Asante pr Mungu akubariki nakuzikiza kutoka Kenya nashukuru kwa maombi uliniombea mchichana wangu Cate wamerundiana Na bwana yake naomba uwaombee wapate mtoto na Michael abadirike Apache pombe.
@ClaudeBulambo-s7q3 ай бұрын
MUNGU azidi kukuhinua viwango vingine,…Endelea kutuhimarisha Kiroho na mwili poa,Hongera sanaaaaaaa
@harerimanasosthene59413 ай бұрын
Mungu asifiwe, Asante sana Mchungaji kwa mchango wako wa kuwakosoa wazazi wasiokuwa na upendo. Sosthene from Rwanda🇷🇼
@QWARIDAMassay3 ай бұрын
Pastor Bwana akubariki, naomba niombee mm na mume wangu na watoto wangu imani na afya
@EliyaKagula2 ай бұрын
Amina. Kwa neno LA uzima, ninahitaji MAOMBI yenu katika change moto ninayopitia Niko MPANDA.
@EmmanuelKavumbu3 ай бұрын
Asante nimejifunza kitu, mungu akutunze sana mchungaji
@MagdalenaGabriel-y5s2 ай бұрын
Nami nahitaji yesu anitakase amina
@Trizah-254-e3 ай бұрын
Happy SABBATH, niombee Pastor Imani yang, afya pamoja na watoto wangu.
@MahubiriPrMmbaga3 ай бұрын
Mungu akuponye
@DUKEKILIMU3 ай бұрын
Mungu nisamehe naomba unisaidie
@josephinesanita49043 ай бұрын
Happy Sabbath dad my fellow lovers in Christ ❤❤❤❤❤❤
@EliyaKagula2 ай бұрын
Mchungaji tunabarikiwa na mahubili amina
@PHIBIANKIYAI3 ай бұрын
I'm chepkemei from Kenya, need a pray from pastor.
@MahubiriPrMmbaga3 ай бұрын
Am praying for you
@JosephinaIlomo3 ай бұрын
Asante sana mtumishi
@veronicanestory16623 ай бұрын
Ameni mchungaji, tuombeane na sie tuwe miongoni mwa wale watakatifu watakao nyakuliwa
@Trizah-254-e3 ай бұрын
AMINA
@CilvaniaMutembo3 ай бұрын
Amen Amen
@MariamBusele3 ай бұрын
Amina
@DanielMuruthi-kc7pi3 ай бұрын
Amen
@JosephinaIlomo3 ай бұрын
Asante
@josephshikuku87753 ай бұрын
Joseph kutoka Kenya, nahitaji maombi yenu katika hali ninayopitia
@MahubiriPrMmbaga3 ай бұрын
Mungu akutendee
@MagdalenaGabriel-y5s2 ай бұрын
😂nimekumbuka mwanangu alikuwa akinikosea nikimchapa analia akimaliza anakuja kunikumbatia afu ananiambia nakupenda mama na mwambia nakupenda pia mwanangu alafu namshangaa alikuwa namiaka 3 mpaka miaka 5kila nikimwazibu anapokosea akimaliza hasira anazidisha mapenz nami namliwaza nilikuwa na injoi sema Nina uchungu ckonao jaribu kwasasa