Makamua feat Enika - Rudi Nyumbani

  Рет қаралды 91,946

Makamua

Makamua

2 жыл бұрын

CLASSIC SONG......

Пікірлер: 95
@joshuamakota6714
@joshuamakota6714 Жыл бұрын
Napenda unavyonipa mi, chocolate kadi na pipi, lakini una Acha Roho, Muda wako na mapenzi, ndio vikubwa kwangu mi, umesahau kwamba mi ni wako, harufu yako inachange, sipati yako mapenzi, kumbatia teddy bear wangu, mi nakupenda sana , bila we ntakua kichaa, lakini madhara nimeyakubali,
@fadhilinzano5840
@fadhilinzano5840 Жыл бұрын
Hii ndio RNB ya Tanzania diamond ndio ameharibu mziki wetu kwa kukopy Nigeria mara mapiano sasa hivi asili ya mziki wetu bongo fleva imepotea tumekuwa watumwa wa kusapoti vya wezetu na kuzarau mziki wetu. Naamini kama hii midundo ya kitambo kama mtu anarudi nayo wote wanakaa maana kwa sasa hakuna mziki ila ni bigG ikiisha utamu unatema
@mustafaabasi6368
@mustafaabasi6368 Жыл бұрын
Enzi hizo tunawahi kwenye mabanda ya TV kuangalia trailer za nyimbo Yan we acha tu maisha yanaenda Kasi sana
@gwakisaeddie4856
@gwakisaeddie4856 2 жыл бұрын
Hivi kwa nini msirudi tena,ulikuwa muziki nzuri
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 21 сағат бұрын
Sijui wako wapi hawa😮
@joshuamakota6714
@joshuamakota6714 Жыл бұрын
Pata picha hiki kipande cha enika akapiga abbychams
@osca_kitomari_journalist
@osca_kitomari_journalist
ENIKA Alikuwa na sauti tamu Sana🔥
@jackezekia6068
@jackezekia6068
@joshuamakota 6714 walahi nimependa ulivyotiririka cjui nije uniimbie ❤❤❤❤❤❤❤
@gerrywin2194
@gerrywin2194 2 жыл бұрын
Mlifanya kazi kubwa sana, hope still u got talent guys, come again
@collyalinani2407
@collyalinani2407 Жыл бұрын
hii sauti ipo tena katika wimbo unaitwa Changanyachanganya na ule wa Hawatuwezi, Nako2nako souldiers.
@alexleo4863
@alexleo4863 Жыл бұрын
Ukatili ambao hii Nyimbo imefanyiwa sio wa kusamehewa
@olivierniyonsaba3980
@olivierniyonsaba3980
Only lord knows how i looked for this song😭😂....big Love from Rwanda
@herrysimonmakandi9337
@herrysimonmakandi9337 Жыл бұрын
I'm here watching this masterpiece in2023. This was the real RnB. Mbona uliacha kuimba man?
@sifunikamwela2299
@sifunikamwela2299 Күн бұрын
one of the best, dah, still listening 2024
@user-du4wc7ui1k
@user-du4wc7ui1k
The quality of song never get old I listen times it's a contemporary talent we want in our region to lift up our artist
@SayiMugana
@SayiMugana
2024...
@johnmoffat8162
@johnmoffat8162
Hiko kipande kidogo alichoimba makamua kweny hiyo ngoma ya niite basi aiseee huyu jamaa ni talent sana
@NabakiZanzibar
@NabakiZanzibar Жыл бұрын
2022 and still loving this song, inabamba sana. Hizo melody, beats na ujumbe.
@musaseule279
@musaseule279
Muziki Bana ❤
@rimp3452
@rimp3452 Жыл бұрын
Still a banger in 2023💥
Makamua feat  Chidi Beenz - TELL ME WHY
5:06
Makamua
Рет қаралды 21 М.
Belle 9 - Masogange
4:53
fanjorsolo
Рет қаралды 1,1 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 28 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 46 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 26 МЛН
QJay feat Joslin - Sifai (Official Music Video)
4:27
Makamua
Рет қаралды 207 М.
MAKAMUA X JOSLIN - NIITE BASI REMIX 2 IN 1
4:55
Makamua
Рет қаралды 13 М.
Mandojo na Domokaya  - Dingi (Official Video)
5:45
Domokaya
Рет қаралды 516 М.
Estaam Ft Makamua - Sikiliza Wimbo ( Hii history )
4:53
BONGO ZA KITAMBO
Рет қаралды 28 М.
Hardmad  Tamala by Mika Mwamba production
4:52
Biorn Productions
Рет қаралды 400 М.
K-lyinn ft J Mo - Nikipata Wangu (Remix)
4:16
KINGAJA
Рет қаралды 632 М.
Steve Rnb ft Ngwair  - Sitomuacha {Official Video}
4:50
Steve Rnb
Рет қаралды 151 М.
AT Feat Stara Thomas - Nipigie
4:47
BongoTanzaniaTV
Рет қаралды 639 М.
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 28 МЛН