No video

Yanga 1-1 Geita Gold (Pen:7-6) | Magoli na mikwaju ya penati | Robo Fainali ASFC 10/04/2022

  Рет қаралды 900,044

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

YANGA vs GEITA GOLD - Yanga SC imetinga nusu fainali ya #AzamSportsFederationCup kwa mikwaju ya penati 7-6 baada ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika dakika 90 za mchezo.
Geita walitangulia kupata bao kupitia kwa Offen Chikola dakika ya 88 na Yanga kuchomoa kwa penati dakika ya 90+4 kupitia kwa Djuma Shaban... Laki mikwaju ya penati ikaamua, Yanga wakipata penati saba na kukosa moja huku Geita wakipata penati 6 na kukosa mbili.
Waliofunga penati za Yanga ni Yanick Bangala, Jesus Moloko, Fiston Mayele, Saidi Ntibazonkiza, Djuma Shaban, Bakari Mwamnyeto na Dickson Job huku penati ya golikipa Djigui Diarra ikitoka nje.
Upande wa Geita waliofunga ni David kameta Duchu, George Mpole, Yusuph Kagoma, Adeyum Ahmed, Offen Chikola na Kelvin Yondan huku Juma Mahadhi na Maka Edward wakikosa penati zao.

Пікірлер: 425
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 2,7 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 7 МЛН
Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022
23:51
Azam TV
Рет қаралды 4,8 МЛН
Simba SC 1-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/11/2023
12:02
UTV Tanzania
Рет қаралды 1,7 МЛН