Mak Juice kijana aliye acha ajira na kuuza Juice, Mtaji alioanzanao.

  Рет қаралды 185,073

Vimba Media

Vimba Media

Күн бұрын

Пікірлер: 237
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Hapa kwenye kuacha kazi watu wengi wanaogopa pakin nikitenda cha ushujaa sana Asante kaka umenipa Akili Mpya
@eunicesaumu7486
@eunicesaumu7486 7 жыл бұрын
I like that motivation Brother you have made my day
@afrovisuals-ksv894
@afrovisuals-ksv894 7 жыл бұрын
daaah sjawah kuangalia video inspirational kama hii....big up Mac umetisha mzee
@empoweredentrepreneurworld7446
@empoweredentrepreneurworld7446 6 жыл бұрын
Hongera Sana kwa kutimiza ndoto zako na kuondokana na ndoto zao waajiri Mungu aibariki kazi ya mikono yako
@violetnyansiaboka2821
@violetnyansiaboka2821 6 жыл бұрын
Mungu akubariki nami nimekuwa na idea ya kujiajiri wala si kuajiriwa.umenipa moyo
@africanchild4525
@africanchild4525 7 жыл бұрын
Dah! Makoye classmate wangu. Hongera sana kwa hatua hiyo
@antoinekatembo8124
@antoinekatembo8124 5 жыл бұрын
Naomba contact yake Makowe Kama inawezekana please
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 4 жыл бұрын
@@antoinekatembo8124 katembo
@sherrydaniely9402
@sherrydaniely9402 7 жыл бұрын
shukrani kaka kweli kila jambo lahitaji uvumilivu nashukuru mnoo nimejifunza
@husseinhemed645
@husseinhemed645 7 жыл бұрын
duh! hiyo ni meipenda sana broo na umenitia nguvu maan mm mwenyewe nimechoka kuajiriwa hapo mimepata somo hongera sana
@anetikapami4228
@anetikapami4228 6 жыл бұрын
Hussein Hemed, Niwengi kwakweli tuliochoka kuajiliwa
@euniceemmanuel8902
@euniceemmanuel8902 Ай бұрын
2024Nimekuja kuangalia hii Hongera Sana broo umenifanya nizidi kujiamini na Mawazo yangu kuyatendea haki🎉
@fortchiyanda5273
@fortchiyanda5273 7 жыл бұрын
This guy has a very bright future
@rachelissa115
@rachelissa115 6 жыл бұрын
Waooooooh umenifanya nijiamini sana katika biashara yangu
@ceciliasenya9067
@ceciliasenya9067 6 жыл бұрын
Hongera sana kaka,ndio wakati wa vijana tuamke tujiajiri 👏
@adrianashyko2781
@adrianashyko2781 6 жыл бұрын
From banker to business man....alright motivation kibao hapa
@hosianakibona659
@hosianakibona659 6 жыл бұрын
good interview, good video quality, good voice quality. to much Ad sense Adds. but am satisfied and Already subscribed
@RonnieMchatta-pr5bd
@RonnieMchatta-pr5bd 11 ай бұрын
Nice very good keep it up
@daudm1558
@daudm1558 7 жыл бұрын
...nimependa..bro hiyo issue.. maamuzi safi
@margarethsaumu5602
@margarethsaumu5602 Жыл бұрын
Hongera sana kwa kuweza kusimamia ndoto zako. Nimepata kiti kutoka kwako. Mungu akuinue zaidi.
@alimngwalivuai3518
@alimngwalivuai3518 7 жыл бұрын
aisee umetisha san na umetutia moyo kwa sisi tusio na ajira. mungu atatusaidia inshalla
@cpson665
@cpson665 7 жыл бұрын
Ume inspire bro.. Mungu akubarik
@b.a.m6243
@b.a.m6243 5 жыл бұрын
Nothing impossible ,,,,,, daaah amazing.
@jimmymarwamatjr491
@jimmymarwamatjr491 6 жыл бұрын
I got u bro Makoye
@zainabugirwana6895
@zainabugirwana6895 7 жыл бұрын
unamaamuzi mazuri umenifurahisha I like it wewe mkali Halipingiki mwenyezimungu akujalie
@kingyehoshafatitvbornerys2496
@kingyehoshafatitvbornerys2496 6 жыл бұрын
Duuuh hatar sana kaka.....yaani nimekupata hadi nahisi presha nangu inashuka maana umeniamshia mzuka wa kuendelea kupigania ndoto zangu❤❤
@charlesjohn5127
@charlesjohn5127 2 ай бұрын
Dah hongera san
@meddamunisi889
@meddamunisi889 6 жыл бұрын
Asante kaka Mak be blessed
@faithmutho6400
@faithmutho6400 6 жыл бұрын
Nimependa sana kaka,,,, nina maswali kadhaa ningependa kumuuliza, nitampataje kupitia simu 😊😊😊.....
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
cku zte biashara.inalipaaaa👍
@lucyauma2968
@lucyauma2968 2 жыл бұрын
Hongera kaka umeniia moyo na nimejifunza ila naomba mtu akitaji kujifunza na na ya kutengeneza anakufikia vipi 🙏
@jonathankiula8123
@jonathankiula8123 7 жыл бұрын
Vema kabisa, hizi ndiyo habari sasa
@VimbaMedia
@VimbaMedia 7 жыл бұрын
Jonathan Kiula shukran sana
@kingotv3162
@kingotv3162 5 жыл бұрын
*Hakuna mafanikio pasipo elimu juu ya jambo unalolifanya, Hii ni App pekee iliyonifanikisha kuweza kuona na kuthubutu katika UJASILIAMALI na kuwa mjasiliamali bora,* Nimeamua kukushirikisha katika hili ili na wewe uwe mjasiliamali bora Install sasa kupitia link hii, play.google.com/store/apps/details?id=com.kilimo.na.ufugaji.mfxxfntqhnsotnqtjw *Nakutakia mafanikio mema*
@Contentcreators11
@Contentcreators11 7 жыл бұрын
umeni inspire, ahsante
@lightnesssomi1442
@lightnesssomi1442 7 жыл бұрын
hongera sana bro BT nyie watu wengine msiige biashara yake ila angalien mazingira yenu yanahitaji bidhaa gan mtatoka
@beckajurniour6796
@beckajurniour6796 7 жыл бұрын
Lightness Somi kama mazingira yanaruhusu unafanya mbona
@dibochi2511
@dibochi2511 4 жыл бұрын
Upo sahihi
@emeldapaul5796
@emeldapaul5796 6 жыл бұрын
Mungu akulinde Mak. gooo goo oo Mak
@RachelFanuel
@RachelFanuel 2 ай бұрын
Hongera kaka me pia naipenda sana hiyo biashara lkn
@annakessy6060
@annakessy6060 5 жыл бұрын
Hongera sana kaka umenipa moyo sana ✍
@anetikapami4228
@anetikapami4228 7 жыл бұрын
Daa!! umenitya nguvu sana bro maana kuajiliwa nimechoka kabisaa.
@AmaniMpesha-dh5dj
@AmaniMpesha-dh5dj Жыл бұрын
Masha Allah nmejifunza kitu
@zulfajuma9897
@zulfajuma9897 5 жыл бұрын
big up brooo nmekuelew sn mpk najiulza kwnn hii video ckuiona mapema
@farajajoseph2971
@farajajoseph2971 2 жыл бұрын
Hongera sana
@raymrash
@raymrash 7 жыл бұрын
Hongera sana kaka barikwa sana..nimejifunza kitu...asante pia HZB TV
@mayungamanjebe4395
@mayungamanjebe4395 Жыл бұрын
Asantee nimeipenda hii
@gablesladyfashionanddesign1409
@gablesladyfashionanddesign1409 6 жыл бұрын
I like mack for your decision
@arenemedard3535
@arenemedard3535 6 жыл бұрын
Dah kaka ongera sana watu tunatoka external kuja Africa sana kuja kuchukua juice
@jainamalaika6048
@jainamalaika6048 5 жыл бұрын
Hongera sana bro mak
@fortunatekayuni5507
@fortunatekayuni5507 7 жыл бұрын
Wow Makoye i real like you. You're kind-hearted and God bless you always
@richardngendakumana2871
@richardngendakumana2871 6 жыл бұрын
Daaa asanteni bro pakahivi nafikiriya kufanya vyashara ila naogopa sasa nifanyej
@salumucharles7419
@salumucharles7419 4 жыл бұрын
Easy is not option Life is hard Sifa ya mfanya biashara ni kujitoa sadaka ukiferi usikate taaamaaa nyanyuka fanya unacho kipenda See you at the top blood
@ajeyfandhealthy8842
@ajeyfandhealthy8842 6 жыл бұрын
Brillient,focused,self confident in life bro big☝
@alexandrinadomaino1085
@alexandrinadomaino1085 7 жыл бұрын
Daaah kaka you have inspired me.
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 7 жыл бұрын
hongera kwa biashara ila umemuachishia Ajira mzee wa Mugachelele Qboy🤣😂😂
@michaelkadinde6946
@michaelkadinde6946 6 жыл бұрын
Tunahitaji vijana Kama hawa wawe wahamasishaji kwa vizazi vijavyo hongera kaka 👍
@nyanzalakaporo2504
@nyanzalakaporo2504 7 жыл бұрын
UME NI INSPIRE SANA NA MIMI NIPO MBIONI KUTOKA KUAJIRIWA NA KUJIAJIRI MWENYEWE SOON, MUNGU AIBARIKI KAZI ZA MIKONO YAKO BROTHER MAK NA PRODUCT YAKO IZIDI KUJUIKANA ZAIDI NA ZAIDI.
@sophiakaaya8290
@sophiakaaya8290 Жыл бұрын
Umefanya vizuri sana Mungu akuzidishe
@agnessahia415
@agnessahia415 4 жыл бұрын
Idea yako ni Kama yangu natamani Sana kudeal na juice na matunda tu Asante Sana kwa kunipa Mwanga japo nahitaji kujua napatia wapi mashine ambayo nitaanzia isiwe Bei kwabwa ambayo itanishinda
@wemamtotochanelyusuphomari8262
@wemamtotochanelyusuphomari8262 7 жыл бұрын
Dah hongera sana kaka
@emmanueljackob4414
@emmanueljackob4414 7 жыл бұрын
Hongera kwa kupambana kaka Mungu akujalie ufike mbali na uendelee kuwa mfano kwa jamii
@ansyfalesy1457
@ansyfalesy1457 6 жыл бұрын
Really Good.. Bro
@joyblessedtv
@joyblessedtv 6 жыл бұрын
keep it up bro am hongera naja naja
@katikirojuma6826
@katikirojuma6826 7 жыл бұрын
big up bro mak...
@bigbangtanzania1988
@bigbangtanzania1988 7 жыл бұрын
THE FOUNDER!!
@agathaphocus9938
@agathaphocus9938 3 жыл бұрын
Hongera kaka yangu kwa kazi nzur
@mbazingwazawadi6486
@mbazingwazawadi6486 6 жыл бұрын
Hongera saana brother umeni inspire kiasi kwamba natamani nikutane na ww unipe ujuzi zaidi
@BigZhumbe
@BigZhumbe 7 жыл бұрын
Big up..Congrats
@emilydavidmdoe3552
@emilydavidmdoe3552 6 жыл бұрын
Hongera sana,nimependa juhudi uliyonayo
@maduhundilanha7471
@maduhundilanha7471 7 жыл бұрын
hongera sana kk
@januarypeter4655
@januarypeter4655 7 жыл бұрын
umenitia moyo hata mm nimechoka kuajiriwa
@nyanzalakaporo2504
@nyanzalakaporo2504 7 жыл бұрын
TUPO WOTE ATA MIMI NIMECHOKA SANA KUAJIRIWA. NAIMANI TUKI THUBUTU TUNA WEZA.
@anetikapami4228
@anetikapami4228 6 жыл бұрын
January Peter, Kumbe tuko wengi tuliochoka kuajiliwa
@anetikapami4228
@anetikapami4228 6 жыл бұрын
nyanzala kaporo, Umeonaeeee, yani mimi natamani leo kesho niwe na biashara yangu. kuajiliwa ni kama utumwa
@gosaizaka1495
@gosaizaka1495 6 жыл бұрын
+Aneti Kapami tuko wengi ambao tumechoka kuajiriwaa
@anetikapami4228
@anetikapami4228 6 жыл бұрын
Gosai Zaka, umeonaee tena kama mimi ni shida
@noorenjohn5132
@noorenjohn5132 6 жыл бұрын
dah kweli hongera kuajiriwa inahitaji moyo
@calistashio2783
@calistashio2783 4 жыл бұрын
hongera kaka
@muniradaudi440
@muniradaudi440 4 жыл бұрын
Mashllah
@olaislukumay571
@olaislukumay571 7 жыл бұрын
Brother God bless you
@juliusapornaly7271
@juliusapornaly7271 7 жыл бұрын
Very nice boy adaptable peson
@jamesgerald7192
@jamesgerald7192 7 жыл бұрын
good idea bro mungu akubariki
@lovenesstunzo6484
@lovenesstunzo6484 7 жыл бұрын
hongera sana bro
@jeninunu9177
@jeninunu9177 6 жыл бұрын
well done kijana kama kwa unafanya biashara bori kwa manifaa kwako na wanuuzi kiafya
@yusuphrobert290
@yusuphrobert290 7 жыл бұрын
iko poa sana broo; u r my model
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 жыл бұрын
Hongera sana kijana kwa mafanikio yako, umenipa moyo.
@hadijahadijictori9011
@hadijahadijictori9011 6 жыл бұрын
duuh nimeipenda hii
@pendosamburu7580
@pendosamburu7580 3 жыл бұрын
Naomba naomba zako
@jumahemed7546
@jumahemed7546 4 жыл бұрын
Kaka nmkkbal sana Allah atusaidiie namie nataka unipe fikra nitoke kimaisha
@kato_tz
@kato_tz 7 жыл бұрын
Duh bro ujue Mungu anakuona, Yaani najiona kama nikaache kazi kesho, But ngoja nivute kamuda kidogo aisee maaana hakuna namna hapa ni kujiajiri tu
@queenkimambo6134
@queenkimambo6134 6 жыл бұрын
adolph emmanuel 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aliceshija3123
@aliceshija3123 2 жыл бұрын
Saf sana kk mm mwenyewe natengeneza juice nitakuja kuchukua ujuzi mwingine
@tktz5450
@tktz5450 6 жыл бұрын
nimeipenda hii big up ,i wish to meet with u!
@kisalaTV
@kisalaTV 6 жыл бұрын
Asante kwa ushauri wako🙏
@rostamaziz6734
@rostamaziz6734 7 жыл бұрын
hongera kk
@allyrutunga4452
@allyrutunga4452 7 жыл бұрын
umeniongeza inspiration
@kuchibengkuchibeng3895
@kuchibengkuchibeng3895 7 жыл бұрын
Branch moja I we mbez beach tafadhali..tunapenda juice zako
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 7 жыл бұрын
Wow Hongera sana kaka
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 5 жыл бұрын
Hongera makoye
@nurdinibrahim8546
@nurdinibrahim8546 5 жыл бұрын
Tshaaa san maki juicee
@hemedtimbulo9545
@hemedtimbulo9545 7 жыл бұрын
Thx bro umenifungua
@sitihassan9439
@sitihassan9439 4 жыл бұрын
Bigup
@roserose9108
@roserose9108 6 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa ushauri wako mzuri
@mashashijumanne4791
@mashashijumanne4791 7 жыл бұрын
Akili yako n kubwa xana bro. Hongera xana. wew una kitu cha ziada zaidi ya hiyo Mak Juice; just keep it up. Ningependa nipate namba yako ili nifike kwa Mak Juice kirahisi.
@hamisimumba764
@hamisimumba764 7 жыл бұрын
uko wap kaka
@kiherisebastian7198
@kiherisebastian7198 7 жыл бұрын
Ongera Sana kaka umethubutu
@sifaelcharles5347
@sifaelcharles5347 7 жыл бұрын
an inspiration brother... tisha sana!
@magdalenamadusa440
@magdalenamadusa440 7 жыл бұрын
Hongera kaka nimejifunza kitu
@nasrijuma5933
@nasrijuma5933 Жыл бұрын
Je unaweka kitu gani ili juice isiharibike?
@hamisihamisisaidi8832
@hamisihamisisaidi8832 6 жыл бұрын
Ahsante brother ntafanya k2
@saidabdallah3193
@saidabdallah3193 7 жыл бұрын
Vijana mia kama hawa, ajira mia mtaani!
@jumalipongo9610
@jumalipongo9610 7 жыл бұрын
Nimeipenda na nimejifunza kitu
@patricktakawira2147
@patricktakawira2147 4 жыл бұрын
Am sooo inspired brother.....I must do something to up my game
@nchambipeter5723
@nchambipeter5723 7 жыл бұрын
Hongera kaka
@mallvanapeter3042
@mallvanapeter3042 6 жыл бұрын
Hongera xna broo
@yohanajeremiahliku3158
@yohanajeremiahliku3158 6 жыл бұрын
Unaushauri mzuri sana braza
@emmanuelpaul299
@emmanuelpaul299 5 жыл бұрын
sorry broo naomba nikuuliz kitu hv ulianza na ile mashine kubwa ya juice au ulikuw unatumia tu fridge wakat wa unaanza??
KAZI NI KAZI | Msomi wa chuo kikuu aliyeamua kuuza matunda
24:29
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 32 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 12 МЛН
MWONGOZO WA JUICE//A GUIDE TO A SUCCESSFUL JUICE BUSSINESS
14:23
MREMBO AMESOMA MASTERS MAREKANI ILA ANAUZA MAKANDE MWANZA
18:47
Millard Ayo
Рет қаралды 597 М.
Jinsi Ya Kutengeneza Icecream Lita 20 Rahisi Sana
7:22
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 699 М.
BAADA YA KUITAZAMA RECIPE HII UTATENGEZA TU /TAMU AJABU / TAJIRI'S KITCHEN
5:55
Tajiri's Kitchen Swahili Flavor
Рет қаралды 30 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН