Nimechelewa kukufahamu Mwalimu,lakini wakati wa Mungu ni wakati sahihi... Inshallah 🎉❤
@misanamanyama242 ай бұрын
Nimependa wakati wa Mungu ni wakati sahihi
@Abdulrahmanhassan182 ай бұрын
Ahsante sana kwa maarifa
@EvansNicklaus3 ай бұрын
Shukrani sana kwa madini Mazuri🙏 Tunaomba na somo Kuhusu mikopo (mikopo sahihi na isiyo sahihi,namna ya kutumia mikopo,namna ya kutengeneza uwezo wa kukopeshika)
@misanamanyama243 ай бұрын
@@EvansNicklaus asante kwa maoni kaa tayari kwa somo hilo
@MedsonStarlon3 ай бұрын
Ahsante sana Kwa elimu hii mwalimu wangu, nimekuwa nafurahia na kunufaika sana na masomo yako 🙏
@misanamanyama243 ай бұрын
@@MedsonStarlon asante sana
@ibrahimupeter40323 ай бұрын
Mafundisho yako ni mazuri Mungu akubariki
@misanamanyama243 ай бұрын
@@ibrahimupeter4032 amina
@domcityfarmingcenter77543 ай бұрын
Shukrani Sana Mwalimu Manyama...🙏 Ninaomba Utufundishe Namna Ya Kubajeti Pesa Ili Tuweze kuweka Akiba Maana Hii Ni Changamoto Ya Watu wengi sana naamini Kupitia Vipindi Vyako Tunaweza Pata Njia Bora...✍️
@misanamanyama243 ай бұрын
@@domcityfarmingcenter7754 tayari niko na somo linafundisha. Jinsi kujitofautisha na Biashara yako. Lakini naelewa nitaongelea budgeting next videos
@elkanakilumbe3 ай бұрын
Asante kwa somo zuri sana....
@misanamanyama243 ай бұрын
@@elkanakilumbe karibu sana
@justinechuwa13883 ай бұрын
Nakuelewa saana Mwl
@HassanNasibu-q6m3 ай бұрын
Asante. Pia. Tunaomba somo. Je. Ni namna. Gani. Unaeza kuongoza bias hara ukiwa. Mbali. Ama. Kusimamia. Mradi. Ukiw mbali
@misanamanyama243 ай бұрын
@@HassanNasibu-q6m week ijayo somo hili utalipata
@ibrahimupeter40323 ай бұрын
Hongera Sana 🙏 brother
@stephanosospeter17093 ай бұрын
Asante sana brother
@misanamanyama243 ай бұрын
Karibu mkuu
@EdimundIsdor2 ай бұрын
😊
@pastorymanyika3 ай бұрын
Real
@gwakisafred20613 ай бұрын
asante sana kaka, nimegundua kitu hapo
@misanamanyama243 ай бұрын
Nafurahi kusikia
@reencndila3 ай бұрын
Mindset ya kuongeza mapato kuliko kutumia 👏🏼,
@misanamanyama243 ай бұрын
Hii ni muhimu sana
@josephmigila3 ай бұрын
Asante sana 🙏
@misanamanyama243 ай бұрын
Karibu mkuu
@ZinadiniMmou3 ай бұрын
Waelimishaji wengi wa masuala ya fedha uwa wanaongea Sana mambo wanayoyasoma kutoka kwenye vitabu vya fedha ambayo mengine ni magumu kutekelezeka kulingana na mazingira ya uwekezaji hapa Tanzania. Ila uyu brother uwa anaongea Sana kutokana experience yake na uhalisia wa jamii kubwa za kiafrika. #Sijawai jutia kusubscribe channel hii. MWENYEZIMUNGU AKUFANYIE WEPESI KATIKA SAFARI YAKO YA KUELIMISHA NA KUELEKEA MAFANIKIO.✊✊✊✊
@misanamanyama243 ай бұрын
@@ZinadiniMmou Nakushukuru sana kwa kuchukua muda kuandika complement kama hii. Ubarikiwe pia
@JoramTseko3 ай бұрын
Nimeona tu title ya SoMo nikagundua Kuna madini mengi ntayapata kwa sababu nilikuwa nasubiri kwa hamu SoMo hili