MADEREVA Wasimulia WANAVYOTEKWA CONGO NA KUGEUZIWA KESI "RAIS SAMIA TUSAIDIE"

  Рет қаралды 11,333

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

MADEREVA Wasimulia WANAVYOTEKWA CONGO NA KUGEUZIWA KESI "RAIS SAMIA TUSAIDIE"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 22
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 Жыл бұрын
*Mnauficha tu ukweli kazi kuwalaumu wamiliki wamalory tatzo watz mnapenda sana MTEREMKO mkiaambiwa mzigo huu bei furani hata ikiwa ndogo mnabeba manawafananisha waouth AU wazambia wale wanakwenda kisheria nyinyi cnjaaa ndioinayowaponza*
@Dantaata
@Dantaata Жыл бұрын
poleni ndugu zetu
@florenceelikana3040
@florenceelikana3040 Жыл бұрын
Dah kazi ngumu sana pole kaka
@bashirumanzi-hb5hd
@bashirumanzi-hb5hd Жыл бұрын
Dah noma kweli
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Poleni Sana kaka zetu, Kwa Mitihani mnayopitia.
@dicksonsembuli7942
@dicksonsembuli7942 Жыл бұрын
00
@dicksonsembuli7942
@dicksonsembuli7942 Жыл бұрын
It Pop p pop 0]]
@bilaalmuhammad9499
@bilaalmuhammad9499 Жыл бұрын
Kweli matajili wa maroli Tanzania shida sana sana sana
@jumamuhamed8636
@jumamuhamed8636 Жыл бұрын
Shida ipo kubwa sana na mfumo wa nnchi yetu jinsi ulivyo aukup dereva fursa zaid yakukukandamiza tu na matajir wanapewa jeuri na baadhi yaviongozi wa serikal ambao wanakula nao mm nidereva naongea hivi nikiwa najua shida zote nasikwakusimuliwa ila mwisho utafika tu
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 Жыл бұрын
Mhhh kwa ninavyo ona selekali hii sijui Kama kunamsaada?? Maana wao na matajili kitu kimoja sass sijui ngoja tuone
@emmanuelsitayo1977
@emmanuelsitayo1977 Жыл бұрын
Wenye hisa kwenye makampuni ya malori ni baadhi ya viongozi serikali. Ni kwa nini malalamiko ya Madereva kila mara?
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 Жыл бұрын
Msaada hamna labda mtafute kazi nyingine hayo maroli waachieni wenye malori Yao waendeshe wenyewe hapo ndio wataelewa lakini Kwa kusema msaidiwe Sheria mmechemsha tuendeleeni Tu kuishi basi hamna kiongozi atasikiliza hizo kesi innalilah wainailah rajoon basi
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Жыл бұрын
Tatizo wakubwa ndani ya serikali ndio wana hisa ndani ya hayo makampuni hayo. Mmekuwa mnalia kila mara lakini hakuna hatua yoyote inachukuliwa. Wamiliki wengi wana kiburi na kujiamini sana wakijua wakubwa serikali watawalinda.
@drgeofreykupaza7707
@drgeofreykupaza7707 Жыл бұрын
Je yule eskoti anakuwa wapi wakati wa kupewa kesi
@bilaalmuhammad9499
@bilaalmuhammad9499 Жыл бұрын
Na viongoz wote wanajua akiwemo wazili mkuu
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
Kukamatwa dereva katika masuala ya wizi wa mizigo kwenye malori ni moja ya taratibu za awali wakati mwingine hata wamiliki wa vyombo pia hukamatwa, hivyo suala la kukamatwa na Polisi lipo nje ya mmiliki wa chombo.
@SalmaOmary-ck3du
@SalmaOmary-ck3du 5 ай бұрын
Msiende tena uko kongo jamani
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
Milioni 50 mwenye gari anaitoa wapi ya kulipia huo ulinzi ikiwa yeye analipwa $5,000 embu tumia akili, pia ufahamu mwenye gari hapangi bei ya mzigo, utaratibu wa sasa wenye mzigo ndio wanapanga bei kwa hiyo mwenye gari akitaka apakie asipotaka apaki gari pembeni wengine wanapakia. Madereva msiwe wanafiki jaribuni kusema ukweli ili Serikali iweze kutatua matatizo
@dainangei6608
@dainangei6608 Жыл бұрын
Sasa wanafki vipi na wakati wanapitia changamoto nyingi na wengine wanakufa ,mabosi Wala hawajali wanaangalia maslahi Yao tu binafsi .ungekua dereva ndo ungejua changamoto wanazopitia wallah usingesema hivyo na ukizingatia we ni baba wa family.
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 Жыл бұрын
Hivi unajua changamoto za barabarani wewe? Au umeongea tuu? Au unaiita watu wanafiki. Ngoma usio icheza iachie wenye nayo
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
@@dainangei6608 changamoto wanazozioata madereva ni za kusikitusha ila kinachosikitusha madereva wanawatupia lawama wenye magari badala ya kuitupia lawama Serikali ya nchi husika, iweje anasema wenye magari hawataki kulipia pesa za ulinzi Milioni 50 anaitoa wapi. Sasa tusichanganye mambo changamoto za madereva ni nyingi sana lakini haimaanishi zinasababishwa na wenye magari bali zinasababishwa na utaratibu mbovu wa nchi zetu za Kiafrika, waliopewa dhamana wanatumia nafasi zai vibaya badala yake wanaleta kero kwa madereva na hasara kubwa kwa wenye magari. Leo hii gari kwenda Congo na kurudi inachukua mpaka miezi mitatu au minne kama gari imebeba contena mwenye gari anapewa siku 45 awe amerudisha contena ikizidi siku 45 wanalioishwa $60 kwa kika siku iliyozidi sasa piga hesabu kwa miezi mitatu au minne na dereva yote hayo anayajua lakini lawama kwa mwenye gari. Gari zinawekwa mipakani mpaka wiki mbili au tatu bila sababu za msingi na madereva wanajua uhakisia lakini badala ya kusema ukweli analaumu mwenye gari. Hii sio sawa anatakiwa aiambie Serikali hali halisi ya barabarani na unyanyasaji wanaofanyiwa na Wakongo pamoja na Wazambia na sio kutupia lawama kwa wenye magari. Wenye magari pia ni waathirika kama wao.
@SheillatyJabiri
@SheillatyJabiri Жыл бұрын
Jamani ata mm kaka yangu anaendesha maloli inasemekana ametekwa mpaka sasa hakuna taarifa zozote
Sakata la malori DRC CONGO, madereva wasema watabandika stika
4:44
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1 М.
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 58 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
UTAPENDA DEREVA MKONGWE AKISIMULIA MAISHA YA MGODINI MAMBO MAZITO.
28:11
HABARI JAMII DIGITAL
Рет қаралды 28 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Congo: Jungle Couriers | The roads of the impossible
51:21
Les Routes de l'impossible
Рет қаралды 1,7 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН