MAANDAMANO YA CHADEMA YAPIGWA VITA/ VYAMA 13 VYAJITOKEZA KUPINGA, ''WATANZANIA WAPUUZE WITO HUO''.

  Рет қаралды 7,287

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
MAANDAMANO YA CHADEMA YAPIGWA VITA/ VYAMA 13 VYAJITOKEZA KUPINGA/ VYATOA WITO KWA WATANZANIA KUPUUZA WITO HUO
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 277
@Revelation1412.
@Revelation1412. Күн бұрын
Yaani NIMEKUBALI MSEMO WA WAZEE WETU, TUNAHITAJI WAGOMBEA BINAFSI KWASABABU HAWA WOTE WAKO TAYARI KUUZA HAKI ZA WATU ILI MATUMBO YAO YASHIBE. NATAMANI SANA YESU ARUDI TUISHI KWA AMANI 🙏🏾
@edwindezidery632
@edwindezidery632 Күн бұрын
Huyu jamaa jinga kweli watu ❤ wanatekwa wanauwawa lenyewe eti wanaandamana kutafuta Nini kwa sababu kwenye familia yake ajatokea
@chikiraismailmsangi1708
@chikiraismailmsangi1708 Күн бұрын
VYAMA MACHAWA AT THEIR BEST, "SHAME ON THEM”
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 Күн бұрын
Kuua watu hakuna siasa Dunia ya mtandao hii ni tofauti na zamani za nyuma angalieni maoni ya watanzania walio wengi ambao ni umma
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl Күн бұрын
Vibaraka was raisi hhawa sio wa watanzania. Watanzania hoi, masikini ukilenganosha na nchii nyengine za kimajirani
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Күн бұрын
Hujaona tunachodai mpuuzi weee
@btechie04
@btechie04 Күн бұрын
Jambo TV leo mmekula mbs Zangu bure kabsa😂😂
@alexmichael5850
@alexmichael5850 Күн бұрын
Vyama 14 ni mamruki wa ccm njaa tupu hapo mkitoka njoo white House kuna keki 🎉
@MkJj-m7g
@MkJj-m7g Күн бұрын
Mbona hamjitambulishi vyama mnavyotoka?
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl Күн бұрын
Unatufokea au unatuomba watanza, sitanfahammu tayari ccm majambazi
@erastomwambeje9920
@erastomwambeje9920 Күн бұрын
Ndugu yangu hayajakupata,ongea tu
@EzekielChalomhola
@EzekielChalomhola Күн бұрын
Hao waliouawa siyo wa Tanzania wenzetu mmechukia hatua Gani? Kama nyie siyo vyama machawa wa CCM. mnafikiri sisi hatujii kuwa nyie ni machawa wa CCM
@mtanganyika-e2b
@mtanganyika-e2b Күн бұрын
Labda huelewi maana ya kuandamana,huna uchungu na yanayotokea.
@theresiadeodatus9975
@theresiadeodatus9975 Күн бұрын
Kwasababu sio mtoto wako ipo sku mungu atalpa nchi aina amani kila cku watu wanatekwa nakuuwawa kikatili mungu yupo
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 Күн бұрын
Chadema wanaandamana kupinga mauaji na itekaji wa viongozi wao. Mbuzi Hawa hawaoni Hilo wanachojali ni matumbo yao.
@YacintaJames
@YacintaJames Күн бұрын
Wewe ndio mtekaji, hujui watu wanaandamana kwa nni
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Күн бұрын
Hivi vyama vinachekesha, havifanyi mikutano ila kupinga vyama vingine wako mbele. Kupinga Utekaji hapana
@boniphacemaseromwtta7048
@boniphacemaseromwtta7048 Күн бұрын
Huyu bwanna kama vile Yuko kwenye mattibbabu ya akili
@deusdeditishengoma4335
@deusdeditishengoma4335 Күн бұрын
Kwanza hawa jamaa vyama vyao ni vipi!?? Ni lini waliwahi kuwa na mikutamo ya vyama vya siasa!! Pumbavu zao. Maandamano ni lazima maandamano ,hap wazanzibar wazibe midomo yso kabisa.
@binsherbal6089
@binsherbal6089 Күн бұрын
Hatumuamini Rais period. Msitulazimishe tufuate yenu. Uchunguzi wa Ben Sanane mlipata majibu? Na Kutii Mamlaka ni kwa Mamlaka zilizopata ridhaa Kwa halali sio kwa Wizi wa Kura. Sie Tutaandamana nyie acheni kaeni pembeni. Mie nishaandaa na Bango langu tayari.
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d Күн бұрын
Hongereni sana kweli yanatoka moyoni ok hao watu wanao kufa nini
@CharlesMlaponi-h6z
@CharlesMlaponi-h6z Күн бұрын
Hivyo vyama 13 ni vyama vya watekaji na wauaji shirika. Mimi niccm wa mwaka1980 chin ya wazir mkuu Sokoine nikiwa JKT OPERATION KUJIHAMI tulifanya pamoja na polisi operesheni wahujumu uchumi na op linda jiji la Dar.
@Revelation1412.
@Revelation1412. Күн бұрын
DUUH, TUNAWAOMBA WAZEE MSITUANGUSHE ITETEENI HAKI KWA NAFASI YENU TUMECHOSHWA SANA NA MAMBO HAYA
@solomonkahuta5154
@solomonkahuta5154 Күн бұрын
Kazi ipo.
@CharlesMlaponi-h6z
@CharlesMlaponi-h6z Күн бұрын
Operesheni ilikuwa salama na hakukuwa vifo wa utekaji na wahujumu walijisalisha na mali zao. Ushirikiano na raia ulikuwa mzr sana
@bobostreka7606
@bobostreka7606 Күн бұрын
NYIE MACHOKO SUBILINI MUONE WATOTO WA 2000
@danielgeorge2766
@danielgeorge2766 Күн бұрын
Hawa ni watu hovyo kabisai hawajielewi wanajipendekeza ili mkono uende kinywani atleast kauli ya Katibu wa CCM Comredi Nchimbi ilikuwa na mashiko kuliko hawa vibaraka sijui nani alie watuma kuongea ushwaini huu. Shame upon them!.. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
@ElibarikiEliud
@ElibarikiEliud Күн бұрын
Inasikitisha mnoo. Inapotokea kibaraka sijui wa nani kupingana na chama ambacho kinapigania haki za wengi. aidha tunamwona kibaraka huyu au Hawa hawajitambui na wanaleta mzaha kwenye mambo ya msingi. wanainchi wananyanyasika mnoo na vyombo vilivyopewa jukumu la kuwalinda. vyombo vimewageuka na badla yake vinatumika kunyamazisha wale wanaofichua maovu. Mmelogwa na nani watanganyika. Amkeni
@sofiakhan9706
@sofiakhan9706 Күн бұрын
Nenda barabarani halafu utuambie kama muuaji labda utarudi naye maana sijui kitu gani ?unataka waongo tunasubiri maana Huyo chadema ukishikwa yeye atatoka wote wewe utabakia ndanj nenda
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl Күн бұрын
Maagizo ya wazungu , mnadhulumu watanzania ni nyinyi
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Күн бұрын
We ni wachama kipi ndugu tunajuwa Kuna ccm na cdm tuu wee ni wachama ganiiii unataarifa na utekajii pamoja na mauajii
@glorymiko6830
@glorymiko6830 Күн бұрын
Nyie wote wapumbavu. Akili hamnazo. Nimewasikiliza wote majina yenu. Elimu dunia hamna.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Күн бұрын
Sanaaaa tu wanataka kuharibu uchaguzi hao Chadema Saccoss wanatumiwa na wazungu kutuvuruga
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 Күн бұрын
KATAFUTENI KAZI MUFANYE WATU WAZIMA MMEKALIA UJINGA TU KUSUBIRIA HELA ZA UCHAWA
@JustineWangi-j2t
@JustineWangi-j2t Күн бұрын
Usitufokee wewe watanzania wameelimika sasaivi 😊
@mentalistcompanygudsongs609
@mentalistcompanygudsongs609 Күн бұрын
Njaa ni mbaya sana aisee
@ellymwanga1335
@ellymwanga1335 Күн бұрын
Hivi hawa niwatu au katuni 😂😂😂😂😂 sioni vizuri
@BEBIANASTANLEY-s2w
@BEBIANASTANLEY-s2w Күн бұрын
Kwanza hawa ni chama gani mbon hatukijui anayekijua atuambie
@PendoMakundi-xv6nh
@PendoMakundi-xv6nh Күн бұрын
Yaaanii sura zao zinaona haya na aibu mbona hujajitambukisha wewe ni chama ganii hujulikanii😂😂
@emanuelmwakasungula3052
@emanuelmwakasungula3052 Күн бұрын
Hivi nyie vyama vyenu viko wapi huku niliko siwaoni
@lucaskiswizah7097
@lucaskiswizah7097 Күн бұрын
Tunamshukuru Mbowe ,amewaamsha. Mbona mulikuwa kimya?
@tonitonito90
@tonitonito90 Күн бұрын
Njaaa ni mbaya sanaaaa
@ebenezermushi957
@ebenezermushi957 Күн бұрын
Unataka usalama vizuri.
@sadicmziray8917
@sadicmziray8917 Күн бұрын
Dàaa...kazi ipo tanzania
@valerianimalya5448
@valerianimalya5448 Күн бұрын
kujikana na kukubali kuumia kwaajili ya watu wengine siyo mchezo jamani mx mpunga 0
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b Күн бұрын
Hata ofisi na wanachama hamna. , muna nguvu gani yakuweza kutwambia TUSIFANYE MAANDAMANO ,,MABUNUNDA NYIE CCM B ,
@yohanakateko
@yohanakateko Күн бұрын
Tanzania Kuna vyama vitatu A CT chadema na ccm nyie wakina nani kikundi gani
@deusdeditishengoma4335
@deusdeditishengoma4335 Күн бұрын
Pumbavu,hili jinga,hivi ni vyama vya njaa, pumbavu
@clarencelazaro9600
@clarencelazaro9600 Күн бұрын
Hii nchi janjajanja nyingi
@KhamisSeif-t3d
@KhamisSeif-t3d Күн бұрын
Watizameni macho yamewatoka hawa wapumbavu wanatokea vyama gani hawa
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u Күн бұрын
Kweli mungu awasamehe sana nyie ni matumbo yenu tu mnafanyia poleren sana kwa kusetiwa mpo vizuri kwa uchawa mmepewa ngapi mwenzangu.
@generosennko8343
@generosennko8343 Күн бұрын
Mmefanya vizuri baadhi yenu kulaani vitendo viovu vya utekaji. Ila pungufu lenu ni kutokuongelea au kusisitiza kurudishwa kwa soka na wenziwe wakiwa hai. Mmefeli kuwa address watekaji ktk hilo. Thats the main thing i guess
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi Күн бұрын
ETI RAIS KAGUSWA ACHENI UZWAZWA,HIYO JANJA JANJA WATANZANIA WA LEO SIO WA ENZI HIZO,KIKAO CHENU CHA KUJAZA MATUMBO TU,ETI TANZANIA KUNA AMANI ACHENI UJINGA NYIE WAPUMBAVU.
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 Күн бұрын
Kwa kweli vyama vya upinzani hapa hatuna. Turudi chama kimoja. Utitiri umekosa maana. Hamjisikii vibaya kufanya unafiki kihivyo?
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi Күн бұрын
TUNATAKA MTUONYESHE WANAOUWA RAIA WA KITANZANIA PIA TUMEWACHOKA KABISAAA ENOUGH IS ENOUGH.
@lucaskiswizah7097
@lucaskiswizah7097 Күн бұрын
Kwa hali iliyopo,HAKUNA hekima ya Rais hapo
@modestuskangalawe2420
@modestuskangalawe2420 Күн бұрын
Hata hivyo wanamsaidia Rais aende ICC mapema. Hajawaona Marais wengine wakikamatwa na ICC kama raia tu
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Күн бұрын
Hawa ndio wanawasemea watanzania sio chadema kwani Tanzania hakuna chama kimoja kuna vyama vingi
@lucaskiswizah7097
@lucaskiswizah7097 Күн бұрын
Kwanza mnatafasiri vibaya Maana na Nia ya maandamano
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Күн бұрын
Zamani ilikuwa ukimkuta mtu anaKIPALA ilijulikana tu anapoint sana,, Siku hizi imekuwa tofauti kabisa
@AlexMetui
@AlexMetui Күн бұрын
Watanzania mumelogwa mandamano lazima acheni upuzi waganganjaa tu
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n Күн бұрын
Kwa Uchaguzi Gani Kwanza? Kwanza Nyinyi Mnaotoa MAWAZO HAYO mna Vayama Au Ndio VYAMA VYA Uchaguzi CCM Tunawajua WAOGA Tuacheni. Tuandamane Wao C Wanapenda Kua Tukiandamana Ndio Itakua vizur watatua Kwa. Uwazi kilamtu Hataona TUMEICHOKA MANENO HAYO WAJINGA NYINYI
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Күн бұрын
Congo Kulitengenezwa vyama vya aina hii na serikali ili ipate uhalali wa uhuni wao, hawa ni vyama vya wa aina gani! Rais kashindwa Lissu mpaka leo majibu yapo wapi? Maagizo tukio la Lissu Rais aliagiza uchunguzi ufanyike je upo wapi huo uchunguzi????? Pumbavu ninyi kondomu, maandamano ni haki ya kikatiba yanavurugaji uchaguzi, Unakaa mezani na nani?
@thomaschacha6115
@thomaschacha6115 Күн бұрын
Mbona kama Mamlaka Fulani anatoa onyo na maagizo na sio viongozi wa vyama vya Siasa. Yawezekana Hoja nzori ila uwasilishwaji wake
@FanuelPaulo-t9m
@FanuelPaulo-t9m Күн бұрын
Yaani tanzania mmmmmmhhhhhh
@JPO2R69
@JPO2R69 Күн бұрын
Tunaomba taarifa ya Aliempiga Risasi Lisu
@salomejohn7963
@salomejohn7963 Күн бұрын
Jamani nikinanani hao jamani kwakweli maisha yamekuwa makum
@kwisa4899
@kwisa4899 Күн бұрын
Ndugu yao kadhurumiwa haki wao wanaona ni sawa kweli mashehee mujitafajari
@user-fq2nu2fr2w
@user-fq2nu2fr2w Күн бұрын
WATAKAO UMIZA WAANDAMANAJI NDO WATASHITAKIWA KWA SABABU NDO WATAKUWA WANAVUNJA SHERIA
@isaiahtemba905
@isaiahtemba905 Күн бұрын
Money is talking nonsense 😔😔
@user-fq2nu2fr2w
@user-fq2nu2fr2w Күн бұрын
EBU JIPIME KAMA KWELI CHAMA CHAKO KINASIFA YA KUWASEMEA WATANZQNIA ! Una wanachama wangapi Tz, Uliwahi CHAMA chako kushinda Uchaguzi wa Serikali Vitongoji au Mtaa au Vijiji au Kata, Majimbo mangapi yapi ?
@GabrielMwakasitu
@GabrielMwakasitu Күн бұрын
Tunasafari ndefu kufikia malengo ya kitaifa! Kwahiyo nyie mmekuja kutetea nini? Mungu usimame upande wetu. Ninyi ni maadui wa Chadema
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Күн бұрын
Ñitamdai huyo huyo anayeweka sheria batil kisheria, na kushawishi wasio jihusisha katika swala zima la kufanya uchaguzi ni kujiingiza tu kimaslahi kwao na wanaowatumia bila kupima vigezo ili kufanya kazi wanayoifanya hata sasa! Eti washindani wa kweli ndio wanapewa jina baya kwetu kuwa hoja zao bila kujua kuwa wananchi sasa tumewajua!
@SauwaeliNnkoEbenezer
@SauwaeliNnkoEbenezer Күн бұрын
Chadema pekee ndio inajitambua nyie mbumbu vibaraka wa CCM amjui uchungu wetu watanzania. Kama nyie mepewa Rushwa zaidi ya 100mln Kama hongo lazima mseme hayo lkn sisi tulio fiwa na wapendwa zetu huo uchaguzi autusaidii
@JonathanMteki
@JonathanMteki Күн бұрын
Mwenyekiti WA vyama 13 unatakiwa ujuwe tatizo liko wapi. Hawa Chadema wanasema hawana Imani na polisi Lakini kama unajua Sheria za nchi hii wachunguzi NI HAO HAO Polisi ndio maana wanaona waandamane kilio Chao kisikike na kisheria Wana Hali kufanya hivyo. Binafsi sioni sababu kuwakatalia wao waangalie usalama Chadema waandamane hata wakianzia Dar Hadi Dodoma. Tatizo kubwa kukataliwa na taasisi Ile Ile inayo lalamikiwa na viongozi WA juu nae BILA kutoa ruhusa inaleta maswali mengi Kwa wananchi labda Kwa vyama 13 na pia sio wanachama wao Bali viongozi wao ndio wanaona Sawa.
@JoshuaStanley-qu3im
@JoshuaStanley-qu3im Күн бұрын
Ata sijasikiliza
@Revelation1412.
@Revelation1412. Күн бұрын
SOMENI COMMENT YA @CharlesMlaponi NIMEELEWA SANA USHUHUDA WAKE
@HemedKiama
@HemedKiama Күн бұрын
Nyie kenge ndio nawasha data,someni comments Kila mtu anawaona mbwa,sijajua vizuri Sheria za msajili ila mnapaswa kufutwa mbona hatuwajui?!...
@CharlesMlaponi-h6z
@CharlesMlaponi-h6z Күн бұрын
Wakati ccm kilishika hatamu kikatiba. Walopata shida ni wahujumu na wahalifu siyo raia mwema kama ilivyo wakati huu. WATU WAFIKIRI ZAIDI!!!!
@VitusNdaruhekeye
@VitusNdaruhekeye Күн бұрын
Hovyo kabisa, matawi ya ....
@AlexMlaba
@AlexMlaba Күн бұрын
Miaka mine iliopita wamarekani waliandamana kwa kuwawa mtu mmoja na mwaka mmja ulopita wafaransa waliandanana kwa kuwawa mtu mmoja lakini tanzania mamia ya watu wameuwawa na kutekwa
@mosesibmshangamshanga7885
@mosesibmshangamshanga7885 Күн бұрын
Kama mimi nilijua tu ..vinavyotuumiza ni hivi vyama 13..havijawahi kushika hata ujumbe 10...kazi yao kuhakikisha wanakwamisha mambo tu
@MaghobaGeorge-lq4yg
@MaghobaGeorge-lq4yg Күн бұрын
Maandamano sio mapigano ni haki ya kikatiba nawashanga munahusha maandamano na fujo is two different things waacheni waandamane na wapeni ulinzi ndio kazi ya polisi
@Mwanasheriameshack
@Mwanasheriameshack Күн бұрын
Naomba mtaje na vyama vyenu vya siasa
@frankyahaya8978
@frankyahaya8978 Күн бұрын
Nyie vyama vya upinzani vya CCM njaa inawasumbua.
@rajababrahman4365
@rajababrahman4365 Күн бұрын
Hawa ndio Jeshi la chawa Nchi yetu inapitia ktk wakati mgumu sana Ikiwa aliyesema maandamani ni grama Tutamwamini vipi ktk uchunguzi Nyie ni wachumia tumbo Ndugu wana Nchi tusikubali upumbavu huhu
@rwezimulastephen3713
@rwezimulastephen3713 Күн бұрын
Nadhani Kuna wanaohusika. Upinzani na upinzani!!!.
@lucaskiswizah7097
@lucaskiswizah7097 Күн бұрын
Tuna matukio mangapi,Rais alikuwa kimya
@AlexMlaba
@AlexMlaba Күн бұрын
Ccm na machawa wanaogopa maandamano kwasababu wanajua maandamano ni top gear ya kuleta mabadiliko ktk nchi yoyote
@jafetzani8568
@jafetzani8568 Күн бұрын
Jasa wanaotaka kuharibu uchaguzi wa serikali za mtaa ni waaandamanaji au watekaji.
@lucaskiswizah7097
@lucaskiswizah7097 Күн бұрын
Watu wa kujipendekeza Kwa watawala,utawajua tu
@oscarwasenga1333
@oscarwasenga1333 Күн бұрын
Hamna vyama hapo wahuni hawo ( chadema ✌️)
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi Күн бұрын
KICHWA KUBWA AKILI HAMNA KABISAAA, WEWE UMEWAHI ULIWA NA MTOTO WAKO KWA HAYO UNAYOYASEMA,KWA NINI UNATETEA UJINGA ,MNAUWA ILI MUONGOZE WAKINA NANI?ROHO ZENU HAZINA HURUMA KABISA.
@KhamisSeif-t3d
@KhamisSeif-t3d Күн бұрын
Haya wanafiki na wasaka tonge washajitokeza jamani Hawa akina nani mimi siwajui
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 Күн бұрын
Kwani walipoandamana walikufa watu gani?tena mikoa yote sijuwi kusikia, maandano ya Amani hayanatatizo na yanabmpanafasi mtawala kujuwa yanayowasibu wananchi wake kirahisi Sana, sijuwi hivi vyama ni Kwa maslahi ya Nani😮
@BoniphaceManyama-y2s
@BoniphaceManyama-y2s Күн бұрын
Ni kweli Kuna wazee wapumbavu kuliko wapumbavu wote yaani unauliza unaandamana kudai Nini? Wakati watu wanauwawa? Utatumiwa Hadi lini ? Na ccm?
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf Күн бұрын
Sisi wananchi ndio tunataka
@elishagebo6481
@elishagebo6481 Күн бұрын
WACHUMIA TUMBO HIVI VINATETEA RUZUKU HAWANA UPINZANI WOWOTE😂😂
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 Күн бұрын
Yote mataahira na machawa ya CCM jinga kabisa
@SauwaeliNnkoEbenezer
@SauwaeliNnkoEbenezer Күн бұрын
Matawi ya CCM hao bwana Hakuna haja ya kuangaika nao ujinga tuu
@justicebridge
@justicebridge Күн бұрын
Nyie wanafike mumelipwa hela maandamano ni swale la kikatiba. Unaongea maagizo ya rais kwani serikali uwa haipingwi shame upon you. Ata unavyoo gea nafusi yako inakuzomea
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf Күн бұрын
Tangia lisu alipigwa risasi leo mwaka wangapi akuna uchunguzi watu mnakula bata mbaka mtawala ameenda mbele ya haki je mnataka tukalishitaki kaburi baada ya kugundulika aliepita ndio sababu
@LarryJade-k1u
@LarryJade-k1u Күн бұрын
Kwanini mnapinga na hamjitambulishi ninyi ni nani mnaoongea na watanganyika kupitia midia maandamano haki kikatiba
@deusdeditishengoma4335
@deusdeditishengoma4335 Күн бұрын
Waranzania wapenda hak lazima waandani ,hso wajinga njaa na walio wengi wazanzibar wakae wakale ulojo! Hatuwwzi kukaaa kimta wakati watu wwnauawa! Wajinga kabisa Hawa!
@ramadhaniomar4774
@ramadhaniomar4774 Күн бұрын
Wew ndio hujaguswa,usisemee nafsi zetu, wew kama hujaguswaa kaa kmyaaa
@JumbeOjaso
@JumbeOjaso Күн бұрын
Hiyu mjinga ni wa chama na chenye ,viongozi wangapi ,waliowahi kushinda uchaguzi japo wa vitongoji na mitaa? Yaani my mtu na mkewe wana wanamiliki chama,halafu anapewa platform na vyombo vya habari???😢😢😢
@rwezimulastephen3713
@rwezimulastephen3713 Күн бұрын
Kwa hiyo unahalalisha kutakuwa na fujo na watu wataumizwa.
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 21 МЛН
USIYOYAJUA KUKAMATWA KWA BONIFACE JACOB CHADEMA YAZUNGUMZA
4:39
SAUT DIGITAL
Рет қаралды 10 М.