SEHEMU YA 3: SHEIKH MUHAMMAD IDDI NA MAJIBU YA MAWAHABI

  Рет қаралды 7,933

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 178
@MuhyiddiniSaid
@MuhyiddiniSaid 11 ай бұрын
Allah amzidishe kila kheri Shekh Abuu Eid kwa kuwaweka wazi wapotoshaji
@salummakaveli4366
@salummakaveli4366 10 ай бұрын
Amiiiin
@saidramadhani8678
@saidramadhani8678 10 ай бұрын
Shekh kwakweli anaupiga mwingi Allah amhifadho
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 11 ай бұрын
Maa Shaa Allwah
@aliyseif8114
@aliyseif8114 11 ай бұрын
ماشاء الله تبارك الله يا شيخنا الفاضل محمد ابو عيد زدنا ولا تنقصنا
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb 4 ай бұрын
Allah akulipe na hili pote la kiyahudi ipo siku itajua ukweli wake
@rjqaasam4587
@rjqaasam4587 11 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akuhifadhi Shekhe wetu أبو عيد محمد عيد شكرا لك وجزاك الله خيرا
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 11 ай бұрын
ماشاء الله تبارك الرحمن يا شيخ
@ArabiMuchande
@ArabiMuchande 11 ай бұрын
Alhamdulillah sheikh tunakuomba uzidi kutuweka wazi mkikaaakimya watu hawataona ukwel Allah akuzidishie umri
@saidimatezo6273
@saidimatezo6273 11 ай бұрын
Sasa wewe umeelewa nini...kwamba sheik Abdulwahabi alipingwa kwa daa'wa yake kwa kosa gani....nini ndicho hakikuwa sahihi keenye mafunzo yake..?Ndio nasisi tuendelee kukipinga....
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 11 ай бұрын
ALLAH AKUJAZE KULLA LA KHERI SHEKH ABUU IID...
@feisalmbamba9729
@feisalmbamba9729 11 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Mohd idd
@hashimsalim3951
@hashimsalim3951 11 ай бұрын
بارك الله فيك وجزاك الله خيرا شيخنا الفاضل
@saidburuji9984
@saidburuji9984 11 ай бұрын
Kwa kweli tunakuombea kwa ALLAH MTUKUFU aendelee kukupa afya na taufiq ili uzidi kutuelimisha uislam ulio sahihi
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 11 ай бұрын
Shukran shekh tunakufuatilia
@swedibr3218
@swedibr3218 11 ай бұрын
Allah akuhifadhi Habibi
@akambi482
@akambi482 11 ай бұрын
Alhmdullah tupe elimu shekh
@salimmgwira7179
@salimmgwira7179 11 ай бұрын
وإذا قيل لهم اتبعوا ما أنزل الله قالوا بل نتبعواما الفينا عليه آبائنا أولواكانا آبائهم لا يعقلون شيئا ولا يهتدون
@Mauya23
@Mauya23 11 ай бұрын
Naam, si waona na Picha ya sheikh wetu tunaienzi hapo pembeni, ni vile vile kama Omar r.a alivyokuwa akienzi picha ya Mtume s.a.w, mwenye akili tu ndio atanielewa.
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 11 ай бұрын
​@@Mauya23hujambo, shikamoo
@abiabi9353
@abiabi9353 11 ай бұрын
Unaona mawahabi walivyo majahili wanaleta aya mahali sipake
@salimmgwira7179
@salimmgwira7179 11 ай бұрын
@@abiabi9353 wewe unaonekana ndo jahilul murakkab kwasababu hakuna katika dini yetu kwamba lazima tufate yale tulo wakutanayo mashk zetu na baba zetu ata km wamekose na na ndo fikra ya Muhammed idi kwamba nilazima tuyafuate ya wazee wetu au usikiI hayo maneno washabikia tukupondwq mawahqbi dini ni kitabu na sunna kwaiyo km wazee wetu walikosea tuna haki ikiwa twapenda nikurekebish pale walipo Kose na wala si ushbiki wa mpira
@UstaziMwenjuma
@UstaziMwenjuma 11 ай бұрын
: Mawahabi ujinga umewajaa daah jamani hivi hii ni aya inayo endana na maudhui hii kweli kweli hapo ndoo mtu unathibitisha kwamba Ww ndoo huna hata elimu
@Naaam353
@Naaam353 11 ай бұрын
Allah atuhifadh na shari na fitna za mawahab
@mwajumanyange1909
@mwajumanyange1909 11 ай бұрын
wawah shekh huyu niktk wale duat min abuabi jahanaam Allah amuongoze
@abiabi9353
@abiabi9353 11 ай бұрын
Comment yako tu inaonyesha wewe ni mvuta bangi uliye staafu
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 11 ай бұрын
KASIMU MAFUTA NA BABA YAKO LKN SIYO SHEKH LETU ABUU IDDD
@maftuhihassan3114
@maftuhihassan3114 11 ай бұрын
ماشاء الله
@selemankishema5780
@selemankishema5780 11 ай бұрын
Zee zima jinga
@majidiabdi424
@majidiabdi424 11 ай бұрын
Muhammad idi - Unaburuza Nguo kama Wakina MAMA - Nguo zako zinafagia BARA BARA
@kyd-t1p
@kyd-t1p 11 ай бұрын
Tumia busara Sheikh Majid
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 11 ай бұрын
HOJA YAKO NI IPI AKIWA ANABURUZA ?
@husha6372
@husha6372 11 ай бұрын
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Shkh Abdulwahabi ame tajwwa kwenye kitabu cha the Memoirs of the BRITISH SPY AU LAWRENCE OF ARABIA
@raymond9640
@raymond9640 11 ай бұрын
confessions of a british spy and british enmity against islam
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 11 ай бұрын
Maashaallah
@hijazhija316
@hijazhija316 11 ай бұрын
So?
@AbdulmajidHyder
@AbdulmajidHyder 11 ай бұрын
Assalam Aleikum, Ningeliomba Musikawie sana tukoa zingine
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 11 ай бұрын
Jamani tuwe macho kutokana na upotoshaji wa mawahabi jeuri.
@fatibra7768
@fatibra7768 11 ай бұрын
Na ALLAH atuongoze katika HAQQ
@binfarhan879
@binfarhan879 11 ай бұрын
Mi nahis Mawahab wanaongea Kila na ushahid ni kwa Mashekhe wetu TU wao wanafeli kuja kuvunja zile hoja zilizozungumzwa na Mohammed Is-haqa na wenzie ndio na SI tukaesawa
@ibrahimabdillah5729
@ibrahimabdillah5729 11 ай бұрын
Akhy Sio upotoshaji...Bali tufahamu Hakuna katika Sisi aliekingwa na kukosea. Sheikh anaweza kukosea...na si vibaya mtu kuja na kurekebisha pale palipokosewa Hii ni Dini ya Allah...na si Dini ya Mtu fulani
@capitalistcapital8879
@capitalistcapital8879 11 ай бұрын
Kuwatukana waalimu na watu wazima ni makosa LILLAH TAALA NIMEANZA KUMSIKILIZA SHEIKH QASSIM MAFUTA NA HILO SIJALIONA. NA MWENYEWE HUKIRI NA KUSEMA AMESOMA KWA SHEIKH AYYUB AL QAMADHY NA SHEIKH MUHAMMAD ABII BAQARI NI WALIMU WAKE, ILA KUTOFAUTIANA MADHAHIB SIO TATIZO ( REJEA IMAAM SHAFI NA IMAAM MALIQ NI MTU NA MWANAFUNZI WAKE ILA LEO HIZO NI MADHAHIB KUBWA MBILI) PLEASE SHEIKH MUHAMMAD IDDI USIMZULIE SHEIKH QASSIM MAFUTA
@answaryhussein256
@answaryhussein256 11 ай бұрын
Mawahabi mujassima wamegawa Tawhid sehemu tatu wamekhalifu Quran na suna elimu hawana wanaofuata ni mayahudi
@elimikanamadrasa5490
@elimikanamadrasa5490 11 ай бұрын
ANAREKODIWA KABLA YA KUJIANDAA
@mustafaramadhan5941
@mustafaramadhan5941 11 ай бұрын
Maskini sh. Umejitahidi kutumia dkk 37 ktk mazungmzo hayo lkn ulichokizungumza ni km mazungumzo ya mwanfnz wa ibtidaaiyya ambae hajaweza kuchanganua kipi ni kipi. Allah akupe tawfiq kuchunguza mambo kiundani kbl ya kuyaleta hadharan huku wajitia doaaa shkh.
@SolomonKaloo-x7h
@SolomonKaloo-x7h 11 ай бұрын
Leo nimemskiliza huyu abuu iddi nimemjua muongo wallahi anaongea porojo kabisa allah amsamehee
@Naaam353
@Naaam353 11 ай бұрын
Vp kusu vitabu alivovitaja navyo ushavisoma?
@majidiabdi424
@majidiabdi424 11 ай бұрын
Muhammad idi hauna Ndevu - USO WAKO ni kama Wa WAKINA MAMA
@kitumbofamily5672
@kitumbofamily5672 11 ай бұрын
Kwani uislam ni ndevu
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n 11 ай бұрын
Vp jamani joto kali au vip shekhe.
@Haarun-h4q
@Haarun-h4q 8 ай бұрын
SHEIKH nenda vijijini ukatoe darsa, unakaa mjini unakosoa tu masheikh!
@saadayoub7179
@saadayoub7179 11 ай бұрын
Sasa nyinyi mpaka leo mnajisifu kwa kuvaa hirizi.Wallah Allah kawanyima ufahamu hawa watu.hata ladha ya kusoma kiaarabu hana kama...anasoma kama kinaijeria bana
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 11 ай бұрын
Wewe Mjuzi wa Kiarabu Darsa zako zipo wapi Tupate Ilim
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 11 ай бұрын
WALLAH HUYU SHEKH AKISOMO ANATUKOSHA MIOYO YETU ... AHSANTE SANA ABUU IDY ..NAPENDA SANA UKISOMA WALLAH
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n 11 ай бұрын
Watupa historia zao cc twajua tunachotaka upinge hoja
@jumangozi2720
@jumangozi2720 11 ай бұрын
Alafu ukisoma kwa kiarabu baadhi ya vinukta utadhani kijana anaejifunza herufi
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 11 ай бұрын
Muhammad idd huna hoja unajidhalilisha
@azizisingi7068
@azizisingi7068 11 ай бұрын
Sema mawahabi inawaingia tulieni hivo hivo
@Airport_view
@Airport_view 11 ай бұрын
Yaani katumia dakika mzima Kwanza anajitengeneza hizi camera hizi zinadanganya watu Sana ndo zikaharamishwa mana anajuwa kama anaonekana, Kisha akizungumza anajirusha rusha yaani hatari tupu Allah amuongoze
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n 11 ай бұрын
Allah akubadilishe uwe wahabi amiin
@jumangozi2720
@jumangozi2720 11 ай бұрын
Mbona sheikh unaogopa kusoma ibara za kiarabu unasoma kama vile kitabu cha kiswahili!!?
@saidishalako
@saidishalako 11 ай бұрын
Hilo la kutahadharisha watu dhidi ya unaowaita Mawahabi itakuwa kazi ngumu maana wanavyotoa Ilmu hao Mawahabi na unavyodanganya Umma ni dhahiri kabisa .
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n 11 ай бұрын
Aaaa umenuna sheikh wangu nakupnda toa hoja basi usiwaapize ezko wnachkifnya akina qasim mafuta ni kuwatoa wtu huko ukuonako kuzur.
@الحَمْدُِلله-ص8م9ش
@الحَمْدُِلله-ص8م9ش 11 ай бұрын
Sijaona sheikh mjinga kma huyu
@tellackyabdul9312
@tellackyabdul9312 11 ай бұрын
Salamu tu kashindwa kutoa salamu vzuri, hyo mada je??
@HassanJamada-pf4jt
@HassanJamada-pf4jt 11 ай бұрын
Shekh Abu Iddi tutakuwa tunakukumbusha kila mara ujibu maswali 10 uliyoulizwa na shekh Abul Fadhli hakuna kuruka kwenda kwingine au kama umeshindwa unyamaze , Hatutakuacha katika hili
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 11 ай бұрын
Aliulizwa kuhusu nini kaka?
@HassanJamada-pf4jt
@HassanJamada-pf4jt 11 ай бұрын
Huyo shekh Abu Idd anayajuwa maswali hayo ya Kaba koo
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 11 ай бұрын
@@HassanJamada-pf4jt kama ni kuhusu mas ala ya mwezi na arafa bc huko kwenu ni kujitekenya mkicheka wenyewe
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 11 ай бұрын
@@HassanJamada-pf4jt ama kama ni ya kitu chengine sjui
@HassanJamada-pf4jt
@HassanJamada-pf4jt 11 ай бұрын
@@Ahmadasshii-raazy8888 ingekuwa unavyodai ndivyo shekh Abu Idd angejuwa ashajibu lkn aliona pamoja na kuwa yeye ni upepo mkali kwenu ila huku alikutana na kimbunga
@RamadhanMwawila
@RamadhanMwawila 9 ай бұрын
Wewe shekh huja zamsingi khs kuwapinga Wahab. Ila ulichonakiwa nacho nichuki binafsi tu. Namiongoni mwambo yanayokushusha hadhi nihl lakuwachukia WAHAB na kutetea MAULID! Hakika WEWE NIMUARIBIFU WADINI. ALLAH Akulipe kadri unavyofitinisha Waisl Kwa Waislaam.
@selemanmstafa9251
@selemanmstafa9251 10 ай бұрын
Sasa shekhe mm nachoomba hebu niambie nacho faham Kwa uelewa wangu mdogo uislam ni kufata ghurani na suna sasa niambie mtume kabla hajafa alikuwa akisherekea kuzaliwa kwake yeye yaani maulid.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 11 ай бұрын
Ukisema wanaamini hivi ama vile basi toa udhibitisho kwenye vitabu zao ama wewe ni mwongo tu
@huseinikaji8208
@huseinikaji8208 11 ай бұрын
Shekh kwa kweli unajidhalilisha mwenyewe na kuonesha ulivyo na hoja dhaifu ila kwakuwa kila mtu anaakili yake wataielewa sunna kupitia kwako huenda wakaongoka wakakuacha wewe huko na bidaa zako
@الحَمْدُِلله-ص8م9ش
@الحَمْدُِلله-ص8م9ش 11 ай бұрын
ABUU IDDI joto hulihic
@AishaHamisi-tl9ek
@AishaHamisi-tl9ek 11 ай бұрын
Mshekh wa matumbo hao
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 11 ай бұрын
Matumbo gani umekalia chuki tu apa huna akili ata za kuelewa mas, ala ya kielimu kazi kufata mikumbo tu mtu anakutajia na vitabu vya wana wa zuoni lkn. Eti hamna ona kama ni hona na dalli
@saadayoub7179
@saadayoub7179 11 ай бұрын
We sheikh jibu maswali yale kwanza ya mwezi muandamo na bidaa kule....alafu uyu bwana kumjibu itakua kazi sana kwa sababu kila ibara ana makosa mtihani sana
@saadayoub7179
@saadayoub7179 11 ай бұрын
Hawa jamaa kweli mambo ya mitandao yamewapita sana....
@saadayoub7179
@saadayoub7179 11 ай бұрын
Pale mwanzo akijiweka sawa na kuruka ruka si mngepatoa
@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db 11 ай бұрын
Kwani Sheikh Muhammad Ayyuwb ni ma'asum❓❓❓❓ Kuwa serious sheikh
@saadayoub7179
@saadayoub7179 11 ай бұрын
Watu wa twariqa Wenye akili wakimsikiliza huyu sheikh wao watazidi kumkimbia ,sasa kupingwa ni hoja hapa...watu walimpinga mtume kwa ajili ya haqi sembuse hawa...uyu mzee bwana hana hoja kabisa maneno tuuu .
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 11 ай бұрын
WALA HATUMKIMBII .. SOMA COMENT MWANA WA SHEKH .. WATU TUNAONA ANACHELEWESHA CLIP ... MANA TUNAZITAKA KILA SIKU ILI TUONE UCHAFU WENU
@الحَمْدُِلله-ص8م9ش
@الحَمْدُِلله-ص8م9ش 11 ай бұрын
Zungumza hoja umekuja kujibu comments
@saidkhamisi9592
@saidkhamisi9592 11 ай бұрын
Nilidhani ni mimi pekeyangu anavosoma hizo ibara za kiarabu hata ladha hakuna kama anapita kwenye matope anabwabwaja tu
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 11 ай бұрын
Amma kweli kweli makafiri ndio ambao wanachuki na dola ya saudia, masufi nanyi mnaichukiaaaaaaaaaaa?
@abiabi9353
@abiabi9353 11 ай бұрын
Haha mawahabi kweli vichwa mchunga.eti saudi Arabia dola yakiislam. Kiongozi wao si niyule aliyeamrisha mwandishi akatwekatwe na msumeno.Hivyo ndivyo uislam unavyoamrisha? Amakweli mawahabi wamerogwa na aliye waroga kafa
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 11 ай бұрын
@@abiabi9353 dola yenu ni yakiislam? Kufeni kwa chuki zenu saudia ni ya mawahabi kama mnavodai i endeleeni kuichukia enyi mashia lakikin mumechelewa
@mustaphaabbas2545
@mustaphaabbas2545 11 ай бұрын
Hamna kitu! Humu ni chuki tu na kujifakharisha...
@jumaziad239
@jumaziad239 11 ай бұрын
Sikuelewi kabisa Abu Idi kwa hivyo vitabu utumiavyo, nawe pia huvielewi au dini ndio huelewi, usemapo Skh. Muhammad bn Abdulwahabi amekataza shirki, wewe waelewaje? Hebu Abuu Idi tumalize na tubomoe mawahabi kwa kutufundisha au kuonyesha udhaifu wetu angalau kwa risala zake mbili au tatu alizoandika mwenyewe, Shk. Muhammad bn Abdulwahabi Wala sio vitabu, mana nina wasiwasi na unachokiamini na kukielewa ktk dini, Uoneshe ubaya wake na upya wa dini aliyoleta, pia tanaakudhwi ndani yake. Hivyo vitabu utumiavyo ni vya maadui zake kama wewe, mbona huelewiiiiiiiii!!!!!! yaani, MUUMBUE KWA UPOTOVU WA VITABU VYAKE, ALIVYOANDIKA MWENYEWE, TUJUE ASEMACHO SIYO ASEMEWACHO.
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n 11 ай бұрын
Jamni ndo usomaji wke uyo sio kua asoma kma mwnafunzi ila ni jitu la bidaa
@saidramadhani8678
@saidramadhani8678 10 ай бұрын
Mawahabi povu lanini Kama mko ktk haki 😂😂😂😂😂
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 11 ай бұрын
Kaka muhammad iddi ,naomba ukajifunze namna ya kujenga hoja,na namna ya kuwasilisha mada.unaishusha hadhi yako,kitu kipo ila huna uwezo nacho ,unasoma vitabu ambavyo kimsingi vinakugonga wewe mwenyewe, Alafu acha taasubi na mashekhe .shekhe kama alikosea lazima ibainishwe.tunakuomba shekhe ukasome ,maana hata hao wanaoitwa mawahabi huwajui kabisa
@IbrahimMenjano-lj7df
@IbrahimMenjano-lj7df 11 ай бұрын
Kama wahab sio ww namashekh wako hay ww unao wajua tubainishie na uoonyeshe vitabu nayule alie mtabir mtume kua kuna MTU atatoka najid naatangusha Dola ya uthumaaniyyaha tuambie Ninani?? Nasubir jibu
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 11 ай бұрын
@@IbrahimMenjano-lj7df mwambie shekhe wako,aseme wahabi ni nani? Kama uhabi ni kupinga maulid au kupinga khitma au kupinga kuomba makaburi ,au aseme anachodai yeye ,uhabi ni nini? Alafu ajenge hoja kama kupingwa na watu ndio uhabi hata mtume alipingwa au kupingwa na baba yako mzazi ndio uhabi hata nabii Ibrahim alipingwa na baba yake .shekhe wako anabwabwaja tu hakuna aya Wala hadithi aseme uhabi ni nini? Kisha alete hoja za kielimu kuupinga ,alafu atubainishie je siasa ni haramu ? Maana kang'ang'ana shekhe Muhammad alikuwa mtu wa siasa.
@saidmakame8867
@saidmakame8867 11 ай бұрын
​@@IbrahimMenjano-lj7df jibu lake litakufedhehesha, ni bora usingeuliza hilo swali... au ufute tu swali lako..
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 11 ай бұрын
kaka tusaidie kumpa jibu na akarejee@@saidmakame8867
@KASSIMFUNDSIMU
@KASSIMFUNDSIMU 11 ай бұрын
Hahahaahaaaa sikujua huyu mtu kua ni pupeee nkajua ntaskia hojaaa kumbe mnatutishia na kututenga allah yuko pamoja na sisi
@azizisingi7068
@azizisingi7068 11 ай бұрын
Yani allaah yuko pamoja na mawahai au??
@IbrahimMenjano-lj7df
@IbrahimMenjano-lj7df 11 ай бұрын
Jibu yupo pamoja na mawahabi
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 11 ай бұрын
yupo pamoja na watu wa haqq, kwahio ni jukumula kila mtu kuitafuta haqq@@azizisingi7068
@salafitanzania1216
@salafitanzania1216 11 ай бұрын
Sheikh unataka kusema kwamba Kila kitu Sheikh Mohammed Ayoub alipatia na mwalim wako akokosea haipasi kumkosoa?msingi Huu umeutoa wapi??
@Mauya23
@Mauya23 11 ай бұрын
Ni kama Roma Papa kamfurusha Padre aliyekuwa anapinga mabadiliko ya Kanisa.
@mohdomar6760
@mohdomar6760 11 ай бұрын
Akili zako za kilevi
@saidimatezo6273
@saidimatezo6273 11 ай бұрын
Huyu sasa ameingia kwenye mtihani....yaani anasema yeye ana miaka 30....so anauelewa fulani...so kwa uelewa huo haufai kuhojiwa na pia kwa masheikh wake...Dini niile unayoweza kuiwakilisha..? Kisha uyafafanue kwa dalili....mbona hutoi hoja ya kielimu na ukaidhibitisha.....
@ramadhanmbwana5718
@ramadhanmbwana5718 11 ай бұрын
Na shekh Muhammad ibn abduli wahhaabiy sio wakwanza wetu Wa kwanza wetu ni mtume na maswahaba zake Ndio maana sisi hatufanyi au hatusherehekei kuzaliwa kwa mtume kwa sababu mtume mwenyewe hakufanya hivyo na saba bu za kufanya hivyo zilikuepo Na maswahaba pia hawakufanya hivyo Sasa je mtume na maswahaba zake ni mawahabi Mzee idi
@azizisingi7068
@azizisingi7068 11 ай бұрын
Sasa mbona mnakataa kusherehekewa mtume kisha mnamsherehekea abdul wahabi kwenu abdul wahabi ni bora kuliko mtume
@mbjunior166
@mbjunior166 11 ай бұрын
@@azizisingi7068 Abdulwahhab anasherehekewa wapi hapa Tz? tarehe ngapi? Mche Allah sheikh.
@NasibuJuma-e6u
@NasibuJuma-e6u 11 ай бұрын
Haujasema kitu na ninaona kama inavyo ongea ni kweli wewe ni mvuta bangi mstaafu na mkosa radhi za wZazi
@ramadhanmbwana5718
@ramadhanmbwana5718 11 ай бұрын
NA BWANA MUAMEDI IDI MTU AKIWA YUPO KINYUME NA HAKI NA UKAENDA KINYUME NAYE AU YEYE AKAENDA KINYUME NA WEWE HUKO SIO KUMKOSEA ADABU BALI HUO NDIO MUONGOZO WA QURAN ﴿لَّا تَجِدُ قَوۡمࣰا یُؤۡمِنُونَ بِٱللَّهِ وَٱلۡیَوۡمِ ٱلۡـَٔاخِرِ یُوَاۤدُّونَ مَنۡ حَاۤدَّ ٱللَّهَ وَرَسُولَهُۥ وَلَوۡ كَانُوۤا۟ ءَابَاۤءَهُمۡ أَوۡ أَبۡنَاۤءَهُمۡ أَوۡ إِخۡوَ ٰ⁠نَهُمۡ أَوۡ عَشِیرَتَهُمۡۚ أُو۟لَـٰۤىِٕكَ كَتَبَ فِی قُلُوبِهِمُ ٱلۡإِیمَـٰنَ وَأَیَّدَهُم بِرُوحࣲ مِّنۡهُۖ وَیُدۡخِلُهُمۡ جَنَّـٰتࣲ تَجۡرِی مِن تَحۡتِهَا ٱلۡأَنۡهَـٰرُ خَـٰلِدِینَ فِیهَاۚ رَضِیَ ٱللَّهُ عَنۡهُمۡ وَرَضُوا۟ عَنۡهُۚ أُو۟لَـٰۤىِٕكَ حِزۡبُ ٱللَّهِۚ أَلَاۤ إِنَّ حِزۡبَ ٱللَّهِ هُمُ ٱلۡمُفۡلِحُونَ﴾ [المجادلة ٢٢] ALLAH ANAWEKA WAZI KUA HUTO WAKUTA WATU WANAMUAMINI ALLAH NA SIKU YA MWISHO WAKAWA WANAMPENDA MWENYE KUMKHALIFU ALLAH NA MTUME WAKE NA PIA MTUME ALIPINGWA NA NDUGU ZAKE JEE HAPO WASEMAJE MZEE IDI LAKINI MTUME ALIENDELEA KUSOMGA MBELE KWA HIYO SHEKH MUHAMMAD IBN ABDUL WAHHAABI KUPINGWA NA BABA YAKE HAPO HAKUNA HOJA YA KIELIMU NI POROPAGANDA TUU ZA MJINI
@rjqaasam4587
@rjqaasam4587 11 ай бұрын
HAKI ni kile mnachokifanya nyinyi tu wanachokifanya wengine sio HAKI??!😮
@ramadhanmbwana5718
@ramadhanmbwana5718 11 ай бұрын
SIO SAHIHI HAKI NI ILE ILIYO THIBITI KATIKA KITABU CHA ALLAH NA SUNNAH ZA MTUME NA MASWAHABA ZAKE KWA MFANO KUSHEREHEKEA KUZALIWA KWA MTUME MTUME MWYENYEWE NA MASWAHABA ZAKE HAWAJAFANYA HIVYO JEE WAO NI MAWAHABI
@ramadhanmbwana5718
@ramadhanmbwana5718 11 ай бұрын
Sasa mtu akija na kitu ambacho hakipo katika kitabu cha allah na quran na sunna za mtume swala na amani ziwe juu yake na njia za maswahaba Hiyo tunasema sio haki
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 11 ай бұрын
Sina mda wa kuskiliza majitu ya bidaaa kama haya
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 11 ай бұрын
Wewe ndo jiyu la bid , ghaa tena usiye jielewa kazi kufuata mkumbu kusoma hamtaki mshenzi wewe
@azizisingi7068
@azizisingi7068 11 ай бұрын
Muhabi imekuingia tulia hapo ndo kwanza inaanza
@jujanreeves6925
@jujanreeves6925 11 ай бұрын
Umechelewa kweli Abuu Idd mawahabi wanasoma vitabu gani wamesoma kwa mashekh gani wana toa wapi Hadith za Mtume SAW Quran wanasoma ipi hukmu Zipi za dini wanafuata na wametoa wapi Masufi hamjui kitu bali ni pilau na wali ndio dini yenu
@mohagurey2214
@mohagurey2214 11 ай бұрын
Heri ungesema majibu kwa Qasim mafuta😂😂😂 kisha mbona ni story tu, tuambie ayah na Hadith hao watu wamepinga au kukhalifu sio story za bunuwasi
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 11 ай бұрын
Kwa kuwa hamna kili za kuelewa hata akitoa ayah wewe utasema ni hadithi za abunuwasi sasa si ufala huo
@mohagurey2214
@mohagurey2214 11 ай бұрын
@@abubakarymaulidy5681 soma kitu nimeandika vizuri, hadi macho huna
@aswabikimaro3033
@aswabikimaro3033 11 ай бұрын
Kwa mtu anatamani kuifaham Haqq na anaejua uislam ni dini ya dalili bas huyu muhammad idi ni shekhe anaezungumza kwa matamanio na majivuno bali hata kwa kiburi anafaham anachozungumza ni baatwil lkn anakazia,,,,yaan anaongea kwa chuki bila kujali dalili yyte ktk quraan na sunna,,,,yaan kaleta str za kijiweni hajaongelea Aya wala hadithi,,alafu watu wenye upeo mdgo wanamsifia eti anajuhudi,,,huyu ni ktk mashekhe wa hovyo san kwny nchi hii,,,kuanzia kwny uzungumzaji,,,jins anavotemgeza dalili za uongo km hvo akisema eti baada ya swala mawahab hawafany adhkar,,zmuongo mkubwa huyuzzzbali hata jins anavosoma kiarabu Allah amemnyima mwanga na ile ladha ya kugha hii adhwim,,,muangalie hata sura yake mbaya na ndevu kanyoa amekuwa km Yahud,,,,kiufup huyu mzee anafanya porojo hamna lolote la kielim analoliongeleaaa,,,,
@shukurungunde8477
@shukurungunde8477 11 ай бұрын
Sasa mbona Huleti hoja, wabwabwajatu, maneno mengi, halafu hatutaki kuonyeshwa vitabu, toa hoja zilizomo ndani vitabu ili kuvunja hoja za hao mawahabi, lakini unaonyesha vitabu kwa watu wako wasiyojua kusoma vitabu vitawasaidia nn???
@azizisingi7068
@azizisingi7068 11 ай бұрын
Shida sio kosa shida mawahabi hamuelewi sehemu ya kosa hamuijui nasehemu ya sawa hamuijui?? Sababu hamsomi
@saadayoub7179
@saadayoub7179 11 ай бұрын
Anatuchosha sana uyu....niwaulize je tangu ameanza kuzungumza uyu mmepata faida yoyote kweli?au anapotezea watu muda na pesa zao kuangalia youtube.we sheikh mche mola wako
@UstaziMwenjuma
@UstaziMwenjuma 11 ай бұрын
Mwerevu yamtosha ishara tu Kama wewe hukupata faida sio tatizo waachie wenzio Ww una chuki utafahamu kitu gani hapo
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 11 ай бұрын
Ndugu yangu uwe na hekma sana kwa kutafuta radhi za Allah. Yawezekana Madhehebu yako unayofuata yanauzito kuliko Uislamu wako.Ila kama hivyo ndivyo nibora uwe kimya kuliko kuzungumza ili usipate lawama. Watu wanakuona kama hujitambui Huna Ilmu wala haya za kiislamu. Unatafuta kulumbana na Muislam mwenza au waislam wenzako bila sababu kusa utofauti wa kiitikadi. Wewe jambo kama hulielewi wala hulitaki liepuke na ufuate lako pasi na kukera wengine... Nakushauri tu
@abdulkatalango2890
@abdulkatalango2890 11 ай бұрын
Tunamuelewa sana,ameanzia mbali kuwa mvumilivu nyama ziko chini,kama humuelewi unaweza kuacha kumsikiliza
@ustadhirajabu5736
@ustadhirajabu5736 11 ай бұрын
Muda ushafika pia ..mana wanatukanana sana nakukufurishana. Hawa salaf jadida Hawa hizbu tafran
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n 11 ай бұрын
Pinga basi acha fitina
@ramadhanmbwana5718
@ramadhanmbwana5718 11 ай бұрын
Hata masufi mlipingwa mapema
@abuunutsamuonlinetv2703
@abuunutsamuonlinetv2703 11 ай бұрын
Nimesikiliza clip zote hakuna hata hoja ya kielim hata moja tumesubir sana hoja ila unatuletea maneno matupu tu
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 11 ай бұрын
Hivyo vitabu hatari
@mbjunior166
@mbjunior166 11 ай бұрын
Huyu mzee Allah amuongoze yeye na sisi ktk haqq maana upeo wake ni mdogo sana na matamanio ya nafsi yake ktk kutetea mambo ya bidaa na baatwil na ushirikina ndio yanayomsumbua kwa hakika! Hajui kama hata Mtume(swala na salamu ziwe juu yake) alipingwa tena mpaka na baba ake aliomlea sasa mm cjajua point yake ni ipi ktk hili suala la kupingwa sheikh Muhammad ibn Abdulwahhab. Halaf usiwaongopee watu hakuna sheikh aliotukanwa wala kudhalilishwa sio sheikh Muhammad Ayyub wala sheikh Abubakar Al Burhaan(Allah awarehemu wote) bali kuna inawezekana kuna maeneo waliteleza kwa namna na sababu moja au nyingine kutokana na ubinadamu wao nlkwa hyo yakarekebishwa yale makosa yao na hili ni jambo la kawaida kabisa kielimu bali wameteleza na kurekebishwa maulamaa wakubwa zaidi ya hao masheikh wetu kabla yao. Sasa labda useme kwamba hawa masheikh wao walikua wanajua kila kitu kwenye ilmu na kamwe hawawezi kukosea na wala hakuna mjuzi zaidi yao. Sasa sisi tunakusubir ujibu zile hoja zilizotolewa ndio tujue ukweli na ubabaishaji hz porojo tangu ulipoanzia ni upuuzi mtupu. Na kuhusu hayo matusi yako cjui bangi cjui nn... Ni kwamba sisi tunachokijua ni kwamba ww ndio MVUTA BANGI ALIOSTAAFU kwa ushahidi wa sheikh Alhadi Mussa😂
@Naaam353
@Naaam353 11 ай бұрын
Maneno maefu sana toa clip
@feisalmbamba9729
@feisalmbamba9729 11 ай бұрын
Du mie nakuja kwako bro naomba uwe mpenzi wa simba au yangu hii ni dini na elimu yake nawe unaonekana upo mbali sana zaidi kilomita 5000+ na taaluma hii
@abiabi9353
@abiabi9353 11 ай бұрын
Sasa nyinyi mawahabi na ujahili wenu na ufinyu wenu wa akili mtawezaje kujua bidaa na isiyokuwa bidaa
@abiabi9353
@abiabi9353 11 ай бұрын
​@@feisalmbamba9729nyinyi majahili wakiwahabi mnajuaje dini.mngejua dini mngechukua itikadi za kiyahudi na kikristo kuhusu Allah?
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 11 ай бұрын
JIBU HOJA USITUKANE WALA KUTOWA KEJELI MAWAHABI NI TAWI LA MAYAHUDI HUWEZI KUMCHUKIA MTUME MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM HALAFU UKAWA HUWAFATI MAYAHUDI AMBA NAO HAWAMPENDI MTUME MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM A ALLAH ATUONGOZE WAISLAM SOTE TUWE KITU KIMOJA AMIN
@KASSIMFUNDSIMU
@KASSIMFUNDSIMU 11 ай бұрын
Una tafuta views tuu asa kama alikuja kulingania kumuomba allah peje yake na kuchinja kwaajili yake alafu baba akampinga hapo mwenye kosa nani?
@mbjunior166
@mbjunior166 11 ай бұрын
Ni matamanio ya nafsi yake tu ndio yanamsumbua huyu bwana Abuu Idd
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 11 ай бұрын
Nakushauri muhaamad iddi wabainishie watu uwahabi ni ni ni?alafu weka hayo mambo au itikadi za kiwahabi ,zivunje hizo hoja au itikadi kwa kitabu na sunna kwa kutumia ufahamu wa wema,na waliotangulia, wewe unalia na qassimu mafuta tu,au unamuogopa?
@saidmakame8867
@saidmakame8867 11 ай бұрын
Lau angeiona hii comment ingesaidia sana....
@Naaam353
@Naaam353 11 ай бұрын
Hii ni part 3 ungeanza toka mwanzo ndio utaelewa Kassim Mafuta anatumika kama ubao wakuandikia
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 11 ай бұрын
@@Naaam353 sikuanza na hiyo part one nilianza nae Toka mada ya mwezi mwandamo mpka ya arafa na akaulizwa maswali shekhe Lako akakimbia, wewe binafsi hujamuelewa shekhe wako anachozungumza nini ? Kakomaaa na majina ya watu tu.ataje uwo uhabi na aubomoe kwa aya na hadithi kama anaweza
@HassanAli-j5d8q
@HassanAli-j5d8q 11 ай бұрын
Kama wewe vile tukikusikiliza tu tutajuwa hizi porojo za mtu anaefata anaefwata matamanio
@KASSIMFUNDSIMU
@KASSIMFUNDSIMU 11 ай бұрын
Kazi kujisifu tuu mnataka hoja ziwafuate sio mfuate hoja nyie
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 11 ай бұрын
Waislamu hatutakiwa kushikilia misimamo ya masheikh bali tunatakiwa kuifuata Qur ani inasemaji maana ndio muongozo wetu
@azizisingi7068
@azizisingi7068 11 ай бұрын
Kwani mashekh wameshika misimamo ya bibilia??
@azizisingi7068
@azizisingi7068 11 ай бұрын
Kwani mashekh wameshika misimamo ya bibilia??
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 11 ай бұрын
Hongera kama unaweza Kuielewa Quran bila masheikh
@IbrahimMenjano-lj7df
@IbrahimMenjano-lj7df 11 ай бұрын
Yaan msing ulijengw toka Awali hiv kma shekh Abdul Wahhab alimpinga BBA yk wakat nishekh wke je utaashangaa watoto wajan kumuoona shee wake hana elmu??
@IbrahimMenjano-lj7df
@IbrahimMenjano-lj7df 11 ай бұрын
Sio kumping shee Tu had imamu shafi vijan waleo wanasema kakosea sn daah hatar kubw
@mohagurey2214
@mohagurey2214 11 ай бұрын
Ameshindwa na hoja gani ilhali hakuna hoja hata moja umepinga your socalled wahabis
@IbrahimMenjano-lj7df
@IbrahimMenjano-lj7df 11 ай бұрын
Shekh wetu muhhammad ayoub alkamadh allah amlipe hao mashekh wa maslai tu kafa shekh ananyumba y makuti tuwaulize wao vip?? Wanaish wap kweny nyumb zip? Watu wamefany juhud kubwa leo ww juz tu bas wao ndio mashekh wao watu wapepon dah wahab muuogopen Allah mchen Allah muachen shekh wtu bwn twampend na Allah mtie pepon kw huruma yke
@jumangozi2720
@jumangozi2720 11 ай бұрын
Mbona sheikh unaogopa kusoma ibara za kiarabu unasoma kama vile kitabu cha kiswahili!!?
@tellackyabdul9312
@tellackyabdul9312 11 ай бұрын
Salamu tu kashindwa kutoa salamu vzuri, hyo mada je??
SEHEMU YA 4: SHEIKH MUHAMMAD IDDI NA MAJIBU YA MAWAHABI
35:07
BABDEO MILADU
Рет қаралды 7 М.
NO.3: SHEIKH MUHAMMAD ABDUL WAHHABI ALIFUKUZWA KILA NCHI ALIYOKWENDA
17:17
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 44 МЛН
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
SHEIKH MUHAMMAD ISSA AMGARAGAZA ABU IDD KWA KUPOTOSHA UMMA. SEHEMU YA KWANZA
24:06
HAYATUL IIMAAN MAISHA YA KIIMANI
Рет қаралды 3,4 М.
SEHEMU YA 7 :MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI
1:05:09
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 44 МЛН