MAJIBU YA DHARAU NA KEJELI YA MUHAMMAD BACHU KWA SHEIKH SAID ALI HASSAN || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE

  Рет қаралды 6,038

Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya

Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya

Ай бұрын

SHEIKH MUHSIN ALI ATHMAN BUTE

Пікірлер: 199
@AshrafBunu
@AshrafBunu Ай бұрын
Bacho Allah akuhifafhi
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 Ай бұрын
Fukuzwa Hutu zanzibar na sahiv kahamia kwa mashoga zake Mombasa na tanga 😂
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb Ай бұрын
BACHU ALLAH AMHIFADHI
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww Ай бұрын
Mashallah jazakallah akhy Muhammad bachu ujumbe umefika Wacha waliye haki imefika .
@abubakarhajjabubakarhajj1252
@abubakarhajjabubakarhajj1252 Ай бұрын
Kwangu mimi ni ukweli wake niliouwona Alhamdulillah Allah amuhifadhi
@eshasaid3258
@eshasaid3258 Ай бұрын
Msishideni hazigatii ulimegu wa umuhimu wa watu ❤❤❤❤❤ babake mungu amuweke peponi❤❤❤ mpaka leo watu wamsikiliza babake❤❤❤❤❤❤❤❤❤hanaadabu sana❤❤❤❤❤❤❤shukrani ustadha musini❤❤❤❤❤❤❤❤
@MuniraRashid-sx3up
@MuniraRashid-sx3up Ай бұрын
Allah amuhifadhi sheikh bachu na azidi kukupa nguvu ya kutuelimisha
@sama-_8368
@sama-_8368 Ай бұрын
Pumba kabisa
@farishfarish258
@farishfarish258 Ай бұрын
Buchu Allah akuhifadh ) Hawa wengine hawana elemu sindano zimewaingia Wacha wapige kelele
@user-nh2wt4yd7w
@user-nh2wt4yd7w Ай бұрын
Shekh Muhammad Bachu ametutowa ujingani kwa mambo mawili la kwanza kwa siku ya arafa ili tupate fadhla za arafa na la pili ni maulidi kupiga matwari na kula pilau Allah amuhifadhi sheikh Muhammad Bachu
@salmananwaralmaisarah1387
@salmananwaralmaisarah1387 Ай бұрын
Shukran sana ustadh...kinachomueka bachu mjini ni hizo dharau na kejeli...hana lengine na kama analo birii alidhihirishe
@abeliever6823
@abeliever6823 Ай бұрын
Wallahi naiskitika sana kwa njia ya ndugu yetu anatumia. Allah amhifadhi ndugu Bachu na kiburi. Allah amwafikie kuwa na karibu na watu wema ambao watampa nasaha ya kuwa na adabu kidhogo na heshima. Bahati mbaya. Uslubu na njia ambao anaotumia ndugu yetu Bachu siwo njia ya mtumme صلى الله عليه وسلم
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
Nyi masufi pambeni na uzushi Wenu yule amumuwezi nkamwe mnachochokasirika anaumbua Yale mnayoyaficha kwenye vitabu anawaambia watu kweli ndo roho zinaenda mbio mbio pamba neni huu so wakati wa kudanganya watu tena
@FaaidaTVtz
@FaaidaTVtz Ай бұрын
Al akhy, ebu tuoneshe kibri cha Bachu kiko wapi. Bachu amejibu hoja ya Sheikh wenu Said Ali Hassan kwa ufasaha na kwa kujenga hoja sasa kibri kiko wapi, au ulitaka Sheikh wenu asijibiwe kwa kuwa yeye ni mkuuuuuuuubwa sana kama mnavyosema..? Amini nakwambia kwenye Uislam Sheikh mkubwa ni yule tu anayefuata njia sahihi na ya haki basi.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Ай бұрын
@@FaaidaTVtz ni sahihi hawa ndo walivyo masufi kauli ya shekhe haipingwi hata kama kakosea wao wanaichukuwa hivyo hivyo arafu huyu bachu kwakuwa analingania wasoyataka wao ndo kageuka anakibri angekuwa mlinganizi wao asingeambiwa yote hayo
@user-hr9kb7ev1i
@user-hr9kb7ev1i Ай бұрын
Swadakta ndungu yetu Allah atakulipa inshallah kwa hikma zako kwa ilmu unayo soma kwa mafusi,mawahabi hawataki kusoma ndio hawajielewi
@sharifsayyidalmahdal
@sharifsayyidalmahdal Ай бұрын
Haki ilifika Allah amhifadhi bachu
@saidijuma-b9v
@saidijuma-b9v Ай бұрын
mungu akuhifadhi sheikh letu
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb Ай бұрын
HAMUWEZI TUDANGANYA WATU TUSHAA ELIMIKA NA BACHU ALLAH AMHIFADHI
@abeliever6823
@abeliever6823 Ай бұрын
بارك الله فيك يا أخي العزيز Maneno mazuri nto جزاكم الله خيرا Allah amhifadhi Sheikh Ustad Hasan. Ningependa sana angepeleka nguvu zake ndugu yetu Bachu kwa mambo ambao yataleta manufaa badala ya kuwashambuliya wanaziwoni Dharau na kudhalilisha watu siwo katika mafundisho ya Bwana Mtumme Muhammad صلى الله عليه وسلم
@swalehmohamedwaziri7499
@swalehmohamedwaziri7499 Ай бұрын
Maa shallah maelezo mufti Nyama za maulamaa Zina simu.
@swalehmohamedwaziri7499
@swalehmohamedwaziri7499 Ай бұрын
Sumu
@eshasaid3258
@eshasaid3258 Ай бұрын
Asalamu aleykum ya allah huyu bachu nimrogo😊😊😊😊😊
@user-uy8en4fj6r
@user-uy8en4fj6r Ай бұрын
Wallah mahabi mwabambanya hamna ilimu wallah mana mkizunguza nahau hamzipaty mwapiga nnje
@yusufathman2478
@yusufathman2478 Ай бұрын
Maadam quran na sunna za mtume tunazo uelewa nahau twawaachia nyie makhurafi
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Ай бұрын
Sheikh Muhammad bachu ametutoa kwenye ujinga
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 Ай бұрын
Maoni ya kubalika
@user-ix8bu3yy5z
@user-ix8bu3yy5z Ай бұрын
Mohd bachu amesingizia sheikh uthaymeen na kufanya uthaymeen ni mtu wa kauli mbili mbili
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Ай бұрын
Mashallah
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Ай бұрын
Sheikh Muhammad bachu yuko vizuri sanaaaaaa.Ameniondoa kwenye wajinga wa kitwariqa na kisufi
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Ай бұрын
Kkkkk bado mwa zama kwa uchinga pole mana chongo ni mfalme kwa vipofu
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Ай бұрын
Allah akuhifadhi ost letu,endelea kufanya twakuelewa vzr sna❤
@waladulikhlaas7870
@waladulikhlaas7870 Ай бұрын
Mashallaah shukran sana ustadh muhsin....Bachu akajifunze adabu kwanza...na tutamnyorosha...Na msa pia tutamtoa
@suleimanahmadaali5989
@suleimanahmadaali5989 Ай бұрын
Acha ubaguzi ndugu yangu, uislamu umekataza kubagua watu kwa utaifa, urangi, ukabila, usehemu Hayo ni maneno ya wasio kua waislamu, eti msa tutamtoa ndo umesema nin sasa
@KhamisQays-ur1dm
@KhamisQays-ur1dm Ай бұрын
Ahasanta Habibi Barakallahu fiyk
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 Ай бұрын
الله يحفظك سيخنا محمد با جو
@MaulidiJongo
@MaulidiJongo Ай бұрын
Bach Bado allh ajampa uwongof ila tumuombe allh san
@AshrafAKhan-ql1tb
@AshrafAKhan-ql1tb 8 күн бұрын
Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakaatu Sheikh naomba unipe link au uniandikie swali na jibu yote kwa ukamilifu alioulizwa Sheikh Ibn Uthaymeen na alivojibu yeye Sheikh Ibn Uthaymeen kwa ukamilifu Shukran
@WilliamMaina-xh4sf
@WilliamMaina-xh4sf Ай бұрын
Mchenni Allah, mitandao mmejaza uislamu-siasa za makundi jameni, barabara ya sawa na malengo ya uwepo wa mwanadamu imesahaulika
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Ай бұрын
Ukweli tu unuma.. haki watu wanaielewa sasa... hadithi nyingi za uwongo za watu watwarika zinabainishwa simameni kwenye haki alokujanayo mtume enyi watu wa twarika. Acheni ibada za kuzuwa zuwa فان كل بدهة ضلالة
@user-go3bk6wr8u
@user-go3bk6wr8u Ай бұрын
masufi mnatabu.
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Ай бұрын
Hasira nyingi sana
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp Ай бұрын
Hayaaaa fuateni ara yenuuuuuuuuuuu mausufi
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Ай бұрын
Kupitia vitu vingi sana alhamdulillha tumemjua ikiwemo ujinga ulodhihir kwenye maulid na kukataza baadhi ya vitu vya kijinga ikiwa pa1 na masufi kuwaaminisha wa2 kwamba Mtume wa Allah aonekana hata ukiwa macho.
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 Ай бұрын
اللهم اهدي الصوفي ضاله
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Ай бұрын
Eeee bwana hajazarauliwa munatengeneza huruma
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b Ай бұрын
Bachu nikipenzi chetu allah amuhifadhi katutoa kwenye ujinga
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Ай бұрын
Sana Wallah
@sama-_8368
@sama-_8368 Ай бұрын
​@@Hamis-ks1syANAKUTIA KWENYE UJINGA SIO KUKUTOA
@user-nh2wt4yd7w
@user-nh2wt4yd7w Ай бұрын
Shekh Muhammad Bachu amewashinda ilimu nyinyi Muna chuki zenu muogopeni Allah Allah amuhifadhi sheikh Muhammad Bachu
@slimshah9460
@slimshah9460 Ай бұрын
Ilimu gani kama si kejeli
@mngwaliis-haka5348
@mngwaliis-haka5348 Ай бұрын
Allah amuhifadhi sheikh Hajji upepo
@abdallamassoud53
@abdallamassoud53 Ай бұрын
Kutukana mashekh
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Ай бұрын
Yaani masufi bna Akimrekebisha mwasema anamtukana baba ake akikaa kimya nongwa mnatakaje sasa?
@user-uy8en4fj6r
@user-uy8en4fj6r Ай бұрын
Wafahamishe ukwell shekhe muhsin huyo mkosefu wa adabu m.s bachu na mungo akuhifadh shekhe muhsin tuzidi kufaidika
@HemedSerious
@HemedSerious Ай бұрын
Watumwa wa fikra wa bachu Hawana haja ya kusikiliza hoja Bali ni ujuha kwenda mbele
@MBAROUKSAADHUSSEIN
@MBAROUKSAADHUSSEIN Ай бұрын
Musidanganywe na comments zetu ndio zikawapamoyo wa kutukanana na kukashfiana mitandaoni.
@DhaharanMussa
@DhaharanMussa Ай бұрын
Mawahabi wote wamenyimwa ufahamu,ndio maana wengi wamekuwa magaid
@TaufiqMeneja
@TaufiqMeneja Ай бұрын
Sisi wasikilizaji tuna Ona Mohammed Bachu yuwajitahidi kututoa kwenye ujinga sisi waislamu wadogo wadogo ambao hatukubahatika kupata elmu... Fatwa za Bachu Zina nguvu kuliko zenu....
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 Ай бұрын
Wewe bado mjinga ndio mana jitahidi usome
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Ай бұрын
Shida ya buchu hajielewi
@slimshah9460
@slimshah9460 Ай бұрын
Chizi fresh
@user-qv9ep6wq1t
@user-qv9ep6wq1t Ай бұрын
Nawaona mawahabi wanavyo haha kukoment ila safarihii wasipewe nafasi jino kwa jino hadi waelewe
@HemedSerious
@HemedSerious Ай бұрын
Kazi mzr mashallah kama wakiachwa wanazidi sifa
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb Ай бұрын
MWATAFUTA UMAALUFU KWA KUTETE BIDAAA
@khamisothman1154
@khamisothman1154 Ай бұрын
Acheni porojo
@ahmadabdallah740
@ahmadabdallah740 Ай бұрын
Mbona hamumsemi al hatimy alipokua akimtukana sheikh ali bahero ama vile ni mwenzanu muogopeni Allah na kueni na uadilifu
@KakaOmmy-xx6pi
@KakaOmmy-xx6pi Ай бұрын
Nasoma comments alafu nawafuatilia sana .( huenda wamesahau)
@allyhamza9969
@allyhamza9969 Ай бұрын
naswaha yangu tusivunje udugu wetu kwa jambo la kupita.Eid itakuja na itaondoka ila udugu ukiondoka ni ngumu kuurudisha
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku Ай бұрын
Angalieni nyinyi masufi makhurafi hamtaki kufanyiwa raddi kwa uzushi wenu sasa lazima mwambiwe ila mkikosa kuambiwa ndo mnasema eti dharau mkiwasoma masheikh zetu mtajua kua nynyi wanafunzi tuu kubalini kurudi nyuma mfanye tawba kwa Allah sababu ya uzushi mmezidisha sana
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 Ай бұрын
Umesikiliza ukaelewa lkn au umeziba masikio
@salimuawadhi8043
@salimuawadhi8043 Ай бұрын
Haki imefika ndiomaana mwatapatapa Sasa ndiomaa mwapingana wenyewe. Kwa wenyewe mbona mmemhalifu kadh wenu
@user-qe3dl9ox5b
@user-qe3dl9ox5b Ай бұрын
Sh muhammad bachu yuko vizuri sana
@mussaissa6796
@mussaissa6796 Ай бұрын
NDIO KWA UPUMBAVU HAKUNA KAMA YEYE.
@khamiisathmaan4362
@khamiisathmaan4362 Ай бұрын
Wewe mtume hakuwahi kumtukana muislam wala hakuna swahaba wala taabi-ina bali mtume amekataza kumtukana muislamu nufaasiq
@khamiisathmaan4362
@khamiisathmaan4362 Ай бұрын
Sasa kama waongoka kwa ufaasiq Kasome dini yako uijue usitegemee darsa ndo zitakazokutoa kwenye ujinga
@FaaidaTVtz
@FaaidaTVtz Ай бұрын
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh. Mtoa hoja umejitahidi katika kumtetea sheikh wako Ustadh Said Ali Hassan laakin haujavunja hoja ya Muhammad Bachu hata moja. Ustadh Said Ali Hassan ametoa hoja yake hadharani kwenye media sasa wewe ulitaka ajibiwe msikitini kwake peke yake.? Kwa ukubwa unaompamba nao asingethubutu kupotosha hadharani kuhusu Arafa, Sheikh Bachu yuko sahihi kumjibu hadharani kwa sababu kakosea hadharani na wala hakumvunjia heshima kama unavyotaka wewe ionekane. Kama heshima amejivunjia yeye mwenyewe kwa kuanza kupotosha hadharani.
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww Ай бұрын
Piga ujumbe shekh bachu tunafahamu kwakuwa wazi ktk adila zakujitosheleza undeni yenu arafa
@abdulmalikali1501
@abdulmalikali1501 Ай бұрын
Masha Allah Habib wetu
@harithhemed9920
@harithhemed9920 Ай бұрын
ww shekh nafkiri ungekaa na kusoma kuliko vijembe bachu anafungua vitabu sio maneno tu
@Aradyassane
@Aradyassane Ай бұрын
Fungueni kitabu
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 Ай бұрын
Munamtetea
@abubakarhajjabubakarhajj1252
@abubakarhajjabubakarhajj1252 Ай бұрын
Kawaida anaesema kweli huchukiwa nyinyi hamutaki ukweli
@salimabdalla6290
@salimabdalla6290 Ай бұрын
Juzi aliwatweza kina suyutwi ghazali na sultwaan auliyaa kwa ile klip yke alotoa juzi mpka nkashangaa
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e Ай бұрын
Sheik kua makini na MAWAHABI watakulipua.
@albayaanmschool8451
@albayaanmschool8451 Ай бұрын
Na mtume aliambiwa vivyo hivyo antukana miungu ya makuraish kisa kufafanua haqqi
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b Ай бұрын
Nimikufwatilia kwakweli masufiiiiiiiiiiiiiiiii mnachesha😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-ze8rk9ye6r
@user-ze8rk9ye6r Ай бұрын
masufi hamna kitu ni mbwe mbwe tu zenu.
@JamalAli-tz6pj
@JamalAli-tz6pj Ай бұрын
Tatizo kubwa hatutaki kusoma sasa tukimsikia bachu twaona asoma jamani tusomeni bachu bado hajujua swarfa na nakhau sawa wafuasi wa bachu acheni kutukana watu
@suuahmed71
@suuahmed71 Ай бұрын
Huyu Bachu hajui kama nyama za wana zuoni zina Sumu. Mtizameni tu mwisho wake.
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp Ай бұрын
Alikuwa haradiwi ni mtume muhammad sala na Salam ziwe juu yake tuuuu
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b Ай бұрын
Nyinyi hamna elim nibala bala tu
@MBAROUKSAADHUSSEIN
@MBAROUKSAADHUSSEIN Ай бұрын
Mashekhe acheni ayo mambo yenu ya ufasiki munayofanyiana mitandaoni kama kik nyote mshapata na viewer wengi mushawapata, hebu tafuteni mambo bora kwa waislam muwafnye.
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 Ай бұрын
We mwenyewe ni mrongo kama nihivyo
@NURRPRODUCTION
@NURRPRODUCTION Ай бұрын
Ustadh huyu jamaa lazma aambiwe ,anaumbungufu sana wa elimu
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 Ай бұрын
Kwa hiyo nyie hamuezi kuanzisha mada mpaka bachu aongee ndio mupate mada? Na hamupati usingizi kufikiria vipi mummalize bachu? Basi Allah atamlinda kwa husda na chuki zenu mpaka haqqi ifahamike
@HemedSerious
@HemedSerious Ай бұрын
Uyo bachu hana adabu, yeye kwnz hana sheikh
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official Ай бұрын
ukiongea usiwe na hasira kia mpole ili jamii isijue kua umekasirika
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb Ай бұрын
MWATAFUTA UMAALUFU KWA KUTETE BIDAAA NA BAATWIRI
@mngwaliis-haka5348
@mngwaliis-haka5348 Ай бұрын
Bachu aende akasome
@slimshah9460
@slimshah9460 Ай бұрын
Alifu kwa kijiti😂
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Ай бұрын
Masufi mmepoteza wafuasi kupitia kina bachu na kina bahero mungu awalipe
@darajanida
@darajanida Ай бұрын
kila mtu anakaburi lake ndugu yangu epukana na upotovu wa mawahabi
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Ай бұрын
@@darajanida mawahabi wanatuambia tufuate sunnah ya mtume s.a.w na tuebukane na bid'a na hio si kitu mbaya, lakini masufi wanatuhimiza tuombe makaburi na tufanye kila namna ya bid'a kama maulidi na hio ni kupotosha ummah
@user-rp4eb5xw1z
@user-rp4eb5xw1z 27 күн бұрын
Elim ndoimefanya tukamjua Bach ispokua mnapoaambiwa ukweli mnaanza zaypuuzi
@hassankarata8135
@hassankarata8135 Ай бұрын
Jenga hoja acha porojo
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 Ай бұрын
Hivi maana ya matusi unaijua kweli au wajisemea tu,unajua maana ya hojja unaelewa kweli
@HemedSerious
@HemedSerious Ай бұрын
Matusi zaidi mnayajua nyny sababu ndio kz yenu
@salimuawadhi8043
@salimuawadhi8043 Ай бұрын
SHEKH unamuita BACHU ni muongo lakini wewe pia mbona wasema uongo umesema BACHU ametukana mashekh ili iwe hukusema uongo hebu tuambie tusi Gani ametukana mashekh mbona nyinyi watu wa Bidaa mwapenda kutumia hili neno kuwa anatukana mashekh
@swalehmohamedwaziri7499
@swalehmohamedwaziri7499 Ай бұрын
Mawahabi hawana inswaf na wapenda kubaranganiza mambo walaghai hawajali kudanganya bora maslahi yao yende
@abdulrahmanmussa4479
@abdulrahmanmussa4479 Ай бұрын
Mfuateni kadhi wenu acha ubishi
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 Ай бұрын
Hapa naona kaja na mipasho haina aya wala Hadisi
@hassankarata8135
@hassankarata8135 Ай бұрын
Mwalimu unatuchanganya mbona kila kitu bachu hutufundishi bachu kakosea hapa kateneza hapa
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 Ай бұрын
Ndio kawatajia cz mwafanya ubishi tu masufi
@chidolakhatib7847
@chidolakhatib7847 Ай бұрын
Mukiambiwa ukweli wakuumeni ehhhh bachu Atawanyoosha Allah atazidi kumpa Elmu Mumjue makusudio yake kwenu …
@salimuawadhi8043
@salimuawadhi8043 Ай бұрын
Sasa wewe umekuja kuvunja hoja ya shekh au umekuja kutupotezea muda tu na maneno tupu kama waweza Lete hoja nanibara zilizoaomwa Sio maneno tupuu bila hata kunukuu KITABU hata kimoja unasema unathibitusha kitu Gani na huna hatq KITABU wathibitisha Kwa maneno tupu unamuita mtu muongo Kwa maneno tupu
@ahmedseif-cu4ex
@ahmedseif-cu4ex Ай бұрын
Na ww wataka ujibiwe na bachu hujawa na kiwango cha kijibizana na bachu
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 Ай бұрын
Katukanwa wap kwn pamewekwa sawa tu
@maadinaJuma
@maadinaJuma Ай бұрын
Kama ww nimkweli mbona ckuelewi
@salimabdalla6290
@salimabdalla6290 Ай бұрын
Si nilisema kuwa atajibiwa mm na huyu kijana naona ni kama akili zake ni za kifyetu bachu kashabachuliwa akabachuka
@firdaushamid8200
@firdaushamid8200 Ай бұрын
Bachu kawaida yake hajuwi kuongeya kistaarabu mpaka atiye dharau na kijeli hivo ndivo amezowe
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Ай бұрын
Sasa hapo ndo umezungumza nini? Kwahyo mawaidha yote ndo yalkua ya Bachu?
@HemedSerious
@HemedSerious Ай бұрын
Wewe kuskia sabb ni mtumwa wa akili za bachu
@sultanmohammed4157
@sultanmohammed4157 Ай бұрын
Backu ni mjinga katika dini yake. Hanailim hana heshema.
@KakaOmmy-xx6pi
@KakaOmmy-xx6pi Ай бұрын
Sio vivuri kuwatukana masheikh kama humuamn bas sio lazima umufuatilie
@FaaidaTVtz
@FaaidaTVtz Ай бұрын
Wewe mwenye Elimu ebu mjibu Bachu sasa kwa hoja ya kielimu.
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 Ай бұрын
kinachoendelea sasa kwa masufi ni wivu wa kuona mtoto mdogo ana elimu kubwa na tunakwambieni mtoto anajituma sana kutafuta elimu ni haki yake kuwafunika na nyinyi someni tu mtakua kama yeye
@HemedSerious
@HemedSerious Ай бұрын
Uyo bachu ana elimu ipi? Watu wa kuonewa wivu huwaoni mwehu weye? Mzee bachu ana elimu gani ya kufanyiwa chuki mjinga wew? Em nitajie japo kitabu Cha kutawadha mkojo tu Cha bachu ukitaja kitabu Cha kutawadha mkojo Cha bachu niwekee na namba yako niitume muawamala. 1m
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 Ай бұрын
@@HemedSerious hasira hasara wala matusi si fani yangu yakurejee mwenyewe mijineno yako mibovu
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Ай бұрын
Ukweli lazima udhihirishwe hata kama mtaita dharau...no more misleading of people in 21st century
@litimbaify
@litimbaify Ай бұрын
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli mwache Bachu atufungue macho na hamturudishi tena gizani endeleeni na kukaa gizani!
@Abutwalhamwanyuki
@Abutwalhamwanyuki Ай бұрын
Huna hoja kumbee,;
@abdulsalum2852
@abdulsalum2852 Ай бұрын
mtu akipotosha umma alafu watu wakaufufua umma kwa kuonesha ukweli ndo kutukanwa nani katukanwa ebu tuoneshe clip zamatusi ayo tuone jibuni hoja kwa dalili dini ya uislam sio kama makafiri kwamba akisema kiongozi ndo kasema hapana
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 Ай бұрын
Ei kwani bacho ni mwanachuoni au ni mpambe wa kiwahabi
@HemedSerious
@HemedSerious Ай бұрын
Mm nashangaaa wajinga wanaosema eti mwehu bachu anaonewa choyo
@rushu1232
@rushu1232 Ай бұрын
Kisha nyinyi munao support bachu kwanini amefukuzwa Zanzibar sababu ya ufedhuli na kukosa adab.
@Biziman-pu4kf
@Biziman-pu4kf Ай бұрын
Nipe habari ndungu nikweli amefukuzwa
@rushu1232
@rushu1232 Ай бұрын
@@Biziman-pu4kf haruhusiwi kutoa khutba wala muhadhara na shida sio mtu wakusomesha amezowea ufedhuli ndio akaja msa kwenye jaa la taka.
MAJIBU JUU YA URONGO WA ALI ABUBAKAR || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE
20:29
Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya
Рет қаралды 8 М.
WENYE KUKUMBATIA DUNIA || Muhammad Bachu || 1445.
47:16
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 5 М.
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 30 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 9 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 3,6 МЛН
BACHU AANZISHA MSIKITI WA FITNA LAMU VISIWANI
58:05
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 8 М.
MUHAMMAD BACHU AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MSIKITI WA FITNA  LAMU VISIWANI || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE
59:26
Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya
Рет қаралды 6 М.
Umuhimu wa Da'awah Katika Jamii | Sheikh Said Bafana
1:00:40
iMedia Kenya
Рет қаралды 7 М.
Comfortable 🤣 #comedy #funny
0:34
Micky Makeover
Рет қаралды 12 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
0:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 13 МЛН
Папа гений
0:23
Вельзевул
Рет қаралды 3,6 МЛН
il caldo fa brutti scherzi #dog #fight #punch
0:18
Cronache della Campania
Рет қаралды 28 МЛН