KUHUSU KIFO MANENO YA MWISHO YA RAIS MAGUFULI | MANENO MAZITO KWA KIJAZI

  Рет қаралды 2,717,797

SamMisago

SamMisago

Күн бұрын

KUHUSU KIFO MANENO YA MWISHO YA RAIS MAGUFULI | MANENO MAZITO KWA KIJAZI

Пікірлер: 748
@jessicarasigu2220
@jessicarasigu2220 3 жыл бұрын
Mlio muuwa magufuli,machozi ya WATANZANA wanyonge 😭 😭😭😭 na Africa kwa ujumla imewalaani wote waliousika na kifo chake JPM wetu make bado tunamlilia tu sana, naamini hanna Amani miyoni mwenu,
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 2 жыл бұрын
Nawao watakufa tena vibaya
@williumjackob8361
@williumjackob8361 2 жыл бұрын
Hakika hatutaacha kumlilia kwamwe na mungu awape adhab isiyo na mwisho
@rajabjuma277
@rajabjuma277 Жыл бұрын
Unao ushahidi au unakurupuka
@amanmyolo5359
@amanmyolo5359 Жыл бұрын
Mungu anawaona na hawana amani na mungu wameachana njia wenyewe kwa wenyewe mungu ni mwema
@kaniki-o3c
@kaniki-o3c 10 ай бұрын
Sasa walanchi wamefulahi na wanakula tuu nchi inasikitisha😭😭😭
@omarymalema8739
@omarymalema8739 3 жыл бұрын
Umetuacha njia panda mpendwa baba yetu tutakukumbuka kila siku kwa mema uliyo tutendea Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi amen
@peterchristopher3555
@peterchristopher3555 3 жыл бұрын
Aaaà
@theo-xc3rz
@theo-xc3rz 3 жыл бұрын
Huna doa baba pumzika kwa amani mwenyez mungu atawaadhibu mmoja mmja walioamua kutuzimia shujaa wetu wew ni kiongoz bado hadi sahv sjaoona wakukufikia.Baba we pumzk me napitia tu speech zako naon bdo unaongz nchi
@anesiusrweikiza4850
@anesiusrweikiza4850 3 жыл бұрын
Kifo ni fumbo kubwa sana,Mwenyezi Mungu tusaidie tuvuke salama kwenye hii dunia tunamuombea jpm apokelewe kwa amani huko mbinguni😭😭
@DottoMloso
@DottoMloso 4 ай бұрын
🎉❤😮🎉❤😮🎉❤😮🎉❤😮😊😊😊🎉❤😮😢🎉❤😮🎉❤😮🎉❤😮😢😊😮😊😮❤🎉🎉❤😮🎉❤😮🎉😊🎉❤😮🎉🎉❤😮🎉😊🎉❤😮😅😢🎉😢🎉😊😮🎉🎉❤😮😊🎉❤😮
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
"Unapoona tatizo huliwezi kulitatua mlilie Mungu"
@jmeliasshanelle4303
@jmeliasshanelle4303 3 жыл бұрын
Nawaomba Watanzania WOTE jueni Kama vile Rais Magufuli alivyo waambia jueni Raìs Magufuli aliweza kuwatendea mambo mengi mema, sio kwa ajili ya uwezo wake, bali kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. Mkisahau Mwenyezi Mungu mtadidimia. Rais wenu amewaachia mfano mzuri wa vile kuendelea, mkianza kuwasikiza Wazungu mtapotea. Poleni familia na nyinyi nyote
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 жыл бұрын
It'is true,wakumbuke hilo sana
@meryanmwailakale670
@meryanmwailakale670 3 жыл бұрын
Watanzania baadhi wanafurahia sasa yabaadae hawajui, pumzika kwa AMANI Raisi wa wanyonge kazi umeifanya
@vumilialeonardi109
@vumilialeonardi109 3 жыл бұрын
Kweri Rais magufuri uliamua kutufia watanzania
@skyonlinetv8301
@skyonlinetv8301 3 жыл бұрын
Tangu umeondoka 🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️ mambo yapo ovyo cnaaaaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@dianamahendekamahendeka1344
@dianamahendekamahendeka1344 2 жыл бұрын
Dar nashindwa niangalieje naishia kulia maana hapa ulikua umebajiwa na siku chache sana 😭😭😭😭😭😭😭
@amanimwidowe4632
@amanimwidowe4632 3 жыл бұрын
NI ngumu kuelewa hata kuamini kumbe hata msiba wa kijazi ulikuwa hata huumwi Nini kimeingia hapa kati kati rais wangu hii Dunia iniambie bas wapi inatupeleka angalau nijue maana imetubeba basi iniambie inamaana Mungu ndy alikupenda Zaid magu 😭😭😭😭 Mungu huna hasira wewe unajua mengi kuliko tujuavyo Pumzika kwa Amani Magufuli.
@juliethhope7281
@juliethhope7281 3 жыл бұрын
Naumiaaaaa jmn 😭😭😭
@juliethhope7281
@juliethhope7281 3 жыл бұрын
Amen
@jessicarasigu2220
@jessicarasigu2220 3 жыл бұрын
Kila tuonapo video zake JPM 😭😭😭😭 ni uchungu tu kwetu Watanzania,Ila nanyi mtakufa tu wote wasaliti wa MAGUFULI,izo vitu za Tz aliyowazuia kuyanyakuwa mkifa mzikwe nazo msijemkaziacha nyuma mwendapo kaburini,
@esterchananji2657
@esterchananji2657 3 жыл бұрын
Tangu magufuli afariki cjackia tena viongozi wanakufa,,cjui kulikuwa na nn kipindi hicho...!!
@geofreybilasho721
@geofreybilasho721 3 жыл бұрын
Vip bado hujaskia Msiba wa Waziri Wa Ulinzi
@augustinejohnnyakatoma8591
@augustinejohnnyakatoma8591 2 жыл бұрын
Kidogo inashangaza
@SimonKitaly
@SimonKitaly 11 ай бұрын
Ee Mungu tunakuomba utuangalizie nafsi ingine yenye ujasir na kukutaja wewe kwa hofu km mzee wetu magufuli ktk stoo yako ya mbinguni yenye nafs hai.
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
Mimi ni mtu wa Kiitaliano. Nilimsoma Magufuli, mwanasiasa niliyemthamini kwa malalamiko yake dhidi ya ufanisi wa visodo. Alikuwa rais mzuri na jasiri, mtu mwaminifu ambaye alikuwa amepunguza mshahara wake (kutoka $ 15,000 hadi $ 4,000) alitetea masilahi ya watu. Nilithamini pia msimamo wake juu ya covid na dhidi ya chanjo hatari. Nadhani walimuua ingawaje alikufa rasmi na shida za moyo. Nakubali juu ya Magufulification ya Afrika! Kwa hivyo, heshima kamili kwa Magufuli ambaye kwangu atabaki hai milele kwa uaminifu wake.
@evelynebwire7684
@evelynebwire7684 2 жыл бұрын
Naungana na wewe upo sahihi
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 3 жыл бұрын
kweli kizuri hakidumu daah 🙏🙏🙏
@rhodahleopord2581
@rhodahleopord2581 3 жыл бұрын
kweli😭😭😭
@annerafaela407
@annerafaela407 3 жыл бұрын
Nikama ndoto naota, kama nawaona wapiga pesa wanavyosherekea
@ميومةتنزانيا
@ميومةتنزانيا 3 жыл бұрын
acha tu nawao ila wakubuke kuwa wataziacha tu zina mwisho
@juliethhope7281
@juliethhope7281 3 жыл бұрын
Jmniii kamfata rafik yake.alimpenda sana mwenzie..inaumiza mno jmn😷😭😭😭
@abelahadi1838
@abelahadi1838 3 жыл бұрын
Bwana tusaidie watanzania tunapita katika wakati mgumu sana ulitupatia ndg.yetu kipenzi ndg.Dr john Joseph pombe magufuli kuwa rais wa taifa hili teule la Tanzania lkn ghafla sana tukiwa tunamhitaji zaidi ndipo nawe umeamua kumtwaa ,Bwana ulitoa na umetwaa jina lako libarikiwe hakika wewe ni mungu hatuna cha kusema Amen.....
@geofreymfumbilwa2659
@geofreymfumbilwa2659 3 жыл бұрын
L
@geofreymfumbilwa2659
@geofreymfumbilwa2659 3 жыл бұрын
L
@ZuhuraAmiri-u1u
@ZuhuraAmiri-u1u Ай бұрын
H
@annanasimiyu7289
@annanasimiyu7289 3 жыл бұрын
Nasikia INAUMA sana story ya sumu jamani ikiwa nikweli mbona wanadamu kupanga mabaya hivi kumuuwa mtu mzuri hivi INAUMA aki 😭😭😭 Kweli ukitenda mazuri una wanaokupenda na maadaui pia wamo ikiwa YESU KRISTO ALITENDA MEMA YOTE WA KARIBU YAKE MWANAFUNZI WAKE TU MMOJA AKAONA WIVU NAKUPANGA NJAMA HADI KUMUUWA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU 😭😭😭 HIVI MEMA YOTE ALITENDA RAIS WENU TANZANIA AKI ALISTAHILI KUMTENDEA HIVI HADI KIFO KWELI IKIWA WAKO WALIO TENDA MAOVU HAYA MIONGONI MWA WAPEDWA WA RAIS MZURI HIVI MUNGU AWASAMEE AKI NA MUNGU AMPUMZISHE SALAMA BABA MAGUFULI NENDA SALAMA BABA WA TAIFA LA TZ MEMA HAYA YOTE NA MATENDO YAKO YOTE YAKUTANGULIE MBELE YA KITI CHA ENZI MBINGUNI 🙏🙏
@mwanaidimbaga8553
@mwanaidimbaga8553 3 жыл бұрын
amina
@eginesschapaulinge1270
@eginesschapaulinge1270 3 жыл бұрын
Amen
@juliethhope7281
@juliethhope7281 3 жыл бұрын
😷😷😷😭😭😭😭😭
@delvinemoraa4248
@delvinemoraa4248 3 жыл бұрын
Amen 🙏 🕊️
@claudmwachia2439
@claudmwachia2439 3 жыл бұрын
Amen
@elijahgichumbi9971
@elijahgichumbi9971 3 жыл бұрын
RIP Baba mpenzi Rais Magufuli. Wamekuondoa. Watajua tayari ulitunywesha maadili mema. Watajua mawazo yako tutayapeleka mbele.
@aishaarusha894
@aishaarusha894 6 ай бұрын
We naye nani alie muondoa mungu mwenyewe kamuitaji
@elijahgichumbi9971
@elijahgichumbi9971 6 ай бұрын
@@aishaarusha894 hatutabishana aisee
@furahabeatrice2057
@furahabeatrice2057 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani daima, tulikupenda sana baba. Ulale salama, MUNGU akupe pumziko njema ya milele 😭😭😭😭
@BishikwaboFranck
@BishikwaboFranck 11 ай бұрын
Le président John Pombe Magufuli a marqué toute l'Afrique en général,et en particulier la Tanzanie,pays qu'il a dirigé pendant plus ou moins cinq à six ans
@abdulbora3961
@abdulbora3961 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭ewe mwenyezi mungu nakuomba mpokee babaetu magufuli kwenye uzima wa milele amin.lala salama baba🙏🙏
@mariamuhussein1407
@mariamuhussein1407 3 жыл бұрын
Pumzka salama raisi wetu tulikupenda Sana Ila mwenyeezmungu amekupenda Zaid mungu akjlaze mahali pema peponiii
@rashidymhina824
@rashidymhina824 2 жыл бұрын
Tanzania tunakumis Sana baba yetu. Kila nikisikia sauti yako ninafarijika. Rest in peace MAGUFULI.
@matridafamatwi8781
@matridafamatwi8781 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@jairosjulius9447
@jairosjulius9447 Жыл бұрын
P
@rosenelima8618
@rosenelima8618 3 жыл бұрын
Rip shujaa wa Africa,😭😭😭😭mungu akulaze mahala pema raisi mpendwa😭😭😭😭😭😭😭
@tausimgasa4322
@tausimgasa4322 3 жыл бұрын
Jmn, mlio baki ebu mjifunze kupitia magu, hekima na busara, mnapopata, madalaka ya kuongoza basi fateni nyayo zake ili vizaz vinavyo bak viishi kwa Aman pia Tanzania yetu iwe Salama.
@gersonmsoffe5817
@gersonmsoffe5817 3 жыл бұрын
Haufananishwi na chochote uncle magu tunakuombea upumzk kwa Aman!!! Mama samiha suluh nakuomb uwe mfano kwetu cc watanzania ukafanye alo yafanya hayati doctor john pombe mahuful
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 жыл бұрын
Physical appearance yake hapo bado anaonyesha Hana uchangamfu wa siku zote,Mungu alimjua toka tumboni mama yake
@alimdoe8307
@alimdoe8307 3 жыл бұрын
R.I.P,Jpm!! Hakika nchi imeumia sana!! Sasa hivi tuko na makamu wako,haya!!
@williamkirway4620
@williamkirway4620 3 жыл бұрын
Ukweli,uvumilivu,ukarimu,unyenyekevu ni vipaji kutoka kwa mungu,havifundishwi shuleni,bali vyote vya toka Kwa mungu tuvipokee Kwa furaha kwani hata mazuri mbona twashukuru,hata magumu na mabaya tusimchukie mungu,bali tumshukuru.
@CharityNdongole-o7m
@CharityNdongole-o7m 10 ай бұрын
Tumekukumbuka sana
@lucymumbimuriithi1416
@lucymumbimuriithi1416 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭huyu prezo alikuwa shujaaa RIP
@uwasemaureenangel477
@uwasemaureenangel477 3 жыл бұрын
RIP magufuri. Hatutokusahau kamwe. Wewe urikuwa shujaa na mukakamavu pia na mapenzi kwa Tanzania.
@lydianyamoma3866
@lydianyamoma3866 3 жыл бұрын
😭😭😭pumzika baba umelala magufuli Mungu akulipe sawasawa na matendo yako, usamehewe dhambi za sirini na hadharani 🙏
@rahmanguzo9270
@rahmanguzo9270 2 жыл бұрын
Rahma
@rahmanguzo9270
@rahmanguzo9270 2 жыл бұрын
Rahma
@trissateddy9909
@trissateddy9909 2 жыл бұрын
May your soul Continue to resting in eternal life...🙏🙏😔😭😭😭😭
@georgeavelin815
@georgeavelin815 3 жыл бұрын
Raisi anaimani Kuliko Hata baba Paroko Hapo Anaonyesha Anashangaa Shangaa tu
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuweke mahala pema peponi aaamin,na Raha ya milele umpe eebwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani, aamina, Nilikupenda zaidi ya Sana
@veronicalucumay26
@veronicalucumay26 11 ай бұрын
baba ulemtanguliza Mungu uliyekuwa unamsikiliza kila mmojaaa ulijalii utu kuliko chochote 😢tutakukumbukaaa kilaaa mara
@marthagwelino1897
@marthagwelino1897 3 жыл бұрын
Tunakukumbuka sana rais wetu
@ZainabEras
@ZainabEras Жыл бұрын
Nasema wapi...daah. Asee uyu mwamba aendelee2 kupumzika kwa amani......maadui apo wanasuka 2 mipango
@iminzaiminza5813
@iminzaiminza5813 3 жыл бұрын
Hakuna president aliyekuwa akisema ukweli Na kumcha Mungu kama wewe Mkuu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭I can't stop my tears😭😭😭😭🇰🇪😭😭😭
@RamiaBakari-y8o
@RamiaBakari-y8o Жыл бұрын
Jamani.mm.ningelikuwa.nauwezo.kama.mungu.ningemlundisha.mangufuli walai.jamani.naumia.sana😂😅
@edwardouma1630
@edwardouma1630 2 жыл бұрын
Tutaendelea kumuenzi uncle Magufuli milele daima 😭😭😭😭
@winifridamrope8339
@winifridamrope8339 3 жыл бұрын
KUMBE ULIKUWA UNATUAGA PIA.PUMZIKA BABA
@bebisheni4380
@bebisheni4380 3 жыл бұрын
Baba magufuli baba umetacha nimeumia mimi baba namuomba mwenyezi mungu akuweke mahala pema
@jessicastephano5974
@jessicastephano5974 3 жыл бұрын
Rais John pombe magufuli. Shujaa wetu mtoto wa Africa mpambanaji asie teteleka pumzika kwa Amani Baba yangu mpendwa nilikupenda sana,
@ustzhadilimuhamadi3028
@ustzhadilimuhamadi3028 3 жыл бұрын
Amen mungu amlaze mapema
@jacklinjosam5566
@jacklinjosam5566 2 жыл бұрын
Dah kamaunaishi vile, ila wewenishujaatuuu halitapingikahilo, rest in peace our Dady
@MjumaBunga
@MjumaBunga 11 ай бұрын
Uncle magu jamani katuacha wanyonge mungu akulaze mahala pema peponi umecha historia ya milele
@edithkovary5771
@edithkovary5771 2 жыл бұрын
Waandaji wa kifo chake wanamwangalia na kusema ongea tu. Huu ndio mwisho wako. Maana wameshaandaa jinsi ya kumtoa. Wao pia watakufa. Hayati J.J. pombe Magufuli ametangulia tu. Wote mtakufa. Hamtaishi mlele. Iko siku mtaondoka.
@teresiamwita1788
@teresiamwita1788 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Tutakukumbuka Daima
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 Жыл бұрын
Kama magufuli alikufa mwenyewe tumuombee ila kama kuna watanzania wenzetu waliokuwa vibaraka wamagharibi wakatumwa kumuua na wao hawatobaki salama navizazi vyao.. So pua zinatizama chini
@marrymenas
@marrymenas 3 жыл бұрын
Hapo ni yy alikuwa akiongea lakini kwa nguvu za roho mtakatifu alimshukia kimiujiza bila hata yy kujua...Tutakukumbuka daima Baba 💔🙏
@Pen960
@Pen960 2 жыл бұрын
Yani hapa mzee alikua anaonesha kujikaza kabisa!!! Hata sura ilishaanza kubadilika. He was a best leader!
@sophiagingi2636
@sophiagingi2636 3 жыл бұрын
pumzika salama jembe letu
@willywaire50
@willywaire50 11 күн бұрын
Mungu aendelee kuiweka roho yako Rais mangufuli,nilikuomboleza kweli,bado uko ndani ya nyoyo zetu daima tutaishi kukumbuka..🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MremaShindi
@MremaShindi Жыл бұрын
Watanzania tunakukumbuka Sana tunaposikia saut yako rest my president magufuli
@winniemary824
@winniemary824 3 жыл бұрын
Africa haitawahi pata kiongozi mkweli kama baba maghufuli....lala salama kipenzi cha wengi
@rechohaule2020
@rechohaule2020 3 жыл бұрын
Forsuree
@damasmwinyihali1855
@damasmwinyihali1855 10 ай бұрын
Africa mzima atutakusaau ayati Rais Magufuli.Pumzika kwa Amani
@robertnyandwaro8040
@robertnyandwaro8040 2 жыл бұрын
This Man, president JPM, a man of the people. An exceptional leader. This world is not our permanent home for sure. Am a Kenyan citizen but i loved the type of a leader he was.....
@mambachagulaga7234
@mambachagulaga7234 3 жыл бұрын
Kama kweli huyu jembe alipewa sumu, waliofanya hivyo mungu anawaona, nao wajue kuna siku wataiacha Tanzania.
@kaniki-o3c
@kaniki-o3c 10 ай бұрын
Sasa walanchi wamefulahi wanakulatuu nchi inasikitisha 👴😭😭😭
@chichyjiih6788
@chichyjiih6788 7 ай бұрын
OMG huwa spendi kuangalia clip zako sababu machungu nayohisi nashindwa kujizuia. May your soul keep resting in an eternal peace, till we meet again. I was here in 2024, Feb
@MamaKiba-u2r
@MamaKiba-u2r 7 ай бұрын
Poreni sana na kifo Cha magu
@nectasummary1298
@nectasummary1298 3 жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya marehemu john Joseph magufuli maala pema peponi, tangulia mbele ya haki, ukaketi katika kiti cha enzi tulikupenda ila mungu kakupenda zaid
@FinidJulius
@FinidJulius Ай бұрын
Hakuna mkuu katika ulimwengu huu saidi ya mwenyezi mungu yeye ndiye mfalume wa wafalume na ndiye bwana wa mabwana kama alitupea ss wa Tanzania Doctor John mwenyezi mungu atusaidie kumupata mwingine kama John au saidi haya ndio maombi yangu kwa mungu nikiwakilisha watanzani
@pacifiqueheri1767
@pacifiqueheri1767 3 жыл бұрын
Suja wa Africa île sauti hatutaisikiyaka tena, hongera kwa kazi ulifanyiya Tanzania na Africa kwa ujumla. Uko mufiya Africa
@augustinejohnnyakatoma8591
@augustinejohnnyakatoma8591 2 жыл бұрын
Sauti yenye mamlaka na mvuto. Iliyo mtaja Mungu KILA wakati
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
@rwenenahomechannel1634
@rwenenahomechannel1634 3 жыл бұрын
I really like your comment brother.
@mutijimacedrick1622
@mutijimacedrick1622 2 жыл бұрын
in this generation ,no one like him....African hero...we miss prophet ....been killed by big men of this world criminals
@simonedward244
@simonedward244 2 жыл бұрын
I real love president
@mashambosheby2063
@mashambosheby2063 2 жыл бұрын
@@mutijimacedrick1622 💯
@jeanbaptistetwizerimana3149
@jeanbaptistetwizerimana3149 Жыл бұрын
House yyhhgguuuu;; uo3se,08inpnbhubn?❤v❤❤😢tyuyuu1uujllsdaaasqqhbhhefyipo9umiuui😂àuuykoàatà k 1bbhjaslllkkfyuv ❤,
@esternyamhanga8556
@esternyamhanga8556 Жыл бұрын
Ee mwenyezi Mungu umulaze hayati baba yetu mahali pema peponi sababu ameleta mabadiliko makubwa Sana nchini nitakukumbuka Sana magufuli!
@faithmbeyela9553
@faithmbeyela9553 2 жыл бұрын
Mawazo na maneno yako yanaishi nasi Kila siku upumzike kwa Aman tulikupenda sana rais wetu, tumekumisi mno
@edwardouma1630
@edwardouma1630 2 жыл бұрын
Mungu aibariki Tanzania na watto wa Tanzania 🇹🇿 by Fosill nikiwa jijini Nairobi Kenya
@kulwammbwambwa4089
@kulwammbwambwa4089 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu mpokee mwanao
@tiffahkidoti8954
@tiffahkidoti8954 3 жыл бұрын
Allah ailaze Roho ya Hayati JPM mahala pema peponi kwa huruma na wingi wa REHEMA zake. Amin
@benjaminmakega4432
@benjaminmakega4432 3 жыл бұрын
Makegz
@jacklinejosam3713
@jacklinejosam3713 Жыл бұрын
Ila webaba tupate wapi mtu kama wewe magufuli jamani?
@wittychezue9172
@wittychezue9172 2 жыл бұрын
dah 😭😭😭
@benjaminsamuel4641
@benjaminsamuel4641 3 жыл бұрын
We 'll never forget you.may God Rest in peace, bodly we're not together but spiritually we shall meet.MAGUFULI MAGUFULI MAGUFULI BYE BYE.umetuacha ktk majonzi na simanzi kubwa jemedali wetu.
@leilaathumani3611
@leilaathumani3611 2 жыл бұрын
😭😭😭😭 Tanzania yapelekwa wapi jamani asahivi na huyu mama dah tulikupenda saana na tunakupenda mpaka sasa
@jaliabahat1520
@jaliabahat1520 Жыл бұрын
hujitambui pole
@emmanuelbonifas2804
@emmanuelbonifas2804 2 жыл бұрын
Magufuri tulijua ni mzaa tu sasa tumeanza kuamini nikifa haya yote watayafanya kweli pumzk kwa aman jpm sasa tunajuta kila kukicha
@Rwekaza-s4e
@Rwekaza-s4e 11 ай бұрын
Umenikusha mbali ailaze roho yake pepon amina
@QwniErnest
@QwniErnest 11 ай бұрын
Ukooo ulipo upunguziwe adhabu ya kaburiiii
@ashrafakimaro2427
@ashrafakimaro2427 8 ай бұрын
Dr.Magufuli he was a good president he ofeared Allah and he loved his country
@gaspercharles4242
@gaspercharles4242 Жыл бұрын
The most clever leader in Tanzania and Africa time running out R.I.P Magufulification of Africa.
@raphaelalphonso1447
@raphaelalphonso1447 Жыл бұрын
Heshima/ukarimu/Busara/ upole/ etc God knows more than politics
@Myboy_1032
@Myboy_1032 10 ай бұрын
Daima tutakukumbuka😢😢😢😢
@anathshabani2952
@anathshabani2952 2 жыл бұрын
Inaumiza sana JPM hauko nasi ila hatutakusahau wewe ni riaisi wa pekee, pumzika kwa amani tunazidi kukuombea mpendwa
@berthambizo4646
@berthambizo4646 8 ай бұрын
Baba alikua mnyenyekevu huyu Daaaa...Mungu ampe pumziko la Milele Dr John Pombe Josephu Magufuli
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
RIP RAIS WANGU... NI VGM KUKUSAHAU, TUTAKUSAHAUJE? UMEACHA ALAMA . PUMZIKA KWA AMANI
@PauloSwat
@PauloSwat 11 ай бұрын
1:25 1:34 ❤ 1:44 1:44 1:44 1:45
@DavidMashaurikisungunda
@DavidMashaurikisungunda 10 ай бұрын
Mungu awe
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Daaahh chuma hiki 😭😭😭
@sarahnzwala5315
@sarahnzwala5315 2 жыл бұрын
Mungu akupe pumziko lanmilele mbinguni raha ya milele umpe ebwana 🤲 na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani Amin 🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️🙏🙏🙏❤️🤍
@mankamushi4588
@mankamushi4588 2 жыл бұрын
Mungu akupe pumziko la milele baba Mimi nakukumbuka kila inapoitwa leo .na nitakukumbuka na kukuombea kila siku
@johnjustus-kx8jf
@johnjustus-kx8jf Жыл бұрын
Hakika jembe hautasahaulika ktk nchi hii.mungu akurehemu upumzike kwa amani.
@JosephatChristopher-y5v
@JosephatChristopher-y5v 8 ай бұрын
Rest internal peace,, watanzania tunakukumbuka baba yetu kipenzi, mtetezi wa wanyonge mwenyezi MUNGU akulaze mahali pema peponi.
@clever_623
@clever_623 Жыл бұрын
Endelea kupumzika kwa amani baba😢😢
@shukurunongele1410
@shukurunongele1410 3 жыл бұрын
Safi sana kwa kumbumbu hii
@catherinekaduma7999
@catherinekaduma7999 3 жыл бұрын
Kama upo vile,natamani nione kama kweli kwa muonekano huo una machine kifuan?siamin kwa kweli
@twamanjatwasini4200
@twamanjatwasini4200 3 жыл бұрын
Siamin mpka leo
@Stephanosiliro
@Stephanosiliro 10 ай бұрын
Bahati buh 3:25 alama
@joycemwandola4826
@joycemwandola4826 3 жыл бұрын
R.I.p.baba kweli umeniuma we baba
@ProphetAntony-xk9qg
@ProphetAntony-xk9qg Жыл бұрын
Tunakukumbuka magu pumzika Kwa aman
@ZainabEras
@ZainabEras Жыл бұрын
Ni muwazi sana uyu baba
@HadijahussenimolaHadijah-jg4sj
@HadijahussenimolaHadijah-jg4sj 10 ай бұрын
😢❤ nitakukumbuka daima jpm uliyewapa ujasiri watanzani mungu akulaze pema peponi aamiin
@gideonsupeetgideonsupeet8793
@gideonsupeetgideonsupeet8793 3 жыл бұрын
Rest in peace BABA...tutakukumbuka milele
@FahamLongo-tp3yb
@FahamLongo-tp3yb 11 ай бұрын
Tunakumbuka sana baba yetu atutakusahau kamwe
@KiyumbiEmmanuel-zc4hv
@KiyumbiEmmanuel-zc4hv 8 ай бұрын
Tulikupenda sana lakin mungu kukupenda zaid R.I.P our best leader ever JPM we still ❤❤❤❤ you
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 26 МЛН
Rayvanny kifo (Magufuli)
3:56
Rayvanny
Рет қаралды 4,4 МЛН
Itakuliza.! HOTUBA YA KUSISIMUA NA HISIA KALI YA HAYATI MAGUFULI
11:36
Hotuba ya MWALIMU Nyerere iliyosisimua zaidi ilivyo mtabiri Rais JPM
14:08
BINGO ONLINE TZ
Рет қаралды 1,1 МЛН
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
5:25