Nimeishia USA zaidi ya miaka 25. Financial Education ni kitu nilichelewa kukijua

  Рет қаралды 4,041

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

How to Claim Your Free Consultation: YOU MUST RESIDE IN THE USA
1. Visit our dedicated page: ebmscholars.co...
2. Fill out the form with your details to schedule your consultation.
3. Sit back and relax - a financial expert will reach out to you to arrange your free session
Jiunge na EBM SCHOLARS Community ebmscholars.lo...

Пікірлер: 19
@MissKaliz
@MissKaliz 6 ай бұрын
Ame sema yote 🙌🏾, financial literacy na financial planning ni muhimu si kwa hapa Marekani tu hata nchi zingine mbali na kwamba kila nchi ina system yake. Tuishi katika kiwango chetu, tuwekeze kwa kiwango chetu for baby steps can lead you to mile stones.Mungu azidi kutu ongoza katika kila hatu 🙏🏾. Asante Kaka EBM na JAJOJO kwa kutuletea madini adimu kabisa na bure ambayo kuyapata wengine wana yalipia haya.
@jesuspower2390
@jesuspower2390 6 ай бұрын
Watu wengi wa tanzania wana uelewa kuhusu mikopo kuliko waishio marekani.. watanzania wengi wamesoma kwa sasa kuliko hao watanzania waliokimbilia marekani miaka ya nyuma walikimbilia tu maisha lakini ELIMU wengi wao hawana wameishia F 4...
@amourmtungo623
@amourmtungo623 6 ай бұрын
Eiffel Tower Paris, Big Ben London, Statue of Liberty New York big cities trade marks. Tatizo la elimu ya fedha ni tatizo la dunia nzima kusema kweli. Elimu ya fedha maskuli haifundishwi watu wengi tumefunua macho kwenye mitandao ya kijamii na hasa TikTok. Asanteni kwa kushea
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb 5 ай бұрын
Nawashulu sana kwa ushauli mzuri sana. kwakweli unajenga ki fikla.
@elogevyizigiro1157
@elogevyizigiro1157 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana EBM
@vom84
@vom84 6 ай бұрын
Hii elimu inasaidia hata sisi tulioko huku TANZANIA
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay 6 ай бұрын
safi sana EBM somo zuri sana yani!
@jocelyneedward
@jocelyneedward 6 ай бұрын
Asante sana Kaka EBM na mgeni wetu wa leo🎉🎉🎉🎉 hakika nimejifunza
@Jean-q9j8s
@Jean-q9j8s 6 ай бұрын
Kweli munanifundisha kabisa Asante Sana.
@alijumamohamed
@alijumamohamed 6 ай бұрын
Unajuwa sasahivi siwezi angalia sana video, kwasababu si unajuwa mabando ya Tz ya mawazo,so ila nikirudi Bahrain by next month Mungu akipenda kama kawa
@ZulekhaBakar
@ZulekhaBakar 6 ай бұрын
Samahani uncle ebm,mimi naomba huduma ya kufanya application ya community college,na gharama zake
@alijumamohamed
@alijumamohamed 6 ай бұрын
Habari yako mkuu..vipi Ramazani imefika huko?
@RashidSalumu-b7b
@RashidSalumu-b7b 6 ай бұрын
Ebm tunaomba utuambie jina la uyo jamaa anayefundisha maswala ya financial nasisi tujifunze please 🙏🙏🙏
@mrmakungaone321
@mrmakungaone321 6 ай бұрын
Kaka EBM one day yes Unakoishi nitafika wewe ukiwa kama host
@RashidSalumu-b7b
@RashidSalumu-b7b 6 ай бұрын
Ebm tunaomba ututajie channel ya uyo jamaa mwanzo kabisa mliosema anaelezea mambo ya financial cjui rams
@fatmaalbeity9097
@fatmaalbeity9097 5 ай бұрын
Anaitwa Dave Ramsey
@iddynasri8307
@iddynasri8307 6 ай бұрын
Hi bro nina swali nataka kuuliza mmi ni photographer naishi uganda ila mmi natokeya burundi.nina mke na mtoto wa mwezi umoja wana ishi yues sasa nini rafiki yangu ambaye anaishi yues ana wedding August Kani tumiye invitation letter niende uko niwe photographer wa wedding yake nimesha jaza ds160 nimesha lipiya na appointement.ila mmi na mkewa wangu tumeshaka jaza i 130 form ina myezi misita kwa sasa bado tunasubiri.sasa Nina swali kuna uwezekano wakunipa iyi B1 B2 nawakati nina already i130 ambayo nasubiri.na je watanipa kweli wakati mke wangu na mtoto wako kule siwatafikiriya nikifika kule sitorudi kwasababu nina mke na mtoto kule?plz naomba ushauri wako
@IbrahimMwadini-hz7ib
@IbrahimMwadini-hz7ib 6 ай бұрын
Kk mbona mzito kutoa no Yako ya whps please 🙏🙏 nitumie sir
@florianngwebe9494
@florianngwebe9494 6 ай бұрын
Kwa shule hii mlionipiga ni umrigani usiofaa kuendelea kutafuta NAFASI ya Kwenda kuishi ughaibuni (say USA)?
Think Fast, Talk Smart: Communication Techniques
58:20
Stanford Graduate School of Business
Рет қаралды 40 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 8 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 20 МЛН
Jua haya kabla ya kuomba Green Card Lottery mwezi October
44:11
EBM SWAHILI
Рет қаралды 11 М.
KWANINI WATU WENGI WAKIFIKA ULAYA, USA, CANADA WANABADILIKA?
1:47:11
Utofauti wa Green Card ya Ndoa na ya Njia Zingine
8:21
EBM SWAHILI
Рет қаралды 1,9 М.
Omba Green Card Lottery mwezi October mwaka huu
12:48
EBM SWAHILI
Рет қаралды 10 М.
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
Chomsky's Philosophy
Рет қаралды 6 МЛН
EBM Scholars LOVE STORY | TULIKUTANA MTANDAONI
1:50:24
Official Dating Assistance
Рет қаралды 12 М.
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 8 МЛН