Magufuli ahutubia uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza ufungaji kampeni chama cha mapinduzi.
Пікірлер: 33
@IsiraeliMolly5 күн бұрын
Nakupenda sana magufuli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ramadhanramadhan18473 жыл бұрын
RIP JPM Lala Salama Magufuli 😭😭😭😭😭😭
@edwardgwaspika49435 жыл бұрын
The JPM hakika mwenyezi Mungu amekujalia vipaji Mungu azidi kukulinda!
@mutalemwagabriel22775 жыл бұрын
Kwakweli ujatuangusha baba mafuguli😭😭😭😭
@emmanuelnghwaya13064 жыл бұрын
Rais mpambanaji unajitahidi kusimamia uliyoyahidi ahsante Mungu akubariki
@pascalmstaarabu43724 жыл бұрын
Dah hujatuangusha Rais wetu
@dennismalima53654 жыл бұрын
Wanasiasa mnakumbushwa tu kuiga mfano mzuri wa kiongozi hyu wa nchi hii...ukiahidi TIMIZA.., UKIONA HUWEZI FANYA USIAHIDI... MUWE WAKWELI...
@susananyasani65266 жыл бұрын
Hongera sana Dkt Magufuli katika Hotuba za kila siku Mungu akupe nguvu na Afya njema ya kujenga Nchi kwa utaratibu na Amani
@marwamwita59142 жыл бұрын
Mama samia angaria jpm alipambana sana watanzania walipenda sana kwasababu alikwanao karb sana
@johnkapesula1222 жыл бұрын
Laaah Jembe limepumzika.
@thadeimkula709311 ай бұрын
We baba nakuelewa nakuelewa
@edinathathomas29073 жыл бұрын
Ivi watani wetu huu mziki wameuona au
@edinathathomas29073 жыл бұрын
Safiiiiii mwamza mambo in moto
@PeterMathias-vd1tg5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@zeblufingo83618 жыл бұрын
Tunataka vitendo baba! Ahadi nzuri tumezisikia miaka mingi. Baba ulikuwa wapi kutuwekea maji kwa muda wote huo?Baba mbwembwe nyingi zitapendeza kwa muhuli wa vitendo! Kidogo tunaimani nawe unajua kutupelekesha sina mashaka huenda ukaweza itategemeana na wale utakao wachagua kubeba vitendo kama sio walewale wezi. Je baraza lako litakuwa na kina Chenge? Basi usisahau kuwaonesha milango ya jela maana wenye tabia kama zao wapo kule. Usimsahau mkapa kuturudishia mali zetu na viwanda alivyo viuza ili ajira zipatikane mwabeja sana baba!