MAKONDA AMWAMBIA GWAJIMA MBELE YAKE " MIMI SIO WAKUBEBA AHADI NIWAKUTEKELEZA, NITAMPA KATAPILA 20

  Рет қаралды 79,776

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 147
@SamweliMuhabwa-dr7bd
@SamweliMuhabwa-dr7bd 10 ай бұрын
Mh Makonda Uishi Milele Mungu akubariki sana kwa kweli wewe ni kiongozi kabisa
@victorguapo7827
@victorguapo7827 10 ай бұрын
Walishagakutanishwa na mzee zamani mno wakapatana
@servantofalmightygoddranth2511
@servantofalmightygoddranth2511 10 ай бұрын
Kweli binadamu tunakutana, makonda na gwajima wakutana
@prosperjuma905
@prosperjuma905 10 ай бұрын
Aliyemfuta mwenzie kwenye siasa leo ndo boss wake kwenye siasa🤣🤣🤣🤣🤣
@deusmbuge5740
@deusmbuge5740 10 ай бұрын
Nimecheka sana aisee duh!... Binadamu tunatofautiana sana.
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 10 ай бұрын
Kampeni baba tunaenda
@trophywilson7211
@trophywilson7211 10 ай бұрын
hahaha Mungu si Mwanadamu
@islandinsuranceagency8008
@islandinsuranceagency8008 10 ай бұрын
Maaanina ndo ujue hizi dini zimebebwa na masela
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 9 ай бұрын
Ahaaahahh😂yaani sio kila nabii ni nabii
@prosperjuma905
@prosperjuma905 10 ай бұрын
Aliyemfuta mwenzie kwenye siasa madhabahuni leo ndo boss wake kwenye siasa🤣🤣🤣🤣🤣
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 10 ай бұрын
Nimejifunza kitu usimdharau mtu ndivyo ilivyo kwa hawa wote mfano makonda alimheshimu mama samia leo kaja kuwa rais na kampa cheo cha juuu kabisa, twende kwa Mr. Gwaji boy akamsema Bashite😂😂😂 leo kawa bosi wake kweli ni somo kubwa sana
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 10 ай бұрын
Makonda oyeeeeeeeeee.gwaji boy lazima usujudu huyu ndio boss sasa
@hailehim1
@hailehim1 10 ай бұрын
Naona mzee baba anasujudia
@tinajoe5487
@tinajoe5487 10 ай бұрын
Wakati wa Mungu ni wakati Sahihi,Gwajima kakudhalilisha Lakini Leo akaa Mungu kakuheshimisha Kaka Gwajima anakusujudia na Wewe Sasa ni Boss Wake
@maduhuruben3825
@maduhuruben3825 10 ай бұрын
Ila SIASA hii tabu sana Leo gwajima ana salute kwa makonda 😅😅🤣🤣 nawaza hapa Kati yao nani kainuliwa
@zainabumohamed4763
@zainabumohamed4763 10 ай бұрын
Yaani we kaka mmungu akuweke Sana,huna baya
@ausonjustinian4673
@ausonjustinian4673 10 ай бұрын
Duh, eee kumbe Mungu wetu ni wa msamaha kwa wamkimbiliao. Na kweli alisema Asie samehe hatasameewa. Mbarikiwe kwa mapatano yenu Amn.
@halimamasai2234
@halimamasai2234 10 ай бұрын
Raha sana leo Gwajiboy na Makonda wamekutana na yameisha kazi inaendelea safi sana Sukuma boy ❤❤❤❤
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 10 ай бұрын
Gwajima alimwambia Makonda maisha ni mzunguko tusitendeane mabaya
@sonnyr1899
@sonnyr1899 10 ай бұрын
@@gibsonjosephat6352 Tusifufuwe makaburi Gwajima ni mtu wa visasi hatari nakumbuka kipindi hicho alifanya mwenzi mzima akihubiri Makonda mara Bashite mara hivi sasa Leo huyo Makonda kawa boss wake.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 10 ай бұрын
pesa hahaha
@trophywilson7211
@trophywilson7211 10 ай бұрын
​@sonnyr189 9 noti mbaya
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 10 ай бұрын
Safi sana mweshimiwa makonda na gwajima
@veraisaria
@veraisaria 10 ай бұрын
Dah maisha ya kisiasa ya kijinga sana😂😂😂gwajima ndiye wa kuinama mbele ya makonda😅😅😅😅
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 10 ай бұрын
😂😂😂
@clevermngao7565
@clevermngao7565 10 ай бұрын
😂😂😂 Jamani! Jaman! Nimejifunza kuwa katika maisha tuwe na akiba ya maneno, tusimalize kwani ipo siku utapata aibu!!!
@zaharamustafa-t1l
@zaharamustafa-t1l 10 ай бұрын
Hongera Makonda tunaomba utussidie mwanza barabara za .mitaa hazipitki Ahsante
@musa-v3f
@musa-v3f 10 ай бұрын
Bashite ni kichaa anatafuta umaarufu hana uwezo wa kutatua matatizo kama alishindwa akiwa RC ataweza sasa hana mamlaka yeyote
@breymbasa3451
@breymbasa3451 10 ай бұрын
​@@musa-v3f akiwa RC na ufaham wako unajua angekuwa na uwezo wa kupita nchi nzima kama anavyozunguka sasa Tofauti ya RC na katibu mwenezi unaijua?
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 10 ай бұрын
Ninasikia fraha Sana kuona Gwajima na Makonda meza Moja .Ila Gwajima NAKUPENDA Sana mwenzio Una Hekima sanaaaa
@iviejustified8109
@iviejustified8109 10 ай бұрын
Huu ndiyo ukuaji wa akili, mwili na roho
@paullyabuyenze1884
@paullyabuyenze1884 10 ай бұрын
Gwajima ana hekima ipi.Ambaye alikuwa anamsema Makonda Bashite baada wakati ule ahubiri kanisani alisema Makonda apigwe.Leo Mungu kamuonyesha tunapaswa kuheshimu wetu na tusilipe visasi. Gwajima anaongea sana lakini Mungu kamfundisha.Makonda ndio ana hekima Hana kisasi
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 10 ай бұрын
Daa haya maisha tuyaache yalivyo yaani Gwajima leo anasalimu amri kwa kuitikia ndiyo mkuu Bashite
@yourboysil_star2883
@yourboysil_star2883 10 ай бұрын
Sema sjui mnayaona aya wananchi huu sio mwaka 2021 ni 2024 mwaka huu uchaguz mwakan uchaguz ndo ayo mambo yanatokea kwan miaka yote walkua wap tusdanganyike kutupa BIG G KWA KARANGA ZA KUONJESHWA baada ya uchaguz watatusahau awa tustuke wananchi
@Oswardkadron
@Oswardkadron 10 ай бұрын
Yeye alete kuhusu Hela anaejua yeye mwenyewe wananchi tunataka kazi hongela makonda
@musa-v3f
@musa-v3f 10 ай бұрын
Samia katoa pesa au wananchi wametoa kupitia kodi zao?? ..Samia hana pesa za kujenga barabara pesa zake anatumia na familia yake sio kujengea barabara
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 10 ай бұрын
Maninah, Bashite leo anasujudiwa na askofu
@sungwasamson277
@sungwasamson277 10 ай бұрын
tunaomba uje na tabora mh makonda 🙏🙏🙏🙏👍
@renatusikanoni4203
@renatusikanoni4203 9 ай бұрын
Gwajima amekwesha kabisa. Aibu kabisa kwa mtu kama Gwajima kumnyenyekea Bashite.
@aminimushi6945
@aminimushi6945 10 ай бұрын
Na taarifa za CAG nazo uzizingumzie kama kweli una nia ya kuokoa fedha za Watanzania,Watanzania tunapigwa si mchezo,sukari kilo moja 5000/-.
@AkhlySports38
@AkhlySports38 10 ай бұрын
Hizo Cart peel zenu msituletee Kisanga hatuhitaji Cart peel kuchongewa Barabara tunatala Lami msije kuja kuzidi kuziharibu Barabara, tunaomba mtuwekee Lami.
@pidiusDominick-qi7nl
@pidiusDominick-qi7nl 10 ай бұрын
Hajaleta fedha sema tumekusanya kodi za wananchi ndizo zinajenga
@kingmakavely9861
@kingmakavely9861 10 ай бұрын
Ila siasa banaa 😂😂
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 10 ай бұрын
Daaa haya maneno yakiwa kweli kumekucha,ila kitaani mbona bado balabala bado mbovu
@harrywarren61
@harrywarren61 10 ай бұрын
Uchaguzi upo karibu mbona mnataka kujenga balabala alafu hizo jezi za CCM mbona zipo tafauti zingine zime Korea sana zingine zimefifia Kuna kitu hapo mpaka kwenye nguo mpo tofauti😂😂😂😂😂
@raymondmathayomsigwa8737
@raymondmathayomsigwa8737 10 ай бұрын
Mimi ni cha Demema lakini tuseme ukweli makonda ananguvu gwajima chali maamuzi ya Kiume sio Rais samia anamung'unya maneno wakina Kasimu majariwa hamumuoni makonda jamaa nijiwe tuseme ukweli angekuwa waziri mkuu samia angekaa pembeni
@MRPRESIDENT-w4l
@MRPRESIDENT-w4l 10 ай бұрын
Hivi katapila moja inauzwa sh ngapi??🤔🤔🤔
@islandinsuranceagency8008
@islandinsuranceagency8008 10 ай бұрын
Siasa sio nzuri
@denniskado3990
@denniskado3990 10 ай бұрын
Miaka 60 ya uhuru hamtakiwi kujinadii kila kitu mlisha prove failure
@muhsiniissa8151
@muhsiniissa8151 10 ай бұрын
Sahihi kabisa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 10 ай бұрын
G​@@muhsiniissa8151 Generalisation is kind of fallacy
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 10 ай бұрын
Generalisation is kind of fallacy
@ausonjustinian4673
@ausonjustinian4673 10 ай бұрын
Wewe ni wale msiokua na shukurani. Uka ktk kundi la Wakoma 9 ambao hawakushukuri kuponywa.
@kjb_user0077
@kjb_user0077 10 ай бұрын
Usiseme ukamaliza😂 akiba ya maneno ni mhimu sana
@neemageorge7082
@neemageorge7082 10 ай бұрын
Jaman sisi huku kwetu nadhan selikari haipo yaan Barbara ni mbuvu mno huku maramba kiingia kingaz shule watoto wanashindwa hata kufika shule kwa ajili ya hiyo barabala tunamwomba makonda na sisi atutembele hii wilaya ya ubungo yaan Iko hovyo na Diwan mbunge wapo
@JafariAbdallah-ot9gp
@JafariAbdallah-ot9gp 10 ай бұрын
Mama Samia raisi wetu mungu akubariki sana kwa uongozi wako na viongozi ulowachagua wewe
@Maulambo
@Maulambo 10 ай бұрын
Sisi sio milima tutakutana sisi ni people 😂😂
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 10 ай бұрын
USIMDHALAU MTU KABLA YA KIFO CHAKE KAMA HAMANI MTI ALIOUCHONGA ALITUNDIKWA MWENYEWE BASHITE KAWA BOSS WAKO SASA UNASUJUDU KWELI MUNGU SI MWANADAMU
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 10 ай бұрын
NDO MAANA TUNAAMBIWA WOTE TUPENDANE.🙏🙏🙏🙏
@SaidHamis-yz1vt
@SaidHamis-yz1vt 10 ай бұрын
MAKONDA TUNAOMBA UJE NA MWANZA BUSWERU WILAYA YA ILEMELA BARABARA MAJI NI CHANGAMOTO PLZ MAKONDA.
@ndemabhwila
@ndemabhwila 10 ай бұрын
Gwajiboy unaizalilisha ufufuo na uzima bashite si alikuita muuza madawa ya kulevya? Amekusafisha lini?
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 10 ай бұрын
MBUNGE GWAJIMA NA MWENEZI MAKONDA...KUMBE ENZI HUBADILIKA..KUTOKA KUFUTWA KISIASA HADI KUSHIRIKIANA NA KUPEANA BURUDOZA 20. HASIRA YA MTU HAINA FUTURE NDANI YAKE
@zaburi2386
@zaburi2386 10 ай бұрын
Gwajima c alimfuta makonda kweny ulimwengu wa siasa mbona saiz anampa heshma Kwa kumuinamia😂😂
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 10 ай бұрын
Hizo tractor zipelekwe mashambani. Mijini tunahitaji motor graders na 22 kwa jimbo moja ni nyingi mno?
@ayububrantaya6624
@ayububrantaya6624 10 ай бұрын
Daah siasa noma
@patricknewguy8189
@patricknewguy8189 10 ай бұрын
Hivi gwajima anapacha wake..mbona sielewi na bashite ni nani😂
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 10 ай бұрын
Bado watanzania mnaiamini CCM
@sifuelinyaki3341
@sifuelinyaki3341 10 ай бұрын
Kumbe ata hatuna haja ya wabunge baadhi ya maeneno..
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 10 ай бұрын
Hahahahaaaaaa
@petermugurubi7837
@petermugurubi7837 10 ай бұрын
Hii Dunia ina vituko
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 10 ай бұрын
Ndio maana machadema yanakuogopa😂😂😂😂😂😂😂😂
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 10 ай бұрын
King Kiba , Sisi siyo milima....
@issadassa6668
@issadassa6668 10 ай бұрын
Kweli CCM kwenye usanii mmehitim😂
@sund2553
@sund2553 10 ай бұрын
Hizo katapila matajiri wajiandae huko mjini 😊😅
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 10 ай бұрын
😂😂😂uchaguzi tutaona mengi
@jumasuleymani
@jumasuleymani 10 ай бұрын
Kwanini Makonda afiki mkowa pwani wilaya ya Kisarawe. Vijijini balabala mbovu kuanzia Masaki mpaka Vikumbulu.
@AbrahamSekuza
@AbrahamSekuza 10 ай бұрын
Hapo ndio mjue wachungaji matapeli nasikia wanakwenda Bagamoyo
@ebenezerchurchsupremetv9490
@ebenezerchurchsupremetv9490 10 ай бұрын
Makonda amemjibu Gwajima kwa vitendo
@Manierichie403
@Manierichie403 10 ай бұрын
Mi hii nchi naiangalia tu huwa sipendi kulijaji taifa langu
@gtvonlinemdee7001
@gtvonlinemdee7001 10 ай бұрын
Uchaguzi serikali za mitaa😅😅😅
@pastorgidion
@pastorgidion 10 ай бұрын
Gwajima kwenye barabara amefanya kazi kubwa sana. Apewe maua yake
@gtvonlinemdee7001
@gtvonlinemdee7001 10 ай бұрын
Ipi unaishi mbinguni au😅😅😅
@MrutuAbdala
@MrutuAbdala 10 ай бұрын
Kuna kitu NIMEJIFUNZA Ila ngoja nikae kimya
@saturinimushi4746
@saturinimushi4746 10 ай бұрын
😂 Kaa Chonjo Hii Ndiyo Bongo Dar es Salaam. What Goes Around Comes Around..... Hata Mimi Nimeona Nikae 'Kimya'. Kumekucha Tena.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥😭😭😭😭
@ndemabhwila
@ndemabhwila 10 ай бұрын
Gwajima siasa imekutoa peponi imekupeka jehanam
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 10 ай бұрын
Gwajima 5 tena.
@user98771
@user98771 10 ай бұрын
Mabwepande ,,barabara za bunju b mpaka kitunda makonda njooo uone huku,hakuna mitaro barabara mbovu sana Gwajima nooo
@harmonicheharmo3230
@harmonicheharmo3230 10 ай бұрын
Waandishi wahabari hata kukwepesha camera hamtaki 😂😂😂
@MathewsMatoboki
@MathewsMatoboki 10 ай бұрын
@ThomasMhindi-zs2ic
@ThomasMhindi-zs2ic 10 ай бұрын
Wewe unasema aish milele mpuuz
@erickmbegalo1152
@erickmbegalo1152 5 ай бұрын
Ndugu yenu katolewa na tamko limetoka tena ata kwenye ukuu wa mkoa afiki miez 6
@papafikiri
@papafikiri 10 ай бұрын
Alisema anamfuta kwenye siasa hadi pale akiomba msamaha na kurudi kusoma. Je hayo hayajafanyika?
@MerereJr
@MerereJr 10 ай бұрын
Nao waandishi wa hovyo kweli nyie, kwani kamwambia Askofu Gwajima? Au alikuwa anaongea kwa watu ambao hawawajibiki.
@MichaelKangeta-lt2gh
@MichaelKangeta-lt2gh 10 ай бұрын
Hapo sawa kabisa
@chukialberto4659
@chukialberto4659 10 ай бұрын
Endelea kupiga kazi Kiongozi wetu Makonda.Hakika Mhe.Samia anaupiga mwingi kwelikweli.
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 10 ай бұрын
Kampeni hizi kaka tunajua
@ndemabhwila
@ndemabhwila 10 ай бұрын
Bashite na muuza unga meza moja? Kwa sasa sio ziro bleini? Kweli dunia duara
@BrunoMakweta-dm5sb
@BrunoMakweta-dm5sb 10 ай бұрын
Nimejifunza watu wenye hofu ya mngu wameweka tofaut zao pemben watutumikie wananch
@NickyTajiri-d8n
@NickyTajiri-d8n 10 ай бұрын
4:06
@Adam.k202
@Adam.k202 10 ай бұрын
Safi sana mheshimiwa makonda
@MerereJr
@MerereJr 10 ай бұрын
Ukiona mbunge anaweza kununua greda kwa pesa yake kwa ajili ya kujengea barabara anatakiwa kutiwa moyo, niambie wabunge wangapi wanaweza kufanya hivyo?
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 10 ай бұрын
Nenda mkoa wa mara ukajifujze toka miaka ya 90 watu wamefanya kwa pesa zao, mashule kibao Musoma vijijini yalijengwa na wabunge , barabara nk.
@paullyabuyenze1884
@paullyabuyenze1884 10 ай бұрын
Una ushahidi amenunua Greda kwa pesa zake unajua unatiletea siasa za ajabu.
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 10 ай бұрын
Nina shanhaa sana malizote tulizonazo bado hata mji au jiji mmoja lilio na kamilika balabala za lami inashanganza sana
@jonathanmussa474
@jonathanmussa474 10 ай бұрын
Mama samia kaweka fedha au serikali imeweka fedha ?!?anyway tuendelee
@jumasuleymani
@jumasuleymani 10 ай бұрын
0:43
@imanihussein9457
@imanihussein9457 10 ай бұрын
cmm bado sana ujinga mtupu
@prospernahashon2321
@prospernahashon2321 10 ай бұрын
CCM mwamba alikuwa mmoja magufuri tu wengine waliobak ni wa chukua chako mapema tu,Leo hii wananchi mnadanganywa ili 2025 wapate kura,jamani ukombozi wa fikra unahitajika Tanzania na afrika kwa ujumla.umeme unakatika ovyo,na Bado miradi iliyo acha na baba yetu inaenda kwa kusuasua yote haya ni miyeyusho kwa wa Tanzania
@lanezboy7016
@lanezboy7016 10 ай бұрын
Bhana bhana
@prospermango6526
@prospermango6526 10 ай бұрын
Hivi Gwajima anajisikiaje kuwa karibu na KONDABOY?
@jamesmwafumbila510
@jamesmwafumbila510 10 ай бұрын
Jamani naona mnakwenda mjini tu uko Balabala ya kuanzia mbagala kokoto Mpka kongowe ni shida au uku hawakai watu....
@mariosigala8760
@mariosigala8760 10 ай бұрын
Gwajima upo hapo
@IssahYasini
@IssahYasini 10 ай бұрын
Makondo mtu kaz sio bla bla
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 10 ай бұрын
Tapeli mkubwa Kwa hiyo wewe ndo Raisi sasa, si Rais ajiudhulu sasa?
@juliusmagunila6308
@juliusmagunila6308 10 ай бұрын
Bifu kati ya Hawa ni bifu
@abdibilali4186
@abdibilali4186 10 ай бұрын
Tunaomba mtukumbuke boko msikitini hali ni mbaya
@SulaymanKitisa
@SulaymanKitisa 10 ай бұрын
Matapel nyie wkubwa
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 10 ай бұрын
Siasa
@user98771
@user98771 10 ай бұрын
Barabara za bunju b na maeneo meengi nni mbovu sana Mb Gwajima 2025 yaja
@mashakamaziku-j3h
@mashakamaziku-j3h 10 ай бұрын
umeme vipi 😂😂😂😂
@fredernestonline6011
@fredernestonline6011 10 ай бұрын
Kwan makonda ndo nan kwenye hii nchi mpk atoe izo 20 caterpillar
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 10 ай бұрын
Chama chavmapinduzi kinatoa..hapo sio yeye na ela zake...kuza fuvu hilo...akili yako ndogo 😂😂😂
@modestusndunguru7183
@modestusndunguru7183 10 ай бұрын
Halafu maendeleo hayana Cha mtu..hata mtu binafsi anaweza toa mchango..wa maendeleo kaka.. usikariri..nyinyi ndio wale wale wa chadomo...midomo.mbele
@josephlorri431
@josephlorri431 10 ай бұрын
Gwajima ni tapeli, alimtukana sana makonda... kisa alihusishwa (Gwajima) na biashara ya madawa
@davidmagesa6773
@davidmagesa6773 10 ай бұрын
tapeli mama yako sio Gwajima paka wewe
@josephlorri431
@josephlorri431 10 ай бұрын
@@davidmagesa6773 ww ni msukule wake... ni tapeli tu...
@beatricemwita8365
@beatricemwita8365 10 ай бұрын
Haya
@EnockKombolela-f7x
@EnockKombolela-f7x 10 ай бұрын
Wewe ninani nahizo caterpiler unazitoa wapi na bajeti ya kuzilipa hizo ishirini unazitoa wapi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 10 ай бұрын
Sio kazi yako.
@YamunguMuha
@YamunguMuha 10 ай бұрын
Wewe ni nani unataka kujua Hela zinatoka wapi?
@augustinocosmas4784
@augustinocosmas4784 10 ай бұрын
Mlipa kodi
@menelus911mene5
@menelus911mene5 10 ай бұрын
Katibu itikadi siasa ns uenezi ziara yako umetaja na Tanga nakuomba utufikie na w Kilindi utone tupo kisiwani hatuna barabara toka mkoroni njoo ujionee mradi huu wa barabara hautekerezeki kwa wakati ktb njoo utuokowe nasi tuonekane tunafaa kuwa narami kama wenzetu w
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 10 ай бұрын
Hivi fedha ni ya Samia au serikali?
@augustinocosmas4784
@augustinocosmas4784 10 ай бұрын
Za Samia ndio anae Lipa kodi mi nawewe hatulip
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 6 МЛН
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 22 МЛН
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН
UTASHANGAA!!! MAANA YA LOGO HII YA YAS
2:36
Millard Ayo
Рет қаралды
MAPYA.!! P FUNK AKANUSHA MARIOO HAJAPELEKA MAHARI KWAKE
1:04
Millard Ayo
Рет қаралды 2,2 М.