Hongera sana Catherine. Mungu aibariki kazi ya mikono yako. So inspiring 😘
@paulnjorogewacuka61944 ай бұрын
Am a Kenyan Catholic Priest working in Kenya, although I have been to Tz, Catherine you are a strong woman and a living saint. Be assured of my prayers and may God grant u the graces u need to work and remain faithful as u portrayed. U r a heroine my dear one. Hongera ata kwa kuyaweka wazi Haya yote. Wape hai Islam na Mkewe, watu wa nguvu sana
@stephenosingo90992 жыл бұрын
Congratulations Madam Catherine Sanga for your courage and inspiring story of your journey to attauning self reliance, for believing in yourself and in your dream. Your focus, determination, respect for yourself is amazing. May God bless you and your family. God bless you and your family. God bless The Unique Story Crew! Steve from Kenya.
@wiliamjoseph90093 ай бұрын
Hongera kwa kuvumilia mengi
@johnnydpsalmist11552 жыл бұрын
WEWE NI BINGWA DADA CATHERINE. THANK YOU FOR MAINTAINING YOUR INTERGRITY. GOD SENT HIS ANGELS TO FIGHT FOR YOU. BLESSINGS
@dugamax81764 ай бұрын
U just earned a new follower bcz of this lady's amazing story.
@victorsanga22292 жыл бұрын
Huyu Islam , Mungu amjalie maisha mazuri yeye na familia yake.
@kondoatown87652 жыл бұрын
Na aache kuvuta bangi mkaka wa watu
@zainabjuma91682 жыл бұрын
Good luck Catherine and I congratulations for your big heart,🤝💪 kazi ni LAZIMA iendelee.ishallah.
@kawiikawii3142 жыл бұрын
Followed from part 1,, very strong woman. I love driving and would like to be like you one day. Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@HadiyaHamad-mi2be4 ай бұрын
Honera sana Islam ALLA akupe maisha marefu yenye afya njema na manufaa duniani na akhera
@robertmlay55534 ай бұрын
Hongera sana Islam mungu akuweke
@EdwardKabongo4 ай бұрын
Islam Mimi ni dereva mwenzio nakupongeza kwa wema uliompatia huyo dada mungu akujalie ktk maisha Yako mungu atakulipa
@mohamedfaris30002 жыл бұрын
Mungu tulipe mazuri kwa kazi za mikono yetu na walinde wanawake wote na kila aina ya shari wazidi kutimiza malengo yao 🙏
@Mjeru56312 жыл бұрын
Amen Amen wewe ndio Islam unayetajwa humu?
@rehemaathhmani35711 ай бұрын
Inshaallah ❤
@salmahalfani63076 ай бұрын
Aamina Amiin Yarabi Laallahmiin Dua na iwe Makboul kakaangu.
@aminimushi69452 жыл бұрын
Hongera Islam,Allah akulinde,umejijengea pepo,pia hongera kwa mkeo.
@Samwelelias-zw4ns4 ай бұрын
Daaah! munguazidi kukuonekania wewe kweli ni super women!🙏
@ZakariaMunisi5 ай бұрын
Hongera sana davo umetisha san
@darcinmubeza15602 жыл бұрын
Toutes mes félicitations maman CATHERINE SANGA, umepitia mambo mengi mazito na kwa ushujaa, ujasiri na kujiamini kama mwanamuke umefikia ndoto zako. Kama chauffeur mwenzako nikiwa Bukavu Congo nakutakia kupanda ngazi zaidi katika iyo kazi ya kutembeza gari ili ufikie kuwa chauffeur wa président de la République Tanzanienne. Barikiwa sana mu kazi yako.
@Nagelleislamictv4 ай бұрын
Dada ukona bidii sana mungu akubariki sana na sahi ukiona madereva walio ku angusha zamani ukionana na wao wao sahi watakuambia aje ni maajabu ya mungu wallahi
@kenedykatarama39662 жыл бұрын
Mdogo wangu nimepoteza mb zangu ili kusikiliza mwanzo mwisho hakika Mungu ni mwema umepigana na Mungu kaunyoosha mukono wake hakika penye Nia pana njia historia yako inaitaji ukiweza uwaandalie kitabu watoto wa kike ili kiwasaidie nimependa sana hakika nakuombea Mungu akulinde katka kazi zako
@eddyrich.33122 жыл бұрын
Congratulations Catherine Sana, big up and keep on.
@winifridakavishe50172 жыл бұрын
Hongera Dada nimejifunza Jambo juu yako
@stanmapendomosha26542 жыл бұрын
Big up Dd Catherine we ni jasiri sana mwanamke shupavu mnooo Mungu akusimamie Sana..
@marydavid52802 жыл бұрын
Hongera Sana Dada Catherine. Naomba unisaidie ili niwe kama wewe naomba mawasiliano nawe .Amina
@festomlowegypsum82142 жыл бұрын
Isram MunguAkubariki sana kwakumsaidia dadangu sasanga mwee Mungu akubariki sana
@josephkaranja91642 жыл бұрын
Gudos mama keep up going, watching you from Qulf
@joycekagiri16442 жыл бұрын
I salute 👏 yuh my siz🙏🏼🙏🏼🙏🏼❤❤
@isaacnsengiyumva63532 жыл бұрын
Congratulations 👏👏👏👏👏👏👏👏 to you Madame Catherine Sanga
@lawrencemuga63662 жыл бұрын
Congratulations Catherine. You have moved a mountain to achieve your goal. Great thing is you have assisted more girl children to learn driving, provided employment several youth. The lions spared you to serve as a towering beacon to girl child.
@GoodMgimwa3 ай бұрын
Hongel San dada umetisha
@maimukanabora87515 ай бұрын
Hongera sana dada Catherine Mungu akupe maisha marefu
@angelllogeffi35052 жыл бұрын
Mungu akuongoze na akuepushe na Shari za dunia Dada cathe
@SesiliaSalumu5 ай бұрын
My dear mother, I am proud of you
@gkiobya49602 жыл бұрын
Hongera sana mwanangu ,Mwenyezi Mungu azidi kukupigania utimize ndoto yako.
@LinusRaymond810 ай бұрын
Much Blessings
@AfriMazao6 ай бұрын
Hongera sana dada umefanya jambo la uthubutu. Bila kujali.wanawake tunaweza
@abeldugange8232 жыл бұрын
All the best mdogo wangu. Hongera kushinda yote uliyopitia. Tu nahitaji wengi wa aina yako. Mungu akutunze
@priscamagambo53202 жыл бұрын
Hongera binti yangu Catherine Mungu akusimamie ktk kazi yako
@MrSaidi572 жыл бұрын
Taarifa hii inanitia huzuni sana, mimi kama mwanamme. Nafurahi mimi nilikuwa mwalimu mwanzilishi wa Arusha Technical College, sasa nimestaafu
@faroukrashid55072 жыл бұрын
Hongera sana kwa kufikia umli was kusitafu.
@franklechipya68282 жыл бұрын
Daaa sister umenisisimua sana kwa story yako Mungu akulinde hakika wewe ni jasiri ningekua na uwezo wa kukupa tunzo ningefanya hivyo. Hongera sana
@alexkalonga53232 жыл бұрын
Mwandishi Msomi Big up Sana Brother story ni nzuri sana!! Columbus le babazz
@wiliamjoseph90093 ай бұрын
Hongera sana dada catherine, kwa magumu uliyopitia,hayo yalikuwa ni njia ya mema ambayo umeyafikia sasa,usiwalaumu waliyo kufanyia mabaya,Hao ndiyo njia ya hapo ulipo
@seifdavidmkama77522 жыл бұрын
Mmhh hongera na pole kwa changamoto salute kwako
@dativadeogratius30342 жыл бұрын
Dada hongera sana sana ,nimekupenda ,na nimejifunza kitu kikubwa kutoka kwko
@paulkiokomusembi12072 ай бұрын
Nimekusikiza kwa kina sana Dada, kwa ukweli una moyo wa simba hongera kwa Katia watu wengi moyo na pia sadakta kwa wote waliokushika mkono katika safari ya kutimiza Ndoto yako.Kongole sana Catherine ,kila laheri katika safari ya maisha yako.Nipo Kenya.
@omarimtani40422 жыл бұрын
Mama wakipekee sanaa mungu akuzidishie kila kheri katika njia zako zautafutaji
@abdalamakajula38832 жыл бұрын
Hongera na Ubarikiwe Sana...
@jambia45156 ай бұрын
Hongera sana Catherine kwa historia nzuri inawezekana mwanamke kumuondesha kiongozi mkuu Ata mh Samia anapokuwa nje ya nchi dereva anakuwa mwanamke hadi anarudi nimeshaona uku ulaya
@anaabsaid3544 Жыл бұрын
Good spoken woman mashaallah
@anaabsaid3544 Жыл бұрын
THE WOMAN OF THE YEAR 2022,
@ramadhankanoun30072 жыл бұрын
Hongera Sana dada kupambana kusimamia ndoto zako endelea kupambana zaid na zaidi ila watu kama Islam wapo Sana ila lazima wapige kijiti nahisi Iko ivo pia Kwa mwamba..."Rasta wake up" Jamaican people 👏👏👏👏
@noelwandera86172 жыл бұрын
Cate, very inspiring story
@sirajinewele55632 жыл бұрын
Wewe ni mwanamke jasiri sana. Hongera sana.
@stevenwolter68882 жыл бұрын
Hongera kwa ujasiri, msimamo ulionao katika kazi Mungu akubariki Dada Catherine.
@neemachengula17722 жыл бұрын
Hongera sana nimekupenda bure dada wewe ni jasiri ni mwanamke shupavu sana nimetamani niwe kama wewe nadhani sijachelewa sana Mungu ampe maisha marefu sana kwa moyo wa kujitolea kwako
@AdeniusPhilimon4 ай бұрын
Mama mungu akujaliye uendelee kupambana utimize malengo Yako tupopamoja
@godfreymollel69032 жыл бұрын
Islam popote ulipo MUNGU akubariki sana.Hongera sana dada yetu.
@francismapugilo40993 ай бұрын
Wanawake wapo makini sana!.
@davidgitau8272 жыл бұрын
Mwanamke bomba kweli hongera
@AplA-x9b5 ай бұрын
Mungu akubariki sana ulipopambania ndoto yako
@jonasmpita22064 ай бұрын
hongera sana Catherine kwa mapambano, pia hongera mtangazaji kwa uchokozi wako wa kuhoji
@jafaryyusufu29932 жыл бұрын
Hongera Sana dada angu mungu akutilie wepesi katika kazi yako
@sankajustin74082 жыл бұрын
Hongera catherine. Kuhusu kushushwa mikumi national park imenisisimu na niyahuzunisha kwani mm nafahamu mikumi. Pole sister Mungu akubariki sana
nimeipenda sana hii stori je isiram Bado mnawasiliana?
@mossesmtweve89172 жыл бұрын
Hongera Kwa stori nzuri
@abdallahazizy59682 жыл бұрын
MASHAALLAH ALLAH AKUONGOZE DADA 🙏
@EmsonSambo5 ай бұрын
Safi sana nimependa msimamo wako wakugoma kutumika. Kingono ili upate unacho kitaka hongera sana kwa ilo. Tumefanana kwenye misimamo.
@wilbertaerasto75842 жыл бұрын
Hongera Sana, hakuna kukata tamaa
@jacklinmasawe26972 жыл бұрын
Hongela Dada mungu akubariki
@filomenamachael84062 жыл бұрын
Hongera sana sister ww ni mwanamke shujaa Mungu aendelee kukutunza na kuinua kazi yako kama ilivyo hitaji la moyo wako
@kilapilo.kilapilo52922 жыл бұрын
When God says yeessss, nobody/ no-one can absolutely say no. 👉{Amaa....kwa hakika Yeye, Jehovah ni Ebenezer}.
@boboswts41602 жыл бұрын
hongera selikali ya muungano chini ya samia suluhu kwa kulinda mtoto wa kike. namwamini mungu hata jamuhuri ya kenya tutabarikiwa na mdogo wa raisi Bi Martha karua ifikao mwezi 9/8/2022 🙏 MUNGU YU NASI.🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@alanhaule4892 жыл бұрын
Nhh
@mlimawamungutunduma-msongw79692 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Akuinue zaidi.
@aphlineagina3562 жыл бұрын
Amen n Amen
@godrinshine3604 Жыл бұрын
big up san kwa hao wote walio kusaidia
@timothmayala38392 жыл бұрын
Nashukuru Sana kwa simlizi ya da Cath naweza pata no zake niweze kuongea nae kwa undani
@emmanuelmkonda50102 жыл бұрын
Hongera sana
@robertgibbe55012 жыл бұрын
Hongera sana Catherine kwa mapigano hayo!
@MariaZakaria-fd5xz4 ай бұрын
Dada hongera sana ila na mimi natamani kuwa dereva ila nitakuwa dereva kwa sababu nina moyo wa kujituma
@joselingodfrey7002 жыл бұрын
Mungu akutimizie ndoto zako mama
@peterdismas74802 жыл бұрын
Hongera sana kwa ujasiri na pole kwa yaliyokukuta, madereva wa mwanzo wametuangusha sana wanaume, yaani mtu yuko tayari uliwe na simba kisa ngono ukatili mkubwa sana. Je wakati unaendelea na kazi za safari tukikutana na wale madereva waliokusumbua.
@trillhappybeautypoint98742 жыл бұрын
Hongera sana madam
@neemagift49212 жыл бұрын
Hongera sana Catherine mungu azidi kukulinda na kukutimizia ndoto yako
@OnlyRuky2 жыл бұрын
Congratulations mamii
@lastborn34692 жыл бұрын
Hongera sana dada!umenifanya niendelee na ndoto yangu ya dereva
@alexdaniel31882 жыл бұрын
Kwakweli umenifanya niifatilie hii story hongera da catherine
@officialbizou60532 жыл бұрын
Big time imeniispire sana hii
@goodsonlucian29062 күн бұрын
Hongera sana dada ...maana mim mwenyew natamani kua dereva lkn hizi cozi fupi ...pia makampuni hawatak wasaidizi sijui nianzie wapi
@hashimfuko8222 жыл бұрын
Ongela kwako madam cathe
@mbarakaadam75592 жыл бұрын
Nakumbuka uliwai kunipita sehemu moja inaitwa ushirombo
@nestorymtitu65182 жыл бұрын
Daar Dada nakupa hongera saana kwa ushujaa wa mapito uliopitia mpk hapo ulipo Mimi ni dereva wa bas
@washingtonkuria80364 ай бұрын
Cate ume jaribu sana,but uli hatarisha sana kama vile wanaume tuna fanya. You dit it ,Congratsss,,,.
@agnesbochaberi57384 ай бұрын
Catherine hata mimi nataka unishike mkono nitimise ndoto yangu ya kua dereva niko Kenya🇰🇪