MAGUFULI AMKAANGA KIGOGO TAKUKURU "MNAJIPENDEKEZA KWANGU, MIMI MOYO USHAKUA SUGU"

  Рет қаралды 261,769

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 200
@joharijumbe6543
@joharijumbe6543 4 жыл бұрын
Jamani katiba ingekuwa inaruhusu magufuli angekaa ata miaka 30 tunakupenda sana raisi
@susananyasani6526
@susananyasani6526 4 жыл бұрын
Super Mheshimia Dkt Magufuli unamiliki kona zote Katika Nchi nzima pamoja na Rushwa ya kila siku hongera sana
@benedictaustard3423
@benedictaustard3423 4 жыл бұрын
Huyu ndiye Mh.Raisi Magufuli. Unanifanya nitembee kifua wazi mzee wangu!.
@razakpaulo6407
@razakpaulo6407 4 жыл бұрын
Nampenda sana raisi wangu nakuombea miaka buku jero ukiwa raisi wa Tanzania
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 4 жыл бұрын
Kweli ofisi ni nzuri sana,naijua na inafaa mno, hii ni bahati kweli msema kweli mpenzi wa Mungu, Hongera Mh Rais
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 4 жыл бұрын
Rais anaongea point sanaa akwepeshii uyuu ndiee mwanamume sio mwanaume ni #MWANAMUME
@aaaaaah290
@aaaaaah290 4 жыл бұрын
WENYE ROHO NDOGO TUNAISHIA KUTOA MACHOZI TUU,, SIO YA MAUMIVU, BALI NIYA FURAHA NA SHUKRANI KWA MUNGU ALIYE JUU YA FALME ZOTE. ILIMPENDEZA ATUPE JPM 🙏🏽🙏🏽
@gilbertmichael9130
@gilbertmichael9130 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwakulitambua hili
@mengirashidy-ld3lm
@mengirashidy-ld3lm Жыл бұрын
Kabisa
@moshiomarymnyeda8907
@moshiomarymnyeda8907 4 жыл бұрын
MHANDISI + DOCTOR UTAMDANGANYA NINI HUYU MZEE JPM 😍😍😍
@janeyoj8228
@janeyoj8228 4 жыл бұрын
"Mjipendekeze Chato wakati nimeshaondoka kwenye uraisi" 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Safi JPM... Haya wale wakupinga, mpinge na hili
@lasteckmmary9741
@lasteckmmary9741 4 жыл бұрын
Huwa silijutii bando langu ninapokusikiliza rais wanguu, nakuombea kwa mungu uwe raisi wa tanzania, milele na milele mpk mwisho wa uhai wakoo
@justusmuendo7823
@justusmuendo7823 Жыл бұрын
Ukweli usemwe raise dkt magufuli
@aminamtikaonlinetv7305
@aminamtikaonlinetv7305 4 жыл бұрын
Aiseee watanzania tuna bahati sana, Hii ni bahati iliyoje,nakupenda Sana Mh rais mungu azidi kukubariki ktk utendaji wako wa kazi, yaani Kila nikisikiliza hotuba zako najihisi nimeshiba hata Kama Nina njaa. Mungu ibariki Tanzania,mungu mbariki Rais wetu JPM.
@clifordmsongole1134
@clifordmsongole1134 4 жыл бұрын
Amen
@calebcaleb3193
@calebcaleb3193 2 жыл бұрын
Ni Maombi yetu kwa mungu tupate mtu kama huyu
@calebcaleb3193
@calebcaleb3193 2 жыл бұрын
Kweli kizuri akidumu tulimpenda lakini mungu alimpenda zaid
@calebcaleb3193
@calebcaleb3193 2 жыл бұрын
Huyu ndiyo rais watu wanapanga dili za wizi yeye anapangua hapo hapo akuna cha kuhunda tume time ni wizi mwingine baba hapo ulipo lala mungu atume malaika wake usiku Na mchana tulikupenda sana lakini kwakua kazi ya mungu aina makosa yeye aliyetupa jpm kuna siku atatupa mwingine kama huyu tusichoke kumuomba kila kukicha
@user-cz9sk1yq7r
@user-cz9sk1yq7r Жыл бұрын
kabisa😊😊
@joxevictus3720
@joxevictus3720 4 жыл бұрын
Haya sasa wale makenge wanao sema raisi anapendelea mkoa wake wako wapi wajifanye wanajikuna, au wajifanye wanaongea na sim waone fekelea mbali😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@magufulificationofafrica7096
@magufulificationofafrica7096 4 жыл бұрын
Watakua wanajikuna saizi
@generaltanzania1810
@generaltanzania1810 4 жыл бұрын
Inatia Matumaini, Rais JPM Watanzania nina imani wote wanakupenda. Piga kazi Baba.
@mrpodomanno1299
@mrpodomanno1299 4 жыл бұрын
Tundulisu jeh!😂😂😂
@elibaricksadock9562
@elibaricksadock9562 4 жыл бұрын
Binafs nataman uwe Rais hata miaaka 20
@bornifaceshombe4159
@bornifaceshombe4159 4 жыл бұрын
Safi,naona viongozi waliowengi hawajaelewa maono ya Raisi wangu.Mungu ibariki Tanzania.
@rechrontv2453
@rechrontv2453 4 жыл бұрын
FAHAMU NJIA ZA KUSOMA NA KUFAURU CHUONI KWA URAHISI gusa link hapo chini kutazama kzbin.info/www/bejne/oKnPep2dq6ppipo
@joxevictus3720
@joxevictus3720 4 жыл бұрын
Wewe mzee wewe hapo nyuma ebu sema baba😁😁imekaje kaaje usiogope hakuna wa kukufukuza😊😊😊JPM oyoooooo🙏🙏🙏🙏🙏
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 4 жыл бұрын
KAPATWA NA UBUBU
@setholivier4862
@setholivier4862 4 жыл бұрын
Hapa ndo vizuri unamwambia mtu waziwazi, ili hata viongozi wanao jipendekeza wakitizama hii clip waache kujipendekeza
@angelshio2617
@angelshio2617 4 жыл бұрын
Tangia asubuhi ninakufuatilia baba uwe mkweli siku zote waache kujipendekeza
@cheupestefano5424
@cheupestefano5424 4 жыл бұрын
Mr.mwanri sir that man who was in charge at tabora please that man is a man to help you in your very difficult job of giving equal justice to your people
@gilbertmichael9130
@gilbertmichael9130 3 жыл бұрын
I also need that oldman back!
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Ukweli na uwazi unasema ukweli mheshimiwa.
@atuganilemsomba3028
@atuganilemsomba3028 4 жыл бұрын
Huyu mzee baba ananifurahisha sana anaonaga mbaaaaliiii eti dalili za rushwa duuh mwangaluka
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
Asante Sanaa Baba magufuri Mw/MUNGU akujalie maisha marefu Zaid 🙏 🙏
@fredrickphilomena8613
@fredrickphilomena8613 4 жыл бұрын
Hila ukiambiwa unajipendekeza inauma hiyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Sana,,,ila kauli kama hiyo haipendezi sana !!!
@solemba595
@solemba595 4 жыл бұрын
Huo ndio ukweli Kuna Viongozi wanafanyakazi kwa kujiendekeza, Uzuri JPM amesha shtukia mchezo
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 4 жыл бұрын
Inauma sanaaaaa😂😂😂😂😂waache kujipendekeza
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 жыл бұрын
Ndo waache kujipendekeza
@user-un3df1sl2h
@user-un3df1sl2h 3 жыл бұрын
Kuambiwa unajipendekeza inauma sana,mimi mwenyewe nikiambiwa najipendekeza ata kama nindugu yangu,nakaa nae mbali sana
@richardjoseph9642
@richardjoseph9642 2 жыл бұрын
Mungu akupunguzie azabu ya kabr kamanda
@said306nyatu9
@said306nyatu9 4 жыл бұрын
Kaaa bwana nisije nikasema izi nyota nimekupa za bure
@salimsalim8421
@salimsalim8421 4 жыл бұрын
Hongera, hakuna mchezo na pesa za wana nchi, lazima mtu akae sana tuu
@nasserrostom6340
@nasserrostom6340 4 жыл бұрын
Hongera rais makufuli tunaomba takukulu wafanyakazi wawe wanahamishwa uku mbarali toka nipo shule ya msingi hawajawahi kuamishwa utafiki wanakijiji hawana lolote wanakunywa pombe mda wote
@theeyechannel8601
@theeyechannel8601 4 жыл бұрын
Nisije ni kakuona nimekupa nyata za bure!! Kainyoshe nchi hiyo Mzee wanyike.
@ayoubabdull1265
@ayoubabdull1265 4 жыл бұрын
Huy Muheshimiw kiboko ya wote tumlinde tumuwekee ulinzi wa kama Kim jong yun ....kwa nguvu zote....nan alisubut hay nambien wadau awam 1,2,3,4,nani zaid ya Magu ....mpaka Takukuru nao chupi zinawaban...
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 4 жыл бұрын
Acha tu kakangu
@alexkihongola798
@alexkihongola798 4 жыл бұрын
JPM mwamba mno, Hakuna wa kumfananisha nae, na hajazaliwa Bado, wengine marais wa maonyesho tu.
@muganyiziemmanuel4897
@muganyiziemmanuel4897 4 жыл бұрын
Nasema hivi anaeweza kuwa kama yeye ni Dr kakulwa katibu mkuu wa ccm
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 4 жыл бұрын
HAKUNA KAMA MAGU BWANA
@emmanuelmohammed1294
@emmanuelmohammed1294 4 жыл бұрын
" Mimi moyo ulishakuwa sugu"...😂😂😂😂😂😂
@alimarezi7543
@alimarezi7543 4 жыл бұрын
Magufuli ukimaliza mhula wako njoo uku kwetu Kenya,tukupe urais,huyu wetu ni boya sana
@majidially4363
@majidially4363 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂eti boyaa,,, Dah
@yasinigao3589
@yasinigao3589 4 ай бұрын
Sawa pambana na ufisandi Rais wetu
@justusmuendo7823
@justusmuendo7823 Жыл бұрын
Very insightive,magufuli continue resting in peace
@ahmedomar3020
@ahmedomar3020 4 жыл бұрын
Mungu amuekee huyu mzee magufuli kwa kweli..oohhh ..magufuli oyeee
@mamaahmad8615
@mamaahmad8615 4 жыл бұрын
Yaani nakupenda sana baba rais wetu tumbuwa tumbuwa hao warudishe hela watumbuwe
@afredyohana356
@afredyohana356 4 жыл бұрын
Ndio shida ya kufanya kazi kwa mihemko hiyo itawakost
@malcomg1004
@malcomg1004 2 жыл бұрын
Hii ndo ilkua Serikali bna,RIP mr President JPM much love to you
@markkayuni99
@markkayuni99 4 жыл бұрын
Mweshimiwa Rais kura yangu umepata sema hao wakujipendekeza kwa kukufuraisha wewe na wachinja kilakitu ndio ndio wa kina msukuma hao
@josephbujimu1123
@josephbujimu1123 4 жыл бұрын
JPM wanyooooshe walizoeakula bike hao
@lightmashauri1725
@lightmashauri1725 4 жыл бұрын
Haaaaa baba hao wanakuvuruga kweli ....bado hawajakujua vizuri😀😀😀
@MukandilwaProspere-th2xu
@MukandilwaProspere-th2xu Жыл бұрын
Courage baba wetu Sisi watoto wa Congo tunakuliliya mungu akulaze Mali pema
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 4 жыл бұрын
Hii inaitwa makavu live 😃
@petermatonya8078
@petermatonya8078 4 жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu lais wabgu
@ednajeremiah8671
@ednajeremiah8671 4 жыл бұрын
Wakomeshe baba hapa kazi tu
@calebcaleb3193
@calebcaleb3193 2 жыл бұрын
Nivigumu kumpata kama jpm lakini kwa mungu yanawezekana
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 Жыл бұрын
Tanzania ilikua na Rais kweli lakini Leo hii hatuna Rais tuna mafisadi
@kambiibrahim415
@kambiibrahim415 4 жыл бұрын
Thank you so much Mr.President much love to you
@mshumbusideogratias9567
@mshumbusideogratias9567 4 жыл бұрын
Nmesikiliza Mara 10
@abdulaziz703
@abdulaziz703 4 жыл бұрын
Yes.. Preach father preach.!!
@mbonijabut1405
@mbonijabut1405 4 жыл бұрын
Yani magufuri nakupigia kula Asubui mapema ww ndio mkombozi ila tuchunguzie wabunge walioshinda maendeleo uku kwetu bdo miaka 5 ajafanya kitu sasa kapita tena ivi kweli haki tizama n.a. hilo
@kambamazig02024
@kambamazig02024 4 жыл бұрын
wapi huko? Wa kulaumiwa ni hao waliompigia tena kura za maoni.
@lemameasi1723
@lemameasi1723 4 жыл бұрын
NI VIGUMU KUPATA RAIS ALIYEKO SERIOUS KAMA JPM HUKU AFRICA
@asrymohd6690
@asrymohd6690 4 жыл бұрын
Tumbua huyo na mkuuwao kwanini mnajipendekeza huyo ndo Rais tunaemuhitaji sio mliomtaka
@justinaissa2278
@justinaissa2278 4 жыл бұрын
Mh uko sawa kabisa
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 Жыл бұрын
Alikufa Kiongozi wa Tanzania 😭
@salmahillu
@salmahillu Ай бұрын
Mungu aiweke robo magu peponi amina
@abubakarsuleiman1588
@abubakarsuleiman1588 4 жыл бұрын
Ahsante MH rais
@emmanuelmohammed1294
@emmanuelmohammed1294 4 жыл бұрын
Tumuongezee mda huyu Rais wetu ainyooshe nchi!
@pendomsulwa5806
@pendomsulwa5806 4 жыл бұрын
kula yangu haikupotea kabisaa MUNGU akuweke pia natamn utawale miaka yotee
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 4 жыл бұрын
Duh usitake nione nyota nilizo kupa za bure 🤣
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 4 жыл бұрын
Safi sana Rais wangu
@denicejoseph8632
@denicejoseph8632 4 жыл бұрын
Hotuba kam hiz n tam san yani zaidi ya sali n sukari
@saumsaid5717
@saumsaid5717 4 жыл бұрын
Yani we baba nakupenda mpaka naumwa
@tebogolucia6889
@tebogolucia6889 4 жыл бұрын
C.simba Johannesburg magufuli nakukubar sn mzee Wang
@selemanimsofe7321
@selemanimsofe7321 4 жыл бұрын
unajua mtanivuruga hapa
@joxevictus3720
@joxevictus3720 4 жыл бұрын
Takukuru😂soma iyoooo😁😁😁😁
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 4 жыл бұрын
Duh JPM hahaaaa hatari sana! Usiombe ubananishwe naye😅
@meshackkanyetisahani5584
@meshackkanyetisahani5584 2 жыл бұрын
Was a geneous person may god rest in peace our lovelly president
@musasabu6969
@musasabu6969 4 жыл бұрын
Wanajpendekeze had wanakela
@allykingo3558
@allykingo3558 4 жыл бұрын
Wamejikologa lolote litalokea hapo lazima
@patrickjohnlucas3827
@patrickjohnlucas3827 4 жыл бұрын
Kweli mweshimiwa
@fadhilharuna9804
@fadhilharuna9804 Жыл бұрын
Good president magufuri
@ahmedomar3020
@ahmedomar3020 4 жыл бұрын
Safiiiii. Mzee magufulii oyeeee...
@majaliwakavinga2752
@majaliwakavinga2752 4 жыл бұрын
Hongera sana Rais.
@wahabingaheka637
@wahabingaheka637 4 жыл бұрын
Baba maliza wabaya wote
@bashiryusuph6750
@bashiryusuph6750 4 жыл бұрын
😂😂😂wamesha fanya no dili walijua huwaangaliii 🤣🤣🤣wapigadili mbona same hamna jengo la takukuru mnajipendekeza kwa babu 🤣🤣🤣🤣
@wahabingaheka637
@wahabingaheka637 4 жыл бұрын
Nchi iwe Safi hii wamezoea hao
@jameschubiri9453
@jameschubiri9453 4 жыл бұрын
Huyu mzee kwanini hamtaki kumuelewa jamani
@matanobaya7660
@matanobaya7660 4 жыл бұрын
Kenya tungepata kiongozi Kama huyu.ningejivunia kuwa mkenya sana, NAVUMILIA TU!MILEVI MIIZI.
@ahmedomar3020
@ahmedomar3020 4 жыл бұрын
Jamaniii huyu mzee aendelee tu ..huyu ndio rais tunaemtaka
@daudirajabu6798
@daudirajabu6798 4 жыл бұрын
Safi sana mh Raisi
@mlashanikisinini6020
@mlashanikisinini6020 4 жыл бұрын
Safi sana mheshimiwa
@mtorosenga1272
@mtorosenga1272 2 жыл бұрын
😆😆😆 unaionaje hiyo??? Mzee anajiuma
@yaletbweye5565
@yaletbweye5565 4 жыл бұрын
Uyu Mzee ni mfano wa Dunia
@ayoubabdull1265
@ayoubabdull1265 4 жыл бұрын
Alex Kihongola ....ntakutumia bandle ni dai kweny ukweli hutak kupinda pinda lazima tunyooshe maelezo kwa hali tunavyoina viongoz wetu wa Africa huwez linganisha na Magu ht robo ....pumbav...
@denicejoseph8632
@denicejoseph8632 4 жыл бұрын
Magu anajuwa adumu milele ewe mwenyezi mung jaliya ameni...😘😘
@rizmkondo1344
@rizmkondo1344 4 жыл бұрын
Rais Leo nimekusifia sna
@fakihibakari7701
@fakihibakari7701 4 жыл бұрын
Sidhani kama Takukuru watajing'ata wenyewe. TAKUKURU NG'ATA.
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 3 жыл бұрын
Mzee magu polesana kwakazi ngumu uliyonayo yani sijui kwanini huwa hawakuelewi usichoki kwene ukweli mungu yupo nawewe
@prosperthedubaiexplorer8980
@prosperthedubaiexplorer8980 4 жыл бұрын
awakujui baba watoboe
@allyfaraji1697
@allyfaraji1697 4 жыл бұрын
rais kauzu kweli, et anamwambia yule mjeda kaa bhana nicjute hzo nyota nilizokupa 😀😀😀 kwa kweli bado najiuliza ukauzu huu nani anauweza ? Takukuru Ng'ata😀😀😀🔙 leo nimecheka mpaka machozi yametoka. Uyu mzee anatufariji sana sisi wananchi, yaani tunaishi bila ya hof swaaaaaf kabisa😀😀😀. Lini tena utahutubia hata kama nina safar nisiende ctak kuadisiwa mimi 😀😀😀.
@rehemanmkumbo5631
@rehemanmkumbo5631 2 жыл бұрын
Huyu baba apumzike kwa amani
@watakaniitaje1215
@watakaniitaje1215 4 жыл бұрын
Mkulu kashasema hataki shobo Ziteendeeni mema izo pesa Kuna vitu kibao vya kufanya
@laurnyandwi-sb1gu
@laurnyandwi-sb1gu 7 ай бұрын
Daima utakuwa mioyon mwetu😢😢🙏🙏
@elisanteelisante172
@elisanteelisante172 4 жыл бұрын
Baba Ng'ataaaaaa
@nickomlimbila217
@nickomlimbila217 4 жыл бұрын
Sio rushwa mzee ila hiyo ni kujipendekeza kwako
@alimadmaulid2567
@alimadmaulid2567 4 жыл бұрын
Mmmmmh kweli mkuu nakubali kazi yako
@user-qv2tg9cz8c
@user-qv2tg9cz8c 4 ай бұрын
Pumzika kwa Amani Mpendwa wetu Rais
@erickendrick3330
@erickendrick3330 4 жыл бұрын
Daaah.....J.P.M ni Noma sana .🙌🙌🙌
@rshidyrajabu255
@rshidyrajabu255 2 ай бұрын
Very nice rip john pombe
@jonathanlema7782
@jonathanlema7782 4 жыл бұрын
El pressdente. My president God bless you sir
@55goodmen
@55goodmen 4 жыл бұрын
Ukweli unauma duh huyu rais hana upuuzi ni straight forward yani. wezi wote wanaogopa yani JPM oyeeeh.....
@solomonkikeke2795
@solomonkikeke2795 4 жыл бұрын
Tazama hapa pia uone Wimbo mzuri wa Maombolezo ya mheshimiwa BENJAMIN MKAPA Kutoka kwa TUNDA MAN pa1 na producer ZEST
@sixmangwela4543
@sixmangwela4543 4 жыл бұрын
vua nyota izo anatia haibu jeshi
@mwakamtungirehi4773
@mwakamtungirehi4773 4 жыл бұрын
Takukuru ng'ata
@Mautammelody8197
@Mautammelody8197 18 күн бұрын
Hatariii
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 5 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
"HAPA HAMNA KITU, TUMELIWA"- RAIS MAGUFULI
6:26
Millard Ayo
Рет қаралды 355 М.
JPM Alivyompigia Lukuvi Hadharani, Amkopesha MIL 1!
10:21
Global TV Online
Рет қаралды 473 М.
Rais Magufuli Amaliza Bifu la Makonda na Ruge Jukwaani
3:39
Global TV Online
Рет қаралды 13 М.
JPM Awabana Mawaziri, Askofu 'Njooni Hapa Mchangie Msikiti'
14:14
Global TV Online
Рет қаралды 350 М.
KIPINDI CHA ZIARA YA MHE RAIS DKT MAGUFULI   KAHAMA JULAI 31,2016
26:32
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 14 М.
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН