PROFESA MBELE WA MAREKANI AMSHAURI RAIS SAMIA KUHUSU MAANDAMANO YA CHADEMA, "AMEINGIZWA CHAKA"

  Рет қаралды 55,484

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 286
@AmosMTUNDI-y7y
@AmosMTUNDI-y7y 22 сағат бұрын
Huyu ndiye mshauri mwema mungu ambariki kwa ushauri weye hekima
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 20 сағат бұрын
BRAVO PROFESA MBELE....ANDIKO LAKO NI SHULE TOSHA KWA MH. RAIS SAMIA....MH. RAIS USIONE AIBU....JIRUDI....UJISAHIHISHE.
@elisaelistephanommari6695
@elisaelistephanommari6695 23 сағат бұрын
Prof umesema kweli Jeans prof
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj 21 сағат бұрын
Haya ndiyo matumizi sahihi ya elimu kwa manufaa ya umma siyo manufaa ya watawala
@salumchoma8731
@salumchoma8731 13 сағат бұрын
Mama yetu,kipenzi chetu , na Rais wetu nakuomba yasome aliyoandika huyu prof mbele ili nchiyetu iendelee kustawi inshaallah
@Mosmwampa
@Mosmwampa 23 сағат бұрын
Nakubaliana na uchambuzi WA professor. Kuna wakati Huwa namfikiria Rais Samia hakuwa mbaya kiasi hiki, ila Huwa nahic Kuna wabaya wanaomzunguka hasa washauri wake na wamekuwa wakimpotosha, hii inaweza kuwa ni kwaajili ya maslahi Yao wenyewe au WA Nia ya kumpotosha Rais na kuharibu sifa yake Kwa awam yake ya uongoz
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 22 сағат бұрын
Ila chadema haina wabaya, tatizo kubwa pale chadema ni lisu. Mlopokaji machafu, mhamasishaji ujinga na si raia wa tz. Kibaraka wa ulaya na marekani.
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 22 сағат бұрын
Aaminiwe wapi kati ya tz na huko ulaya, tujifunze kwa wenzetu tuamke.
@YohanaKitegelo-eb5gs
@YohanaKitegelo-eb5gs 22 сағат бұрын
Huyu ameshauri vizuri
@wiza2309
@wiza2309 22 сағат бұрын
Mungu yupo atasimama na watanzania
@annafredinandmatandiko8438
@annafredinandmatandiko8438 11 сағат бұрын
Cc wenyewe tunatakiwa tusimame sio mungu tujitoe muhanga tuuu
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd 7 сағат бұрын
Mungu haingilii matendo yetu. Ukombozi / matatizo yetu yako mikononi mwetu. Tukisubiri mungu atusaidie hatutapata jibu mpaka kufa. Watekaji, wauaji, watawala, polisi na kila mtu anmuomba mungu ili Jambo lake lifanikiwe. Kufanikiwa hakutegei sala Bali juhudi katika lengo la mtu na njia sahihi. Tuondokane na dhana ya kusema mungu atasaidia. Hili halitatokea chini ya jua kama tukikaa tumekuja mikono na kufunga akili zetu tukisubiri maajabu kutoka kwa mungu. Huku ni kujidanganya.
@FocusmachumuMwizarubi
@FocusmachumuMwizarubi 22 сағат бұрын
Sahihi Samia Hana karama ya uongozi ila ualibifu wa Mali za nchi na siasa mbaya za kuzuia watu kufanya mikutano
@tanzanite9944
@tanzanite9944 18 сағат бұрын
Wajinga kama wewe wako wengi
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 13 сағат бұрын
WEW MWENYE kalama ya uongozi unaongoza nin
@mohdkhamis-b6v
@mohdkhamis-b6v 10 сағат бұрын
Wewe siasa umefatilia wakatihuu hujui yaliopita katika nchihii wakati mamandie alie ruhusu mikutano wakati wa makufuli hataukitembea unaogopa mfanyabiashara hanauhakika mzigo kama utafika godauni salama haujashikwa na askar akabambikiwa kesi moo alikimbia alitekwa matajiri walikimbia lisu alikimbia lema alikimbia we khanisi fatilia ndio utoe makosa
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 8 сағат бұрын
We ni mbwa hizo mali alizoharibu upo wapi?
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 8 сағат бұрын
Mikutano haijaanza kuzuiwa leo
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo Сағат бұрын
Asante Prof Joseph Mbele. Hakika unafraid sana kuwa mshauri mkuu kwa viongozi wa nchi ili kudumisha amani,upundo kwa nchi zetu. Hongera.
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 22 сағат бұрын
Prof. Uko sahihi!
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 22 сағат бұрын
Huyu mama kweli anashida kweli!! Makosa ya wazi sana anayofanya huwezi jua ni kutokujua huwezi kujua ni ubabe au ni nini!!! Anawaamini watu ambao hawaaminiki kabisa
@MaryMwamwezi-xm3iz
@MaryMwamwezi-xm3iz 21 сағат бұрын
Unashida wewe
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 13 сағат бұрын
Hakuna hata Rais mmoja wa Tz alikuwa muadilifu ila kila mtu anamadhaifu yake
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 23 сағат бұрын
Kwa kweli hata mimi ile hotuba ya Rais imenisikitisha sana.Ilikuwa ni hotuba ya hovyo sana isiyo na busara wala hekima hata chembe.Hao wanaomshauri rais wanamshauri vibaya na wanakosea sana.
@salummohamed2689
@salummohamed2689 22 сағат бұрын
Hawamshauri, polisi wanamwandikia naye anasoma kama hisia ya mwandikaji (polisi) ilivyo kumbe ni yeye anajiingiza kichakani, atatokaje hatujui labda KATIBA iliyopo ifutwe kabisa Ili watu wajue nchi iliyokuwa ikisafiri salama imejikwaa. "Muda"............
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 21 сағат бұрын
​@@salummohamed2689salum utachukiwa kwa kusema ukweli na wenzetu wa dini ila hotuba iliniumiza xn
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 14 сағат бұрын
wanaomshauri vibaya rais ni mzee kikwete!
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 11 сағат бұрын
Ndugu zangu rais alikuwa anahutubia polisi kwenye sherhe yao, hivyo ndiyo lugha ya kipolisi lazima kutoa amri kidogo maneno ambayo huwezi fafanua kama Integellensia , kwa mamlaka nilonipa sio katiba, rais naye ni binadamu asamehewa ili uwe huru!
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 10 сағат бұрын
Ila rais wa tz huko ulipo kichskani shikamoo
@hezronbaraka8304
@hezronbaraka8304 22 сағат бұрын
Prof uko sawa,washauri wa Rais wanamtoa kwenye relief ya 4R zake
@GodfreyMbilinyi-kx7qb
@GodfreyMbilinyi-kx7qb 7 сағат бұрын
Mungu Ibariki TZ wajaze viongoz wetu hekima na busara, watuongoze kwa kufata katiba , tunaomba uwape hofu viongoz wetu na aman itawale katika uongozi wao
@siamollel6051
@siamollel6051 13 сағат бұрын
Haukukabidhiwa ni ilitokea tu alipofariki Raisi wa Tanzania,Hatujadili ju ya utekwani na mauaji ya Watu,,Tuna baki tukitishana na ,hali ipo wazi inaumiza sana
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 22 сағат бұрын
mie binafsi nampenda sana Rais Samia. anavoongea hekima yake yaani dah mama jmni huyu..ila kama m/adam anamapungufu yake. tumuonbeeni Rais wetu mpendwa binti Suluhu wake Hassan
@rejobu9723
@rejobu9723 15 сағат бұрын
Binafsi sijamuelewa kbs mh,rais kwa speech yake
@HongeraCharles
@HongeraCharles 21 сағат бұрын
Maccm mapumbavu sana hayawezi kukuelewa prof
@barakalesukwi5636
@barakalesukwi5636 12 сағат бұрын
Umeshauri visuri sana Mheshimiwa kazi imebaki kwake yeye atafakari na ajirudi kujisahihisha ili nchi iendane na mxingi wa haki na demokrasia kama katiba yetu inaposema........
@solomonmsomba1677
@solomonmsomba1677 23 сағат бұрын
Mimi naamini Tanzania tuna watu wasomi wazuri lakini hatuwatumii ipasavyo.
@matiredms917
@matiredms917 22 сағат бұрын
Bwana Solomon Wasomi wetu ni wasakatonge ambao wanatumiwa na Watawala kama public relations officers wa Watawala. Chukua mfano wa Prof. Palamagamba ambaye alimwita Magufuli mheshimiwa Mungu na kumshukuru kumwondoa kwenye jalala akimaanisha Chuo Kikuu cha DSM! Ni aibu kubwa kwa wasomi wetu kujidhalilisha hivi.
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd 7 сағат бұрын
Katika Tanzania wasomi weetu ndio watu wasiojitambua kabisa. Wanaimbishwa nyimbo na watu ambao hawakusoma, wanaruka kwenye majukwaa kutetea uvunjifu was katiba, sheria, ukandamizaji na kujifanya wanatoa mada za kisomi bungeni, kwenye makongamano nk. Angalia prof. Kabudi siku moja akiwa waziri wa Katiba na sheria alidiriki kusema Katiba sio lazima. Kama Katiba sio lazima kwanini Kuna wizara yake?!. Wanasheria wakubwa wamekaa kimya huku taaluma inadhalilishwa waziwazi. Wote wako busy na kwenye jungu la ukoko Kuna Nini?! Wanasubiri teuzi, kila mtu akisimama kusema lazima aanze na sifa lukuki kwa mheshimiwa kuliko wengine. Hawa ni wasomi ya enzi ya ujamaa ambao wote walifika pale kwa kuwa watiifu kwa chama. Hawana uwezo wa kujitegemea ni lazima waongozwe na ufalme- chama Chao.
@DoctorRengeda
@DoctorRengeda 11 сағат бұрын
Salute Prof kwa shule ....sasa wewe mama abduli kazi kwako chukua hiyoooooo.
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 6 сағат бұрын
Raisi Samia ni bora sana tena sana ila ni Raisi asiependwa na wenye nyadhifa nyeti na kuu wanataka kuichafua historia muhimu ya kitabu chake pengine kingekua Cha tofauti sana kwa uzalendo na democracy sahihi: 1.Wahusika wakuu Wanachama wa c.c.m waliomo ndani serikali na inje. 2.Police wanatumika baadhi yao. 3.Wenye chuki za udini . 4.Wenye ubara na uzanzibari. 5.Wenye tamaa za madaraka ndani ya c.c.m
@emanuelurio-ok8yl
@emanuelurio-ok8yl 23 сағат бұрын
Kwa kweli inatia matumaini maprofesa kutoka duniani wanaipenda jamii ya watu wa Tanzania
@fidelisjoseph-tt9zl
@fidelisjoseph-tt9zl 15 сағат бұрын
Alitakiwa kuwa kemea polis!hivi itelijensia ya kuichunguza chadema ipo imara ila yakuchunguza utekaji mauaji haipo .
@majebelemathis9991
@majebelemathis9991 13 сағат бұрын
Siku zote nilishawambia kuongozwa na mwanamke ni shida tupu uongozi ni kuwapa haki watu uñaowaongoza ni si kila kitu amani tu
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi 30 минут бұрын
Hakika ujumbe mzuri sana umeelezea hekima na busara za hali yajuu sana ❤❤
@husseinbakar2358
@husseinbakar2358 8 сағат бұрын
Mama ni mpole Sana ,mama ni mpenda Aman,mama lakini kuna jopo la watu nyuma yake ambao wanaekti kumpenda mama kumbe wanamchafulia Mama,Mm binafsi yangu ❤ Mama Samia jemedari.
@Globalpeace123
@Globalpeace123 2 сағат бұрын
Kwani yeye hana akili na ufahamu wa kupambanua mambo Mambo yote anayoyasema ndivyo alivyo yeye mwenyewe na roho yake mbaya msisingizie washauri wake Kwa namna hiyo hafai kuwa kiongozi kwani hana ufahamu wa kujua mambo ndiyo maana nchi yetu imekuwa kama shamba la bibi serikalini waiba tu
@andrewsimwinga7773
@andrewsimwinga7773 50 минут бұрын
Proud of u Prof🫡🫡, nampenda sana mama natamani asome huu ujumbe 5 tena😋
@LivinusMwinuka
@LivinusMwinuka 13 сағат бұрын
Huu shauri hauwezifika kwa rais kwani ndio wanamwinza mama gizani, unngekuwa ubaya wangepeleka,
@victorronald1449
@victorronald1449 16 сағат бұрын
Huyu ni profesa bora sana lakini yeye yuko marekani angekuja tuandamane wote
@hamisidale2704
@hamisidale2704 22 сағат бұрын
Miaka 248 ya Uhuru wa Marekani dhidi ya miaka 63 Ya Tanganyika or Tanzania baada ya Muungano ninachojaribu kusema na kukirudia mambo yanayoendelea nchini hayakuwepo awamu ya kwanza ya Baba wa Taifa Nyerere eti mtu katekwa mchana kweupe watu kuokotwa kwenye visalifeti hayo hayakupewepo,zaidi ya watu kuwekwa vizuizini au wakati wa Uhujumu uchumi "la kumshauri Rais ni kutosimamia au kutetea uovu"Mheshimiwa Rais kama unaweza kusikia minong'ono ya chadema yawaje usisikie hayo ndani ya Jeshi la Police au Usalama hayo matukio yote ndio utakayokumbukwa nayo ukimaliza uraisi wako"Uchunguzi wa watekwaji na waliodhulumiwa Roho zao Imiza yakufikie mapema ili nchi irudi kwenye Msitari wake ikawe tena Tanzania kisiwa cha Amani na sio otherwise "
@Michealfarah-n1w
@Michealfarah-n1w 8 сағат бұрын
Good watu kama hawa wanahitajika kumsaidia raisi kima wazo!.😢
@imanikimonga8226
@imanikimonga8226 25 минут бұрын
Hii ndio shule kwa viongozi wote safi sana Prof
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 22 сағат бұрын
UNAONGEA UJINGA SANA HAKUNA ALIYEWAHI KUKUCHAGUA
@maryammMaryamm-p4s
@maryammMaryamm-p4s 12 сағат бұрын
Yupo sahihi prof Big up
@OmaryKanyatta
@OmaryKanyatta 8 сағат бұрын
Uko sawa sana kwa ushauri Prof
@MaswiJuliasjoseph
@MaswiJuliasjoseph 9 сағат бұрын
Barikiwa sana prf,, mama hajui kusoma hata picha tu haioni
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym 18 сағат бұрын
Huyu ni profesa kweli kweli!!! Sio profesa njaa!!!
@SeverinusHyera
@SeverinusHyera 14 сағат бұрын
Hongera kwa ujasiri wa kujitosa kwenye siasa. Mchezo huu ni mchafu.
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 16 сағат бұрын
Mama raisi ujuwe wanao lalamika wanamauumivu sasa watu wamejawa na hasira watu wanatekwa wana uwawa mama wamekuingiza chaka badae haohao watakucheka na unao humohumo ikuru mama tafakari hivi unaona sawa kwa walio kushauli hutuba yako imezidisha hasira kwa walio wengi ccm wapo robo tuu mama wengi wapinzani hilo ulijuwe ata hao wabunge na viongozi wengine hawakuchaguliwa ujuwe ndiyo mama wanakupotosha mama
@joselinejonathan8818
@joselinejonathan8818 3 сағат бұрын
Profesa uko sawa, Bibafsi nilitegemea Raisi km anajali kuhusu haki na Amani, angeelezea hata hawa waliotekwa ni vp wapatikane, Lakini hotuba nzima ni kuilaani chadema,
@RamaMikidad-vm3we
@RamaMikidad-vm3we 22 сағат бұрын
Samia mamaangu. Nikichaka chenye nyoka wakari sana lazma watu wapigemawe tunaisha. Nayeye ndyo chaka rina wakinga
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 8 сағат бұрын
Shida kina kina Lisu kauli zao chafu matusi na kashfa naye ni binadamu wanajaribu kuitishia Rais ni kitu ambacho hakiewezekani.
@judithkweka8953
@judithkweka8953 10 сағат бұрын
Yes good point
@user-ms5sp2cc9p
@user-ms5sp2cc9p 8 сағат бұрын
Your perfect ❤
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 15 сағат бұрын
Anasema ana muari yan atafanya chochote. Kire ata damu zimwagike ila yye abaki hapo kwa uraisi na azid kutuza mahana kauza bandari na maeneo. Mengi sana
@HolloJuma
@HolloJuma 22 сағат бұрын
Hakika Yule anae muandali au kumuandikia yakuongea anampotosha masauni hataalivyokua msibani alikuwa anaonyesha kabisa kuanaanachokijua
@danieljonathan6619
@danieljonathan6619 12 сағат бұрын
huyu ni prof indeed ✍️
@KamiliKapeta-yr3uc
@KamiliKapeta-yr3uc 23 сағат бұрын
Marekani wenyewe mashoga
@ErickyKatunzi-gx3mi
@ErickyKatunzi-gx3mi 22 сағат бұрын
Mbona huwa mnaenda kuwaomba misaada.
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 22 сағат бұрын
Namna wasio na akili hujitambulisha kwa jamii
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 22 сағат бұрын
Huwezi kuchota busara kwenye kisima cha mpumbavu!
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 22 сағат бұрын
Tunahitaji wachunguzi huru na c vinginevyo
@AthumanMshaghasho-r2c
@AthumanMshaghasho-r2c 21 сағат бұрын
Nàamin mama sio mbaya ila kuna baadhi ya watu wanamdanganya mama aonekane mbaya hakuna mama anakua mbya kwa watot hata iweje ila mtoto unaweza mdanganya mama pia haipendez maana ingawa atakubali udanganyif mungu hawezi kubali na mdo maana tunaona mengi tusiyo tarajia hapo ni mungu ameamua kutuonyesha kwamba sisi sio vpofu tenaaaa japo sio vipofu tunaona ila hatuna chakufanya tumtegemee mungu atafanya yy ila mama hapaswi kulaumiwa kumbukeni hata hotuba yake inaandaliwa na muaandaji siyo yy kamwe siwez mlaumu mama cha kufanya tumuombee na mungu amtoe kwenye kifungo ili awe na maamuzi yake binafsi mama mungu yupo pamoja nawe mama yangu uwongozi ni ujasir
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 20 сағат бұрын
AKILI ZA KUAMBIWA ACHANGANYE NA ZA KWAKE.
@GilbertJulius-vm3pk
@GilbertJulius-vm3pk 10 сағат бұрын
Raisi wetu ni mzuli sana akisimama yeye kama yeye isipo kuwa anaingizwa Chaka raisi wetu kipenzi tunakupenda sana ila chuja maoni ya watu wewe kama wewe alafu yafanyie kazi baazi ya maneno Mungu akupe hekima Katika kutafakali Amina
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi 27 минут бұрын
Nikweli mama etu mzuri ispokua kunasehem wanamkwamisha wasiopenda maendeleo ya 🇹🇿 letu
@louisnyaki1936
@louisnyaki1936 12 сағат бұрын
Ushauri bora sana ingawa nachelea usije ukatafsiriwa ni wapiga kelele tu
@davidsamson8292
@davidsamson8292 23 сағат бұрын
Kwa hili na mm naamin Prof kuwa majority ya viongozi wetu hawaitambuia katiba pale wanapoikiuka ila inapo wa favor wao ndio hujifanya kuijua. Mm nadhani mama angetumia busara kubwa sana katika kauli zake na kusimamia haki.
@AnaaJoseph
@AnaaJoseph 23 сағат бұрын
Hongeta ni ujumbe mzuri
@Wasafi-q8o
@Wasafi-q8o 20 сағат бұрын
Nice one
@scoutpwanimchangani6711
@scoutpwanimchangani6711 20 сағат бұрын
Hawa wasomi inaonesha pia wao wameshaolewa huko marekani. Mtu msomi unashauri maandamano. Aachen ujinga kama anaona maandamano ni sawa alete watoto wake na ukoo wake wote waingine barabarani. Mimi ningelikuwa Mhe rais yaani ningelianza na yeye huyo msomi.
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 13 сағат бұрын
Tuambie kifungu gan cha katiba kinasema maandamano ni kosa
@RamadhaniSesige
@RamadhaniSesige Сағат бұрын
Makini sana
@AdiaAhmad-s5o
@AdiaAhmad-s5o 23 сағат бұрын
Msimsakame saana mungu atasimama haki itajulikana
@George-jz3jg
@George-jz3jg 23 сағат бұрын
Huyo mungu wako atasimama kwenye haki ipi wakati watu wengine wameshakufa na wengine hawaonekani? Ebu toa ufafanuzi wa huyo mungu wako wa haki
@hajirashidamani7709
@hajirashidamani7709 21 сағат бұрын
CCM Ndiyo tatizo walivutana sana naa CUF Zanzibar mwisho Serikali ya Kitaifa,sasa wazo lako pro nizuri CCM na CHADEMA wa kutane ili kulinusuru Taifa Letu hakuna mshindi kwenye vifo vya watu
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 11 сағат бұрын
Zanzibari walikuwepo viongozi wenye hekima, waliojua madaraka yana kikomo maalim Seif Mungu amreheremu na Aman Abeid Karume mtu muungwana sana! Chama chetu kwa sasa huku bara wako wababe kuliko Idd Amin Dada , Mungu tusaidie! Wazuri sana kutengeneza tatizo na kutaka kutatua wenyewe Mungu atusaidie kuna tatizo kubwa!
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 23 сағат бұрын
Yuko vizuri ,mama tumsaidie kuongoza Taifa hili niletu sote jamani msitugawe viongozi wa siasa
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 7 сағат бұрын
Safi kabisa Profesor, wewe si chawa kabisa.
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 23 сағат бұрын
Kuna watu hawaongozeki ila kwa nguvu, wengine houongozwa kwa kuaminiwa, kundi la mwisho hufanya kwa kusimamiwa.
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 23 сағат бұрын
Mama tunaimani nae sana wacha afanye kazi yake
@JohnKipalile-bq9ec
@JohnKipalile-bq9ec 23 сағат бұрын
Kwanza rais mwenyewe hatujampigia kura
@RichardKilepo-xj1sy
@RichardKilepo-xj1sy 21 сағат бұрын
Ww mwenyewe nilishawahi kupiga kura au
@KiringoMtemi
@KiringoMtemi 39 минут бұрын
HUYU MAMA ANAPOTOA HUTUBA ZAKE SIJUI ANAKUNYWA KONYAGI KIDOGO MAANA ANAKUA HANA ADABU ANAFIKIRI HAWA WATANAZANIA WOTE NI WAJUKUU ZAKE ANAWEZA AKAWAAMBIA CHOCHOTE😊
@Harunichisaye
@Harunichisaye 11 сағат бұрын
Bahati mbaya ushauri mzuri kama huu wa professor hauta sikilizwa na watawala.
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 22 сағат бұрын
Hongera mama waambie❤❤
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 20 сағат бұрын
Walewale hujamuelewa profesa
@estambuya3901
@estambuya3901 12 сағат бұрын
Nakushauri rais samia, achia ngazi ukapumzike zako,hotuba yako ilikuwa mbovu sana,.watanganyika tunajua mbivu na mbichi
@NancyMatuli-fb5jp
@NancyMatuli-fb5jp 8 сағат бұрын
Jamani msaidieni huyu mama inaonekana nchi imemshinda hawezi kuiongoza Tanzania
@PeterNMzee
@PeterNMzee 15 сағат бұрын
Ilibidi magu alipofariki tungetakiwa kuchagua Rais aisee
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 13 сағат бұрын
Katiba mbovu.Nchi nyingi duniani baada ya kifo Cha rais wanakaa kipindi kisichozid mwaka mmoja wanafanya uchaguzi..
@fredgonga
@fredgonga 21 сағат бұрын
Kwenye hotuba kasema "Mlipo nikabidhi dhamana hii!! 🤔 Mhhh lini
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 20 сағат бұрын
Kipindi Cha mpito si tayari
@tanzanite9944
@tanzanite9944 18 сағат бұрын
Hujui lini? Alipokufa Magufuli
@Venas-uh3wz
@Venas-uh3wz 17 сағат бұрын
Nani alikukabidhi madaraka? Muuaji mkubwa
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 15 сағат бұрын
Suala la mgogoro wa maandamano na suala la kukabidhiwa madaraka ni suala engine!na inaonesha hata katiba ya Nchi iliyomkabidhi Makufuli na baadae Samia huzijuwi karibu kupitia kidogo bila ya ushabiki au kulishwa maneno
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 11 сағат бұрын
Haaaa umeona Kama mimi
@josephmantago2837
@josephmantago2837 22 сағат бұрын
Hyu mama anakosa MAARIFA elimu yake haitoshi kupambanua mambo magumu ni rahisi kutaperiwa na wakora
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 8 сағат бұрын
Elimu kitu gani makaratasi TU ana shida gani waliokosea walioanza kumtusi na kuikashfu na Nia yake ilikuwa ni kuileta nchi kwenye Democrasia ya kweli wapinzani wameivuruga wenyewe nchi.wasimlaumu Rais hata ningekuwa Mimi nisingeweza kuvumilia matusi na kashfa lazima tuwe na mipaka.
@JosephAndrea-s5u
@JosephAndrea-s5u 10 сағат бұрын
Jambo zurrry saana na kubwa kaongea professor so it should taken into consideration
@willsoniissaya
@willsoniissaya 23 сағат бұрын
Big brein
@tielyelibariki8958
@tielyelibariki8958 6 сағат бұрын
Moja tu uongozi ni karama kubwa sana bwana Yesu tutetee😮
@elijamchongwe8482
@elijamchongwe8482 11 сағат бұрын
Namutumia salaam hizo za heshima kwa watu wastarabu,ni mategemeo yangu ataisoma,na kushusha pressure juu la swala hili
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 6 сағат бұрын
Tuulizeni sisis tunaojuwa kiswahili fasaha. Kiswahili chengne. Huruma hailei mwana
@johnalexandermushi6720
@johnalexandermushi6720 14 сағат бұрын
Polisi wetu nao wanatetea viti vyao.😅
@eatlawe
@eatlawe 10 сағат бұрын
Mzee JK yuko wapi akamshauri rais ili kuweka mambo sawa? JK anaheshimu duniani kote kama mwanademokrasia na diplomasia!
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 22 сағат бұрын
Nchi hii halijawahi kupata Raisi kilaza kama huyu. Think tank ya raisi kilaza huwa ni ya watu wapumbavu na vilaza wa aina yake? Ma professor chawa na uharo kama Kabudi, na Kitila Mkumbo!! Ngoja Raisi aende kichakani . Alijisaidia huko labda baadae walomleka huko watampelekea maji atawaze, PERIOD
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 11 сағат бұрын
Mama tunakuomba utilize kichwa kunatatizo katika nchi yetu!!
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 22 сағат бұрын
Waliokukabidhi ni hao au wananchi!!
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 11 сағат бұрын
Katiba hii tuyopigia kelele, wala watu wengine hawajui kwanini Katiba ya nchi iwe bora, katiba yetu ni Nzuri kwa kiongozi kama mwalimu Nyerere, wengi wote wamekuwa wanajificha kwenye 8:14 katiba na Vikosi kazi ya posho, kibaya zaidi Wamewangiza viongozi wetu wa Dini kwenye dhambi hii !!
@AmbakisyeSimion
@AmbakisyeSimion 12 сағат бұрын
Huyu mama ana uchungu na wa Tanganyika hata tukifa haumizwi na lolote tukubali timekosea kumpa nafasi hiyo akiondoka madarakani atakuwa ameshaimarisha Zanzibar yake
@elisaelistephanommari6695
@elisaelistephanommari6695 23 сағат бұрын
Heshima prof
@GilbertJulius-vm3pk
@GilbertJulius-vm3pk 10 сағат бұрын
Punguza ukali wa maneno hata mwamke anauwezo wa kuongoza sema washauli wake wako kimaslai ndio wanao mpotosha asimame yeye kama yeye , kitu kingine tim yake ya ccm achane nayo ni hatali sana kwa maisha ya watanzania mama alione hili aschukulie siasa mda wote
@GodfreySospeter-f7r
@GodfreySospeter-f7r 23 сағат бұрын
Dah! Hugo jamaa anaona mbali sana
@jamilbillo5944
@jamilbillo5944 11 сағат бұрын
Kwani Rais amekataa kua Maandamano ya amani si haki kikatiba?, yeye si ndie aliye ruhusu baada yakupigwa marufuku na mtangulizi wake , profesa vipi!? andiko lako hili si ungemuandiakia Magufuli wakati ule! Au ndio wale aliosema Mzee Mkapa "Maprofesa mchwara"
@YassinJuma-q9s
@YassinJuma-q9s 13 сағат бұрын
Watanzania hatuna imani kwa sasa na jeshi la tanzania
@kiatu
@kiatu Сағат бұрын
Tatizo sio washauri. Ni weakness ya rais ya mwenyewe
@emmanuelbwile1175
@emmanuelbwile1175 12 сағат бұрын
Hotuba ya Rais kwa polisi wake haikupaswa kwenda kwa umma hasa ktk nyakati hizi. Ni bora ingebaki huko huko upolisini
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 20 сағат бұрын
NI SAHIHI KABISA ALICHOKISEMA PROFESA..
@NancyMatuli-fb5jp
@NancyMatuli-fb5jp 8 сағат бұрын
Nainaonekana hata akipewa ushauri wa uongo yeye anapokea tu bila hatakufikiri kuwa wanamhalibia zaidi ili azidi kuchukiwa
@mraeliphas9293
@mraeliphas9293 14 сағат бұрын
Prof.Mbele anafaa kugombea urais kupitia Upinzani.
@FrancisAntto
@FrancisAntto 17 сағат бұрын
Good advise and Good Will to President Samia
@JustineWangi-j2t
@JustineWangi-j2t 23 сағат бұрын
Kweli profesa ni profesa tu😊
@Felix72282
@Felix72282 42 минут бұрын
Huyu naye! Puppets wapo wengi. Rais yupo sahihi sana
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 8 сағат бұрын
Tunataka KATIBA MPYA, WATANGANYIKA wana HAKI ya maandamano.
@sempaprudence9052
@sempaprudence9052 12 сағат бұрын
Prof. katumika kisiasa, kwanza si sahihi kufikiri kwamba Rais amepotoshwa, urais ni taasisi si rahisi vyombo vyake vyote vikakosea, miaka michache iliyopita Marekani ilishuhudia kifo Cha Flowd, last few months tuliona Trump akishambuliwa kwa nchi ambayo ina ulinzi 24/7, hivyo hotuba ya Rais Samia ipo sahihi kwani mazingira anayoishi Prof. huenda hana taarifa sahihi
@elikanahsuku6589
@elikanahsuku6589 12 сағат бұрын
Mtazamo wangu Samia huna washauriunaliandaa jeshi lipige waandamanaji😢😂 bunduki ,maji ya kuwasha na virungu sio dawa Kenya waliwapiga wakawafunga na hata kuuwa wengi wa waandamanaji na hawakuacha kuwa na meza ya duara hili litakwisha usituingize kwenye shida we umeshaandaa Dubai watakupokea maana umewapa bandari zetu😂😂😂😂
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 13 МЛН
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,2 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 1,4 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
BBC News Swahili
Рет қаралды 350
"WANAJIANDAA KUTUUA, TUNAJIANDAA KUFA!"
5:03
SK Media Online TV
Рет қаралды 2,9 М.
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 13 МЛН