🔴

  Рет қаралды 27,594

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

2 жыл бұрын

Пікірлер: 62
@solomonnanguni2688
@solomonnanguni2688 2 жыл бұрын
Mchungaji Mbaga, asalaam alleikhum, Bwana Yesu asifiwe sana. Sipendi niwe mnafiki mbele zako na mbele za Mungu ninayemwamini; kiukweli moyo wangu unauburudisha mno kwa mafundisho yako sahihi. Nadhani kumsifu mtu au mtu kujidai kwaajili ya kumjua Mungu sidhambi. Ubarikiwe ila Morogoro tunakuhitaji mubashara.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 ай бұрын
Amina ubarikiwe
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 ай бұрын
IPO siku nitafika
@lugembezenzele6555
@lugembezenzele6555 2 жыл бұрын
AMINA Ubarikiwe mtu wa MUNGU kwa somo zuri na kazi nzuri ya injili 🙏🙏🙏🙏
@salomengussa5897
@salomengussa5897 2 жыл бұрын
Pr leo nimebarikiwa sana na masomo haya Mwenyezi Mungu akubariki sana,sana!!!
@jonacemanyama4858
@jonacemanyama4858 2 жыл бұрын
Pr.Mmbaga wewe ni mtu wa maajabu makubwa sana Mungu akubariki sana 🙏.tuombee pia pastor
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 ай бұрын
Mungu akupe lililo hitaji lako
@jonacemanyama4858
@jonacemanyama4858 3 ай бұрын
Amina naamini,nandivyo nipokeavyo
@naomikilonzo6898
@naomikilonzo6898 2 жыл бұрын
Pastor Mungu akutie nguvu.
@kekechevebutoyi9531
@kekechevebutoyi9531 Жыл бұрын
Looo uyu baba alishakuwa baraka sikunyingi mwenyezi mungu muzidishiye Siku zakueshi
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 ай бұрын
Amina
@Joycependopendo-dv2tb
@Joycependopendo-dv2tb 8 ай бұрын
Amen 🙏
@user-dh7yg6dl5e
@user-dh7yg6dl5e 3 ай бұрын
Ila mchungaji naomba uwe unatujibu comment zetu mtumishi na sisi tutambe najua unachok ila ukipata nafasi utujibu at like tuu kwenye comment nitambe mm jmn nilinge mm nakupenda mtumishi MUNGU akulinde sana
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 ай бұрын
Amina, ubarikiwe mtu wa Baba
@user-dh7yg6dl5e
@user-dh7yg6dl5e 3 ай бұрын
@@MahubiriPrMmbaga uwiiiiii MUNGU weee uwiii jmn nyieee njooni nimejibiwa huku mm walai Leo usiku huu wa Leo walai ni usiku mzuli toka nizaliwe uwiii nyie mtumishi Asante sana uwii hii naichukua nyiee 🤣Mungu Asante jmn yaan hii comment mchungaji na like Yako mm kila kitu kimeisha yaan hapa upako nimepokea balaka nimepokea nyieee mm nimebalikiwa sana uwiii Asante Yesu wenga mweee acha tuu Asante mwengaa du Leo nalala vizuli jmn
@ekelaalex9411
@ekelaalex9411 Жыл бұрын
Amen man of God ubarikiwe saana maana maisha yangu yana badirika saana nikifata mafundisho yako mungu asifiwe n'a atukuzwe milele
@NaftaliZaphania-ql9wk
@NaftaliZaphania-ql9wk Жыл бұрын
Mungu akubariki pastor , nashukuru kwa mahubiri yako
@abelimalifedha1762
@abelimalifedha1762 2 жыл бұрын
Hawa jamaa hawakubaliani hata na ujamaa, wanapenda kutawala mawazo ya watu, Wameleta mapinduzi mengi ya Kisayansi tunamshukuru Mungu kwa ajili ya mkono wake wenye nguvu kwetu.
@daud8785
@daud8785 2 жыл бұрын
Mungu atukuzwe Sana kwa kazi nzuri
@johanesneema591
@johanesneema591 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe,,,,, Nakushukuru mchungaji mbaga maana umenifunza mengi amabayo sikuyajua
@esterkaogo2390
@esterkaogo2390 Жыл бұрын
Nakosa rugha ya kuelezea ninavyobarikiwa Itoshe kusema BWANA NA AKUBARIKI NA AKUTUNZE🙏♥️
@juliasmlacha9686
@juliasmlacha9686 2 жыл бұрын
Nawapata vizur kutoka ubungo Mungu awabariki
@elienew3788
@elienew3788 Жыл бұрын
Nabarikiwa pamoja nanyi nikiwa Lebanon
@khaldn7409
@khaldn7409 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana mchungaji barikiwa sana
@alicesidi9601
@alicesidi9601 2 жыл бұрын
Amen nabarikiwa nikiwa Saudi 🇸🇦 be blessed 🙌
@elizabethmagomamochache5684
@elizabethmagomamochache5684 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@user-gk7ht2ig1l
@user-gk7ht2ig1l 6 ай бұрын
amen
@zawadiamuli4186
@zawadiamuli4186 Жыл бұрын
Natamani nami kupata kitabu baba🙏
@longheesanga7182
@longheesanga7182 2 жыл бұрын
AMINA pastor Ubalikiwe Sana
@jaxmgoss
@jaxmgoss 7 ай бұрын
Me naomba soft copy
@floragatwiri3063
@floragatwiri3063 Жыл бұрын
Afternoon,plz sikiza hii ujisalimishe❤
@shaniachanceline2751
@shaniachanceline2751 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💖💗❤️😍
@bahatijohn1958
@bahatijohn1958 2 жыл бұрын
Nimeelewa Mungu nipe macho ya rohon
@mabulasiminti5194
@mabulasiminti5194 2 жыл бұрын
Mungu na atukuzwe
@hezekiamhapa7395
@hezekiamhapa7395 2 жыл бұрын
Pr umenibariki sana
@zawadiamuli4186
@zawadiamuli4186 Жыл бұрын
Niko kwamu Uganda
@everinemasoka6923
@everinemasoka6923 2 жыл бұрын
Amen amen
@uwezomloko3759
@uwezomloko3759 2 жыл бұрын
Amen
@JC-lk3me
@JC-lk3me 2 жыл бұрын
Nakubali kwamba unaelewa biblia kweli kweli na umefanya reseach vizuri, na Mungu kakupa kipaji kikubwa. Lakini mabepari unaowasifia sijui kama umewafanyia utafiti mzuri. Pia hii mitandao yote tunayoitumia inaletwa na nchi moja tu, ndo ina tuwezesha kujifunza na kujadili watu wa maifa yote pamoja, Mungu anasemaje kufaidika kwa kitu tunachokinga au nchi upingayo?
@dasilvajr9647
@dasilvajr9647 Жыл бұрын
Pastor hicho kitabu nakitafuta sana nakipataje!
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Wasabato wote wangehubiri kama huyu ningeshakuwa msabato,huyu ni tofauti na wasabato 10,000
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 2 жыл бұрын
Wow Putin very smart
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 2 жыл бұрын
Da sasa Naelewa vizuri
@bahatijohn1958
@bahatijohn1958 2 жыл бұрын
Ameina
@Danielpablo92
@Danielpablo92 Жыл бұрын
Kama na kwelewa hivi mwalimu
@samwelialex6310
@samwelialex6310 2 жыл бұрын
Nimependa sana nataman kuchangia kununua hivyo vitabu japo vichache ila sijui nichangie vip
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 жыл бұрын
+255 755 932 283 wasiliana nasi kwa Whatspp
@kisonajohn367
@kisonajohn367 2 жыл бұрын
Barikiwa Sana Pastor
@Jr-pc3gr
@Jr-pc3gr 2 жыл бұрын
Kuna watu wako tangza nikiwatumia link wanasema hazifunguki shida ikowapi msaada tafadhali
@malkiadidoday4661
@malkiadidoday4661 2 жыл бұрын
Good
@naomikilonzo6898
@naomikilonzo6898 2 жыл бұрын
Pastor Mungu akubariki sana, niombee mafanikio natamani na Mimi nitoe vitabu.
@jacobnyamanyi7926
@jacobnyamanyi7926 2 жыл бұрын
Unabii unaufundisha vyema pastor lakini jiondoe kwenye mapenzi ya madikteta na wauaji. Watu wanaokiuka haki na utu wa wanadamu inaonekana unawahusudu sana. Kuna mentality potofu kwamba kila anayeipinga Marekani ni mtu mwema. Sio kweli. Wengi wao ni viongozi waovu, wakatili na wauaji wasiofaa kabisa. Wanaipinga Marekani kwasabu inapnga uovu wanaofanya na kuuchukulia hatua kuwawekea vikwazo. Ni kweli Marekanj inaeneza uchafu wa ndoa za jinsia moja na ukosefu mwingi wa maadili dunia hii. Hili ni jambo baya. Hata hivyo America sio taifa onevu. Sio taifa linaloua watu wengi dunia hii kama wengi tunavyoaminishwa na propaganda. Kwa kiwango kikubwa inazuia mauaji. Hakuna taifa lililotulia linalolinda raia wake na kuzingatia haki na uhuru wake kulinda raia wake iliyowahi kuvamiwa na Marekani. Ilipovamia nchi fulani ilivamia kwasababu kuna serikali ilikuwa inaua raia, au inatishia kuua raia au inataka kuvamia na kutiishia mataifa mengine. Syria, Libya, Vietnam, Afghanistan etc. Labda sehemu ambayo walienda bila sababu ya msingi wakitaka kumuondoa tu dikteta mkorofi ni Iraq. Sehemu zingine walikuwa na sababu. Na kilichoperekea mauaji sio Matekani kuua watu kama Urusi inavyofanya sasa hivi Ukraine. Kilichoua watu ni wenyeji wenyewe kupigana na kumallizana kwa chuki zao wenyewe. Hata sasa baada ya Marekani kuondoka bado wanauana tu.
@johnjulius6986
@johnjulius6986 2 жыл бұрын
Nachukizwa na mafundisho yenu ya UONGO....!. Kuna siku, kuna wakati, kuna saa nitawaletea hukumu ya MUNGU, Waamini wata nyakuliwa, ila nyinyi mtakao salia mtaipokea hasiria ya MUNGU....nanyi mtamtukana mungu. Nyinyi hamjui Mungu kabisa na wala hamtaki kuisikia sauti yake.
@kisonajohn367
@kisonajohn367 2 жыл бұрын
Kivip ndugu
@johnjulius6986
@johnjulius6986 2 жыл бұрын
@@kisonajohn367 ujifunze habari za mashahidi wawili...
@lizydavid2621
@lizydavid2621 2 жыл бұрын
Nimechelewa kusikiliza ila pr Leo yamefungiwa jmni
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
na africa tunafuata ushetani huo kiukweli ukija huku utalia machozi,
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 2 жыл бұрын
Tusimsonde Putin vidole kabisa. Ni muumini mwenzetu
@bensontemu9356
@bensontemu9356 2 жыл бұрын
Shukranii MUNGU WA MBINGUNI AKUPE ULINZI,, ILA UWAKUMBUSHE HAO WABAPTIST WAACHANE NA JUMAPILI WAIELEKEE SIKU YA SABA YA JUMA
@malkiadidoday4661
@malkiadidoday4661 2 жыл бұрын
Hao ni seventh day Baptist bro
@maulinemasistsa1726
@maulinemasistsa1726 2 жыл бұрын
Hio ndio injili kamali.mungu akuhifadhi kwa ajili ya wengine pia ,ninabarikiwa kila kuchao
@deusmorris1030
@deusmorris1030 2 жыл бұрын
na wewe na siku ya saba watuwanamtafuta Yesu Bwana wa sabato bado huelewi soma kutoka 12:16
MATUKIO YA KIMUNGU KATIKA MAISHA YAKO
49:34
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 13 М.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 37 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 12 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
DAKIKA 24 ZITAKUTOA KWENYE SHIMO-PR DAVID MMBAGA
24:16
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 9 М.
#love HATUA MUHIMU KABLA YA NDOA | PR. DAVID MMBAGA
33:45
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 3,8 М.
Mch Moses Magembe - UNABII WA SIKU ZA MWISHO | Mwanzo wa taifa la Israel
2:41:07
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: FAHAMU JUU YA MAONO YA HUDUMA.
2:20:42
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 49 М.
MUNGU ATAINGILIA KATI MAMBO YAKO? | PR.DAVID MMBAGA -
1:23:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 51 М.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 37 МЛН