MAHAKAMANI: "Moyo wa Yusuf Manji una vyuma" - Shahidi

  Рет қаралды 73,976

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Shahidi wa kwanza katika kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili mfanyabiashara Yusuf Manji Prof. Mohammed Janab ambaye ni daktari wa moyo wa JKIC ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa moyo wa Mfanyiabiashara huyo umewekwa vyuma ili kumsaidia kupumua.

Пікірлер: 102
@nailasalum
@nailasalum 7 жыл бұрын
Ya Allah akuekee wepes Yusup Manji akuondosheee huo mtihan na Allah ajalie uwe ni mwenye kushinda yote ya Allah akupe nguvu na Afya zaid akuondoshee maradh na pia akuhidi ktk njia ilonyooka hua mazur hayakumbukwi lakin mabaya hukubukwa May Allah grant u subra Allah is the best judge u will get whats right for u
@majaliwayusuph3801
@majaliwayusuph3801 7 жыл бұрын
Manji! Saheeb Sab. pole iko siku yote yatakuwa hadith. Binaadamu hana uwezo zaidi ya Allah patience pays.
@jenipherayo5299
@jenipherayo5299 7 жыл бұрын
Mungu akuvushe katika hili janga akumbuke sadaka zako ulikuwa msaada kwa kila aliebahatika kukulilia shida haijalishi ni kubwa kiasi gani . Pole sana .
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
Mungu atakusaidia Manji Mungu ni mwema! kwan u ekuwa msaada mkubwa sana kwa vijana weng tanzania! umetupa ajira nyingi! wema hulipwa kwa wema ila kwa waoumbavu wema hilipwa kwa manyanyaso na kuporwa ulichokuwa nacho! tunakuombea Manji! tunakuombea Manji, tunakuombea Manji! utatoka salama! Mungu wa wote
@namelessunknown1377
@namelessunknown1377 7 жыл бұрын
Allah ni Zaid ya mahakimu na wote katika ulimwengu ipo siku haki yko itapatikana manji
@fordmwakilembe8053
@fordmwakilembe8053 7 жыл бұрын
Jaman manji cjui anatafuta nn hapo......!! Usiogope uwe na moyo wa ushujaa, Mungu atakusaidia Yusuf
@madichamasawe6591
@madichamasawe6591 7 жыл бұрын
Mmh mungu akusaidie manji
@mohammedhimba6490
@mohammedhimba6490 7 жыл бұрын
Wauzaji waliachwa na waliobainika watumiaji waliachwa WHY Yussuph so Allah anamitiani yake na siri yake,inshaallah aliyepewa ataongezewa hizo ni neema zake.Allah atamfanyia wepesi Yussuph Manji.Amin
@justinemgomi9561
@justinemgomi9561 7 жыл бұрын
Mungu msaidie Ndugu Manji watesi wake nao wataabike
@jacklineibrahim2720
@jacklineibrahim2720 7 жыл бұрын
Justine Mgomi amen
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 жыл бұрын
Asante milard kwakutuwekea HIGH DEFINITION
@ShukurkollAngel
@ShukurkollAngel 3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ataubainisha ukweli wa kesi uliyopewa siku ya Kiyama.
@mayungafrancis604
@mayungafrancis604 7 жыл бұрын
Mungu Ni mwema yatapita na maisha yatenda.
@thuweintheprince882
@thuweintheprince882 7 жыл бұрын
Dah mungu atamlipia huyu baba
@joerychonanga3798
@joerychonanga3798 7 жыл бұрын
mungu atamsaidia haya maisha 2 lakini wakumbuke sheria duniani haki mbinguni
@jafariufuku3215
@jafariufuku3215 7 жыл бұрын
ereweni watanzania wote nadunia nzima 2riubwa kwaudongo na2takufa kwaudongo asante yehova inauma sana
@yasirhamad9808
@yasirhamad9808 7 жыл бұрын
Mungu atakusaidia inshallah
@faustermatiko6960
@faustermatiko6960 7 жыл бұрын
Eeeeh Mwenyezi Mungu mrehemu Manji. Inaniuma sana sana kwa kijana huyu kwa haya mapito anayopitia. Kila mwanadamu ana mapito yake katika maisha lakini yanatofautiana. Kwa mimi ninayemfahamu Manji toka akiwa ni mwanafunzi inanigusa sana na kuniumiza sana. cha msingi ni kumuombea sio kutoa maneno ya yasiyofaa kwenye mitandao. Tusiwe wa kufarahia shida ya mwenzio bali ni kulia nae na kumuombea. Ninakumbea mwenyezi atakurehemu. jipe moyo Manji.
@blacknature7637
@blacknature7637 7 жыл бұрын
Mungu atakulipia manji nakuombea Sana
@rajabuabikimakoi5197
@rajabuabikimakoi5197 7 жыл бұрын
Waliokamatwa katika sakata la madawa ya kullevya ni wengi ila wamashaachiwa karibu ya wote kabaki manji peke yake kwa maana hiyo tunafaamishwa kwamba aliyekuwa anatafutwa in manji IPO siku mungu atampa haki
@walid4abdallah24
@walid4abdallah24 7 жыл бұрын
Masikini Manji anatia huruma Sana Mungu amsaidie Stoke jela
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 жыл бұрын
Allah atakutoa katika mateso na giza na haki yako itaonekana pole kaka
@faidamanoni2285
@faidamanoni2285 7 жыл бұрын
mbona inatumika nguvu nyingi kwa Manji? what's wrong?
@abdallahshaaban1539
@abdallahshaaban1539 7 жыл бұрын
dah! inauma sana ngoja ije ifike ile siku Allah anaikusanya dunia yote na mbigu kwa mkono wake wakiume nakusema mm ndiye mfalme wako wakowapi wafalme wa ardhi .manji IPO siku utalipwa kwa jinsi wanavyokutendea
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
AMEEEEEN .HAKIKA
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 жыл бұрын
Allah yupo nawe manji nakuombea ushinde urudi kwa shughuli zako
@MJRashiid
@MJRashiid 7 жыл бұрын
Hope Paul Makonda is reading this comments
@rahimajuma688
@rahimajuma688 7 жыл бұрын
jamani mtu na pesa zake lakn anavyopelekeshwa na madaftari mikononi ila mungu yu mwema atakusaidia manji
@michaelboaz8108
@michaelboaz8108 7 жыл бұрын
mungu amsaidie
@eduardomaalimi344
@eduardomaalimi344 7 жыл бұрын
God must pay for this kwani waliohujum uchumi wangap na wanawajua je wamewafanya nn na wamehujum pakubwa kuliko ata manji hakika Mungu c kipofu kama kweli wao n watenda haki wawakamate wote waliohujum na sio manji pekee mm toka nizaliwe kiongoz bora n nyerere tu
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 7 жыл бұрын
Jamani huyu baba anatia huruma Mungu yupo upande wako hatakuacha kamwe,najua unateseka sana mali.zako na.maisha yako leo unakuwa hivyo kweli binadamu hawana huruma
@elizabethemanuel6717
@elizabethemanuel6717 7 жыл бұрын
Mungu yu pamoja nawe
@emmanuelgabagendi5800
@emmanuelgabagendi5800 7 жыл бұрын
Pole sana tena sana manji
@ayubudtktv2684
@ayubudtktv2684 7 жыл бұрын
we mtoto mkali wew jamaniii mmmh, Ayo Iko juuu
@tosiankel564
@tosiankel564 7 жыл бұрын
Hadi huruma wamsamehe tu jaman
@omarychediel1307
@omarychediel1307 7 жыл бұрын
Hebu wamwachie baba wawatu mbn haki hakuna watumiaji dawa zakulevya walioko vituo vya madaladala hawaonekani kaonekana manji alienakili zake timamu na mtafutaji mahiri wamzalilishe bila hatai mungu anawaona tu😭😷
@estherpeter7177
@estherpeter7177 7 жыл бұрын
MUNGU akusaidie jamaniii
@eduardomaalimi344
@eduardomaalimi344 7 жыл бұрын
hii chuki binafsi itawatafuna in a way they might never know Leo manji kesho mm Mungu msaidie Manji
@farajakigula4715
@farajakigula4715 7 жыл бұрын
tunakuombea mungu ni mwema mwamini yeye
@afropanorama4730
@afropanorama4730 7 жыл бұрын
na akishinda iyo kesi bora tu aende zake kwao india akaishi mana mtammaliza kila kitu
@doreenmganga1100
@doreenmganga1100 7 жыл бұрын
Afro Hakeem. Yusuph ni Mtanzania halisi, kasomea hapa hapa Bongo, katika shule ya msingi ya International School of Tanganyika kule Masaki. Huyu ni raia wa Tanzania
@afropanorama4730
@afropanorama4730 7 жыл бұрын
Doreen Mganga naelewa ni mtanzania.lkn kwaiyo nguvu inayotumika kwake ni kheri akapumzikie huko kutabakia kua kwao tu
@jadenmsafi
@jadenmsafi 7 жыл бұрын
pole sana manji wana visa vyao tu
@geofreyernest3437
@geofreyernest3437 7 жыл бұрын
God will release you stay protected
@DeviDevi-zn7ib
@DeviDevi-zn7ib 7 жыл бұрын
mungu yupo anaona jamani
@atukuzwemungudaimaariseand6156
@atukuzwemungudaimaariseand6156 7 жыл бұрын
Apo mungu amsimamie inaonekana serikali inania mbaya nayy mbona wengine walionekana namadawa walipewa dhamana yy anakosa gani lisilodhaminika
@elizachota6361
@elizachota6361 7 жыл бұрын
anatia huruma 😢😢maskin
@ameniameni617
@ameniameni617 3 жыл бұрын
Mateso Ayo sijui kama unaweza kumsamehe msababishaji
@dadycarenjr5732
@dadycarenjr5732 7 жыл бұрын
Tukiachana na Manji ila we Dada mtangazaji mzur kwel mwishoni hapo nmekuona vzur daah alooooo milard ajakukoga kwel aisee???
@mosesmwaisela4892
@mosesmwaisela4892 7 жыл бұрын
jaman huyu Baba mtazameni kwa jicho LA ndani. kuwen Na Huruma huyu binadam ana damu Na nyama.
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 жыл бұрын
Moses Mwaisela Ameeen umenitoa chozi
@lawagustino1887
@lawagustino1887 7 жыл бұрын
hakika
@macisaac168
@macisaac168 7 жыл бұрын
Moses Mwaisela nchi imeingiwa na ushetani wa ukatili, visasi na maonevu. 'not yet uhuru'
@josephpeter6445
@josephpeter6445 7 жыл бұрын
Jamani
@gideonimathew6491
@gideonimathew6491 7 жыл бұрын
Hukumu zake Yesu ni zahaki
@wazirally1791
@wazirally1791 3 ай бұрын
RIP Tajiri
@brownjulius8514
@brownjulius8514 3 ай бұрын
R .i.p manji daah
@fantmpango5506
@fantmpango5506 7 жыл бұрын
Nchi hii wangapi wameiingizia hasara Nchi hii mabilioni ya pesa lakini wanalilax? Why Manji!
@MirryKirungi
@MirryKirungi 3 ай бұрын
Rip manji
@amrikilindo6936
@amrikilindo6936 7 жыл бұрын
kila rais na mtu wake ja kaya babusea Magu yye manji na ashukulu anaela vinginevyo kishaukumiwa yupo Ukonga saiz
@elizachota6361
@elizachota6361 7 жыл бұрын
ana
@JumaMbezi
@JumaMbezi 3 ай бұрын
Rest in peace
@kimlorahkimlorah
@kimlorahkimlorah 7 жыл бұрын
Imetosha jamani Muachieni basi
@rashidisaidi8535
@rashidisaidi8535 3 ай бұрын
Rest in piace
@princekim3785
@princekim3785 7 жыл бұрын
Dunia hadaa ulimwengu shujaa Manji ndo kawa hivi na huo mkoba vp
@massawemrlowprice3949
@massawemrlowprice3949 3 ай бұрын
R.I.P
@gideonimathew6491
@gideonimathew6491 7 жыл бұрын
Jesus coming soon. Duniani hakuna mwema
@blacknature7637
@blacknature7637 7 жыл бұрын
Manji akifa magufuli Na makonda watapaa mbiguni Kama yesu
@Namtumbo
@Namtumbo 3 ай бұрын
Rip
@zubyzubymohamed4103
@zubyzubymohamed4103 7 жыл бұрын
Yani Wame Mganda uyu Mzee jamani mbona Rombaya nyingi Kwa Baba wa Watu kiasi ikii 😡
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 жыл бұрын
Unapoishi katika dunia usifanye kibri utalipwa hapa hapa
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
labda kwa wanaomfanyia manji lakini manji mtu wa watu hakuwa na kibri ya kulipwa mateso yote hayo
@derckmasebene5641
@derckmasebene5641 3 жыл бұрын
Jmn
@Tiffany340
@Tiffany340 7 жыл бұрын
ameshazoea kusoma magazeti mpk kuongea km unasoma 😂😂😂
@ramadhaally1794
@ramadhaally1794 7 жыл бұрын
kwa.sababu.ndin.allah.hatokuw.laz.many.hao.makafiri.mupaka.mutate.mila.zao.au.muwe.manasra.Allah.atkunusur.
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
Si kesi ya udini shika adabu wengi tunaumia kwa hili usilete umbumbumbu kila dini tumtie moyo ni mitihani tu ya dunia,usipende kucomment usilolijua fuatilia kesi
@elimuvisioncenter
@elimuvisioncenter 3 ай бұрын
KUTESA WATU TU ....
@zubyzubymohamed4103
@zubyzubymohamed4103 7 жыл бұрын
Na Akifaa Uyu CCM Tutawalilia vichwani .Yani Wame Muandama Baba wa Watu Kama Kaiba Tanzania Zima Jamanii Ah ivi Kwa nini Mbona Hiii Serkal ya Magu Wako Ivii Yani nia yao wachukue Mali Zotee Za Mwezao Wale wao Kirahisi Awajui Mtu Kapitia Vipi Paka Kafikia Kuitwa BIg Boss Tz wanakela sana kumamake 😡
@josephpeter6445
@josephpeter6445 7 жыл бұрын
Mwachien daha kwani halikuwa hana usa hauhalikuwa hana tumiha
@immamlowe734
@immamlowe734 7 жыл бұрын
Wenye akili tujifunze kww kanji. MTU na hela zake he wewe na Mimi.serikali hii kiboko yanjia
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 7 жыл бұрын
mhhhh😨😨
@chazycharles5294
@chazycharles5294 7 жыл бұрын
Mungu atamsimamia
@ريهامالسريري-ل1ص
@ريهامالسريري-ل1ص 7 жыл бұрын
Mi nauliza kwan hawarusiwi kubadil nguo na kutoa manywel maanake mmhh
@gracekitundu189
@gracekitundu189 7 жыл бұрын
Ana raha gani mpaka abadilishe nguo na kunyoa nywele ndugu yangu
@petermatelele6938
@petermatelele6938 7 жыл бұрын
shikomoo maji huko uliko
@shamimuabubakary6794
@shamimuabubakary6794 7 жыл бұрын
Serekali waizi watupu wanataka hela Zane kinguvu.
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
ila sasa na wewe Alice unatangaza huku umeshika cm mkonon vipi?! au madai yake ulikuwa unamrekod
@nyamitmm1227
@nyamitmm1227 7 жыл бұрын
Mhhhhhhhhhhhhh matajiri kuishi kama mashetani maskini mnafaidika nini
@damaskashind1837
@damaskashind1837 7 жыл бұрын
Kwa website na system wasiliana kwa 0765336569
@RichardsJob
@RichardsJob 7 жыл бұрын
DAMAS KASHIND great mkuu weka na email yako
@YN-km9rq
@YN-km9rq 7 жыл бұрын
On the end of everything God is gonna finally give the last judgement of all the judgment which had been judged by the people judges 🙏🙏🙏🤙👈👉👇👮‍♀️👩‍✈️👩‍🚀👩‍🏭👨‍🏭
@jubimansmbise4386
@jubimansmbise4386 7 жыл бұрын
Utawala wa visas!!!
@godfreykanelela9448
@godfreykanelela9448 7 жыл бұрын
kikubwa awe anapumua tyu Ila mahakaman lzm aende
@macksokaempire5233
@macksokaempire5233 7 жыл бұрын
Hata ukiwekwa jiwe
@doramsuya5135
@doramsuya5135 7 жыл бұрын
Ladislaus Soka chuki binafsi. Angekuwa ni nduguyako ungesema hivyo au bangi zinakusumbua... Jitahidi kuwa na moyo wa huruma kwawenzako. Maana hata wewe iposiku itakutokea. Huijui kesho yako isipokuwa mungu tu.....
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 7 жыл бұрын
Dora Msuya umenena kweli ndg yangu hakuna aijuayee kesho yake
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
hujawahi kukutwa na visa vya ajabu ila omba yasikukute,utamkosa hata dr wa kukuwekea kokoto mfyyyuu.Kwa manji haya ni mapito tuu yataisha wewe unaeijua kesho yako endelea na kashfa.
@habarizonetz
@habarizonetz 3 ай бұрын
Rest in peace
@jubimansmbise4386
@jubimansmbise4386 7 жыл бұрын
Utawala wa visas!!!
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
kila utawala una kikomo
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
Mashahidi waeleza Mahakamani Manji alivyopimwa Mkojo
9:13
Millard Ayo
Рет қаралды 105 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 108 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
MAHAKAMA KUU YAZUIA MALI ZA YUSUF MANJI
2:37
Mwananchi Digital
Рет қаралды 7 М.
Yusuf Manji  Aongea Makubwa Kwenye Uchaguzi wa Yanga Leo
4:44
Global TV Online
Рет қаралды 127 М.
BREAKING: Mahakama ya Kisutu imemuachia huru Yusuf Manji
3:01
Millard Ayo
Рет қаралды 206 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН