Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango amezindua Kituo cha Afya cha Nyaruyoba kilichopo Kigoma ambacho kinahudumia Wakazi zaidi ya Elfu 19 wa eneo hilo na maeneo jirani.
Пікірлер: 16
@ernestlameck55233 жыл бұрын
Hyu wakutupandishia makato sis mungu anamuona
@johnmkude34013 жыл бұрын
Warudishe na kodi ya kichwa tujue moja
@kosimasamosi34063 жыл бұрын
Itengene Kigoma mzee wetu mpango
@jonaselisha11003 жыл бұрын
Hii serikal yakijng san
@leahmagaiwa90993 жыл бұрын
Hao waliokusanyika hapo naamini wamekuja kumuona mtu aliewaonhezea makato si vinginevyo!