Naomba katika jina la yesu mlinde mwanao makonda mpaka machozi yananitoka kwa kazi nzuri anayoifanya 🙏🙏
@wilfredmlaki8226 ай бұрын
Safi sana makonda( magufuli style)
@deejeydaev6 ай бұрын
Yani tunamalizana hapo hapo...safi sana my future president
@PascasMathew6 ай бұрын
Mungu akulinde sana . Kazi unyofa ni Mungu
@judithkisinini85466 ай бұрын
Hongera sana Mh.Makonda.Mama hakukosea kukupa moja.Mh.kwa vile Una hofu Mungu,Una uwezo.Unatosha na unastahili.Hongera mwana wa Paul.
@MgetaMasonyi15 күн бұрын
Nakupenda sana makonda unafanya kazi bana kwenye ukweli tuseme
@edwinnzigo46706 ай бұрын
Asee Makonda kazi unayoifanya Mungu azidi kukupigania sana sana unastahili kupewa nchi hii tumeshachelewa sana Mkuu
@SaimonMwashinga6 ай бұрын
Kaka unaweza kazi apa kazi tu
@LeonardLugange6 ай бұрын
Hii nchi inakuhitaji wewe kaka yetu ungeliwezekana kaka yetu wacha niseme mumhh!! Big up sana mh. Makonda
@nowamateyo33186 ай бұрын
Mungu akubariki sana mku wamkoa wa Arusha piga kazi mungu akupe uongozi wa urais
@eliamatinya27916 ай бұрын
Daaaahhh mungu Akuinue juu kwa ajili ya nchi yetu.
@KhamisRajab-kf5ve6 ай бұрын
khamis rajab: mh Rc Paul makonda...Arusha. hongera kwa ziara zako,, kwa kufuatilia kero za wananchi, hao ulio wafukuza haki yao adhabu uliyotoa,wengine watajifunza.
@JudyAssey6 ай бұрын
Mungu amlinde huyu baba..mama Samia mpandishe cheo awe waziri mkuu
@AlanusGerodi-mo3dm6 ай бұрын
Makonda Mungu akubariki ,endelea kukutetea wanyonge
@MgetaMasonyi15 күн бұрын
Unaweza kazi wakupe urais
@kilogreek40506 ай бұрын
Kama supana Jestitepo UKISIKIA KIMENUKA KIMEUMANA NDIO HIKI SASA KIMEVUNDA KIMECHACHA BRAVO MKUU MAKONDA MZALENDO 🇹🇿 👏😂
@TaisonPangani-nw2om6 ай бұрын
Mungu azid kukuongoza katika utendaji wako Wewi ni kiongozi bora hakika
@NovathShayo-w5nАй бұрын
Baada ya mama unatosha mheshimiwa makonda❤❤❤❤
@NgalaaNguta20 күн бұрын
Kazi unayo bwana makonde ukiwa ndani ya serikali ya mama Samia mungu awabariki sana .nko Kenya.
@DenizaChambala6 ай бұрын
Makonda mungu akulinde kila hatua
@ZuhuraAbdallah-gx7vm6 ай бұрын
Hongera sana makonda uwe mfano kwa wakuu wa mikoa mingine kutatua kero za wananchi wannyonge
@rebmanwillbard74646 ай бұрын
Hongera Mh Makonda,kwa kazi Arusha.Hivi wakuu wa mikoa wengine wanafanya Nini??? Mbona km wako likizo wakati nchi hii imejaa uozo km wa Arusha?
@Elias-gy8qu6 ай бұрын
Akiamungu makonda basi mimi chakukusawadia maan unazitaili sawadi tena kubwa. Lakini mungu atakusawadia usijali na mambo yote mazuri unayo yafanya mungu anaziona na atazidi kukupa uwezo mukubwa sana
@GaudesiaDalali6 ай бұрын
Mhe, makonda.nakutakia maisha marefu mwenyezi mungu akutetee katika jazi yako
@Thomasmvungi-ft8gc6 ай бұрын
Nashukuru mungu sana maana naona kabisa magufuli karudi kivingine
@NABILMOHAMMEDABDULLAH5 ай бұрын
Mungu akuzidishie imani mh makonda
@dausonmuganguzi4635 ай бұрын
Hongera sana kiongozi kwa kuokoa wanyonge Mungu yupo pamoja nawe
@leahkabura42716 ай бұрын
Makonda ni kichwa🔥🔥
@DeogratiusAndrew-zi7zv6 ай бұрын
Nakuja na gris ili spana zisigome, na grisi nimaombi tunakuombea mnooo Mungu awe kilakitu kwako,
@olivernyange23496 ай бұрын
😂😂😂😂😂 umenichekesha mpaka basi Asante kwa kuniongezea siku
Makonda mungu akupemyw mingi mana watu wapotu kazini
@SAMWELJOSEPH-y7t6 ай бұрын
Nakuombea mungu akupe nguvu na ulinzi ili uendelee kutumikia wananchi wanyongee
@mussakilo49166 ай бұрын
Arusha dah kumbe ndio kumeoza hivi dah makonda mungu akulinde sana
@AnnaNgobola-pm7fz6 ай бұрын
Bwana akulinde sana tunakuombea
@addamthabity6 ай бұрын
Mkoa wa nilipo mm angekuwa huyu ndo mkuu wa mkoa ingekuwa amaizing sana
@PsRuthMalick6 ай бұрын
Asante Mungu kunaviongozi watenda haki
@umsulaiman74686 ай бұрын
Makonda Allah akuhifadh yarab kwakweli unatenda haki fukuza mazembe na wezi matapeli arusha saivi itakaa sawa hamna nchezo
@charlesndunda58183 ай бұрын
Hongera bw.makonda endelea kutetea wanyonnge.wakenya tuko na wewe.
@MaryLuoga6 ай бұрын
Hongera baba makonda kwa kazi unayo ifanya munge akuongezee siku za kuishi.
@SamwelMwilwa6 ай бұрын
Natamani wote wafuate nyao zako Nchi itafika mbali
@EdwinIma-h6k6 ай бұрын
Mungu akulinde mtumishi.tunakuomba uchukue form ya urais
@ChristianMkumbo-ix2ke6 ай бұрын
Ccm vs ccm tatizo ni mweyekiti wenu
@jamalkishangu6 ай бұрын
Mwenyekiti ndio aende mpaka mikoani atawasaidie wananchi?
@BeatriceMsoffe6 ай бұрын
Mungu awatetee viongozi awape hekima mkiongozwa na makonda .
@MgetaMasonyi15 күн бұрын
Njoo musoma
@MohamediKapilima6 ай бұрын
Makonda hanaweza ongera sana
@davidmogaka70556 ай бұрын
Kumbe kuna magufuli congratulations makonde
@SpaseozerJonh4 ай бұрын
Mungu akubariki kwa kutetea wanyonge
@PaschalVincent-y4b5 ай бұрын
Mungu akuweke ktk viwango vua juu zaid
@KhamisJumanne-q2l6 ай бұрын
Kwelii makonda nakuaminia baba Arusha wataipenda safari hii mbona raha jamani raha au siyo raha mm naona rahaaaa
@davidlemooli40116 ай бұрын
Nakukubali mkuu makonda, njoo lengijave.
@MgetaMasonyi15 күн бұрын
Ila me ninavyojua baba ndo mlinzi wa familia baba akiwa rege rege hata familia inakuwa ivyo inawezekana mkuu wa mkoa aliekuwepo ndo alikuwa mlengevu kwaiyo hawasemee tu
@BeatriceMsoffe6 ай бұрын
Makonda upo vizuri lkn ni Kwa neema ya Mungu mtegemee Mungu ktk kazi yako
@MgetaMasonyi15 күн бұрын
Wanyoshe baba
@robertcyriacus2086 ай бұрын
Kiongozi mahili sana Makonda,piga kazi mkuu!!!
@NeemaMahega-z3g6 ай бұрын
Makond mungu akuzidishie maisha malefu uwenderee kutuokowa
@MamaHafsa-cj3fo6 ай бұрын
Mungu azidi kukupa hekima makonda
@PeterChonya-ju8oo6 ай бұрын
Hapo ndo chama kinaimarika sasa hongera sana Makonda na wengine wangeiga hivo 100%chama kingeaminika na kuimarika sana
@paullengai49236 ай бұрын
Chapa kazi Mungu akutangulie
@qassimislam52916 ай бұрын
Aliesikia Mh Raisi kama mimi tujuane 😂😂😂😂 Makonda kiboko
@SadockgSombi6 ай бұрын
Mungu akupiganie Sana Mr makonda
@allyabdallah11836 ай бұрын
Mungu akulinde makonda
@happinessmarijani27836 ай бұрын
Hongera sana mwanangu God bless you
@HadijaZabroni-pu1lt6 ай бұрын
Mimi nakupa hongera sana makonda
@SadikiDjumaine-f1k4 ай бұрын
Kweli kabisa bro uko na roho nzuri much respect nilishaga kuelewa mweshimiwa
@NuwaYakubu6 ай бұрын
Hongera mkuu kwa kazi nzuri, na DC mzembe hakagui miradi,
@NABILMOHAMMEDABDULLAH5 ай бұрын
❤❤❤saluti baba makonda
@mose826 ай бұрын
Huyu mtu Alindwe
@BakariImran-q6l6 ай бұрын
Piga spana makonda tunaona kazi yko nchi ni yetu sote🫡🇹🇿
@williammarete39706 ай бұрын
Mh. Makonda!Pongezi sana,Yawezekana sana MUNGU amekuandaa uwe MKOMBOZI wetu mtarajiwa nchi hii. Ila simama peke yako! Usiige tabia za Magufuli! Utaharibu.
@zakariaswai91806 ай бұрын
ivii Hawa wakuu wamikoa wegine wanafanya kazigani waige kwamakonda
@MagrethBakama3 ай бұрын
Ee jamen Mzee waivyo ndio wakusumbua kudai haki yake kwa mungu mtajibu nn juabaada ya hapa Kuna maisha mwngine yanaendelea kijana makonda pembua makapi ayo yamezidi
@maimunamunisigloyyixigjsgs66386 ай бұрын
Baba unaweza na mungu akulinde. Maana hawa majizi na wala rushwa ni wengi mno
@RachelHaonga6 ай бұрын
Mungu akulinde na watokee wengine kama wewe wa kusimamia haki za wanyonge.
@InnocentShayo-ku9il6 ай бұрын
Baba nakuombea mungu akulinde sana
@mosesimsalabaАй бұрын
Nyie maccm mpeni huyu kijana nchi Awe rais wetu mwanasheria wa serikali mwabukusi makamu wa raisi dotto biteko semini Amina
@tumainipeter4586 ай бұрын
Aiseeee Hakika Mama yetu anamchapa kazi Arusha
@minanielikana5 ай бұрын
Baba Makonda we ni kichwa.
@Japhary-sx3je6 ай бұрын
Makonda na rc wake mnapendana sana fanyeni kazi mama samia ongera sana
@RASHIDMPUMU6 ай бұрын
RC P Makonda pambana ndugu yetu wananchi wanangoaja huduma yako
@suleimanabdillah74906 ай бұрын
Tuangalieni lakini haya maisha tusichukue maamuzi kwapupa tuelewe Kila anayeumizwa ana watu. La pili masuala mengi ya manunuzi yanaongezwa na mifumo na kuwatatiza wengi,tusipoangalia mifumo hii itawadhulumu wafanyakazi wetu. Wanachelewa kupata fedha kutokana na mifumo baadae wanakutana na spana wanapoteza KAZI zao. Lakini pia halmashauri zetu na mabaraza Yao kuna bureaucracy nyingi na mizunguko ya uamuzi. Nadhani ni vyema kutoa maelekezo Ili baadae watakaoshindwa wawajibike. Nimemsikiliza Mhe Rais jana katika gawio wasiofanya vyema wametakiwa wakaguzi wa hesabu kwenda kubaini kwanza tatizo. Wapo wazembe na wabadhirifu Hawa endapo Takukuru watabaini wachukuliwe hatua na sio hoja na hapohapo kuwamaliza watu nadhani tunahitaji zaidi utulivu katika kuwafuatilia haya.
@Gloria-vh5bz6 ай бұрын
Shida watanzania tunaendeshwa na mihemko, watu wanashangilia bila kujua kuna familia zitaumizwa bila makosa kwa huu UJINGA wa kutaka sifa za wananchi ,HUWEZ kumfukuza mtu ambae anafanya kazi kwenye system ya wengi bila uchunguz kisa sifa ,Dah huyu mtu ataharibu Mambo km Kawaida yake.watu wameshasahau kuwa huyu ndio wale watu wasiojulikana waliopotezs roho za wengi kipindi cha mwendazake
@khaliphaabubakar94665 ай бұрын
@@Gloria-vh5bzhivi wewe husikilizi facts hao watendaji hawafanyi kazi zao?wananchi wanateseka sababu za uzembe ya hawa wavivu.Spana mwendo mmoja mpaka kieleweke.
@farajansekela57635 ай бұрын
Kweli SS wananchi Akili hatuna😢😢 Kwahiyo mwenye haki ni Mfanyakazi wa serikalini tuu😂😂😂 Mlipa Kodi Hana haki???Akili ya Mavi..
@suleimanabdillah74905 ай бұрын
@@farajansekela5763 wala haishangazi watu wenye akili zakutusi ni watu waliozaliwa na single,na mavi ni sehemu ya maisha Yao. Huu ni uwanja huru toa maoni yako kwa mada
@ShirfaDigubike4 ай бұрын
Mi naona sawa tu .
@MASELEFAIDA-hp6xo25 күн бұрын
Jamani viongoz lazima ifike sehemu mfanye kazi kama makonda tunge PATA watu kama Hawa watano basi tungefika mbali
@mussakilo49166 ай бұрын
Kiukweli binafs natamani usitoke arusha maisha yako yote unapiga kazi wananchi tulikuwa hatujui yote haya bara bara mbov kweli wamekalia hela inaumiza sana
@eluidmorery64116 ай бұрын
Wilaya ya arumeru kuna Maji imechipwa kijiji cha patanumpe atujapewa wamepeleka simanjiro hopo mererani na arusha mjini hihi ni haki twachwee
@TsunamiBaraka6 ай бұрын
Hongera makonda
@KambaleElisha6 ай бұрын
Asante kwa KAZI
@bitonyFabian6 ай бұрын
Piga kazi Bab katiba ingeruhusu mwakan chukuaga from uraisi unakutaka brooo
@kyaa0066 ай бұрын
Baraza la madiwani Arusha jiji ndiyo tatizo kubwa hapo hawaisimamii kikamilifu Halmashauri yao
@sebastianmwantuge55976 ай бұрын
Hawana nguvu kutokana na mfumo wa utawala
@HanifaChalresy6 ай бұрын
Mungu wetu mlinde makonda azidi kutetea wanyonge😢
@nehemiamwailongano29606 ай бұрын
Mikoa mengine wakuu wa mikoa anzeni iyoo sio vibaya kuigiliza mazuri ayoo. Tanzania iwake mbaka inyooke
@allymoshi20536 ай бұрын
Wengine wanasubiri t posho na mishahara basii
@petermlay91696 ай бұрын
Nyota Ina wakaaaaa hakuna wa kuizima
@MichaelShigela6 ай бұрын
😂😂 hawajakuelewa Badoo ni wazito kuelewa 😂😂😂😂
@fredmbossa-kc3qn6 ай бұрын
😆😆😆😆😆😆😆
@HillaryKobia6 ай бұрын
Makonda for president
@JenethFrank6 ай бұрын
Boss wetu ukienda vituon kusikiliza kero au unyanyasaji unaeondelea huko kwa sababu ya uongoz wa kubebanabebana ndio utachoka. Wengine hata ukifatilia taarifa zao they are not allowed to practice but ndio wanaotuburuza huko vituoni.
@GeboAthanas6 ай бұрын
President Future.
@shabanungando51696 ай бұрын
Fanya kazi kaka saf sana
@JohnKilagini6 ай бұрын
Mungu akulinde mama samia mpandishe cheo awe waziri mkuu
@luluray21156 ай бұрын
😢huwez kua wazir kama sio mbunge
@erneokisinda71796 ай бұрын
Akiwa wazir mkuu majukumu yatakuwa mengi mnoo Bora awe rais
@vijibwenisdachurchchoir5 ай бұрын
Kazi imewashinda
@khadjamhozya6 ай бұрын
Huyu mkurugenzi nae mzembe kwani mpaka mambo anaharibika yeye yuko wapi
@Dionizistacio-be1ph6 ай бұрын
Our future president we❤
@mohamedjakaya53556 ай бұрын
Matatizo hayo yapo mikoa yote ila wakuu wa mikoa wengine hawajui wajibu wao ama wamelala au wanataka kumwangusha Raisi Samia aonekane hafai. Kwanini hawaigi mfano wa Mh. Makonda au Mh. Chalamila nae pia anajitahidi mkoa wa Dar es salaam
@khadjamhozya6 ай бұрын
Huo Samia pamoja na hayo hafai
@vijibwenisdachurchchoir5 ай бұрын
Hao ndio wanamhangusha Mhe Rais
@TimaNassor2 ай бұрын
Kaz nzur 🤭
@MusaFanuel-v4j6 ай бұрын
Kaka mkuu ongesewa mda ukaetu Arusha imashida ya manyanyaso ishee Arusha ihii ongera na kaxi kubwa uliyo fanya kwa mda mfup ihii uliyo kuja mwenyexi mungu asidi kukulinda ju ya vita vingi itakayo inuka juuyako