ALLAH A'ZZA WAJALLA Akuhifadhi ndugu yetu kijana wetu Muhammad Bachu. Huyu ndugu Qasim hana Al a'dalatul I'lmiyya. Endelea kumsaidia huenda siku moja ALLAH SUBHANAHU WATAALA Atamponya magonjwa yake moyo kadha wa kadha.
@abdalunhassan67622 ай бұрын
Lengo la Dr. Islam kuwajibu kwa kuandika makala ya kiarabu ni ili wasome TU waliokuwa na 'ilm. Watu wa kawaida hawastahiki kuskia mana hawajafika upeo huo, hawatoelewa na itawachanganya. Dr. Islam ana hikma sana Allah amhifadhi.
@mbjunior1662 ай бұрын
Allah amuhifadhi duktuur Islam nawe kijana mwenzetu akhy Bachu. Uwepo wenu ni neema kubwa sana kutoka kwa Allah mtukufu ktk mwambao huu wa Afrika mashariki na kati kwa wazungumzaji wa kiswahili. Sheikh Kassim mafuta leo amevulika nguo yeye na wafuasi wake mchana kweupeee😅 Allah awaongoze wao na sisi ktk haqqi na atuunganishe tuwe wamoja. Acheni HASAD kwa duktuur amewazidi sanaa.
@MustafaChiumbwe2 ай бұрын
Mafuta umeyakajaga
@salehrashid-fx9rq2 ай бұрын
@@MustafaChiumbwe😂
@rajabumbendenga54802 ай бұрын
Siku mkiacha ushabiki mtabaini utumbo aliouzungumza kwenye hiyo sauti
@IbnuAlly-wm8il2 ай бұрын
@@rajabumbendenga5480Ww ukiacha ujadidah utabaini haki au wao?
@KishkitvAhmad2 ай бұрын
Allah hakuifazi sheikh muhammad bachu from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@iddimutua4202 ай бұрын
Bachuuuu brooo Allah akulipe kwa kuitetea hadhi ya masheikh wetu wote
@OmarAlly-iz8ot2 ай бұрын
Khalafu Ductor Islam Allaah amuhifadhi, pamoja nawewe Shekh Muhammad, nikwamba ktk upande wa maarifa Ductor yuko juu sana, lkn tu mihemko yao ndio inayo wafanya wakatae fadhila za wenye fadhila
@KishkitvAhmad2 ай бұрын
Allah hakuifazi sheikh muhammad bachu from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 88
@AbAlhuraas2 ай бұрын
Wnatamani Majadida wakufunge mdomo ewe Akhy ,Allah amekuneema na kauli ,Na watu kukufamhu ,Mashallah Allah azidi kukutia Nguvu Mwalim wetu ,Uendelee kubainisha Uwoza wa Hawa Jamaa ,Aswaafiqa
@NaduuAbdilah-uj5vj2 ай бұрын
ALLAHUMA AMIIN
@khadijaomar34802 ай бұрын
Duktur islam twampenda na tunamuamini sana ... Allah amuhifadhi azidi kutupatia ilmu yenye manufaa
@ShamsudeenOmary2 ай бұрын
Allah atazidi kuwadhalilisha wasiokusudia haqi na kufanya kwa ajili yake. Na atazidi kupambanua ni nani msawa na nani anafuata njia isiyo ya sawa kwani daima haqi itaendelea kung'ara na batwil itavuma kidogo kisha ianguke. Ndo tunachoshuhudia hivi sasa. Mola wetu hachezewi Sub-hanahu wata'alah
@abuuyunusnassor4462 ай бұрын
Sheikh Allah akubaarik naomba ufanye bahthi na ukifanyie haashia icho kitabu chake
@saeedqaseem3172Ай бұрын
Allah akupe ikhlas,fasaha zaidi na umri wenye manufaa....amiin Mwamba unachimba madini mnooo Allah akuhifadhi amiin
@saidali92552 ай бұрын
Usijaribu kuumbuwa mtu ambaye hana ubaya nawe! Mafuta yanayeyushwa leo! Shukran mtoto wa kipenzi chetu Nassor Bachu!.Allah twakuomba tulindie Huyu Sheikh Wetu pamoja na dr.islam!
@abdurashidinasorodini2 ай бұрын
sheikhe wetu mpenda hawa jamaa inatakiwa wakufate wakuombe ukawasomeshee wanafunzi wao pongwe pia nawao wakae chini wakusikiliza wote unaweza allah akuzidishie elim
@WakaliFashionTz2 ай бұрын
Allah atujalie mwisho mwema maana unayemdhania ndiye kumbe siye na Allah akuongoze m bachu ktk haki tuzid kunufaika biidhni llah.
@IbrahimMahmoud-em1np2 ай бұрын
Jazakallahu khaira yani akhu Allah akuweke miaka na miaka maana wewe kiboko ya majeuri wenye chuki kama ndugu yetu mafuta
@saidmuhama98462 ай бұрын
Jazaakallahu khairaa Sheikh Muhammad, Taratibu tutafika In Shaa Allah. Usiache kutoa ufafanuzi mahala na wakati wa haja.
@AmiriJawadu2 ай бұрын
Shekh Muhammad Allah akuhifadhi kweli kwa atakae soma hivyo vitabu vya dr.islam kwa umakini na kwa kutafuta haqqi basi ataelewaa alhamndulillah mimi nimesoma vooye na nimefaidi kweli kweli
@AlHaqiqah-j2n2 ай бұрын
Allah amhifadhi Dr.ilsam na wew pia akhy muhammad bachu leo umejua kutupa faida tena yenye ladha nzuri sana
@canoksancomprehensivelearn71822 ай бұрын
Imekuja haki na uongo umejitenga na siku zote uongo ni giza na haki ni nuru. Sheikh Mafuta hebu punguza jazba na wacha kupenda uadui kwa waislam raddi zako unazotoa nyingi zitakuchafua mwenyewe kama hazifuati tartib za kiislam wala kuheshimu waislam wenzako was sunnah ukijaribu kumtia mtu udhalili Allah atakurudishia udhalili kaako siku zotr na watu watakuona aibu zako kaka Mafuta
@mbjunior1662 ай бұрын
@@canoksancomprehensivelearn7182 Hili ni funzo kubwa sana Kwa sheikh Kassim Mafuta (Allah amuhifadh) ikiwa kweli yeye anakusudia haqqi. Allah atuongoze sote
@bakariomari24omar212 ай бұрын
Kwa kweli nimefurahi sana sheikh Bachu ufafanuzi huu.yaani dr.islam Kwa upole wake Hawa kina mafuta wamemfanya dr.islam awacharaze Kwa ilmu alionayo ambayo kina mafutaa ndio hasad yao inavowatafuna.
@ShamsudeenOmary2 ай бұрын
Kajibu yote kwa fasaha ya hali ya juu sub-hanallah sikutegemea kwa namna nilivokuwa nayaona mazito mpaka nawaza atajibu vipi lkni tizama anavoyavunja kiwepesi ama kweli tutafute ilmu na tukishaipata tumuombe Allah asitujalie kibri
@NaduuAbdilah-uj5vj2 ай бұрын
Kwelii kajibu kiwepesii sana ductur islam ana elimu lakinii hana kibrii Allah Amhifadhii
@hassanhussein8962 ай бұрын
Naomba kitabu kama unacho@@NaduuAbdilah-uj5vj
@taheraljaberi26882 ай бұрын
Kila wenye akili atafahamu labda hataki ukweli. Shukran kwa maelezo ya wazi kabisa.
@AbdulRahman-pm9cl2 ай бұрын
. Allah amhifadhi Dr.Islam Mohammad. Na Allah ampe umri mrefu ili azidi kutunufaisha zaidi na elmu aliopewa na Allah. Na kassim mafuta Allah amuoneshe haqi na amuepeshe na kibri.kwani ukiwa na kibri huwezi pata elm ya kisawasawa
@abdallahmohamed22212 ай бұрын
Baarakallahu fiik ustadh wetu kwa kutuelewesha hakki ndio ilmu... Allah akuhifadhi na akuongoze daima.
@masoud7442 ай бұрын
Allah barik. Usiombe uingie mwenyewe 18 za bachu
@mustafahamisomkusi92112 ай бұрын
Allah mrehemu shk NASSIR BHACHO KWANI KATUACHIA DHAHABU,PIA YA RABBI MHIFADHI HUYU MUHAMMADI BHACHU,
@muktazimbuyu65692 ай бұрын
Hii raddi ni ya kielim sio kukurupuka Allah akuhifadhi Shekh Muhamma
@RashidJumanne-id3xq2 ай бұрын
بارك الله فيك يا شيخ، وزادك الله في علمك.
@Idri6832 ай бұрын
Mashallah Tabarakallah,, Allah akuhifadh shehk Muhammad Bachu
@mussamussa94462 ай бұрын
Wallah Allah akuhifadhi sheikh Bacho,nakupenda sana
@HabibaMussa-mf3ny2 ай бұрын
Allah akuhifadhi mwanangu akupe mwisho mwema inshaallah
@sakinasakku83402 ай бұрын
Jazakallahu kheir sheikh kwakutuelimisha MAASHAA ALLAH
@sheikhabuusakakin32432 ай бұрын
فرَّج الله همك، وقضى دينك، وأسعدك في الدنيا والآخرة "♥"🤲🏽❤
@BinmuhamadSuwayd2 ай бұрын
Shekh MUHAMAD BACHU HAKUNA SIKU UMENIFURAHISHA ZAIDI KM LEO SIKI ZOTE WANIFURAHISHA ILA HI YALEO NI ZAIDI ALLH AKUHIFADHI NA AKULINDE NA KILA BALAAAA LA DUNIA NA AKUJALIEE HII ILIMU UMETUPA IWE NI SABABU YA WW KUINGIA PEPONI
@salehrashid-fx9rq2 ай бұрын
Amen yaa rabbi 🤲🤲🤲
@MohamedSalim-cm9ih2 ай бұрын
Amiin amiin
@AhmadFaki-hw1rg2 ай бұрын
A alaikum warahmatullah wabarakaatuh
@YasinAndama2 ай бұрын
Amin
@sheikhabuusakakin32432 ай бұрын
Allaahumma Amiiin
@saidali92552 ай бұрын
Yaa Allah mmiminie baraka sheikh Nassor Bachu kaburini pake!..
@KashinnaKashinna2 ай бұрын
Asalamu alaykum warahamatulah wabarakaru ikiwa haifai kusikiliza mtu wa bida'a,na mashekhe wa kisalafi wa Tanzania wamesema hawa ni mahizibi? Mbona munamsikiliza huyu mtoa mada na kucoment? Ikiwa Muna wasikiliza mashekhe wakisalafi? Hamuoni munakengeuka kuwafuata mashekhe wenu? Ila inaonekana bado munaitafuta haqi ndio maana munafuaatilia darasa au rududi za Muhammad Bachu Allah amuongoze yeye na sisi inshallah
@mohamedshaban36882 ай бұрын
Allah awahifadhi na kuwapa elimu kubwa na umri mrefu papaneni kwa ajili ya allah mafuta ukifa na hali uliyo motoni
@MohamedMwangare-sw3sl2 ай бұрын
Usiseme,mafuta motoni,yeye ni muisilamu na ni sheikh wa kundi la watu,sema Allah amuongoze yeye na sisi na Allah amuongoze asitukane mashekh wa kweli
@MahirLim2 ай бұрын
MASHAALLAH.ÀLLAH ataendelea kuwazalilisha kwakule kuwazulum ndgu zao bila y khaki.Majadida wanatumia kisingizio cha dini kw chuk zao binafs n wla sio maslah y din..
@BinmuhamadSuwayd2 ай бұрын
ATUKUTANISHE SOTE NA MTUME WETU PAMOJA NA MASHEKH WETU KINA DR ISLAM ALLH AWAHIFADHI
@mbjunior1662 ай бұрын
Ameen
@ZakariaBoy-fv3kh2 ай бұрын
Aliulizwa sheikh swaleh Al fawzan Allah amuhifadhi . Kuhusu kisa hicho mpka akacheka kwanza, kisha akasema sheikh ' Abu huraira hakuchukua ilmu kwa sheitwan bali alichukua kutoka kwa mtume ile ilmu. Haikuisadikisha moja kwa moja bali aliipeleka kwa mtume alaihi swalatu wa salam salaam.
@mbjunior1662 ай бұрын
@@ZakariaBoy-fv3kh Huja hukuzickia au!? Huna la kuongea hapa jadida ww tulia tu dawa ikuingie. Huyo ndio duktuur Islam Sasa kama ulikua humjui. Acheni HASAD jamaa.Allah atuongoze
@IbnuAlly-wm8il2 ай бұрын
Eti alichukuwa ilmu kwa mtume kwani sisi saiv hatuna marejeo ya kusadikishia?
@ZakariaBoy-fv3kh2 ай бұрын
@@IbnuAlly-wm8il naam alisadikisha kwa mtume, hakumuamini sheitwan. Aliyasadiki maneno ya mtume.
@ramadhanramadhan49482 ай бұрын
@@mbjunior166 huyu ni kihere here ajibu Dr Islam mwenyewe mana huyu hatojibiwa na abul fadhil mana lengo la huyu ni umaarufu
@mkude2 ай бұрын
@@ramadhanramadhan4948nyinyi majadida kaazi kweli kweli yaani hamutaki kuangalia haki tena mnaangalia ushabiki tu,hujaona sheikh Dr Islam amejibu Kwa maandishi yapo kwenye kitabu ,na jee hujaelewa hapo au hujasikiliza mpaka mwisho unetum tu comment kishabiki.mnataabu sanaa nyinyi majadida
@allysalali99-n5w2 ай бұрын
Asalam alaykum warhamatullah wabarakatu mashaallah kitabu Cha Dr Islam mhammad Allah awahifadhi wte kinaitwa vp nataka kukisoma
@NuryaMusa2 ай бұрын
Yaaani Qasimu mafuta ALLAH Amuongoze atoa. Hizo chuki zake na ujinga wake alokua nao.
@mbjunior1662 ай бұрын
Ni hassad na ujinga wake tu ndio leo anadhalilika hapa😅
@AjmalTV-ng4yi2 ай бұрын
Allah amlinde duktur Islam
@KhalfanMakota2 ай бұрын
Sawa kabisa ibn bachu ck hzi unaeleweka sana
@muhammadshaka84142 ай бұрын
yaan sanaaa ❤❤❤
@babatidaawa65502 ай бұрын
Sheikh nassor ameacha mrithi wake kielim
@MohamedMwangare-sw3sl2 ай бұрын
It's really something.God bless you.
@kipandeseifu37552 ай бұрын
Sheikh Bachu Allah akuhifadhi Qasim mafuta inaonekana wazi yeye anachuki na wasomi wanao mzidi
@mbjunior1662 ай бұрын
@@kipandeseifu3755 Hilo liko waz sheikh! Anasumbuliwa na hasad Allah amuongoze!
@AymanRuhayru2 ай бұрын
wewe kweli kipande maana akili ni kipande pia elimu unapima kwa nini?
@WakaliFashionTz2 ай бұрын
@@AymanRuhayrunikweli kwani wewe unapimaje??
@LuqmanFadhil-k8v2 ай бұрын
Maashallah shekh njoo nikuozeshe Dada yangu
@alwiyiynmission28202 ай бұрын
Mbona Mafuta kakiri kwa UTAFITI WAKE MDOGO. NILICHOONA MIMI NO WIVU UNAWASUMBUA KWANINI Dr.islam Kafika TANGA ....NA MAFUTA HUJIONA TANGA MTAWALA NDIO YEYE. KWANZA ALITAKIWA KASIM MAFUTA ALETE HESHIMA JAPO KWA CHEO CHA DOCTOR. UJUE MPAKA AMEITWA DOCTOR MAANA YAKE NINI.
@BarakaAhmad-w2b2 ай бұрын
بارك الله فيك وحفظكم الله ورعاكم
@YahyaYahya-vp2pp2 ай бұрын
Allah akulipe kheri muhammad bachu.❤❤
@zuhuraPatrick2 ай бұрын
Marshallah hawa vijana Wana faida kubwa sana katika Allah awalipe
@ImanSaid-q4i2 ай бұрын
Subhanallah Kasim mafuta uwombe msamaha kwakwel
@issaabdallah12052 ай бұрын
Nawanasihi majadida wenzangu tuchukuwe elimu kwa walimu wetu ILA USULUBU. wao tusichukuwe ..... Nadhani imefahamika
@JumaOmar-ku6cr2 ай бұрын
Uko sawa kielimu wako sawa inafaa
@mbjunior1662 ай бұрын
@@issaabdallah1205 Umesema sawa kbs sheikh. Allah atuongoze sote!
@zaharanijuma2 ай бұрын
Mashaa Allah kaka! Chuki na ananiyya ndo tatizo la baadhi ya mashekhe! Baaraka llahu fiikum!Allah awahifadhi ili mufaidishe umma!
@salumsaid75572 ай бұрын
ALLAH AKUWEKE UTETEE HAKI SIKU ZOTE KWAJILI YA ALLAH INSHA ALLAH
@ismailmakame71832 ай бұрын
Asalamualaikum jamani tutulize ndimi zetu tusiwasemevibaya walimu hapa tuchukueni elimu Allah awaongoze ktk usawa
@sharifsayyid2 ай бұрын
Barakallah fiik ya shekhuna
@HasaniSink2 ай бұрын
Mashallah shekh mungu akupe umli mrefu na akuzidishie elimu
@Salsimpleworkshop2 ай бұрын
Mashek wote nawapenda kwa ajili ya Allah ,Allah atuongoze.
@khaliluissa74132 ай бұрын
Bachu ni jinga sana
@assaneanliFabiao2 ай бұрын
I love our Sheikh MAFUTA for his benefit. Say whatever rubbish you wish. Allaah has given him a vast knowledge and we will benefit from him. 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@pepoyangu2 ай бұрын
Seeing this comment shows how shallow and uninformed people like you are about the religion. I was expecting you to at least point out specific issues or misinformation from Bachu’s video. Unfortunately, you ended up just throwing hate, missing out on the beneficial information Bachu shared. I would kindly ask listeners to approach this with an open mind and not blindly follow. I'm saying all of this because it’s clear that Bachu put in effort, presented his points with proof, well articulated and easy for a layperson like you to understand. Unfortunately, you didn't get it, probably because you chose hate over understanding. READ.
@assaneanliFabiao2 ай бұрын
@@pepoyangu Dear Brother I hope this message finds you well. I want to start by clarifying that what I’m about to say is not coming from a place of personal hatred, but rather from a desire for improvement and clarity. Having listened carefully to Bachu’s speeches, I noticed that while he speaks on matters of great importance, such as Abu Fadhil MAFUTA, his approach often comes across as arrogant. His lack of beneficial knowledge in certain areas is apparent, and despite this, he continues to teach on platforms like KZbin. It is particularly concerning when he is corrected by more knowledgeable individuals, such as Abu Faudhan, on basic language matters, yet continues to offer instruction in Nahawu without addressing these gaps in his own understanding. My concern is not just with Bachu’s content, but with the influence he has on others who may follow him without question. It’s essential that we ensure that those we learn from are well-grounded in knowledge, humility, and respect for the tradition they represent. I hope you take this message in the spirit of sincerity and reflection.
@jumasharifjn44452 ай бұрын
Sheikh Qaasim Mafuta Allah amhifadhi Amesema "hakuna mahali sheikh Ibn Utheimin amesema kutokana na hadithi ile ya Abu Hureira basi inajuzu kuchukua ilmu kutoka kwa sheitwan " na ni kweli alivyosema. Kwa hivyo mzunguko wa maneno yote kwenye hii video lakini tukirudi kwa hoja hii kuhusu sharh, maelezo ya hadithi ya Abu Hureira utapata hakuna aalim aliyejuzisha jambo hilo la kuchukua ilm hata kwa sheitwan.
@Abuunuwayra2 ай бұрын
Sheikh Wetu Weka Number Ya Mpesa Wallhiy Una Stahili Maziwa kwa Kazi Ngumu Unayo Ifanya😢 Na Pia Unahitaji Camera Kubwa Na Kiti Kizuri Uendelee Kutunyooshea Hawa Watu
@sakinasakku83402 ай бұрын
Sahihii kabisaaa
@Aymanland2 ай бұрын
TEKELEZA ULICHO KIAHIDI NDUGU YANGU NA ALLAH AKUFANYIE WEPESI UKITIMIZE, KAMA UTATAKA NUMBER YAKE MIMI NITAMUULIZA AKIRUHUSU NITAKUPATIA MAANA NAFAHAMIANA NAYE. ILA NAKUSAHJIHISHA TIMIZA UKICHO KITAMANI NI KHERI HIYO
@YusufMriri2 ай бұрын
Nakupenda kwaajili ya ALLAH ewe Muhammad bachu❤
@babatidaawa65502 ай бұрын
Shukran Sheikh wangu
@saidirashid75522 ай бұрын
Sheikh Muhammadi Bachu umeupiga mwingi
@WakaliFashionTz2 ай бұрын
Sheikh Muhammad bachu twaomba utusomehe kitabu Cha Dr Islam alichomraddi humeid nacho tunufaike na tujue iftaraaty zao
@maalimjongo55822 ай бұрын
Sasa Mtoto wa Bachu umekua na naona unaendelea kusoma Allah akujaalie aaamin
@SaidKessy-f5p2 ай бұрын
Bachu unaeleweka na wenye akili zao ktk hili..ukweli huwa haupingiki unaingia moja kwa moja akilini
@MahanyuRashidi2 ай бұрын
Tumuombee mungu amuongoze aondoe chukikwa Wana zuoni
@YaezeyBurhny2 ай бұрын
Tumuombee nani?
@mohdkhamis10312 ай бұрын
@@YaezeyBurhnyshekh kasim mafuta ndo aombewe duwa aondokewe na hasad
@babatidaawa65502 ай бұрын
Hawakuwezi hawakuwezi kwa hoja kwa Uwezo wa Allah watajificha wapi jamani
@NuryaMusa2 ай бұрын
😂😂😂😂 Qasimu mafuta anavuliwa nguo. Na AL . AKHY Muhammad bachu ALLAH mtukufu amuhifadh
@MusaNjalo2 ай бұрын
Mafuta level nyingine achana na huyo mropokaj wako
@NuryaMusa2 ай бұрын
@@MusaNjalolevel. Ya kuhukum. Watu uongo na ujinga. Na mpaka. Kufikia. Hatua. Yakusema duktur Islam Muhammad salimu ALLAH mtukufu amuhifadh. Amuogope. ALLAH subhanah wataalah. ,kumbe. Yy ni mrongo. Na mropokaji. Mkubwa
@hafidhwajina67182 ай бұрын
@@MusaNjaloduh 😂😂😂😂😂 ushabiki ni uvundo isee
@mbjunior1662 ай бұрын
Level nyingine ya HASAD na UJINGA na UJADIDA sio😂@@MusaNjalo
@mbjunior1662 ай бұрын
@@hafidhwajina6718Hawa majadida ni mtihani sheikh yani wao ni kama nyumbu tu Allah atuongoze sisi na wao ktk haqqi
@jumazubeir47352 ай бұрын
Bacho unajitutumua sana na sheikh abu fadhwil (Allah amuhifadhi) inaonyesha unaingiza pesa ya kutosha you tube kupitia jina lake, Allah akuongoze uwache ujinga.
@mnalagamnalaga74712 ай бұрын
Nakama kasimu mafuta anaelimu kweli basi amekosa hekma,au anakiburi na anafikiri Kila kauli yake ni swawabu tofauti na hata wanazuoni
@babatidaawa65502 ай бұрын
Kumbe Doctor Islam anawajibu kwa vitabu sasa mbona wao hawataki kujibu kwa vitabu bali ni maneno tu aisee Sheikh bachu twakushukur Kwa bayana kwa hawa wanaojinadi kwa elim kumbe ni debe tupu
@rajabumbendenga54802 ай бұрын
Hivi unaongea kidini au ushabiki tu
@hafidhwajina67182 ай бұрын
@@rajabumbendenga5480 kidini Au ulitaka aanze na Bismillah ndo iwe kidini? "Hizb salafy ni wajinga kufahamu ibara za wanazuoni"
@babatidaawa65502 ай бұрын
@@rajabumbendenga5480 dini Kwani huoni bayana hii au umekunywa bendera ya pongwe
@mbjunior1662 ай бұрын
@@rajabumbendenga5480 Ww ndy shabiki jadida mwenye hasad na taasub za kijinga
@mkude2 ай бұрын
@@rajabumbendenga5480nyinyi majadida ndio mmekaa kishabiki tu,hamutaki kuangalia haki IPO wapi na nani kakosea anachisema sheikh wenu kila kitu sawa tu.nyinyi ndo mmekaa kishabiki kabisa,fateni haki acheni kukaa kishabiki nyinyi majadida
@tztanzania22622 ай бұрын
Nimefurah sana kwa hii clip
@chabunu33672 ай бұрын
Umepiga katika mshono sheikh Muhammad bachu tumekuwelewa kasimu ni wazimu mafuta ya nazi
@mbjunior1662 ай бұрын
Ni hakika sheikh😅 Allah atuongoze sisi na wao
@chabunu33672 ай бұрын
@@mbjunior166 Allahuma ameyn
@ImanSaid-q4i2 ай бұрын
😂
@yusufhamisi81912 ай бұрын
duh kweli ndgu zetu apo wamekurupuka io mada na ayo maneno ya uthaymin ni saw kbsa apo ukipinga itakua ushabik tu
@HedebJumaАй бұрын
Naona munakulana nyinyi kwa nyinyi mawahabi
@KhalfanMassoud2 ай бұрын
جزاكم الله خيرا
@AjmalTV-ng4yi2 ай бұрын
Mashaallah Allah akuhifadhi akhy Muhammad
@chukuahatua59512 ай бұрын
Kama inafaa kuchukua hadithi kutoka kwa shetani, muongo, sasa ELIMU ya Musw-twalahu l-hadith misingi yake tunaiweka wapi
@NaduuAbdilah-uj5vj2 ай бұрын
Huyo ndio ductur islam sasaa shida ya qasim mafuta ni wana muonea husda ductur islam
@mbjunior1662 ай бұрын
@@NaduuAbdilah-uj5vj Naam Naam!
@alwiyiynmission28202 ай бұрын
Hilo pia Inawezekana
@JamalJamaal-w9b2 ай бұрын
الله يبارك فيناو يهدينا جميعًا إلي الحق
@kipandeseifu37552 ай бұрын
Qasim Mafuta Bora angekaa kimya Hapa anavuliwa nguo anabaki mtupuu kwenye hili
@mbjunior1662 ай бұрын
@@kipandeseifu3755 Swahiih sheikh😂
@zahrannassor51842 ай бұрын
Bachu ni mbabaishaji sanaaaa Allah akuhifadhi.
@moralist61002 ай бұрын
HASHUO LAKO HILO WAPOTEZENI WASIOJUWA TUNAOFAHAMU HAMNA
@allyhaji2082 ай бұрын
@@zahrannassor5184 ubabaishaji wake uko wapi bainisha
@وزيرهالوزير-ذ8س2 ай бұрын
Tunaposema kwamba kasim mafuta nijahiru tulishamuona kielim nimtupu
@mbjunior1662 ай бұрын
Jamaa leo kavulika nguo vibaya mno Sasa ndio upunguze HASAD kama hawezi kuiacha kabisa
@ImanSaid-q4i2 ай бұрын
Elimu anayo ila ufahamu mdogo
@Muharram-c5n2 ай бұрын
Bingwa wa kutoa na kupangua hoja,baaraka llahu fik
@SalumKeya2 ай бұрын
Allah atuongoze ndugu zangu waislam tuifate haqq
@mbjunior1662 ай бұрын
@@SalumKeya Ameen
@OmarAlly-iz8ot2 ай бұрын
Shekh Muhammad taratiiibu, masalafy hawana mbavu za kutetea manyago yao, kwaio mlango ume seguka unahitaji kuwekwa sawa tu. Na jambo zuri nikua watu wanaelewa nikitu gani kinaendelea kwa hawa ndugu zetu masalafi, walio acha usalafi na kushikilia matamanio yao
@mbjunior1662 ай бұрын
@@OmarAlly-iz8ot Naam umma unajitambua sana siku hizi Allah atuongoze sote
@وزيرهالوزير-ذ8س2 ай бұрын
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@AthmanMhapa2 ай бұрын
dii ila mahizibi kweri wamepinda vibaya sana naww mtoto kama hukumuogopa allah utaangukia pua
@canoksancomprehensivelearn71822 ай бұрын
Imekuja haki na uongo umejitenga na siku zote uongo ni giza na haki ni nuru. Sheikh Mafuta hebu punguza jazba na wacha kupenda uadui kwa waislam raddi zako unazotoa nyingi zitakuchafua mwenyewe kama hazifuati tartib za kiislam wala kuheshimu waislam wenzako was sunnah ukijaribu kumtia mtu udhalili Allah atakurudishia udhalili kaako siku zotr na watu watakuona aibu zako kama Mafuta
@muddathirkassim24072 ай бұрын
Kassim mafuta anakibur sana ywajiona yeye yuko sawa kwa kilakitu,,naushabiki mwingi tuu yan ywaona wenzake wooooteeeee,hawakusoma yeye ndio msomi
@salehrashid-fx9rq2 ай бұрын
Yeye kama najiona yupo sawa bac amfanyie raddi nduguye Muhammad mafuta kwa kujiunga na chama cha siasa. Mbona ameufyata? Qassim hayupo pale kwa ajili ya dini yupo kwa ajili ya maslahi, analipwa hadi mshahara
@saidmc82062 ай бұрын
Mimi nakubali na ndivyo ilivyo JAMBO LA HAKI na HIKMA Unawaza kuchukua Kwa mtu yoyote bila kujali nani, sio kwenda kusoma, kwenda kusoma lazima awe mtu sahihi mweye msimamo sahihi katika DINI YA ALLAH
@Abdillahisalim-n7q2 ай бұрын
Bachu, ukiona qasim anakujibu, ujue unayo yasema n mambo ya sawa na ya kielim.
@MansourYusuphu2 ай бұрын
Leo nimekubali
@ahmadmzoa742 ай бұрын
Na aliyepewa hekima amepewa kheri nyingi, na wala hawakumbuki isipokuwa wenye akili safi. Ukikosa hekima hata Elimu itakuwa mashakani. ALLAH A'ZZA WAJALLA Akuhifadhi shekhe Muhammad Bachu. ALLAH SUBHANAHU WATAALA Amuhifadhi Dr.Islam tuzidi kupata faida. Jamaa anajitukuza sana ndo maana ulimi wake ni mkali katika kuwafedhehesha Waislamu wenzie. Tumesha wafahamu vema. Bingwa wa kubadilisha mafhum.
@rajabumbendenga54802 ай бұрын
Kumbe mnaumiyaga mnapogongwa cha ajabu hamziachi bidaa zenu
@ahmadmzoa742 ай бұрын
@@rajabumbendenga5480 Mambo ya Dini yapo wazi. Labda utake kujichanganya mwenyewe. Hakuna aneumia na uhizbi wenu japo mnajiita Salafi. Maneno mbali vitendo mbali.
@ahmadmzoa742 ай бұрын
@@rajabumbendenga5480 WALILLAHIL HAMDU. Manhaj Assalafi Asswalih ni njia iliyonyooka, na ndo maana wakitokea watu wakajinasibisha nayo bila ukweli, kundi linakatika. Ni ukweli usiofichika.
@ahmadmzoa742 ай бұрын
@@rajabumbendenga5480 Usalafi ni Manhaj na sio mtu wala mihemuko.
@hafidhwajina67182 ай бұрын
@@rajabumbendenga5480bidaa ipi
@salimofficial12632 ай бұрын
Assalamualaikum. Tunaomba link ya muhadhara wa Dr. Islam. Shukran.
@misbahukhalifa32162 ай бұрын
لاحول ولاقوة إلا بالله العلي العظيم حسبنا الله ونعم الوكيل. إلى أين تذهبون يا مسلمون؟؟؟ وعتصموا بحبل الله جميعا ولا تفرقوا..... المسلمون إخوة.... يا الله بها يا الله بها يا الله بحسن الخاتمة. عند الموت.