MAKONDA AFISA AFYA FISADI WEWE BALAA || UNAKULA HELA ZA VIFAA NA DAWA TIBA || ANAUWA WAGONJWA TIMUA.

  Рет қаралды 199,865

RAI TV

RAI TV

6 ай бұрын

Пікірлер: 340
@lerakalaita6909
@lerakalaita6909 6 ай бұрын
NAMUONA PAULO MAKONDA IKULU THE PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA 🇹🇿 ♥️ wanaoniunga mkono gonga like 👍
@user-xd2tg8eq1h
@user-xd2tg8eq1h 24 күн бұрын
Kamwe hatoweza kuenda ikulu huyo mbwa koko izo sifa anazozitafuta hazina mpango wowote babu acha ushamba hawezi pewa ikulu huyo mbwa koko acha kujidanganya wasukuma wapenda sifa siku zote hawafiki mbali 😂😂😂😂
@khaliphaabubakar9466
@khaliphaabubakar9466 23 күн бұрын
@@user-xd2tg8eq1h”mbwa koko” anawapiga spana wavivu,warasimu na watu kama wewe
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 6 күн бұрын
​@@user-xd2tg8eq1hChuki ni chukie lakini moyo wake muachie,,,,weweeeeeeee humpendi lakini tizama wimbi la wananchi watanzania wenye kujitambua wanavomfuata😅kati yako wewe na yeye nani mbwa koko??? 😅😅ilooooooo😅😅😅😮😮😮
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 5 ай бұрын
Baba katika jina la Yesu namfunika Paul Makonda kwa damu ya Yesu,imeandikwa ufunuo 12:11 tumemshinda Shetani kwa damu ya mwanakondoo Kwa damu ya ushindi Jehova namfunika mtu uyu ikawe ulinzi kwake..Ameni🙏
@DanielTumaini
@DanielTumaini 5 ай бұрын
Je kama na yeye katoa hiyo damu ya wanakondoo?
@Shalom2018
@Shalom2018 5 ай бұрын
Amina
@KhadijaKhatibu-nh4dl
@KhadijaKhatibu-nh4dl 5 ай бұрын
Makonda mungu akutie nguvu kiongozi wetu ila nakuomba baba ebu chungulia Kyle kwenye mfuko wa TASAFU WATU WANA ZULUMIWA BABA 🙏🙏🙏
@richardodoyo7558
@richardodoyo7558 5 ай бұрын
Samia ukisitafu mwachie makonda inchi anaweza ❤
@dalianakerefu490
@dalianakerefu490 5 ай бұрын
Magu konda💪💪piga kazi baba mungu akulinde tunakupenda saana kaka
@husseinbakary1969
@husseinbakary1969 6 ай бұрын
Asanteee ma samia kwa kutuletea huyu mtu kura yangu moja kwa moja kwako mama yangu
@mohamedwwnurumasagcom8171
@mohamedwwnurumasagcom8171 6 ай бұрын
Nampongeza paul makonda kwa hii kazi ya kufumua majipu yaliyojificha, makonda atumbui ila yeye anafumua ili mama atumbue safi sana mwenezi wetu
@jameskenzedex
@jameskenzedex 6 ай бұрын
Magufuli amefufuka Tanzania back to real life God bless you
@user-xd2tg8eq1h
@user-xd2tg8eq1h 24 күн бұрын
Eti magufuli kafufuka wakiristo bwana akili zao kama nguruwe vile
@aidakamonga5278
@aidakamonga5278 8 күн бұрын
Real he is back, nikimuona MAKONDA machozi yananitoka wallah
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 6 күн бұрын
Magufuli kafufuka
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 6 күн бұрын
​@user-xd2tg8eq1h Hahaha inaonyesha wewe ni adui wa makonda 😅lakin sisi tunampenda
@njuka3515
@njuka3515 6 ай бұрын
For Makonda i will vote
@maswamills3161
@maswamills3161 5 ай бұрын
Asante baba MAKONDA,shikilia sawasawa mbele kitaeleweka tu !!.❤ HAPA KAZI TU 👏👏👏👏👏💯
@hamishatibu699
@hamishatibu699 6 ай бұрын
Uyu Jamaa wakiwa Rais kuna Watu atamkimbia Nchi na wengine watakufa kwa BP hawa ndio viongozi ninao wataka .
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 6 ай бұрын
Hawa ndio viongozi tunataka africa kabisa
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 5 ай бұрын
Roho ya Magufulu inaishi,Asante Mungu kwa kutufariji
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 6 күн бұрын
Kabisa Magufuli anaishi ❤
@SharoComedy-vt5nf
@SharoComedy-vt5nf 5 ай бұрын
🎉daaaa kaka Makonda Mungu akupe maisha malefu mkowa wa tanga uta enda lini mnazi runguza kivingo kuna changamoto kubwa sana Mungu akutye nguvu 😊
@paulmagese7900
@paulmagese7900 6 ай бұрын
Mungu akuzidishie maisha marefu Paul makonda
@EmilianKomba-sb4kn
@EmilianKomba-sb4kn 6 ай бұрын
Makonda kwenyeee uraisiiiiiiii Moja kwa kwa mojaaaaaasaaaaaa akuna upinzaniii
@angelatarimo1969
@angelatarimo1969 5 ай бұрын
😮
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 5 ай бұрын
jidanganye
@fatemafatema4780
@fatemafatema4780 Ай бұрын
Mashallah kweli mungu kamleta mjasiri.mwenye moyo kama marehemu magufuli.makonda oyeee mimi nipo kufatilia program zako nazipenda sana na watu wengi sana wanapenda sana program zako sababu unatetea haki za wananchi haki za wanyonge makonda oyeee mama samia oyeeee😂😂😂❤
@joeldaniel3348
@joeldaniel3348 6 ай бұрын
Naimani uko aliko lala kipenz chetu magufuri anachekelea kwa majembe aliyo yaacha huko 2030 rais wa Tanzania paul makonda isipo kuwa ivo nipigwe mawe nife
@aminaomary5567
@aminaomary5567 6 ай бұрын
Yaan Rais watu wako wanamadudu ni hatari na ndio maana Majaliwa uwa anaondokanao. Makonda ❤❤❤❤,Samia ❤❤❤🙏🙏
@user-dq3rv9mz3f
@user-dq3rv9mz3f 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅 0:24 0:24 0:25 😅 0:25
@user-eu5ly2sk8w
@user-eu5ly2sk8w 5 ай бұрын
Mwenyenzi mungu akutunze muheshimiwa naona kabisa magufuli baba yetu katokea tena
@msolekaonlinemedia
@msolekaonlinemedia 5 ай бұрын
Makonda anafanya kazi inayowashinda wateule wa Mama Kizimkazi Mungu akuweke sana Papa Paul
@abdulkarimfarah2336
@abdulkarimfarah2336 5 ай бұрын
Makonda Saidia samia kumaliza ufisadi tanzania na mafissdi warudishe pesa na kufungwa
@nazarenajoseph2695
@nazarenajoseph2695 6 ай бұрын
Hongera makonda wetu Damu ya yesu ikufunike.
@mungholomakalanga8958
@mungholomakalanga8958 6 ай бұрын
Amina
@fbr5113
@fbr5113 6 ай бұрын
AMINA, MUNGU ASIMCHUKIE MAKONDA ADUMU MIAKA 800
@nassorkhamis6233
@nassorkhamis6233 6 ай бұрын
Unapo sema ivi unamanisha nini ndugu naomba elimu juu ya hii kauli yako mm ni muislam naomba kujifunza kupitia hii kauli yako
@MagutaMabawa-hz7if
@MagutaMabawa-hz7if 5 ай бұрын
Kujifunza ni kwamba Damu ya Yesu inalinda pia inaponya ​@@nassorkhamis6233
@josephmussa0625
@josephmussa0625 5 ай бұрын
​@@nassorkhamis6233amini unachoamini mzee
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 6 ай бұрын
YOUNG MAKUFULI KINUKE MKOANI❤❤😂😂
@user-vi4wx7oi7o
@user-vi4wx7oi7o 6 ай бұрын
Ndugu Makonda Leo nakuona uko na raha sana MashaAllah
@johnmtumishi8554
@johnmtumishi8554 6 ай бұрын
11:23 hongera mweshimiwa makonda una akili sana Mungu akulinde akutunze katika Jina la Yesu Kristo Bwana amina
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 6 ай бұрын
MUNGU ahsante kwa roho ya magufuri tunaanza kuona inafanya kazi ingawa magufuri amepumzishwa wapatie ulinzi Hawa tunaona matumaini mapya
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 6 ай бұрын
Safi sana
@gadielmungure9711
@gadielmungure9711 6 ай бұрын
Hayo mahojiano kama mh unajua sababu za huo uhamisho haipo sababu ya kumhoji afisa utumishi tena. Waziri wa afya na waziri wa utumishi na waziri wa tamisemi wanafanya nini! Hao ndio wazembe hawafuatilii manunuzi ya fedha walizoomba kuidhinishiwa na bunge. Wadogo hao watatoleaje taarifa kwenye mikutano ya hadhara?
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 5 ай бұрын
KWELI KABISA. WATUMISHI WA AFYA WAPO CHINI YA WIZARA YA AFYA. KATIBU MKUU AJIBU HAYO MASWALI
@RamadhanMwinyimku-dw4od
@RamadhanMwinyimku-dw4od 6 ай бұрын
Asante mungu kutuletea mgufuri2
@marymessay2768
@marymessay2768 5 ай бұрын
Ameeen Mungu wa mbinguni akulinde tunakufunika kwa damu ya Yesu
@KulwaMpuya-ph9ib
@KulwaMpuya-ph9ib 5 ай бұрын
Sant kaka mungu akulinde toka afariki mzee jonh sijawai fatilia mambo ya kisiasa lakini ujio wako nimeanza kukufatilia ziara zako zote
@user-wu5jj5kn2h
@user-wu5jj5kn2h 6 ай бұрын
Iv kwann huyu mwamba asiwe rais Ila Nora abaki asije tuacha mapema huyu no mwamba wasukuma huwa watu wanyoofu sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JophasJohn-oh8zu
@JophasJohn-oh8zu 6 ай бұрын
Eee Mungu ulio juu mbinguni nakuomba baba kwa unyenyekevu ukamulinde Makonda na familia yake yaani huyu ni ndugu yake na Magufuli
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 5 ай бұрын
UMEONA EEEEEEEEEEH DAAAAH ANANIFURAHISHA SAAANA MWAMBA 😅😅😅😅😅
@habibasungur9375
@habibasungur9375 6 ай бұрын
Watanzania woote ambao walimpenda magu nahuyu lazima watampenda kwa hio tuunfane kwa pa1 kumuombea huyu kaka vinginevyo mmh
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 5 ай бұрын
KWELI KABISA 😅😅😅😅
@simonlulenga7062
@simonlulenga7062 5 ай бұрын
Makonda ni mtu wa hovyohovyo tu; lakini kusema ukweli nchi hii inahitaji mtu kama huyu Ili mambo yaende sawa. Viongozi wastaarabu kwa kweli wanadanganywa na wanaonewa sana.
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 5 ай бұрын
Kwajyo Makonda sio wa hovyo hovyo kivile sema ndivyo ilivyo
@user-rn6ft5yz2l
@user-rn6ft5yz2l 5 ай бұрын
Nyanoko bhebhe
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 6 ай бұрын
Aibu sana yani tunajivuta jasho na tishu angali safar ni ndefu na jua kali zaidi
@PeterBureta
@PeterBureta 6 ай бұрын
Haya unayoyahoji viongozi wenzio wa Ccm.Walikuwa wapi hayo mahajiano ni kuonesha udhaifu wa serikali dhidi ya utendaji wake wa mazoea.Yanasikitisha sana!!
@idyjumanne9796
@idyjumanne9796 5 ай бұрын
Tulia ww makonda Afanye kz
@DanielTumaini
@DanielTumaini 5 ай бұрын
Hahahahaha Nape alisema kipindi kile ccm litashinda hata kwa goli la mkono sawa likashinda kweli kilichomkuta enzi za mwenda zake Tuliona hadharani kwa huyuuuu Leo yupo makukwani Leo,labda amekuja Tena kupaka damu mikono ya mama Samia isiyotaka damu
@josephrubanda282
@josephrubanda282 6 ай бұрын
Makonda yesu akusimamie
@philemoncharles5065
@philemoncharles5065 5 ай бұрын
mama samia raisi wetu hongera sana sana kwa kuchagua kaka yetu makonda kwa stahili hii tuna amani sana sana mungu awalinde nina furaha sana sanaaaa ccm oyeeeeeeeeeee
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 5 ай бұрын
Makonda Raisi wetu baada ya mama mkiti. Nakuombea kaka,kwa haya utalipwa na aliye juu. Tunakupenda na kukuombea
@sadikishishira8130
@sadikishishira8130 6 ай бұрын
Makonda hongera sana
@UKWELI-TV
@UKWELI-TV 6 ай бұрын
kinacho mzuia makonda katika nafasi yake nikutumbua tu baadh ya watumishi wa serekali, ila Mungu atamuinua awe na cheo zaid ya alichonacho. ila kufa ni faradhi hakuna atakaebaki, hakuna mkamilifu, ila unaupiga mwingi makonda
@meshack3266
@meshack3266 6 ай бұрын
Icho ndo kinachoniuma mm yani angekua na mamlaka ayo mbona panenoga
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 6 ай бұрын
Huyu anatakiwa awe waziri mkuu
@user-fy3ni4yc5o
@user-fy3ni4yc5o 6 ай бұрын
Kabla kumpongeza makonda mpongeze mama aliyemteua
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 5 ай бұрын
Safiiiiiii nilisema mama Samia alikua hili jembe litamfanyia kazi
@saimongilala8938
@saimongilala8938 6 ай бұрын
Mimi nimependa sana ccm ya makonda
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 6 ай бұрын
CCM ya Makonda ndiyo ile CCM ya Magufuli.
@ssekabiradauda7127
@ssekabiradauda7127 5 ай бұрын
Let him be careful because more enemies are being created as it was on magufuli, he should improve his personal security like not eating any how, you fight thieves, they fight you back in secrecy.
@KhadijaKhatibu-nh4dl
@KhadijaKhatibu-nh4dl 5 ай бұрын
Kuna wajanja wanakuja hizo Hela 😭😭😭baba chondechomde na walengwa wanapewa kiduchu au hawapati kabisa nakuomba lifanyike u chunguzi wa kina kiongozi wetu🙏🙏
@MohamedMrija
@MohamedMrija 27 күн бұрын
Hongera sana makonda chapa kazi
@saratimoth4734
@saratimoth4734 6 ай бұрын
Makonda Yesu baba akuinue akubariki akukumbuke sanasana
@tatukaratatatukarata753
@tatukaratatatukarata753 5 ай бұрын
Mama Samia hyo ndio kiongoz Bora c sio bora viongoz ❤ mauwa apewe 🙏
@NikolausLucas
@NikolausLucas 6 ай бұрын
Aisee makonda naikubali Sana kazi ya mkono yako mkuu
@danifani7899
@danifani7899 5 ай бұрын
Watching live from Jordan good work mtumishi makonde
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 6 ай бұрын
Mh Makonda muulize pole pole afisa wetu jamani mengine siri
@user-hg7oz8ze4d
@user-hg7oz8ze4d 6 ай бұрын
Hizo sir asilimia kubwa ndio ufisad wenyewe
@chefmikeyfrancisco6735
@chefmikeyfrancisco6735 5 ай бұрын
Thubutu siri ukoo kwenu,.
@user-eu5ly2sk8w
@user-eu5ly2sk8w 5 ай бұрын
Nimekuelewa sana mheshimiwa makonda hata mimi nina kero kubwa sana naamini namimi utanitetea nipewe haki yangu.kwa uwezo wa mungu.naishi arusha
@oswaldtemba2770
@oswaldtemba2770 6 ай бұрын
Viva Makonda
@user-ii4vr9ij3l
@user-ii4vr9ij3l 6 ай бұрын
mr makond piga kazi my brother
@BeullahBujah-lk3sx
@BeullahBujah-lk3sx 6 ай бұрын
Waooo!! CCM ya Makonda Mungu ailinde
@user-wq8kw7wb1n
@user-wq8kw7wb1n 6 ай бұрын
Wezi hao wanamishara bado wanaiba pesa za umma fyeka hao waje walime waone kama nivyepesi nasisi tunalima ile hali tunasifa kama wao
@suleimankigada2106
@suleimankigada2106 6 ай бұрын
Mh hongela sana kazi nzuri unayoifanya usishie huko mikoani use na hapa dar ufukue minimum ya umeme na maji inatutesa saaaaanaaaa.....
@user-hk1cq9dk7b
@user-hk1cq9dk7b 5 ай бұрын
Namuona makonda kuleeee anapaaa
@user-vs7om2xj7x
@user-vs7om2xj7x 6 ай бұрын
Huyu baba huyu mungu amsaidie sana ampe uhai mlefu tyu
@tabithaeppyness3867
@tabithaeppyness3867 5 ай бұрын
Kazi unayofanya kuwafuta machozi wanaolia wanyonge hakika Mungu anafurahia sana atakulinda nabaya lolote kwa jina la yesu Amen
@castmasawe3275
@castmasawe3275 6 ай бұрын
Mtu yeyote akifanya Jambo ama Kazi bila ya kuwepo mwajibishaji Ile Kazi itakua chini ya kiwango tarajiwa...nimeipenda hii ya makonda na ninatamani mikoa yote pawepo na viongozi nje ya serikali kufuatilia watendaji wa serikali.nchi itanyooka..ikiwezekana wapewe hata wapinzani potelea mbali ...tuwekane Sawa.
@user-kt7bv1pq9p
@user-kt7bv1pq9p 5 ай бұрын
Asante kazana tunakutakia kila la heri ziara ina manufaa makubwa sana
@FrankMalila-v3e
@FrankMalila-v3e 28 күн бұрын
Makonda endelea kutetea wanyonge nasi tunakuombea amina
@rajabumalupu4184
@rajabumalupu4184 6 ай бұрын
Mkuu mm niko namibia nakupata hewan kupitia tv zetu za online ila 2025 nakuja kupiga kura ya ccm japo nilikuwa nimeishakata tamaa
@erickmsigala138
@erickmsigala138 6 ай бұрын
Nchi hii inawajinga wengi sana ni vigumu sana kujikwamua
@SaadiyaMohammad-og5bg
@SaadiyaMohammad-og5bg Ай бұрын
Hakee makonda astahelia kuwa rais mungu tu afanye miujiza mm from kenya bro unaweza nakupongiza bro
@saratimoth4734
@saratimoth4734 6 ай бұрын
Amen Amen Amen Amen kaka makonda
@othumanomari1589
@othumanomari1589 5 ай бұрын
Madaraka yakurisi ndio shidayake unapewa taasisi uiongoze hujui unawekwa naninisasa
@obednyagani506
@obednyagani506 5 ай бұрын
Natabiri kuwa atakuwa makamo wa rais mwakani
@user-qc9ph9he7u
@user-qc9ph9he7u 6 ай бұрын
Makonda nimekupenda kwa namna ulivojitoa kusikiliza kero za wananchi Mungu aendelee kukutunza
@idyjumanne9796
@idyjumanne9796 5 ай бұрын
Naomba makonda Apewe uraisi hata mwakni Anajiamini sana na ninamkubali
@migombaelinest3500
@migombaelinest3500 6 ай бұрын
Mm naamini kila kiongozi angesimama kwenye nafasi yake kama kaka etu Makonda anavyopambana taifa letu linsingekua na shida yoyote.
@HappyNdelwa-ut1cp
@HappyNdelwa-ut1cp 6 ай бұрын
Hongera baba mungu akubariki
@husseinmaula4965
@husseinmaula4965 6 ай бұрын
Ukimtoa mungu mitume yake baba na mama pamoja na raisi samia mtu muhimu tuliebakia nae ni mheshimiwa Paul makonda ndio mtetezi wa wanyonge kwa sasa.
@joycemnanka3985
@joycemnanka3985 6 ай бұрын
Magu amerudi kivingine asante mungu
@user-yg7bw7hd5y
@user-yg7bw7hd5y 6 ай бұрын
kweli kabsa
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 6 ай бұрын
Nchi hii Ina viongozi mizigo wengi sana wanakula mishahara ya bure kuwatumikia wananchi hakuna . Mhe. Makonda, Mungu akubariki sana.
@daudimwita-bk6mg
@daudimwita-bk6mg 6 ай бұрын
Jaman watanzania kuwen macho sasa kama utendaji wa viongozi wa serikali ndo huu, this is exactly systemic failure. John pombe alisimamia maadili ya watumishi ila kwa sasa eee...
@DanielTumaini
@DanielTumaini 5 ай бұрын
The time will tell ngoma ikivuma Sana lazima ipasuke
@user-yw6cn4yt4s
@user-yw6cn4yt4s 5 ай бұрын
Ubarikiwe
@user-qn9wk4lr2t
@user-qn9wk4lr2t 5 ай бұрын
Honger kak makonda
@CharlesTarimo-db6li
@CharlesTarimo-db6li 5 ай бұрын
Wasukumwe ndani kaka mchwa wanatusumbua sana hao. Wezi wa mali za umma mtanyooka
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 6 ай бұрын
Mungu akulinde mdogo wangu
@nassirsbahock6710
@nassirsbahock6710 6 ай бұрын
Kwetu hatuna uongozi tunapowaangalia uongozi unaofanyika tanzania huwa tunatamani na kenya tupate uongozi kama huu
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 6 ай бұрын
Hakuna cha umri. Hao ni waajiriwa na wameajiriwa na serikali ya chamade cha mapinduzi. Boss kaja anataka majibu wananchi wanafanyiwa nini? Wewe jibu maswali mama
@PeterBureta
@PeterBureta 6 ай бұрын
Nasikitika sana utawala wa ccm ndio wenye haya anayoyaeleza huyu sielewi.Wawatoe wote basi waajiri wengine!Inatuumiza sana.
@liannsambu7264
@liannsambu7264 6 ай бұрын
Hon. Makonda je si sawa kuleta wakoloni watutawale tu , maana kama ndo madudu ya watendakazi wa serikali yenu hii na wanalipwa kodi za wananchi si aibu hii jamani ??? Mbona kuna watu nje huko wanatafuta ajira hawapewei wanapewa watu wa hovyo hivi kweli , hakika hii ni aibu na laana
@user-yi3mb1cv9l
@user-yi3mb1cv9l 5 ай бұрын
Piga kazi makonda mungu yupo pamoja na wewe kwa kutetea watanzania kuna baadhi ya wizara ata bajeti za mapato na matumizi azijulikani ndani ya taifa letu.
@user-hj8sc7jv5m
@user-hj8sc7jv5m 6 ай бұрын
Mimi makonda nina barua yangu ya kurejeshwa kazini nateseka Sana naomba unipe njia gani suala langu ulipate vyema
@sheckycobb5240
@sheckycobb5240 5 ай бұрын
We mtafute kny mizunguko huko km wenzako wanamfukuzia kila anapokwenda
@philipojoseph4192
@philipojoseph4192 4 ай бұрын
Safii sana Makonda safisha
@user-wu5jj5kn2h
@user-wu5jj5kn2h 6 ай бұрын
Ah makonda mwamba kweli kweli😂❤
@khadijathani9064
@khadijathani9064 6 ай бұрын
Tena awa wezi sana kama pale general hospitali uozo upo watu wanateseka sana
@AbdulmalikFedrick-ct7nb
@AbdulmalikFedrick-ct7nb 5 ай бұрын
Mueshimiwa Raisi Samia suluu Alha akufanyie wepesi inshallah kwenye uongozi wako Kwakumchagua mueshimiwa makonda
@habibasungur9375
@habibasungur9375 6 ай бұрын
Masikini makondaaaa namuonea huruma jamani mmh mungu amlinde la sivyo mmh haya tuone
@JophasJohn-oh8zu
@JophasJohn-oh8zu 6 ай бұрын
Huyu tumuombee Mungu aisee wasije wakamumaliza maana duu hii nchi haitaki watu wa kusema ukweli yaani Mungu amulinde huyu mwamba 🙏🙏🙏
@DavidEmilian-hq9xm
@DavidEmilian-hq9xm 5 ай бұрын
Afu mnataka haki sawa kuongoza mnashindwa
@DavidEmilian-hq9xm
@DavidEmilian-hq9xm 5 ай бұрын
Wakiwa maofisini maksudi sana hao
@saimongilala8938
@saimongilala8938 6 ай бұрын
Yesu mlinde mama yetu Samia pamoja na makonda
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 6 ай бұрын
Mungu mbariki, umlaani Samia na mzoga group
@bennychawala2776
@bennychawala2776 6 ай бұрын
Mmmh huyu tuwe makini mbona anamasihara sana,duuh anakauli za ajabu sana
@Kiggy22
@Kiggy22 6 ай бұрын
Makonda Oyeeee
@anizethmkumbi
@anizethmkumbi 6 ай бұрын
YESU AKULINDE KAMA MBONI YA JICHO,NA AKUFICHE CHINI YA UVULI WA MBAWA ZAKE.ZABURI 17:8
@dionisiajohn519
@dionisiajohn519 5 ай бұрын
Makonda safi sana, safisha mchwa hao.
@erickabel6201
@erickabel6201 5 ай бұрын
Kazi nzuri 🔥🔥🔥🔥
@calvinrichard4591
@calvinrichard4591 5 ай бұрын
Next president after mama Suluhu
@epimackjohn461
@epimackjohn461 6 ай бұрын
Ni jambo jema sana la kufuatilia KERO za wanachi na kuzitatua .Ila STAILI hii ya kudai majibu kwa ukali haifai kuna taratibu za kikazi ! Shirikiana na wenzako itafika watakuacha peke yako utashindwa maana hapa tayari CCM imeonyesha ilivochoka kwa muda meefu mpaka inaanza kutatua kero UCHAGUZI ukiwa umeanza kufika.
@user-tb4gh1sm9k
@user-tb4gh1sm9k 5 ай бұрын
Makonda usiiache kwenda morogolo mang'ula wakazi wa mang'ula wamenyang'anywa mashamba yao na kugawana baazi ya viongozi na kusababisha wananchi wakichukie chama cha ccm na kuhamia upinzani lakini ukweli nikwamba ccm mang'ula inawapiga kura wengi sana makonda nenda mang'ula
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 29 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
😆
0:20
Santi
Рет қаралды 15 МЛН
Это реально работает?!
0:33
БРУНО
Рет қаралды 3,3 МЛН
Кто из девушек быстрее печатает?
0:58