo mtupu hata haijui zanzibar kama tunavyosema mtaliii
@naymasaid7315
@naymasaid7315 3 жыл бұрын
@@sameramwajdu9029 kabisaaaaa,atahojiwa nn aseme anijua znz?
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
@@sameramwajdu9029 Huu sio Urais kupitia ugombea binafsi ni sera, Ilani na falsafa za chama hivyo Dr. Mwinyi na yoyote ataweza tu. Dr. Mwinyi alikuwa Mbunge wa Jimbo la Kwahani kwa miaka 15, sifa ya kuwa Mzanzibar ni kuishi Zanzibar kwa miaka 3 kwa nini awe Mtalii? Je wajuwa kuwa Wagombea wa vyama vyote wamechaguliwa Bara? Kwa maoni yangu tugawane visiwa Unguja na Pemba viongozwe kimamlaka. Wakoloni na baada ya Mapinduzi 1964, Utawala wa Karume na Jumbe karibu miaka 20 waliongoza nchi kila mmoja akiwa kwao. Mhe. Ali Hassan Mwinyi kwa nia njema sana ndie aliyewafanya Waunguja na Wapemba waishi pamoja. Kumbe wazo la Wakoloni, Karume na Jumbe lilikuwa SAHIHI.
@sameramwajdu9029
@sameramwajdu9029 3 жыл бұрын
Kwani mmalim Seif nimgombeya binafsi act haina taasisi au wajuwa yenye taasisi ni ccm tuu mijambazi haijali uhai wa mtu wao wang'ang'aniya madaka tu hatuwataki tushawachoka kwa hila zao kuchukuwa mapato yetu wakijengeya kwao
@issahassan1147
@issahassan1147 3 жыл бұрын
Ww mwlim wa hoja
@mselemmchina8098
@mselemmchina8098 3 жыл бұрын
Swa swa malimu sefu
@ruwailaomar6501
@ruwailaomar6501 3 жыл бұрын
Kwa maoni yangu hata akitawala maalem zanzibar haitaendelea iwapo muungano utakuwa hivi hivi
@sitiomaromar2401
@sitiomaromar2401 3 жыл бұрын
Kijana ila miwani haimtoki machoni 🎤
@munasuleyman3159
@munasuleyman3159 3 жыл бұрын
Kwani kuvaa miwani ni uzee kaka mimi dada angu a meanza kuvaa miwani seens 3 years old mimi nimeanza kuvaa nna miaka 30 jee unaniamia ni mzee,?
@yasiralkindi5332
@yasiralkindi5332 3 жыл бұрын
@@munasuleyman3159 Jibu unalo ila tukutane oct 27 au 28
@kessymapande3312
@kessymapande3312 3 жыл бұрын
Maalim elewa mzee,bunduki ni bidhaa km bidhaa zingine zinazozalishwa viwandani km soda,majembe nk,ila juakwamba bunduki aziui watu ila watu wanauliwa na watu wenzao,kua makini usije ukasababisha maafa tena cc wtz wote nindugu,be care..
@munasuleyman3159
@munasuleyman3159 3 жыл бұрын
Hatukatai cc ni ndugu lakini kaka akimkandamiza ndugu yake au kama hatomuheshimu hata Mungu kamkubalia ateteee haki yake kwenye dini zote zimesema cc znz tushazoeya kuuliwa hayatokuwa mageni bwana mkapa alikuwa kama kuku wanawake wakaingiliwa wanawari mbele ya baba zao je hii haki?
@davidissangya2943
@davidissangya2943 3 жыл бұрын
Mchukua video hakuwa Makini kama alofanya Kwa Lisu alikuwa Vizuri sana
@allykhamis5946
@allykhamis5946 3 жыл бұрын
Wajumbe sio watu wazuri
@martinemaganga2546
@martinemaganga2546 3 жыл бұрын
Kama ungekuwa unashinda kila mara kwanini usitangazwe? Hapo umedanganya
@muksinally2922
@muksinally2922 3 жыл бұрын
The same price and availability of the meeting on Thursday at work and I will have it to you in touch with the guy I will get
@saidabdala4980
@saidabdala4980 3 жыл бұрын
TUWACHIWIEEEEE TUPUMUWEEEE ZIKO SIRI NYINGI MALIM. USISEME KWANZA. HAWA SAMAKI EA DODOMA HAWAAMINIKI. TUNAZO ROKODI ZOTE ZA LUKUVI KULE KANISANI
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 жыл бұрын
Wanzanzibara acheni kutusaliti sisi ndugu , nchi kwanza siasa baadae , tuwe pamoja tukomboe nchi hapa ndio kwenu , msidhani mkienda Bara watakua na imani juu yenu kama sisi , badilikeni acheni ubaguzi usio na maana , mwaka msitusaliti maana tanganyika inakutegemeni nyie , wanajua nyie ndio ngau zanzibar
@binammwanafa2033
@binammwanafa2033 3 жыл бұрын
Jaman raiya wa Tanzania nakuombeni musije mukaja kupiga kura kwa kuwachagua CCM ikiwa mzanzibar au Tanganyika
@jumakhamis5448
@jumakhamis5448 3 жыл бұрын
Faharia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Halafu anajidai yuko strong kuliko vijana sikweli 😂😂😂😂
@sisawajohari7252
@sisawajohari7252 3 жыл бұрын
Haki kwanza halafu amani ndio ina fuata halafu mtangazaji inaonekana muoga sana na upande fulani
@rashidabdallah3253
@rashidabdallah3253 3 жыл бұрын
Tunahitaji pia watawala wetu sio kila siku hao hao tuu wapinzani sera zao zinafanana hao tunataka tumsikikie magu na Dr Mwinyi sasa.
@fatmaomar8497
@fatmaomar8497 3 жыл бұрын
Huyu mzee ananini...hana raha...makufuli hukumsikia miaka sita hakutaki ndio hupewi...umengangania tuu....kwa lazima
@naymasaid7315
@naymasaid7315 3 жыл бұрын
Maskin roho yako hukijui ata unchoandika,,,ata raisi wako hukumuandika kwa usahihi hivi utaeleelew kilichopo kweli?
@munasuleyman3159
@munasuleyman3159 3 жыл бұрын
Pole usojifahamu
@gatomaster5392
@gatomaster5392 3 жыл бұрын
Mpumbavu huyu dada kwanza hajitambui
@masoudkipara5053
@masoudkipara5053 3 жыл бұрын
Maalim CUF mmeigawa wenywewe utambue kmb nawapiga kura mmewagawa pia, huez pata urais kamwe iyo ni fact wala huibwi
@salimmawiya6473
@salimmawiya6473 3 жыл бұрын
Mpuuzi
@munasuleyman3159
@munasuleyman3159 3 жыл бұрын
Alokuwa cuf mbona mnamficha alihonga mapesa lipumba na kundi lake
@gatomaster5392
@gatomaster5392 3 жыл бұрын
Jina lenyewe kipara hana nywele atakuwa na akili huyo
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 3 жыл бұрын
Na mala hii hutangazwi. Ukileta fujo utanyooshwa mpaka wajuku zako wapo Oman 🇴🇲 wapate mhutasari. 1995,2000,2005,2010,2015. 2020 Tusubiri
@yunussothman7422
@yunussothman7422 3 жыл бұрын
Atatangazwa mamako kumamayo
@solomonadams6337
@solomonadams6337 3 жыл бұрын
kwanza kabla hujaandika jifundishe kusema kiswahili sawa??Mala ndio nini???hakuna neno la kiswahili linaloitwa mala,njoo tukusomeshe lugha ina wenyewe sawa??sio mala bali ni mara sawa ww bwege???Love Zinjibar bin Seif ,Zanzibar ni nchi ya Wazinjibar wenyewe tuu sawa???
@muksinally2922
@muksinally2922 3 жыл бұрын
I am not going on the bus and tomorrow so I won't be able to get home and I'll be there around I can do the same price but I think the same
@thauratyalkhamimu1574
@thauratyalkhamimu1574 3 жыл бұрын
Maalimu unastahili kuwa rais maana ulizipa inchi 11 uanachama jumuiya ya madola unastahili kuwa rais mkubwa ni dawa
@salamasaid4720
@salamasaid4720 3 жыл бұрын
Babu tuwache tumekuchoka huna jipya kwa wee kura watafute mkeo nawanao tuje pamoja
@deodatusbernad9323
@deodatusbernad9323 3 жыл бұрын
Mzee kalee wajukuu uongozi wachie mwinyi
@tifumunguatamlipaaliendewa4927
@tifumunguatamlipaaliendewa4927 3 жыл бұрын
Mjinga we
@alitwalib362
@alitwalib362 3 жыл бұрын
Wa Zanzibar wamechoka kupelekeshwa na ccm
@iddyally4439
@iddyally4439 3 жыл бұрын
Mwinyi hatumtaki mara hii kama kutua mtatua sote mwaka huu hata km mtafanya nguvu bac zanzibar haitawaliki tena
@pandungozi1072
@pandungozi1072 3 жыл бұрын
wewe huna adabuuu!
@calimahad9274
@calimahad9274 3 жыл бұрын
Kwani mwinyi jamani ana umri wa ujana mtu ambae yuko 60s?
@mrbcomedy6052
@mrbcomedy6052 3 жыл бұрын
Saf sana maalim. Mungu akupe nguvu zaid
@hamadmaholo5276
@hamadmaholo5276 3 жыл бұрын
Uko sahihi hutafuni maneno tuko pamoja nawe
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 3 жыл бұрын
Baba mwanao niko marekani nilikuwa masikini wakutupwa sasa laki moja imelala bank 👍
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 18 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3,2 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 30 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 23 Agosti 2024
1:00:30
ITV Tanzania
Рет қаралды 19 М.
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 50 М.
LIVE: Exclusive Interview na Maalim Seif Sharif #Clouds360
1:07:46
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 86 М.
MAALIM SEIF Amwambia ZITTO - "Nilifukuzwa CCM, Wewe sio MNAFKI"
21:23
Global TV Online
Рет қаралды 84 М.
Zabron Singers, Marco Joseph Special Tribute
49:41
Hope Channel Kenya
Рет қаралды 9 М.