This Mh H. Bashe is very genuine to be honest i am so impressed with him clever smart courageous in strategy and new idea WELL DONE H. BASHE UNAFAA HATA KUWA RAISI !!!
@amininuru92706 ай бұрын
Very professional and smart Mr. Bashe
@mazartajmohamed14376 ай бұрын
Hongera sana mh bashe kwa bajeti nzuri ambayo haijawahi kutokea matunda kazi yako inakubalika na wakulima ambao wanyonge hatimae wamepata mtetezi wao , chagisoni balomolomo,
@abdulrahmanally14126 ай бұрын
Congratulations my devoted minister of all time, ALLAH AKUPE UWEZO KUENDELEA KUSAIDIA WAKULIMA NA TAIFA KWA UJUMLA, YOU DESERVE SOMETHING MORE, TIME WILL TELL.
@NikwisaMwakamele6 ай бұрын
Mungu akulinde Bashe wewe ni baraka katika nchi hii tunakuombea
@MichaelKingazi-wm7xj6 ай бұрын
Best member of Parliament, hon husein bashe,Godbless you too.
@yohanambilinyi58566 ай бұрын
Hongera sana mh bashe. Mungu atakulipa kwa utumishi wako mwema na uliotukuka.
@MansourKabuhaya6 ай бұрын
Safi sana, kijana kama huyu anafaa sana
@ibrahimwarsame93096 ай бұрын
Hongera sana my brother allah akujalie maisha marefu kwa faida ya wakulima ukimaliza kwenye kilimo na sisi kwenye mifugo tunakuhitaji soon inshaaalah
@enockmwangonda53446 ай бұрын
Kiongozi bora kutoka CCM,hongera sana.
@mazartajmohamed14376 ай бұрын
Mh bashe yuko capable kwa nafasi ya juu zaidi ya uwaziri Nina uhakika atafanya mengi makubwa kwa maslahi ya nchi yetu na watu Wake. mungu ni mwema Amin.
@Brunn-mh2bq6 ай бұрын
Alaa kumbe!! Unazungumzia urais au?.Hawezi kuwa rais😊
@masellemaziku10966 ай бұрын
Bashe uko vizuri sana sana. Tusaidie zaidi wakulima. Kilimo ni pesa. Nilikuwa nashangaa kwa nini sisi wakulima hatutajiriki kumbe Kuna Cartels. Ahsante kwa kuwabaini hao wanyonyaji. NAENDA TENA SHAMBA.
@55goodmen6 ай бұрын
MH. BASHE IS REALLY A PAN AFRICAN...its a shame on us Africans we DONT SPOT THESE AMAZING PEOPLE who sweat there Skin for the poor!!!! WE SHOULD RESPECT AND SUPPORT THESE KIND OF LEADERS THEY ARE NOT COMMON !!! This man is amazing leader i wish him best of all one day he should be A PRESIDENT OF TANZANIA !!!!! i can see Sankara Machel Nyerere Magu Nkrumah spirt hovering around MH H Bashe
@ommyzubery83586 ай бұрын
Ni nzuri kabisa hawa jamaa wengine wañalala tu research ya wizara yako imefaulu kubaini maeneo yanayomtia mkulima umaskini lakini kwenye bei kazi buti
@omarybakunda25546 ай бұрын
Bashe uko sawa na ni mzalendo wa kweli rasi asikuhamishe wizara tafadhali wakulima tutapanda juu.
@shamtenyambega29446 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu kaka yangu MBASHE hakika wewe ni dhahabu kwa sekta ya kilimo
Hizo Centers za mechanization zilikuwepo kama Moshi ilikuwepo ni kufufua tuu! Hata leo tractor zuri la aina ya Ferguson Lipo tunaambiwa la kufundishia wakulima lakini kulipata na nyundo zake ni shida maana ni limoja wilaya zima ya Moshi! Ongeza kama 10 units uone matokeo yake!
@clemencemkondya85616 ай бұрын
Safi sana waziri Bashe
@daudndunguru28565 ай бұрын
Huku had mbifaku wanakata maisha magumu sana
@jumakatanje9556 ай бұрын
Mh .njoo kwenye korosho,wakulima tupo hoi
@daudndunguru28565 ай бұрын
Njoo mbinga vijijini maafisa ushirika niwezi sana
@mustafakimalio91296 ай бұрын
Kwa Rombo hiyo sawa migomba maeneo ya Mkuu sehemu za maharo ,masho ni baadhi ya maeneo yenye mnyauko wa migomba na mimea mingine
@froma37326 ай бұрын
Kenya wanasema tuwape huyu Waziri wa kilimo watatupa Rais wao na Makamu Governor wa Nairobi na Waziri wao wa kilimo Vipi Munakubaliana
@hashimbakari46705 ай бұрын
Sisi watuletee dola trilion 100 atakuwa huko kwa mktaba wa miaka mitatu tu. Hao viongozi wao wabaki huko huko.
@froma37325 ай бұрын
@@hashimbakari4670 Sawa nitapeleka majibu 😁😁😁
@leinaamos6 ай бұрын
Mungu mulinde Bashe
@AbdulSuleiman-q7e6 ай бұрын
Mheshimiwa Bashe pambana na majizi ya pembejeo za kilimo. Wakulima wadogo wanaumia sana.
@yasiniSwedi-qg5oc6 ай бұрын
Nanyie wajuu ambao ndo waibaji wkubwa mfanywaje? Au ndo kambale kummeza mdogo?
@BraytonMwakitalima5 ай бұрын
Shida yenu mna Dili na wadogo wakubwa mna waaacha pole I sana ma ccm ya ovyo kweli yani
@Optionxll_Playz16 ай бұрын
Billioni mbili point tatu Ni ndongo sana inchi yetu Ni kubwa sana fanya Kazi .
@AmadeMbenze-nh9ly6 ай бұрын
Uyu mwamba yuko vizul kla siku
@himidmkuya73816 ай бұрын
unafaa kuwa raisi hasa unauwelewa mkubwa sana bashee
@KamwandaNzowa-eo4ur6 ай бұрын
Tatizo kubwa la wakulima.ni Ushirika yaani Amcos
@josephmantago28376 ай бұрын
Ninyi ccm ndo mmefundisha watanzania wizi hyo mnayafanya kipindi cha uchaguzi matokeo. Ndo hyo ukipanda uovu utavuna uwovu
@KamwandaNzowa-eo4ur6 ай бұрын
Mh,Bashe wakulima hawataki Ushirika wao wanataka Masoko huria
@hamismwangwale5636 ай бұрын
Dhahabu za jpm na mama Samia
@MuuYascohy-oc7os6 ай бұрын
Uyu jamaa atakuwa wazir mkuu anaweza sana kuongoza
@anosiata82426 ай бұрын
Lipoti ya CAG mumeweka wangapi ndani
@omarymkamba30456 ай бұрын
Ripoti ya CAG haitaji wizi inataja dosari ambazo zinaweza kurekebishwa na kufutwa kabisa kwenye ripoti
@jonfredkewe34516 ай бұрын
Waliosema siyo raia wapumbavu.Bora asiye raia anaitetea nchi kuliko unayejiita raia umejaa ujambazi.Huyu jamaa hazina kwa taifa
@paulkulwa72166 ай бұрын
You're the best
@mmwaupete62656 ай бұрын
Akili kubwa
@petermabula44926 ай бұрын
Wakulima wamepata mtetez je sisi wafugaji je?
@MakameAbdallah-wn3hc6 ай бұрын
Mhe.Bashe hajawahi kuboronga hata sekunde moja yupo vizuri ni mchapa kazi mkweli na muwazi yeye huwa hapindishi maneno nyeusi huita nyeusi na chafu husema chafu. Tatizo letu watanzania ni choyo chuki fitina na unafiki mwingi. Nilishawahi kusoma maoni kijana huyu makini na mahiri akibaguliwa kuwa eti ni msomali mambo ya kijinga na kipumbavu kabisa Allah endelea kutubariki watanzania na utulinde kwa uwezo wako na wale wasiotutakia mema wanaowaza kutuingiza ktk majanga na mabalaa kwa tamaa ubinafsi na uchu wa madaraka kwa nguvu na uwezo wako washindwe na walegee
@raphaellaizer69036 ай бұрын
Kazi nzuri
@willymgaya76186 ай бұрын
KIONGOZI, ANGALIA HATA BEI YA PARACHICHI NJOMBE. MKULIMA ANAIBIWA SANA ,HASA KWENYE REJECTS.
@johnsonkiwia65776 ай бұрын
Sasa rejects si uboreshe namna ya kuvuna kwa mujibu wa utaratibu za zao hilo
@gregoryRukiza6 ай бұрын
Bashungwa chukua Jani moja kutoka kwa mwenzako. Tunawataka Viongozi wenye uchungu kama huyo kwani wewe anachokuzidi nini?
@Niika8706 ай бұрын
Bashungwa bure kabisaa,kazi yake kulamba midomo tu , barabala zimechakaaa
@HashimuHashboy-bo2wl6 ай бұрын
Hatukuoni unafanya nn?ww nan unavition gan?tutakukumbuka siku utakuwa sio waziri wa kilimo kama tunavyomkumbuka magufuli
@SteveShemsanga-il3ct6 ай бұрын
Wabunge waccm mungekuwa naakili kubwa kama huyu bwana tunge fika mbali tunamuomba raisi aendelee kukuwamini hongera sana
@mustafakimalio91296 ай бұрын
Bashe ni mbunge chama Cha ........
@AthanaseKiyoja6 ай бұрын
Machawa ndiyo wanatuharibia nchi. Bashe ana ubora gani,nje ya kucheza na akili za wakulima.Mkulima ananufaika na nini? Anatoa semina feki
@hajihassan54336 ай бұрын
Onesha "fact" hoja hupingwa kwa hoja. Yeye anaonesha data na facts.
@HassanMohamed-fn8ue6 ай бұрын
Kaka huna jipya wewe ndio unao wa umiza wakurima mfumo huwo haufai Leo yakowapi kwaza mumekuja kuwa ajila ya mkulima Leo mazao yamekua kinyesi hakuna mnunuzi