Рет қаралды 1,084
Fuatilia simulizi inayohusu maisha ya soka ya mchezaji wa zamani wa Simba SC, SV Wernberg na Timu ya Taifa (Taifa Stars) akisimulia kuanza kwake, changamoto, mafanikio hadi kustaafu kwake. Je, wajua na yeye alifungua milango ya soka kwa wadogo zake kama ilivyokuwa kwa Sunday Manara?
Ungana na @abuuyusuftz kwenye simulizi hii iliyoandaliwa na Mahmoud Bin Zubeiry.
#Makala #AzamSports #SimbaSC #TaifaStars