Asante Sana pastor, na Yahweh akubariki kadiri ya kazi aliyokupa
@DivinahNyambeki6 ай бұрын
Amen 🙏 napenda sana mafundisho yako ,yamenisaidia sana maishani mwangu wacha Mungu aendelee kukubariki na kukutumia
@africaone4306Ай бұрын
Marko 4:23
@kwandundaki85687 ай бұрын
Barikiwa pastor namatamani uwe unapost somo kila siku humu manake mimi.nikiwa kazini huwa nasikiliza masomo yako muda wote na huwa nachungulia kila wakati kama umeweka somo jingine barikiwa sana pastor
@MahubiriPrMmbaga7 ай бұрын
Amen
@IskariMasawa6 ай бұрын
Mungu azidi kukutunza kwakweli MUNGU alikuleta kwa wakat sahihi,unafundisha kwa kueleweka sana nimeongezeka kiroho wakat fulan huwa nataman na mie niwe mwalimu kama ulivyo wew, barikiwa sana
@LovemsafiriloveMsafiri-mq9fo2 ай бұрын
😂😂 mwalimu mafundisho yako ninzurii sanaa
@WardaTangasi-f9n7 ай бұрын
Barikiwe nabarikiwa Sana MA shukuru umenibarisha maisha yangu
@vitaliamwageni44357 ай бұрын
Amen Pastor Mungu akubariki sana
@jonathangasore77357 ай бұрын
Asante sana kwa mafundisho mazuri ya kifamilia na uchambuzi kuhusu uumbaji wa Mungu.