apa wamezingua. beat haijaleta vibe kabisa. kuna kionjo tumekikosa kabisa
@fredyjeremia707410 ай бұрын
Dj,,muhuni....hafla kama hiii speed yoote ya mziki unakimbilia nn,,sio wote wazaramo bhana
@SalumuJuma-jf5pp9 ай бұрын
Unyama sana
@KarimuYusuph9 ай бұрын
ukibaitika kuwa kiongozi wakat huu wa bb tt uta enjoy sna
@benjo_brighter9 ай бұрын
Ukijifanya upo serious na haya maisha, hutatoboa 😂😂😂
@GloiSa-of6vo9 ай бұрын
Nijambo la aibu taifa kufanya hafla ya mapokezi ya ndege. Hii nikukiri umaskini ambao sio uhalisia wa Tanzania
@ABUUSHURAIM6 ай бұрын
Sawa tu Kwan Mara ngapi wew unafanya birthday unamwaga pesa afu Kiran anapga miayo mbona uko hamshangai ivo ukiona unashndwa kuhurumia wasio nacho na ukafanya ufujaji wa pesa ovyo bac ni ivo ivo ata juu kaa kimya
@DanielManase-m2b4 ай бұрын
We hauna hakili ulisha jua unachoo ki ova kweny hii nyimbo
@JamesMwakalukwa3 ай бұрын
🇹🇿🤝
@lizzyzacharia26383 ай бұрын
Ulitak Rihanna ndoaje a perform mpuuzi wew
@NDEWARA3 ай бұрын
Malalamiko jazz band 😂😂
@PaulMwakyusa-vz7ee9 ай бұрын
big upppp
@ModestRaurence9 ай бұрын
😮noma balaas
@innocentchristopher757110 ай бұрын
Sijapenda Leo wamefua nguo bana hahaha
@Jurbeg10 ай бұрын
😂😂😂😂👍👍👍
@happynesbaemuhappynes881310 ай бұрын
😂😂😂sasa hapo ni kwa Mheshimiwa
@innocentchristopher757110 ай бұрын
@@happynesbaemuhappynes8813 hahaha ndo wafue nguo jaman dah hahaha Leo saf kwl