#MAHUSIANO

  Рет қаралды 335,356

GeorDavie TV

GeorDavie TV

3 жыл бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Пікірлер: 566
@gracemfangavo4824
@gracemfangavo4824 3 жыл бұрын
Hii sio sawa kabsaaa me nadhan njia njema angewaita faragha jmniiii, unaweza ua mtu kwa presha et😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@apostlesamwelisautiyasimba238
@apostlesamwelisautiyasimba238 3 жыл бұрын
Kabisaaaaaa kwa hapa amewadhalilisha Sana Ni bora angewaita pembeni maana Hawa tayari Ni Wana ndoa
@bishoptvalbert4112
@bishoptvalbert4112 2 жыл бұрын
Dhambi haina faraga
@arenyutenga1052
@arenyutenga1052 2 жыл бұрын
Hapana hii nizuri zaidi kwaajili yakuwajengawegine pia ndani yakanisa
@huseynmaitaya9002
@huseynmaitaya9002 5 ай бұрын
Huu ndio ubaya miongoni mwa mabaya mengi ya ukiristo kudhalilisha watu
@angelatarimo1969
@angelatarimo1969 3 ай бұрын
Kurekebisha dhambi haina faraga.hiki alochofanya nabii mkuu na wengine wanajifunza na kujirekebisha wenyewe. Ingefanyika faragha wengine wasingejifunza.Asante
@apostlesamwelisautiyasimba238
@apostlesamwelisautiyasimba238 3 жыл бұрын
Kwa kanisa kubwa Kama hili vijana na mabinti wa Aina hii huwezi kuwakosa kanisani Mungu tupe Neema Tuongoze Hawa kondoo salama
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj Ай бұрын
Watanzania angalini sana hawa manabii wanapenda sana kutenganisha ndoa sawatu na yeye yesu yule mwanamke alie vumaniwa kasamehewa bure kwambiwa wakwaapi wates wako
@sweetylyimo3462
@sweetylyimo3462 3 жыл бұрын
Baba yangu,baba yangu ninaekupenda,kweli wewe ni nabii mkuu tena mungu anakutumia vipasavyo,be blessed mhe.Nabii Mkuu
@leatitiamirimba4546
@leatitiamirimba4546 3 жыл бұрын
Amini kuna watumishi wa Mungu na kuna wacaguliwa
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 3 жыл бұрын
Amen.kweli baba una Roho wa Bwana yu juu yako.kitendo ulichokifanya hapo si cha kawaida ni advanced sana.ubarikiwe mtu mkuu wa Mungu
@humphreybilly3258
@humphreybilly3258 3 жыл бұрын
Barikiwa Nabii. Nabarikiwa sana kwa mafundisho yako.
@ijuekwelitv3150
@ijuekwelitv3150 3 жыл бұрын
Watu mnateseka aiseh na haya yanatokea hasa pale mwanadamu anapomtegemea mwanadamu mwenzie na kumsahau Mungu hatimaye kudhalilishwa mbele ya hadhira
@lovenesskarengi915
@lovenesskarengi915 3 жыл бұрын
Nachukia sana aibu hii sijawahi ona mtumishi wa mungu asiyekua Na kifua inaonekana huyu mtumishi yupo kimwili Wala si kiroho watu wa mungu someeni sana Bible Na mungu atusaidie
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Very right bibilia inasema watu wangu watapotea kwa kukosa kujuwa maandiko.
@janviersobhane8828
@janviersobhane8828 2 жыл бұрын
Dada acha wajinga wadanganywe,hakuna utumishi wa jinsi hiyo huo,unaitwa upumbavu.( hayo ni mambo ya ofisini sio madhabahuni) Mungu hakuwahi kudharirisha biblia ni amini na kweli.huo ni unabii wa kusomea saikolojia za watu,sio unabii wa mafunuo kutoka ofisi ya mbinguni.
@user-dj2zk9js7v
@user-dj2zk9js7v 15 күн бұрын
Huyu si mtumishi wa mungu wa kweli ako anaangamiza watu tu
@Johnh-xt1zy
@Johnh-xt1zy 4 ай бұрын
Amen be it done to me according to your word Jesus Christ name
@janeombati2290
@janeombati2290 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu nakufwatilia nikiwa narobi Kenya nimeumia sana na nimenjutia dhambi zangu zote na ninakili katika jina ra yasu mwana wa Mungu nimenziacha kuwanzia reo jina ra Bwana Mungu na damu ya yesu kristo msarabani ikaniongonze handi nitakapo Kutana na wewe
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 3 жыл бұрын
Pole dada mwenye watoto...MUNGU Ni MKUBWA watakua tu
@asumptamwende1941
@asumptamwende1941 2 жыл бұрын
True this is man of God watching all the way kenya
@salomessmart9814
@salomessmart9814 3 жыл бұрын
Amina baba hiyo ndo kwel anayoitaka mungu ubarikiwe sana
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 жыл бұрын
Powerful powerful anointing deliverance from Daddy Nabii Mkuu
@lydiakundu429
@lydiakundu429 3 жыл бұрын
Shikamoo baba, Naomba. Kwa hisani yako ufunguo kanisa hapa Kenya, Napenda huduma yako sana sana ili nasi tukaweze kunywa maji kwenye kizima chako
@zawadibagunda1306
@zawadibagunda1306 2 жыл бұрын
Je suis tellement touché 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 from DRC God bless you
@drinozzsamson8676
@drinozzsamson8676 Жыл бұрын
Naitwa zachalia daudi msaada wangu mkubwa ninaombi naomba mala 3 naomba tena mala3 naomba nipatetu namba ya nabii mungu tena jambo juu ya kuomba namba za nambii nifanikiwe amen🙏🙏
@Le_pastor_ORONGAI
@Le_pastor_ORONGAI 3 жыл бұрын
For this geordavie salute to you papaa
@MICHAELMOBILECARE
@MICHAELMOBILECARE 2 жыл бұрын
So touching and wise.kusema ukweli nabii Mungu amekupa wise knowledge i reconnect
@abuuazhar3738
@abuuazhar3738 Жыл бұрын
Jamani kama mnaigiza kwaajili ya kufurahisha watu mungu anawaona
@edinanoel6151
@edinanoel6151 Жыл бұрын
Ndo dawa mmezid
@christinamkalalile874
@christinamkalalile874 2 жыл бұрын
Mungu msaidie Jmn
@alibell5246
@alibell5246 3 жыл бұрын
Dah hili kanisa noomaa hongera mchungaji
@estersteven1720
@estersteven1720 3 жыл бұрын
Kwel adi nimelia mwanamke hakika anamjuwa Mungu
@lindajohn8236
@lindajohn8236 3 жыл бұрын
It's so touching,God bless you Nabii
@louisejeanne1760
@louisejeanne1760 2 жыл бұрын
Mpaka na mimi nalia kweli dada 😥😥a Mungu awasaidie na kuwalinda katika ndoa yenu 🙏🙏
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 2 жыл бұрын
Mmm kazi ya Mungu ni ya Mungu
@augustinobenedict9562
@augustinobenedict9562 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefuu Amen
@kingsdramakorea6673
@kingsdramakorea6673 3 жыл бұрын
God blesse
@saldakltl7611
@saldakltl7611 3 жыл бұрын
Asante 👏👏👏
@neemadickson4068
@neemadickson4068 2 жыл бұрын
God bless you Nabii Mkuu
@shinshi9696
@shinshi9696 3 жыл бұрын
Pastor katumia hekima ya hali ya juu sana. Huyu mwanaume Ni mshenzi sana
@marcondokeji8982
@marcondokeji8982 3 жыл бұрын
Hongera sana nabii, kijana nae very humble
@landiismollel4075
@landiismollel4075 3 жыл бұрын
Jamani huu Ni sinema kabsa,Ni game limetengenezwa😆😆😆😂
@marymfugwa847
@marymfugwa847 3 жыл бұрын
Nashangaa! Kanisa limekuwa kichaka watu wanafanya uzinzi wao kwa wao kanisa moja wake 2 alafu unasema umeokoka! Heri kuwa baridi kuliko kuwa vuguvugu.
@zabiboamissa18
@zabiboamissa18 3 жыл бұрын
@@marymfugwa847 ll
@williamsofia7372
@williamsofia7372 3 жыл бұрын
Jamani ..mbonna tunaangamia kwa kukosa maarifa...kwel nabii gani wa namna hii...si tujifunze ukweli ..
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 Жыл бұрын
Kwakweli namshukuru mungu sana kunitoa kwenye ukristo na kuningiza kwenye njia ya haki uislamu huyo jamaa tunamjua fundi mpiga rangi huo ni usani unafanyika hapo watu wanashangalia na kusema ameni kweli inasikitisha sana sana aya ndani ya quran inasema viongozi wao wa ibada wanawapotosha watu wasimjue mungu wa kweli na kula Mali zao kwa njia ya baatuli wanapotoshwa wengi sana hapo
@rosekadzokadzo1401
@rosekadzokadzo1401 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa na mafundisho yako Nabii...
@joycezulu2750
@joycezulu2750 Жыл бұрын
Natokeya Zambia nakukumbali mtumishi wamingi
@eddyjuniortz2234
@eddyjuniortz2234 3 жыл бұрын
Wow that's God
@Ingabirechanny
@Ingabirechanny 2 жыл бұрын
God bless you 🙏
@elizabethgachoya4311
@elizabethgachoya4311 3 жыл бұрын
Tuned from Kenya.
@bernicenduku9003
@bernicenduku9003 3 жыл бұрын
Mama na watoto kunashinda ,nabii protect the kids🙏🙏🙏
@kipronoofficial6867
@kipronoofficial6867 3 жыл бұрын
Good work nabii wa mungu pia mimi niombe maisha yangu na yaweze kuwa ya manufaa,na shughuli ya comedy iwe murwa
@avarmadiasbl
@avarmadiasbl 2 жыл бұрын
Mungu anaweza sana
@mrtontz6379
@mrtontz6379 Жыл бұрын
Baba MUNGU akupe maisha marefu unasaidia sana
@antonywanyonyi4195
@antonywanyonyi4195 2 жыл бұрын
Nabii God bless u,and pray 🙏 4me
@mgodomavah2284
@mgodomavah2284 2 жыл бұрын
Paster I like your wisdom
@thepowerofsilentsoul2135
@thepowerofsilentsoul2135 2 жыл бұрын
Wow congratulations mtumishi from Kenya
@mmasymery391
@mmasymery391 3 жыл бұрын
Amen baba niguse na mm mwenyematatiz kama hayo
@fredphilipo4163
@fredphilipo4163 2 жыл бұрын
Mtumishi umefanya Jambo zuri saana ubarikiwe mno
@omaryonga1776
@omaryonga1776 3 жыл бұрын
Nahisi ni Sanaa tu inachezwa lakini ya Ngoswe tumwachie Ngoswe mwenyewe.....Sanaa tuuu....
@omaryonga1776
@omaryonga1776 3 жыл бұрын
Mh....iii maelezo yako bado hayajashibisha juu ya ukweli unaoufunua zaidi ya kuona visa na matukio ya kutungwa ni wazi sikatahi kile unachokitoa kwa wale wanaokuamini....unajua sasa watu wengi hujificha katika dini katika kuyatimiza mahitaji yao ya msingi,mara nyingi huwa napenda kujadili juu ya ukweli unaofanywa na baadhi wa viongozi wa dini ambao uitumia dini ni Kama ni chombo Cha kutekeleza biashara zao.....siku njema, ukweli anaujua Mungu pekee...
@Nyanda506
@Nyanda506 3 жыл бұрын
Safi sana nabii...
@ElizabethMtambo-pv2ql
@ElizabethMtambo-pv2ql Жыл бұрын
Asante mungu🙏🙏
@fredphilipo4163
@fredphilipo4163 2 жыл бұрын
Dah Mungu atusaidie na atusamee vijana tunamkosea sana
@nahimanabella2478
@nahimanabella2478 Жыл бұрын
Mungu akubariki baba Muchungaji
@elizabethmambai2072
@elizabethmambai2072 3 жыл бұрын
Amen amen Kenya
@vanessadavid3075
@vanessadavid3075 2 жыл бұрын
Thanks 🙏
@julithageorge1704
@julithageorge1704 2 жыл бұрын
Uwiiiiii nimelia jamani Mungu akutunze nabii mkuu nakupenda baba
@christinamkalalile874
@christinamkalalile874 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@manwilly7332
@manwilly7332 2 жыл бұрын
Blessed is the name of the lord
@marrydallas3337
@marrydallas3337 3 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu naomba uniombee maana Nina mengi sana yanayonisonga moyo wangu
@nellynelly8796
@nellynelly8796 2 жыл бұрын
Inaniliza sana,mungu azidi kumuinua mchungaji mkuu
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Nakupenda Nabii wa Mungu, haya mambo yapo makanisani na nafurahi unaonesha. Wengine wanayaficha na kuwalaumu wanawake tu. Ukweli nakuelewa Geordavie. I wish to meet you face to face bt protocol is another issue
@valentineinnocent6647
@valentineinnocent6647 3 жыл бұрын
Amen Amen God bless you bishop
@elimeliklyampinga6608
@elimeliklyampinga6608 3 жыл бұрын
poleee dadaangu mweny watoto
@mosesmwasanga4697
@mosesmwasanga4697 3 жыл бұрын
Kiukweli, Hapo Kwenye Majina kuandikwa MTU mwingine Inavunja Moyo Sana.
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 3 жыл бұрын
Kanitoa machozi aisee huyu Dada😭😭bt hongereni kwa kupatana👏👏
@hapi6113
@hapi6113 3 жыл бұрын
Mm pia nimeumia Sana
@nassoroamri1510
@nassoroamri1510 3 жыл бұрын
L. .,.
@glorymutalemwa296
@glorymutalemwa296 3 жыл бұрын
Hata me nimelia aisee
@awaahassan936
@awaahassan936 2 жыл бұрын
Ndoa zina maumivu 😭😭
@jesusmightyworrior7216
@jesusmightyworrior7216 3 жыл бұрын
Hekima ya mungu itumike
@magemushi5594
@magemushi5594 3 жыл бұрын
Inauma sana ila mungu ni mwema azidi kuzitunza ndoa zetu na watoto wetu
@goldenshadrackmsungu3664
@goldenshadrackmsungu3664 3 жыл бұрын
Sema alivyo nyoa tu anaonekana ni tatizo sana. Kiduku hiki
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 3 жыл бұрын
Ase kweli mkuu
@madundaconstruction2469
@madundaconstruction2469 3 жыл бұрын
kabisa,huo mnyoo wa kiduku noma...
@ajuayekipege137
@ajuayekipege137 3 жыл бұрын
Nakupenda sana baba naamin kufunguliwa hata afya yang
@stephenjefaofficial
@stephenjefaofficial 8 ай бұрын
Mtumishi mungu akubarik saaana hii hali imetesa watu wengi sana hasa wana mzik ndio tumepotea kabisaa tamaambaya sana
@isaackamando8484
@isaackamando8484 3 жыл бұрын
Halikupaswa kuongelewa hadharani, ni aibu sana
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 3 жыл бұрын
Thank you 🙏 Jesus
@ruthsagome6220
@ruthsagome6220 Жыл бұрын
Very touching l pray my marriage to stand firm too
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 2 жыл бұрын
Mmmmmh nashindwa lakusema
@richardmeja8936
@richardmeja8936 2 жыл бұрын
nabii nakufatiria Sana ntafika hapo kwako nakupenda sana
@patrickmsekwa7773
@patrickmsekwa7773 2 жыл бұрын
Sasa kumuuliza mwanamume kama watoto ni wa kwake kwani anayejua ni mama wa watoto ndiye anajuwa baba zao. Halafu hilo suala ni la ndani si busara kuendesha kesi namna hiyo. Kama si picha ya kutengeneza, basi hapajatumika busara. Watoto pia wanajifunza nini hapo. Na pia watoto ni mali ya Baba na mama. Unaposema mke kumzalia mume maana yake nini. Nadhani ungefungua NGO au taasisi ya kuendesha kesi na sio kuita KANISA. Hapo hakuna sifa za KANISA la kweli.
@octavinamgulunde5183
@octavinamgulunde5183 3 жыл бұрын
nimependa hiyo
@baltazarypuka7497
@baltazarypuka7497 3 жыл бұрын
Hehehee senior prophet ,,hii kaz ni ngumu sana sana
@arenyutenga1052
@arenyutenga1052 2 жыл бұрын
Uchungaji Ni kazi ngumu nanizuri Sana mwenye kuelewa ameelewa
@samwelmkilya9236
@samwelmkilya9236 Жыл бұрын
Huyu nambii hapa ndo nimemdharau anadhalilisha, yesu alisema ambaye hajazin ampige mawe mama hyu wore wakakimbia
@macynzilani1142
@macynzilani1142 3 жыл бұрын
It hart me so much na sio hata mimi nimefanyiwa hivo
@roselinda9296
@roselinda9296 3 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@gideongerald2846
@gideongerald2846 2 жыл бұрын
Kuna kastori katamu hapa ka mahusiano kukiwepo na nabii wa kuona hivi safi sana
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Kweli we mtumishi wa Mungu!!!
@adratabubakary4863
@adratabubakary4863 3 жыл бұрын
I'meniuma Sana pole kweli huyo ndiye me mwema
@user-nf1er6sb8p
@user-nf1er6sb8p 3 жыл бұрын
Waaah aki but mungu ndiye mwenye uamuzi kwa kila jambo bt mmmh
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 3 жыл бұрын
Ni kazi njema sana hii!!!
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 3 жыл бұрын
@@amritsandhuministries1823 🤔🤔🤔
@lothisakayo1373
@lothisakayo1373 2 жыл бұрын
Huyu nabii yuko vizuri mungu azidi kumlinda
@aysherkitoi6547
@aysherkitoi6547 2 жыл бұрын
Mbona hivi mke wake yupo hapo kumbe na hawara nae yupo tena na mimba juu ndio nini madhabahu ya vipi hii jmn hapana 😢
@mariethapomamiminaombaaanz8221
@mariethapomamiminaombaaanz8221 2 жыл бұрын
Mimi hata sijaerewa
@estherulikaye3268
@estherulikaye3268 3 жыл бұрын
Kaz kweli kwel
@happynessheri8021
@happynessheri8021 3 жыл бұрын
Nashindwa kuelezea vile hii video imenifundisha, imenigusa na imeniimarisha, MUNGU WA MBINGU NA NCHI NA VYOTE VIJAZAVYO akuimarishe, akuinue, na akuzidishie hekma yake, vijana tunaangamia wewe Mungu amekuleta kututoa kwenye shimo, unalea washirika vizuri kama baba na WATOTO wake, I like it for sure.. Be blessed Man of God
@saldakltl7611
@saldakltl7611 3 жыл бұрын
Amen Amen
@AliOmar-vc4ey
@AliOmar-vc4ey 3 жыл бұрын
Hapa ndo tuone kua Mungu ni mkubwa amemuumba mwanamme si wa mwanamke mmoja ndoa ya mke mmoja ni utumwa na chanzo cha mateso hapa suluhu ingekua ni ndoa ya mke zaidi ya mmoja
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 3 жыл бұрын
Hii sio sawa mmemumiza mwingine sio sawa
@judithshabani1272
@judithshabani1272 3 жыл бұрын
Akuna cha kumuumiza kwa sababu yeye kavamia ndowa ya watu ♥️❤️🙏🏻
@koikalamu6476
@koikalamu6476 3 жыл бұрын
Charles 🤣🤣🤣
@sia5533
@sia5533 2 жыл бұрын
I la wanaume wanazambi sana
@fatumakimaro3186
@fatumakimaro3186 Жыл бұрын
Aminaaa
@esthernambeye627
@esthernambeye627 3 жыл бұрын
Mungu ni mungu tu tumuogope public sure what kind of pastor baba tusamehe wote ni wenye dhambi
@zayedmohamed9283
@zayedmohamed9283 2 жыл бұрын
Amin baba
@dativamushi4835
@dativamushi4835 3 жыл бұрын
Daaaah! Hatari na nusu mungu wanguuuu
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,7 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 9 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 35 МЛН
NDOTO CHAFU(  Nightmares)
1:04:14
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 66 М.
#UNABII UMETHIBITIKA!!! SINTOFAHAMU KATIKA MAHUSIANO - GeorDavie TV
22:28
#TUZO YA HESHIMA KWA NABII MKUU Dr. GeorDavie - 2020
20:15
GeorDavie TV
Рет қаралды 26 М.