No video

LORI BADO HALIJATOLEWA WAMI KISA MILIONI 5 "MAITI HAIJASAFIRISHWA, SINA PESA, NALALA NJE POLISI"

  Рет қаралды 367,294

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 653
@millardayoTZA
@millardayoTZA 4 жыл бұрын
Kwa wanaoulizia Namba ya kuwasiliana na Mama huyu ni 0788624230 (Mwajuma Selemani)
@samsonlucas2880
@samsonlucas2880 4 жыл бұрын
Jamn mwezesheni angalau kidogo Pia anapaswa pongezi kwn amejitahid sana Serikali tafadhali mwezesheni huyo mama
@MrBornleader45122
@MrBornleader45122 4 жыл бұрын
Shukrani kwa kutoa namba yake. Nitamtafuta.
@goldenmoversteam8906
@goldenmoversteam8906 4 жыл бұрын
Mwambie kuna Mamba hapo , Kaka 🐊. Ila ametupa uhalisia hii development kwa media zetu. Keep pushing Millard tuko pamoja .
@gastordominic410
@gastordominic410 4 жыл бұрын
Where is our government of poor people
@blankakecy2464
@blankakecy2464 4 жыл бұрын
Nikijiweka Nafasi Ya Huyu Mama Nashidwa Na Kukosa Jibu Kabisa Sis Wafanya Biashara Wadgo Tunachangamoto Nying Jaman Hiv Mtu Inakuwaje Kibiashara?Mchango Wa Serikali Yetu Uko Wapi Jaman Huyo Mama Anafamilia Analala Nje Mungu Mpe Nguvu ,Mungu Akusaidie Mama Angu Jamani,Hapo Unaweza Kuta Anamikopo Mmmh Sijui Nakuwazia Mengi mama Angu Na Sina Cha Kukisaidia Zaid Ya Sala Haya Yatapita🙏
@sonofafrica6495
@sonofafrica6495 4 жыл бұрын
Kuwa na subra Mama yangu. Huo ni mtihani Mungu anakufanyia .
@sofiachilunzo9268
@sofiachilunzo9268 4 жыл бұрын
Pole mwanamke mwenzangu mungu akutie nguvu!!😭😭
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 4 жыл бұрын
Amin, inshaAllah
@franciscoivo1591
@franciscoivo1591 4 жыл бұрын
Jamn mbona kwenye majukwaa pesa hutolewa,haya sio ndio majanga yenyewe wamsaidie huyu mama...kwani alipenda haya jmn
@kautharsalat6449
@kautharsalat6449 4 жыл бұрын
Allah akupe subira maaayake Mali ni mtihani unahitaji kuwa subira kwa kila kitu, mungu anakupima Imani yako, inshallah Allah akufanyie uwepesi inshallah
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
Ameena
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 4 жыл бұрын
@@lovvy854 Amin, inshaAllah
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
@@agiasaidi5294 maskini ya mungu mthihani mzito alioupata huyu mama
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
Poleni Mama Suluhu itapatikana ln Shaa Allah, Pole sana Allah akuzidishie Subra na Uvumilivu ln Shaa Allah.
@kirupyseleman582
@kirupyseleman582 4 жыл бұрын
Watetezi wa wanyonge msaidieni huyu mama ni kama mama zetu msaidienii
@bennympatanishi8341
@bennympatanishi8341 4 жыл бұрын
Mbunge ameenda kufanya nini ikiwa hakuna msaada wowote anaotoa, au kaenda kupiga picha tu
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 жыл бұрын
yule mbunge ni msenge kwani hamujui milioni 5 zinamshinda mjinga mkubwa kenda kuuza sura ila mara hii kura hapewi
@hamidumpande5509
@hamidumpande5509 4 жыл бұрын
Upo xaw kbixa mzee baba
@segeospatialtechnology7482
@segeospatialtechnology7482 4 жыл бұрын
Hakuna mbunge pale chalinze uchafu tu ndo maana chalinze ipo ipo tu daah
@rehemamlaponi216
@rehemamlaponi216 4 жыл бұрын
Yaani huyo mbunge wa chalinze ni hakuna kabsaa
@Bahatigabriel50
@Bahatigabriel50 4 жыл бұрын
Rais magufuri msaidie uyo mama km unavyowasaidia wajane nawenyeshida. Mil 5 nindogo sn.
@amianamunguamsaidieawejuuz2851
@amianamunguamsaidieawejuuz2851 4 жыл бұрын
Mhuu pole Sana mama mwenzangu mungu a kufanyie wepesi
@rayasaid4099
@rayasaid4099 4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭Maskini inatia huruma kweli M. Mungu yupo pamoja na wewe
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 4 жыл бұрын
mh Tanzania yetu iyo
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 4 жыл бұрын
pole mama
@augustinebright1369
@augustinebright1369 4 жыл бұрын
Umeandika busara sana kama ombi na sio jukumu.... I wish asaidiwe pia
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 4 жыл бұрын
HUYU MAMA KAPAMBANA SANA' JAMANI KUNA NAMBA YAKE YA CM HAPO MILLADYAYO KAANDIKA NAMBA YAKE TUKITOA 1000 WATU 5000 ATAPATA MILIONI'5. 😭. POLE SANA MAMA MWAJUMA
@samwelmhehe617
@samwelmhehe617 4 жыл бұрын
Khaaaaaaaa!!!! Ama kweli kufa kufaana, Naomba Mungu wa mbinguni akutetee
@johwilly8723
@johwilly8723 4 жыл бұрын
Mungu amsaidie aisee, halaf naww mtangazaji umekosa pa kusimama mpaka kwenye huo mtumbwi, hebu usitutaftie balaa lingine we nae,.
@tomasisamweli8643
@tomasisamweli8643 4 жыл бұрын
😂😂😂yan wewe
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 4 жыл бұрын
😂😂nacheka kama mazur wallah
@mbarakaakida6872
@mbarakaakida6872 4 жыл бұрын
@@jasmineshechambo3401 kiukweli tatizo lililo mkuta huyo mama ni kubwa sana nimehuzunika sana sikia tu kwa mwenzio usiombe likukute tatizo kama hilo watanzania tushilikiane kumsaidia mwenzetu kila mwenye nacho tumtumie kwenye namba yake aitaje mwenyewe huyo mama ili michango imfikie mwenyewe tusije wanufaisha wezi wasio na huruma alafu na huyo mwandishi wa habari anatafuta matatizo na huo mtumbwi au anataka kua chakula ya mamba?
@sherrysalim50
@sherrysalim50 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂😂
@mbarakaakida6872
@mbarakaakida6872 4 жыл бұрын
@@sherrysalim50 😀😀😀😁😁😱😱😱😱😱0689440078
@technologies4745
@technologies4745 4 жыл бұрын
Serkali na jamii kwa ujumla tumsaidie huyu dada/mama Kwan ni mfano mzuri kwa jamii yetu ya sasa, km kaweza kumiliki Lori hili kumbe tukimuwezesha ataweza zaid 🙏
@famitonawanda4831
@famitonawanda4831 4 жыл бұрын
Pole Sana mama mungu atakufa Hiya wepesi ,raisi wetu mtetezi wanyonge msaidie huyo mama
@allymahmoud9951
@allymahmoud9951 4 жыл бұрын
Mm naona hamna umuhimu wa kukata bima mtu asilazimishwe.kwa sababu ukipata ajali Kama bima yako ndogo huna msaada wowote wa bima pesa inapotea wanakula bima.
@allymahmoud9951
@allymahmoud9951 4 жыл бұрын
Mama mfuate rais wetu magufuli mlilie shida yako atakusaidi Sana yule ni mtetezi wa wanyonge ni rais wa huruma sana
@restitutamassawe5828
@restitutamassawe5828 4 жыл бұрын
Pole sana mama mwenzetu tunajua unapitia magumu Mungu akupe wepesi
@willeydavid2108
@willeydavid2108 4 жыл бұрын
Haki huu mtihani mama alionao daah mung ampe nguv na ujasiri jaman inauma sana, msiba + wagonjwa + gar niyeye pekeyake so sad 😢😢
@josephinamkumbo4767
@josephinamkumbo4767 4 жыл бұрын
Eeeh mungu.binadamu mbona tupo hvo jamani.milioni tano duuh
@restitutamassawe5828
@restitutamassawe5828 4 жыл бұрын
Mama Anna umwangalie huyu mama kwa jicho la huruma mama
@lizp6826
@lizp6826 4 жыл бұрын
Asante Milard Ayo na timu yako! kwakweli tunahitaji watu kama nyinyi ktk jamii ! Disasters management sijui iko wapi swala la uokoaji ni la idara ya moto na uokoaji(fire), na ndiyo dhana ya kulipa kodi! sijui hatuna vifaa au idara imepuuzia tu!
@glorygoodluck757
@glorygoodluck757 4 жыл бұрын
WANAWAKE LIVE WAKO WAPI HUYU MAMA MBONA HATUWAONI AU NDIO KWENYE FUMANIZI TU
@shukurusamsoni7568
@shukurusamsoni7568 4 жыл бұрын
Yap that truth
@janemulishi9265
@janemulishi9265 4 жыл бұрын
Yani umenena
@nuruelmada9570
@nuruelmada9570 4 жыл бұрын
Duuuh!
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Serikali ipo wapi kwani
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 4 жыл бұрын
Yule dada una mwamini
@minjacsd1874
@minjacsd1874 4 жыл бұрын
Ila unapokuwa unamiliki milion 80 unatakiwa umiliki gari ya milion 40 ila mama hakupata mshauri mzuri
@Ibrah287
@Ibrah287 4 жыл бұрын
Tena Stralis IVECO used Mil 40, ni kweli hakumpata mshauri mzuri...
@siwajalikayanda1969
@siwajalikayanda1969 4 жыл бұрын
Hakumiliki million 80, alikuwa analipa kidogo kidogo na gari hakulinunua kwa bei hiyo, amejumlisha fedha alizolifanyia modification, jml ndo m.80
@johnrimoy6874
@johnrimoy6874 4 жыл бұрын
Alitakiwa akate bima kubwa kabla ya kulipeleka barabarani.
@franktimothkisimbo5354
@franktimothkisimbo5354 4 жыл бұрын
Sure asee....
@nawihadj6674
@nawihadj6674 4 жыл бұрын
Dah. Ndoivyo ishatokea
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 4 жыл бұрын
Da pole sana yaani gari mpya tena inapata ajali gari nyingine zina mikataba na mashetani!! Mungu akuwezeshe nguvu zako zisipotee bure 🙏
@gibishinchambi1971
@gibishinchambi1971 4 жыл бұрын
Huyu ni mtanzania mwenzetu analipa mapato Serikali imsaidie huyu mama
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 жыл бұрын
Jamani serikali haiwezi kumsaidia Huyu mama? Ni maafa jamani tena kwa mwanamke km Huyu basi
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 4 жыл бұрын
Ndugu watanzania wenye huruma na hela kidogo tumsaidie Huyu mama mungu atawalipa
@simonhaule6567
@simonhaule6567 4 жыл бұрын
Mwenyez mungu akutie nguvu mama!!??
@Winstonfying
@Winstonfying 4 жыл бұрын
Mh. Mbunge tumia ushawishi kama kiongozi walau anzisha michango kumsaidia huyu Mama, Mil 5 kwa wadau ulio nao tunaipata mara moja./ lakini pia Serikali/wizara ya ujenzi lazima wana mashine hizi za kuvuta hilo gari au mpk Rais aingilie? Watendaji mpo wapi?
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 4 жыл бұрын
Wanasubiri Magu aseme ndio utashangaa walivyo fasta kupiga kazi
@gibishinchambi1971
@gibishinchambi1971 4 жыл бұрын
Serikali iingilie kati imsaidie huyu mama anahangaika sisi wote ni watanzania sis ni wamoja sisi tunashirikiana sisi hatubaguani sisi ni kusonga mbele kuondokana na ujinga maradhi na umasikini serikali kupitia Viongozi husika msaidieni mama huyu asije kuchanganyikiwa buree
@rosewilliam1235
@rosewilliam1235 4 жыл бұрын
Pole Mwanamke mwenzangu Mungu akusimamie.
@boscofelix4004
@boscofelix4004 4 жыл бұрын
Nilicho jifundisha hapa tusimiliki vitu vikubwa tukiwa na uwezo mdogo itatughalim sana tusiishie kumpatia pole huyu mama yetu pia tujifunze jambo... Mamayangu pole sana Mungu atakupigania sana......
@HACKJEMMYLITE
@HACKJEMMYLITE 4 жыл бұрын
N kwel Kaka
@samiramahmud406
@samiramahmud406 4 жыл бұрын
Poleni sana Wafiwa Mungu Awape Subira. Pole sana Dada Allah akufungulie kila lenye kheri na Baraka Kila Tatizo lina kheri Mbele yake , Allah Akujaalie Upate Msaada Wa kutimiza na kurekebisha kwa kila Tatizo lilo kukabili .
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 жыл бұрын
Duu Tanzania kuuweni na ubinadamu serikali ipo wapi huu ni mtihani kweli kwa huyu mama pole sana mama mwenyeezi mungu akufanyie wepesi inshaallah 🙏🙏🙏🙏
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 4 жыл бұрын
Habari watanzania nina wazo yaani kama itakuwa kila anae like angemchangia huyu mama elfu 10,000 tu Zingemsaidia sana
@nicholouskihombo1507
@nicholouskihombo1507 4 жыл бұрын
Duh, umuhimu wa bima unaonekana pale unapopata matatizo. Muda huu mama angekuwa ametulia tu. Jeshi la zimamoto si ndo kazi yake hii.
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Yaani amefanya kosa sana kununua gari kwakweli.Alafu bima kubwa halina mtihani kweli kweli jamani.
@gastordominic410
@gastordominic410 4 жыл бұрын
Kuna kitebgo cha maafa pia
@juliuskato5100
@juliuskato5100 4 жыл бұрын
Unaongea tu bima sio rahisi hivyo
@ibrahmatage
@ibrahmatage 4 жыл бұрын
Hizo bma znasumbua wa2 uamua kutengeneza wenyew
@floramolel4283
@floramolel4283 4 жыл бұрын
Jmn pole sn mungu atakuonyesha njia paspo na njia
@Doomy-ef4ez
@Doomy-ef4ez 4 жыл бұрын
Jameni inasikitisha kusema kweli huyu mama mpaka huruma 😭😭😭😭😭😭
@jocelyneinarukundo3655
@jocelyneinarukundo3655 4 жыл бұрын
😰😰😰😰
@Doomy-ef4ez
@Doomy-ef4ez 4 жыл бұрын
Poleni sana mungu awatiye nguvu
@amosnaqbarxanaabddallah2730
@amosnaqbarxanaabddallah2730 4 жыл бұрын
Pole mama ang mungu yupo ataksaidia
@faridaabdallah7620
@faridaabdallah7620 4 жыл бұрын
Subhana llah polesana dada mwenyezimungu atakusaidia insha Allah
@salumjuma9586
@salumjuma9586 4 жыл бұрын
Pole sana Mama kwa tukio la kusikitisha, tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi.
@halunyemmanuel4007
@halunyemmanuel4007 4 жыл бұрын
Pole sana mama mungu akupe ujasir
@henrymushi8340
@henrymushi8340 4 жыл бұрын
Mungu atakusaidia mama ni mapito hayo...pole sana mamangu
@choleboytz
@choleboytz 4 жыл бұрын
Jamani waone huruma haooo milion tano mh
@mabletandawili4128
@mabletandawili4128 4 жыл бұрын
Pole mm
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
Kweli inatakiwa tuwe na huruma binaadam Leo yeye Kesho huyo anaye mlipisha milioni 5 amfanyie ata bure maana malipo yake kwamungu atamfariji lazma
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 4 жыл бұрын
Pole sana Dada inatia huruma
@mpalazotz7753
@mpalazotz7753 4 жыл бұрын
Pole mama majalibu Ayo amin utayashinda japo umeondokewa na vtu vkubwa
@faustinejohn9033
@faustinejohn9033 4 жыл бұрын
POLE sana mama mungu akushushie neema upate kulejea balabalan by ELISHA Wangwe toka Kishili
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
Daaah 😥 Poleni Sanaa ndugu wa marehemu 😥 Hyo sehemu mbaya sanaaa serikal yetu ijenge daraja kubwa hapo
@Massawedamas
@Massawedamas 4 жыл бұрын
Daraja lipo linajengwa
@fidesbenard2836
@fidesbenard2836 4 жыл бұрын
Pole mtanzania mwenzetu Mungu akufanyie wepesi
@joxevictus3720
@joxevictus3720 4 жыл бұрын
Serikali yetu iangalie ili swala jmn million tano sio kubwa kwa serikali hawa ndo wapiga kura viongozi wetu namshangaa mbuge ridhiwani yaani kama ili tukio kama halimuhusu
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Mbunge hata bungeni hasemi kitu kupigania wapigaji kura wake wapate daraja bora sasa unadhani hapo atatoa msaada gani.Ila ikifika wkati wa uchaguzi wananchi nao wakidanganywa wanawapa kura.Wananchi wenzangu amkeni mbunge asiesaidia jimbo lake msimpe kura msidanganywe na pilau ya siku moja kwa mtu anaekwenda kupata ulaji wa yy na familia yake Wake up amkeni sasa
@timbulosaid63
@timbulosaid63 4 жыл бұрын
Watanzania tucwe wepec wakutoa lawama mbunge anahuckaje hapo
@thebushguy5774
@thebushguy5774 4 жыл бұрын
Tatizo hata hao waliomwambia milioni 5 hawana hata huruma wamempiga sana
@ramadhanmatindira8671
@ramadhanmatindira8671 4 жыл бұрын
Jamani tumsaidie kwakila kidogo tulichonacho Mungu atatulipa Amen
@orgenesmoshy1589
@orgenesmoshy1589 4 жыл бұрын
Serkali iliangalie hili Jambo mzigo wa chumvi na dizel maji ya mto yanaadhiri mazingira mamlaka ilichukulie Hilo Kama maafa
@minjacsd1874
@minjacsd1874 4 жыл бұрын
Kweli bro maana serikali ina bajeti ya maana ichote kidogo hiyo point 5
@Fiston-Buhendwa
@Fiston-Buhendwa 4 жыл бұрын
She is very good boss and very kind towards her employees and top of that she is a fighter.Wakunitolea wamusaidie please mama yetu anaitaji msaada.
@bakarimhina8337
@bakarimhina8337 4 жыл бұрын
Siku nyngne ndugu zangu haya magar yanamilikiwa na matajir tofaut nahvyo tujenge tupangishe nyumba lakin sio haya malori ni presha tu Kama hv....Sasa million 83 si nyumba mbili unajenga ila Inshaallah Mungu atakusaidia Mama
@leylayusuf435
@leylayusuf435 4 жыл бұрын
Wallai serikali imuhurumie maana alikotoka ni mbali pia bora ingekua nisafari zaidi ya 8 au 9 ndio mwanzo na mkasa nkama huo subuhanallah Ndugu tuweni na imani kwenye nyoyo zetu tumsaidie leo yy kesho mwengine pole sana Allah akupe subra mam kwakipindi hichi kigumu
@nusaebahkeis6774
@nusaebahkeis6774 4 жыл бұрын
Wangeitoa hlf wakadaiana pesa baaadae wawe na huruma jamani
@fetychina3273
@fetychina3273 4 жыл бұрын
Pole mama dah!,😭😭
@masakivlogs
@masakivlogs 4 жыл бұрын
Pole sana mama, utafanikiwa tu.
@violethmeja1848
@violethmeja1848 4 жыл бұрын
Pole sana huu no mtihani makubwa ilamshukuru mungu kwa Hilo na yeye alijua utaliweza nenda nyumbani acha tu Hilo gari unaongeza garama kubari matokeo tu
@josephwenceslous7015
@josephwenceslous7015 4 жыл бұрын
Ni uzembe mkubwa sana kwa serikali.... Sehem kama hii kwanini kusikuwepo vifaa vya uwokoaji
@veronicanzowa5484
@veronicanzowa5484 4 жыл бұрын
Daaaaah jmn huyu Mama apewe msaada maana daaaaah nimwanamke anayejishugulisha mwenyewe
@vanessajohn3820
@vanessajohn3820 4 жыл бұрын
Mungu amsaidie huyumama ilakwamaelezo ilikua bado haija tengemaa vzuri kupeba mzigo mkubwa unaoenda mbari mungu awenawe
@hajimaneno3626
@hajimaneno3626 4 жыл бұрын
Mungu ndie muweza poleni sanakwa mitihan
@erickkilaboma6316
@erickkilaboma6316 4 жыл бұрын
Pole mama Mungu atakusaidia
@abcdg1995
@abcdg1995 4 жыл бұрын
Khaaaaaaaaaaa !daah Greetings from Santa Monica's California USA Locked AM speechless fellow guy's Depression is real check on your friends RIP MAN antill we meet again Take heart God is in control Mommy
@kingmicky1002
@kingmicky1002 4 жыл бұрын
Ila wabunge wengine bwna ,,sasa kafuata nini hapo,,jaman hata mkuu wa wilaya kusema chchte,,mkuu wa mkoa nae kimya ,jeshi la uokoaji nalo kimya ,,mhmhmh Mungu ibariki TZ.
@enocksajan5112
@enocksajan5112 4 жыл бұрын
Pole sana mama yangu hakika Mungu akutangulie to ungetoa hata nmba kma watanzania tuchange ht tulivyo navyo
@GaudenceRaphael
@GaudenceRaphael 4 жыл бұрын
Tafadhali Sana Serikali yangu ya Dr.JPM, Huyu mama Mwezesheni hakika ni Mama mpambanaji oneni alivyoteseka hapo anajali dereva na Vijana wake pia...Shime Shime watz na Viongozi wote pia
@chescomwakipese3422
@chescomwakipese3422 4 жыл бұрын
Dah pole sana mama
@mohamed.hassani9917
@mohamed.hassani9917 4 жыл бұрын
Pole sana Mama ,serikali mko wapi !!! msaidieni huyu mama.
@elasjoseph6406
@elasjoseph6406 4 жыл бұрын
Pole
@farhatfarhat3816
@farhatfarhat3816 4 жыл бұрын
Pole sana mama lazima uumie mm niliibiwa pikipiki na nililia kama mbwaa nikaswali nikarogaa wapi yani nilijiingiza kwenye mambo ambayo sio mazuri yote ayo sababu ya uchungu
@cosmasjoachim8772
@cosmasjoachim8772 4 жыл бұрын
Hakika imeniumiza sana,mama mpambanaji asaidiwe
@emmanuelkessy1618
@emmanuelkessy1618 4 жыл бұрын
Pole sana dada yangu, lkn si vyema kununua gari kwa gharama yote hiyo then uiingize barabarani bila kukata bima kubwa (comprehensive), yapo makampuni mazuri tu ya bima yanayojielewa yatumie hayo! Lkn pia kama huna uzoefu wa biashara ya usafirishaji (magari) nakushauri uitazame upya, hizi huwa ni biashara ngumu na zenye changamoto na presha sana! Unaweza kufikiria vinginevyo hata kubadilisha biashara kabisa
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 жыл бұрын
Pole sana mama yangu ila ww jasiri mno gari tuu mamilioni yote utashinda mpz Allah Mungu akutetee Ameen
@binthysaid2764
@binthysaid2764 4 жыл бұрын
Pole mamangu jmni...mungu atakusaidia hpo na penginepo
@abubakarmzee3374
@abubakarmzee3374 4 жыл бұрын
Sasa uyo Riziwani kikwete apo yupo anafanya nini ata msada piya unamshinda dar mum pole sana ilomgusa comments apo
@fatemaligalawa4151
@fatemaligalawa4151 4 жыл бұрын
Ridiwani mihatasimuonagi kwenyemihemko
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 4 жыл бұрын
@@fatemaligalawa4151 😂😂
@Mahonda8080
@Mahonda8080 4 жыл бұрын
Ndio atoke 2
@nasrajuma5389
@nasrajuma5389 4 жыл бұрын
Mungu baba mshike mkono uyu mama
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
Jaman msimseme ridhiwan,huenda atakua amemsaidia chochote.sio mpka atangaze. Yan BNADAM kwa mijineno.mama mungu atakuvusha hili.ila MKUMBUKE MUNGU WAKO.PIA SADAKA KWAKO NI MUHMU.WANADAM TUNAJISAHAU SANA,PINDI TUKITAFUTA PESA UTASEMA TUTAISHI MILELE.KWAZA MTANGULIZE MUNGU KTK UTAFUTAJI WAKO,PILI SADAKA NI MUHMU HATA KDGO UKIPATACHO....
@aishaabdi5637
@aishaabdi5637 4 жыл бұрын
Pole sana mammy mungu atakusaidi kwa kila jambo Inshaallah
@victorkombe9724
@victorkombe9724 4 жыл бұрын
Wanawake live wako wapi au nimatukio yafumanizi tu wanajua je umoja wa wanawake uko wapi mumsaidie mwanamke mwenzenu au mnajua kutafuta haki kwenye ndoa tu?
@mozasaid3869
@mozasaid3869 4 жыл бұрын
Umeongea point👏👏👏
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 4 жыл бұрын
Hilo nalo neno
@DaudiNungwana
@DaudiNungwana 4 жыл бұрын
umenena
@hjhj6230
@hjhj6230 4 жыл бұрын
Hakika ilo nalo neno
@cavonboyblogger1995
@cavonboyblogger1995 4 жыл бұрын
😂
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 жыл бұрын
Huu ni mtihan mkubwa aisee
@estherbakabona9930
@estherbakabona9930 4 жыл бұрын
Pole mama Mungu aku tiye nguvu
@amenuru2331
@amenuru2331 4 жыл бұрын
Pole.sana.mama.mungu.atakusaidiya
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 4 жыл бұрын
Pole sana dada Mungu ataweka mkono wake
@denishaule6314
@denishaule6314 4 жыл бұрын
Mpiganaji uyu mama....pole never give up
@hamissramadhan3484
@hamissramadhan3484 4 жыл бұрын
Pole sana mama Mwenyezi mungu atakusimamia kwa kila jambo
@yussufhaji3335
@yussufhaji3335 4 жыл бұрын
MUNGU akupe subira nauvumilivu akuondoshee matatizo yote yalio kukabili amiin
@nadhifabahari5331
@nadhifabahari5331 4 жыл бұрын
Daah. Pole sana mama yote mitihani,ila mungu akikujaalia kuitoa gari usije ukamiliki chombo cha usafiri bila akiba sbb usafiri upo kama binaadam
@isunga1964
@isunga1964 4 жыл бұрын
😭😭😭😭nimejikuta nalia mimi jamni roho inamauma sana pole mama mungu atakufanyia wepesi inshallah
@Dm-yd1tl
@Dm-yd1tl 4 жыл бұрын
Dah polemama dah Mungu akufungulie akutie wepesi
@luyceassey5106
@luyceassey5106 4 жыл бұрын
Pole sana mama yangu hakika huu ni mtihani sana ila binadamu tunasahau utu kabisa , kweli inashindikana kumsaidia huyu mama ana hangaika tu ...daah
@abdulimalikhamadi1078
@abdulimalikhamadi1078 4 жыл бұрын
Pole sana mamaaa
@allyshafih4913
@allyshafih4913 4 жыл бұрын
Pole sana mama
@emmanuelmassawa2428
@emmanuelmassawa2428 4 жыл бұрын
Pole Sana god atakusaidiya
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 4 жыл бұрын
Serikali imsaidie kutoa gari lake mama huyu jamani.
@reymondmedan5976
@reymondmedan5976 4 жыл бұрын
Pole mama
@sumayahfathi9413
@sumayahfathi9413 4 жыл бұрын
Mungu msimamie huyu mja wako, kwa hakika nimejifunza kitu , hii Dunia nikumuomba mola tu, tazama jinsi huyu mama alivuopambana na Maisha , Leo hii anaanza safari Lori, linatumbukia, hana faida kiasi anatoa tupesa 😭😭😭
@mariamkingazi6416
@mariamkingazi6416 4 жыл бұрын
Aamina
@petermakori4501
@petermakori4501 4 жыл бұрын
Watanzania Hamna roho kabisa,jameni hakuna wenye roho msaidie uyo mama kuondoa gari ndani,
@aminatundondege9384
@aminatundondege9384 4 жыл бұрын
Jamani!mitihani hii?pole Dada ,pole sana,yataisha tu Dada .
@testmyphone1305
@testmyphone1305 4 жыл бұрын
Pole sana mama yani unatumia milioni 83 kurekebisha gari
@azizasikalwanda7663
@azizasikalwanda7663 4 жыл бұрын
Polee sana mum Allah akutie wepesi
@salehkhalfan1473
@salehkhalfan1473 4 жыл бұрын
Pole sana mm inshaallah mwenyezimungu atakujaalia utafanikiwa kulikwamuwa hilo tatizo lako
@osmanhasan7419
@osmanhasan7419 4 жыл бұрын
inaniuma sana kwakweli .mama kapambana sana had kukamilisha hiyo gali.hivyi kweli selikal inashindwa kumsaidia aaaa.sina tu hiyo pesa ningemsaidia
@annastephen50
@annastephen50 4 жыл бұрын
Duh, mtihani sasa mama huyo bado anamajonzi je, atayaweza yote hayo mwenyewe?
@immaculathangalison5595
@immaculathangalison5595 4 жыл бұрын
Pole mpambanaji Mungu atakusaidia
@sharifazakayo6280
@sharifazakayo6280 4 жыл бұрын
Serikali,,,Angalien namna ya kumsaidia hy mama,,,Hakuna apendae ajali itokee,,,Angalien na ukubwa wa ttz alopata daaaah,,Mil.5??Bd hajasafirisha mait ya dereva wake na huduma huenda za msiban,,bado wagonjwa awalipie matibabu,,,,Pesa ndefu imeenda kwa ununuzi wa gari,,,akiba yote kwishaa,,,Huruma iko wapi????
@suleimanabdalla5147
@suleimanabdalla5147 4 жыл бұрын
Pata shida nchi hii ndio utajua utamu wa nchi hii
@jofleykifanga2068
@jofleykifanga2068 4 жыл бұрын
Jamani mtu anaskania huyu ni tajili bwana atoehela kufa kufaana kuhusu wagojwa bima zipo au hakukata bima
@fazeelshomary2704
@fazeelshomary2704 4 жыл бұрын
Sasa Mh Ridhwan yupo hapo si angemsaidia jamani?
@Hassanmofty
@Hassanmofty 4 жыл бұрын
Yupo tuu ili aonekane kama yupo Ana lolote
@fulgencelucas8702
@fulgencelucas8702 4 жыл бұрын
Amekuja kupiga picha
@said306nyatu9
@said306nyatu9 4 жыл бұрын
Sasa ridhiwan kikwete kazi yake nini apo
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 4 жыл бұрын
Ameenda kuuza sura tuuu
@fatemaligalawa4151
@fatemaligalawa4151 4 жыл бұрын
Hata nenokweri ameongea yaniutasema siokiongozi chefuu
@beirut9750
@beirut9750 4 жыл бұрын
Allah amsaidie juu mtihani mgumu.
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Pole mama pia polen mlioumia na kupoteza maisha🙏
@salmirahally7794
@salmirahally7794 4 жыл бұрын
Mama hebu jua haki zako. Zima moto ni part ya jeshi la taifa ni jukumu lao kutoa hilo gari . Ila likishatolewa hapo sasa inakuhusu wewe. Ila kulitoa kwenye maji ni wao. Waziri wa mambo ya ndani mbunge hizi ndo kazi zenu inakuaje .
@shehnaazabdallah4085
@shehnaazabdallah4085 4 жыл бұрын
Pole Mama mungu atakusaidia
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,3 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 16 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 48 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 16 МЛН
Vital'o FC 0-4 Yanga SC | Highlights | CAF CL 17/08/2024
10:10
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,3 МЛН