MAKONDA ASIMULIA KUFOKEWA NA JPM ''LEO NILITAKIWA KUJIUZULU, NITAENDA WAPI KOROMIJE''

  Рет қаралды 341,128

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

RC MAKONDA,

Пікірлер: 581
@MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY.
@MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY. 5 жыл бұрын
Pole kiongozi wetu kakaetu mpendwa kwa juhudi kubwa ufanyayo lkn ndio uongozi ulivyo wahitaj subra
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 5 жыл бұрын
Abdallah Juma kweli kabisaa".....
@MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY.
@MAAHAD-RAUDHA-ISLAAMIY. 5 жыл бұрын
Oky
@zubedamsofe1824
@zubedamsofe1824 3 жыл бұрын
Makonda mm nakukubali Sana Mama yetu akufikirie we ni kiongozi safi
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 5 жыл бұрын
Pole sana jitahidi kufuatilia zaid usiwaamini Maana anayeulizwa ni ww na aibu nia yako
@gustavuutouh6563
@gustavuutouh6563 5 жыл бұрын
Cha msingi tumeshajua kosa siku nyingine nadhan haitatokea tena na nadhan watendaji wamekuelewa pia inabidi ufanye closely follow up ili mambo yawe sawa
@yohanakidugala1332
@yohanakidugala1332 5 жыл бұрын
Leo umeongea vzr saana kwa busara na utu ... Ivyo ndivyo inavyo takiwa nimependa saana mh uwe ivyo ck zote
@kingjafu7759
@kingjafu7759 5 жыл бұрын
Ana moments zake kuna siku anaongea point ila sikuzengine anaongea kwa kukurupuka
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 5 жыл бұрын
Pole mkuu.sasa watakuelewa.nawengine wameshajifunza .Rais Anapenya hata kwenye mabati.Kweli nimeamini kiongozi sio kukaa Ofisini.Tubadilike .
@simbamtoto7530
@simbamtoto7530 5 жыл бұрын
Hussein Shabani mana Nili Cheka nilivyo muona magu anapenya kwenye mabati Mzee noma ataki ujinga
@happykimaya2762
@happykimaya2762 5 жыл бұрын
Ahahaaa
@mawazoselemani614
@mawazoselemani614 5 жыл бұрын
Simba Mtoto ..mzee yuko makini na serious!
@carodavies3422
@carodavies3422 5 жыл бұрын
I thank you so much for that courage,to stand still,you should that when you on agood position,many pipo are waiting for your demotion by the president,watu awapendi where you are!!!work hard er to prove to your boss magufuli that you have changed.keep it up makonda
@d.a.t3383
@d.a.t3383 5 жыл бұрын
Hi comment imeandikwa na nani iguatiliwe
@lilyrose4066
@lilyrose4066 5 жыл бұрын
@@d.a.t3383 Ifuatiliwe kwanini?
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 5 жыл бұрын
KEEP it UP MAKONDA ,UKIONDOLEWA DAR KWISHNEY, UMETUSAIDIA SANAA KUHUSU WATOTO WETU WALIOKUWA WANAVUTA UNGA ,BANGI NA MAMBO MENGI YA HOVYO SASA WANAJUA UMUHIMU WAO NINI.WENGI WAO SASA WANAFANYA KAZI NA WENGINE WAMEACHA KABISA HAYO MAMBO MABAYA HAWATAKI HATA KUYASIKIA KWA KWELI TUNAFARIJIKA NA WATOTO WETU TULIKUWA TUNA KILIO KIKUBWA DAR YETU ILIKUMBWA NA AROBADILI YA KIHINDI ILE MAANA WATOTO WAKIANZA KUVUTA UNGA HAWATOKI MATOKEAO YAO NI UMAUTI.WALLAH MIMI NAKUSHUKURU SANAA MAKONDA DAR UMEIWEZA SANAA NAKUPA PONGEZI KWA HILO TU, SASA CHAPA KAZI .IWEKE VINGUNGUTI KAMA SKO LA SAMAKI LA HAPA WASHINGTON D.C.
@godfreywebiro4058
@godfreywebiro4058 5 жыл бұрын
@@d.a.t3383 nani ataigwatilia?😅😅😅
@d.a.t3383
@d.a.t3383 5 жыл бұрын
@@godfreywebiro4058 aken
@linkreuben5804
@linkreuben5804 5 жыл бұрын
Usimuangushe Raisi Makonda, chapa kazi!!
@politeboy3468
@politeboy3468 5 жыл бұрын
Link Reuben okay
@didaslondon9993
@didaslondon9993 5 жыл бұрын
Uko vzuri Makonda umekubali na umeongea point sana
@jacklinamani7519
@jacklinamani7519 5 жыл бұрын
ila kweli mweshimiwa makonda lazima ujisikie vibaya kugombezwa mbele za watu .. mm mwenyewe nilijiskia vibaya pole sana
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Ndo baba kwa mwana tunashukuru uja2mbuliwa koromjee nyumbani ata sipakumbuki vizuri
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 5 жыл бұрын
Pole sana ndio kazi namtu anaye kwambia ukweli ana kupenda piga kazi Mkuu tupo pa1 nguvu1 taifa 1 Tanzania 1
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 5 жыл бұрын
Jiji liko hovyo. Pita pale posta karibia na jengo la Nssf Station. Barabara hazina taa za usiku. Nenda barabara nyingi za Africana hazina taa za usiku. Jiji usiku halivutii...liko gizani. Make our city better.
@shacksam760
@shacksam760 5 жыл бұрын
Sijui hata wabunge wanafanya nini hawayaoni haya
@allthings1302
@allthings1302 5 жыл бұрын
Rudi nyuma uutafute ushauri wa Chidi Benz unaweza elewa unakosea wapi.
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 жыл бұрын
Edwin Kihumbe NAKUBALI🙌🙌 🤣🤣😂😂😂😂
@marthamasue4009
@marthamasue4009 5 жыл бұрын
Pambana Mkuu. Mtoto kugombezwa na mzazi wake jambo la kawaida. Ww fanyia kazi anachotaka ufanye. Mungu akusaidie
@mozasaid3869
@mozasaid3869 5 жыл бұрын
Pole sana mkuu wa mkoa! Ndiyo changamoto za kazi!
@philipkato6517
@philipkato6517 5 жыл бұрын
Raisi hakulipi mshahara umekosea sana ni sisi walala hoi ndo tunakulipa kupitia kodi zetu
@saidisalum2120
@saidisalum2120 5 жыл бұрын
we we huerewi kodizetu msimamizi mkuu ni raising na ndo anaewamegea wasaidizi wake kwa kuwalipa kupitia kodi zetu
@abuuhudhaify5195
@abuuhudhaify5195 4 жыл бұрын
kwel
@yusrtv2622
@yusrtv2622 5 жыл бұрын
Kaka ww nimtendaji mzuri unachapa kazi lakini waliopo chini huku wana kurostisha kila siku nasema tafuta watendaji kama ww kaka
@DavidNoloame
@DavidNoloame 5 жыл бұрын
Nimefurahi kuona makonda anakiri aibu iriyo mkuta japo kipenzi cha raisi
@dicksonmwombeki2797
@dicksonmwombeki2797 5 жыл бұрын
Rc acha shobo fanya ulichotumwa na rais chid benz alishawahi kukuambia
@georgemhalla3515
@georgemhalla3515 5 жыл бұрын
Fanya kazi Mzee Baba!!! Kama kuna watendaji wanakukwamisha, tumbua!!! Sasa wewe endelea kuwambembeleza but the end of day !! Unatumbuliwa wewe!!!_ Fanya kaka kazi Broo. Magu hataki blaa blaa Mzee Baba. Anataka Maendeleo.,......
@musamkali5954
@musamkali5954 5 жыл бұрын
Usiwaamini sana hao Fanya mpango wa kufatilia kila mala maana hao wengine wanalengo la kukukwamisha uonekane haufai kwaiyo fatilia kilamala
@didimhutila8985
@didimhutila8985 5 жыл бұрын
Nyama za tz nzuri kuliko za nnje bora ununue nyama tz tu.
@bonnierobinson667
@bonnierobinson667 5 жыл бұрын
Jpm yupo kama muhind maana muhindi ata ufanye kazi vipi ata upatie vipi hakuna cku atakayokusifia ila ukiteleza apate pa kuongelea na hayo yote anakusanya uwe makini na kazi By the way kwa kukusema kule naamin ufanisi wako lazima uwe Mara mbili ya hapa tunapoona Kaka makonda piga Kaz pambana na watendaji wako wengne wazembe wanakuangusha
@idarouspossy8883
@idarouspossy8883 5 жыл бұрын
Bro next time fikiri kabla ya kuongea
@j_gh812
@j_gh812 5 жыл бұрын
Kwani hujui wasaliti wamezagaa kila sehem na waķo kwa kila namna???kaka maelekezo hayatoshi...fatilia kwa ukaribu sana..yani bumper to bumber asipumue mtu.....na mvua zinakaribia wahi mitaro kabla mafuriko hayajajirudia...ujue kuna watu wanataka ushindwe wafurahie.....kua macho kaka.....
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 5 жыл бұрын
Jana koti lili kubana ghafla mzee kidogo upasuke😂😂😂😂😂😂
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
😂😂😂chezea kutumbuliwa wewe inauma ku2mbuliwa😂
@neemakaluwa2089
@neemakaluwa2089 5 жыл бұрын
Hahahaaaaa mkuki kwa kiti moto Si kila siku jumatatu😂😂😂
@lloydviera9283
@lloydviera9283 5 жыл бұрын
Aaaah Tanzania's yo way better than us Kenyan's, mko na tranparency ...
@kennedydaniodhiambo5251
@kennedydaniodhiambo5251 5 жыл бұрын
Kenya wataona 2022 au maendeleo kama nikenya wagesema rais hamupendi maana Anatolia kabila fulani
@omarihaji22
@omarihaji22 5 жыл бұрын
Muheshimiwa Mkuu wa Mkoa watu wako wanakuangusha,kuwa nao makin watakukosesha kazi
@wilsonrobetr6243
@wilsonrobetr6243 4 жыл бұрын
Pole sana mkuu wangu, lakini pambana tu na wasaidizi wako.
@amanirashid9011
@amanirashid9011 5 жыл бұрын
kaka mi nakuaminia Sana usikubali kuangushwa
@teopistateowamndeme364
@teopistateowamndeme364 5 жыл бұрын
pole sana Mkuu chapa kazi
@chibudonscott5807
@chibudonscott5807 5 жыл бұрын
ChidBenz alikushauri kwenye interview moja hivi.. Fanya vitu vya msingi kwanza, Mara, uko kwenye mambo ya mashoga, Mara mirathi , Mara wauza unga, Mara sadc Mara mikakati ndoa
@joshuashalla1394
@joshuashalla1394 5 жыл бұрын
Umetishaaaa baba
@ramadhanibrahim7619
@ramadhanibrahim7619 5 жыл бұрын
😅😅😅😅
@zakialustan722
@zakialustan722 5 жыл бұрын
Kwelika kabisa
@a311yaga4
@a311yaga4 5 жыл бұрын
Upewe ukuu wa mkoa ww 😜
@godfreydamas5950
@godfreydamas5950 5 жыл бұрын
Kwaiyo wewe ushoga unaupenda
@mukhusinmbagwa
@mukhusinmbagwa 5 жыл бұрын
Safi sana una busara kazini mwenyez mungu azidi kukupa upeo wa kazi
@williamkipondamali1936
@williamkipondamali1936 5 жыл бұрын
Mkuu punguza maneno sanaa, fuatilia kazi tuone matokeo ya utendaji wako mkuu
@hasanially9294
@hasanially9294 5 жыл бұрын
Tumbua babaa wasio kufaa weka pembeni
@goldenshadrackmsungu3664
@goldenshadrackmsungu3664 5 жыл бұрын
Mzee uko bize na vitu ambavyo havina msingi. Achana na mambo personal ya watu wengine. Ayo ndio mambo ambayo Mh. Rais alikutuma usimamie.
@j_gh812
@j_gh812 5 жыл бұрын
Maneno mubashara sana haya...kaka makonda fatilia vitu vya umma kwa sasa na kwa ukaribu na kasi kubwa....achana na vijimambo..watu ujue wanapenda ushindwe washangilie kwa ulivowabana.....sasa kaza buti kaka tunakutakia mafanikio....
@thebestplatformz8282
@thebestplatformz8282 5 жыл бұрын
Kwel likn sio sana
@nemochristopher2317
@nemochristopher2317 5 жыл бұрын
@@j_gh812 watu gani wanaotaka ashindwe? Ana tabia ya kukurupuka na kusahau majukumu yake. Hata hivyo amevumiliwa sana. Viongoz wangapi wanafokewa na JPM?Afanye kazi aache uchuro
@saidiissa8729
@saidiissa8729 5 жыл бұрын
Huyu sizani kama huu mwaka utaishaa ngoja tuone tu
@goldenshadrackmsungu3664
@goldenshadrackmsungu3664 5 жыл бұрын
Muombeeni kwa Mungu jamani..mtaani sio kuzuri huku. 😂
@furahahappe
@furahahappe 5 жыл бұрын
Pole RC, umeongea kwa uchungu kweli na kuonesha kujali. Mungu akusaidie na ufanye ufuatiliaji zaidi, wengine ni wachapakazi lakini wakisimamiwa na kufuatiliwa
@shedrackmikachikwankala1741
@shedrackmikachikwankala1741 5 жыл бұрын
Uimara wa Mkuu wa Mkoa ni utendaji mzuri wa Watendaji wake" Hii ni nzuri,nimeipenda! You know how to lead!
@carodavies3422
@carodavies3422 5 жыл бұрын
NAKUPENDA mwanangu you are a person anabusara nakuelewa kosa,yaani l have listened to your speech,kwakweli inauma BUT haya ndo uongozi be strong&fight harder to chase wanaokwamisha
@lazaroyusuph9453
@lazaroyusuph9453 5 жыл бұрын
Ningeomba mkoa wa Daresalam aletwe mwanri wa tabora atauweza huu mkoa vyema makonda aende Tabora
@princessfettyrashidi2409
@princessfettyrashidi2409 5 жыл бұрын
🙄🙄🙄hatumtaki tapeli huyu
@lazaroyusuph9453
@lazaroyusuph9453 5 жыл бұрын
@@princessfettyrashidi2409 send me ur number
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
Kweli kbs
@ErickChrispin
@ErickChrispin 5 жыл бұрын
Tatizo ni style yako ya uongozi ndiyo inatoa mwelekeo wa watendaji wako, usianze na hao, jicheki kwanza wewe, ukibadilisha tu namna unavyowashawishi kila kitu kitabadilika, ukiongea hapa halafu ukaendelea na mtindo uleule wa kawaida walah watu wako hawatafanya chochote cha tofauti na sasa. All the best RC.
@muniraahmed624
@muniraahmed624 5 жыл бұрын
Ukiona Mh john pombe Joseph magufuli anakufokea ujue kuna mahali umekosea so jirekebshe baba
@jumalove2631
@jumalove2631 5 жыл бұрын
Munira Ahmed muu nakupenda
@masoodedwin8332
@masoodedwin8332 5 жыл бұрын
Munira
@kibelaame5178
@kibelaame5178 5 жыл бұрын
true
@micamathew6433
@micamathew6433 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana..jitahidi kuwanyoosha hao wanaopinda.
@dicksonulotu9717
@dicksonulotu9717 5 жыл бұрын
Shida yako Makonda unajiamini sana ndugu,ua unaona wenzako wanakoselewa unashangilia,sasa yamekukuta na wewe,na kukosolewa si kosa kurudia kosa ndo kosa.
@aminaluvingaallahamlindehu7150
@aminaluvingaallahamlindehu7150 5 жыл бұрын
Kumbe makonda unajua kuongea.Leo ndo nimekusoma vizuri....Na kithe kithe chako.
@said306nyatu9
@said306nyatu9 4 жыл бұрын
Amina luvinga hahahaha kithe the
@hakimabdul7494
@hakimabdul7494 5 жыл бұрын
Duuuh!! Aisee nimekuelewa sana Mkuu na km hao waliopo chini yako hawajakuelewa hawatokuelewa tena!!
@daudyesseobedi7952
@daudyesseobedi7952 5 жыл бұрын
Mungu alipitia chid Benz kukushauli kwakuwa mmejawa ufalisayo ndio unao wasumbua
@rahmamazee2858
@rahmamazee2858 5 жыл бұрын
Nimependa mkuu wangu wa mkoa nimekukubali sana kwa kuwaerewesha. chapa kazi izo ndio changamoto ya kazi
@sirmwita3351
@sirmwita3351 5 жыл бұрын
Makonda you're still my role model, hili nalo litapita! Mungu akupigani bro
@kasanzumasunga1898
@kasanzumasunga1898 5 жыл бұрын
Tumia mbwa system. Management by walking around. waafrika wengi hawawezi kufanyakazi bila kusukumwa. Ukisubiri wakufanyie kazi bila kuwasukuma kiongozi Wangu utaaibika kila siku. Tengeneza monitoring and evaluation system nzuri itakayokufanya ujue maendeleo kila siku. Rais anataka maendeleo hataki longolongo
@khadijakibabi4170
@khadijakibabi4170 5 жыл бұрын
Kasanzu masunga Awafyeke 2 wasiojielewa
@nuurinkluge7584
@nuurinkluge7584 5 жыл бұрын
My dear,your very strong..pateni chukua makapuni from ulaya wakuje kumaliza
@shabanimakinga9377
@shabanimakinga9377 5 жыл бұрын
pole sana kiongoz wangu nikweli wanasiasa wengi sio watendaji hao madiwani watakuangusha ni bora miradi inayopitia almashauri ipite mkoan iwe rahisi kwako kufutilia
@martineyero7586
@martineyero7586 5 жыл бұрын
Thanks brother. I'm happy that you know that you did wrong
@abdallahrunwa1886
@abdallahrunwa1886 5 жыл бұрын
Mheshimiwa makonda Mimi nakwaminia sana wewe ni mtendaji mzuri sana kwanza wewe unakubari makosa ushauri wangu kwako mheshimiwa unachotakia kufanya ni ufatiriaji mpaka rais wanamlalamikia wewe uko wapi ...?na wewe ukiwa na mamlaka makubwa watendaji wako hivyo acha umangi meza fatiria miladi inayotolewa na serikali mkoani kwako Mimi napenda utendaji wako hivyo namuomba mheshimiwa rais akuhurumiye umejitetea vya kutosha wala hukuonyesha kiburi na majigambo hongera kijana MUNGU Akufanyie wepesi katika utendaji kazi Amiin...!
@neemanziku5403
@neemanziku5403 10 ай бұрын
Waooo makonda waooooooo jmn mwaaaaaaaa😍😍😍
@JojoJojo-iq9fn
@JojoJojo-iq9fn 5 жыл бұрын
Nakupenda Sana Mkuwa mkowa Unastahili kuwa Kiongozi kabisa Mimi ni mrundi Nimekulia Tanzania Kigoma Kibondo Mkugwa Camp Napenda Unavyo tengeneza Mazingila Kwa wanainchi wako Hapa USA Nakufuata sana Kwa Mambo yako Mazuri Unayo yafanya Kwa wanyonge God bless you sir 🙏🙏🙏🙏
@alexfrancis2278
@alexfrancis2278 5 жыл бұрын
Hiyo hekima na busara nimeikubari rc makonda mungu akupe wepesi
@deosebaruhanga4153
@deosebaruhanga4153 5 жыл бұрын
Endelea na ndoa za watu matokeo utayapata vingunguti
@eliazarinyakiema1969
@eliazarinyakiema1969 5 жыл бұрын
Chidy Benz
@fredwaajoelyeeh1951
@fredwaajoelyeeh1951 5 жыл бұрын
Busara na hekima ndio nguzo kuu nafurahii boss kwa kukubali makosa endelea ivyoivyo ili tuweze kufikisha Tanzania pale tunapotaka kufika.
@kennymadinda577
@kennymadinda577 5 жыл бұрын
Chapa kazi baba maneno ya watu yapo tu uko vizuri sana
@josephbeatus3263
@josephbeatus3263 5 жыл бұрын
Wangapi tumeshuka upande wa koment moja kwa moja bila hata kuangalia video...like hapa tujuane
@jonathansavimbi8224
@jonathansavimbi8224 5 жыл бұрын
Kumbe home ni koromije🙆 naanza kumuelewa gwaji kwa mbaaaaaaali😅
@zubedamsofe1824
@zubedamsofe1824 3 жыл бұрын
Acheni mambo ya uswahili hapa angalia anachokizungumza, na ridhi ya MTU mungu ndo anapanga
@rasihamsangi8084
@rasihamsangi8084 5 жыл бұрын
Mungu atuepushe na fikira za kuchukia ndugu zetu nakuombea kwa MUNGU wetu atulinde Hatunywi sumu hatujinyongi ccm mbele kwa mbele
@emmydzoo8729
@emmydzoo8729 5 жыл бұрын
Apana mueshimiwa, nakupenda sana ,sipendi upoteze ukuu wamkoa ,kinachotakiwa kabla raising ajatembea inatakiwa wewe ndio uanze kutembealea maeneo yote ya mkoa walo
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Kweli eee
@asiakupa4776
@asiakupa4776 5 жыл бұрын
makoda chapa kaz mkuu wetu wa mkoa
@martinmgamba9502
@martinmgamba9502 5 жыл бұрын
Ziara za kushtukiza
@vascostanleymbisse4477
@vascostanleymbisse4477 5 жыл бұрын
Pole.. Japo Hiyo Kauli ya NJAA NI KALI haijakaa kiuongozi maana Hatupo madarakani ili kula tu mshahara zaidi ni kuwatumikia watu.. Vinginevyo watu watakimbilia Uongozini ili kujiondolea Njaa na mwishowe ndio Ufisadi huanzia..
@jenipherkavusha506
@jenipherkavusha506 5 жыл бұрын
Piga kazi baba ni bahati mbaya sisi tunakuelewa sana, big up sana
@nduguviongozi6584
@nduguviongozi6584 5 жыл бұрын
Brother umenifurahisha sana Leo. Sifa kubwa ya mfanyakazi bora ni yule ambaye anapoonekana kuna seheme hajafanya vizuri huwa anajisikia vibaya kuonekana hivyo na matokeo yake huamua cha kufanya way forward badala ya kuhisi na kuona unaonewa.
@samyazael9993
@samyazael9993 5 жыл бұрын
Endelea kusajili ndoa zisizokuhusu upigwe rungu la kichwa😀😀😀
@giftmlange3327
@giftmlange3327 5 жыл бұрын
😛😛😛😛😛
@jemusiobedi1107
@jemusiobedi1107 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@fitinankalango850
@fitinankalango850 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@naamohamed9964
@naamohamed9964 5 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 жыл бұрын
Samy Azael umenifanya nicheke
@kombosaira7894
@kombosaira7894 5 жыл бұрын
Acha ushamba,ww unajionyesha lkn sio mtendaji.unalalama nini? Acha utoto ,raisi kashakujua we nimsanii tu.
@kennedykaduma4905
@kennedykaduma4905 5 жыл бұрын
Makonda Leo umeonesha kukomaa kiuongozi kwa namna unavowaendea watu. Pole sana kwa changamoto unazopitia. Nakushauri punguza majukum yasiyo na tija kama kufuatilia ndoa, watoto na yanayoendana na hayo. Jikite kwenye majukumu ya maendeleo ya jumla .
@stephenmseti5539
@stephenmseti5539 5 жыл бұрын
Mkuu wa Mkoa jaribu kutembelea barabara ya kitunda ni barabara muhimu sana lakini hali ni mbaya kuanzia Banana mpaka maeneo mengi Kitunda, Mwanagati nk. Pia wambie polisi wako wasimamie magari ya Mwanagati Gerezani, Mwanagati M/Complex na Mwanagati M/Mmoja wafike Mwanagati sisi tunateseka.mno wakati tunao magari yetu yanaishia Kitunda wakati ya Mwanagati
@onetoanotherglory2024
@onetoanotherglory2024 5 жыл бұрын
I salute you for issue of team work
@kidodosimichael349
@kidodosimichael349 5 жыл бұрын
Huyu Kiburi na jeuri Ndiyo inamwangusha Siyo watendaji wake!! Ila akibadilika ni kijana mzuri
@kidodosimichael349
@kidodosimichael349 5 жыл бұрын
Kuna barabara ya 1km inayoingia shoppers plaza mbezi beach Sasa mwaka wa 2. Haijakamilika Ipo barabara ya Mwai kibaki imechimbwa chimbwa tu hamna kinacho endelea Uchafu Dar es salaam bado Changamoto, Masoko Dar es salaam yamekuwa kama majalala, Acha ushabiki wa siasa na kupiga deal fanya kazi Mengine yatanyooka tu
@eaglecrown3872
@eaglecrown3872 5 жыл бұрын
safi sana makonda ni kuachana na hao wanasiasa wengiwao wamekalia matumbo tu.
@kimchi-91
@kimchi-91 5 жыл бұрын
The best RC in Tanzania :)#🇹🇿 #🔥🔥🔥
@redemptorbbombo402
@redemptorbbombo402 5 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuwekee wepesi kaka yangu.
@fridambwiliza190
@fridambwiliza190 5 жыл бұрын
Pole sana makonda kazi ndio ilivyo
@mwanatz5980
@mwanatz5980 5 жыл бұрын
Pole baba .
@idrisaabdallah3560
@idrisaabdallah3560 5 жыл бұрын
Binafsi jiji la dar es salaam ni kubwa sana kuliongoza kwa upande wako nashauri aletwe RC mwanry aongoze wewe huliwezi tatzo unadili na vitu visivyo na maana Mara wajane na watoto waandikishe ofisini mwako Mara unaanzisha program zodia
@fadhilisteven6763
@fadhilisteven6763 5 жыл бұрын
You most talented
@fabianfaustine444
@fabianfaustine444 5 жыл бұрын
Pole kaka unajua hawa viongozi wengine shida ona kama masuala ya ppf alishasema utaratibu uendelee wa zaman lakn watu wanapindisha pindisha
@jacksonisrael434
@jacksonisrael434 5 жыл бұрын
Mm ningeomba angekutumbua tu maana mengine hayahusiani na kazi yako unafatilia sasa kusajili waliooa ila iweje
@irenevedastombamanyile7615
@irenevedastombamanyile7615 5 жыл бұрын
pole
@charleskabury9768
@charleskabury9768 5 жыл бұрын
pole sana mheshimiwa RC, wanaokuangusha weka pembeni
@fridambwiliza190
@fridambwiliza190 4 жыл бұрын
Pole na mungu ni mwema yataisha
@amrimalumbo1712
@amrimalumbo1712 5 жыл бұрын
Baba Makonda kuwa mkali kidog Lawama nyingi kwa Rais anakutupia wew
@ahmedsuleyman206
@ahmedsuleyman206 5 жыл бұрын
Pole mwaya
@judithruta3688
@judithruta3688 5 жыл бұрын
Tuwaombee sana,wanaokwamisha washughulikieni msiwaonee haya hili mambo yaende.pole Makonda.
@TheSalma1999
@TheSalma1999 5 жыл бұрын
Kweli kabisa wanasiasa longo longo nyingi pole baba angalau umekua mkweli kwa hilo pesa zote zije kwako
@deokessy4714
@deokessy4714 5 жыл бұрын
Pole Ndugu yangu Makonda
@lilyrose4066
@lilyrose4066 5 жыл бұрын
Watendaji wako wanakuangusha fuatilia we mwenyewe kwa ukaribu.Naamini unaweza.
@allyzuma5343
@allyzuma5343 5 жыл бұрын
Mh wetu Rais tunaomba siku moja ushitukize utembelee jimbo la ukonga hasa Chanika pako hovyo hamna barabara nzuri hata moja wala barabara za mitaan ni mbovu mpaka waweza jiuliza chanika iko dar au la , toka mbunge wa CCM Waitara achaguliwe haonekani jimboni yuko hovyo hatumuhitaji tena na kama hamtombadilisha tutawapa upinzani
@erickmkwera2784
@erickmkwera2784 5 жыл бұрын
Acha kulalamika wewe simamia miradi ya maendeleo ukibebwa jishikirie umebebwa Sana acha mazoea
@hemedirajabu7092
@hemedirajabu7092 5 жыл бұрын
Pole sana Mkuu wa Mkoa.
@saidiissa8729
@saidiissa8729 5 жыл бұрын
Tatizo maneno mengii mkuu na huyu mzee hataki maneno mengi tena angalia sanaa huu mwaka usijeukaisha vibaya kwako na hata hii press hukupaswa kuifanya now ulitakiwa uifanye baada ya kuwa ushatekeleza agizo la mkuu
@immanchinuno6105
@immanchinuno6105 5 жыл бұрын
Tumbua na wewe kama hao walioko chini yako wanakuangusha
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 5 жыл бұрын
Mkuu Nakuamini Kikubwa Umetambua Wapi kuna Mapungufu jipange Umsaidie Mh JPM Katika Muendelezo wa Utumishi bora ndani ya S/kali hii ya Awamu ya tano.
@rosemarymsulwa203
@rosemarymsulwa203 5 жыл бұрын
Kwa jasho la jana . Kweli kaka inabidi uwachambe sana.
@hidayamussa-qw3ng
@hidayamussa-qw3ng 5 жыл бұрын
matukiyo
@shacksam760
@shacksam760 5 жыл бұрын
Sasa wewe unatoa oda ya siku tatu mtu hajatekeleza inapita miezi mi3 mpaka 7 hujamuadhibu wewe ndo kazi gani sasa
@sadasakala1829
@sadasakala1829 5 жыл бұрын
You should make a strong verdiction to u're sabordinates whom are not punctilious.
@allyjuma189
@allyjuma189 5 жыл бұрын
Sada sakala o
@kaisarimkuu3685
@kaisarimkuu3685 5 жыл бұрын
Sada sakala nimekuelewa, ingawa english yako inahitaji maboresho makubwa
@giftmlange3327
@giftmlange3327 5 жыл бұрын
Yaani kumbadilisha binadamu alooo sio kazi ndogo baba piga kazi usiangalie maneno ya watu na Mungu hawez kukuacha
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 5 жыл бұрын
Makanda jamani naomba uombe kuhamishiwa Kilimanjaro japo mwaka mmoja, nafikir mkoa utakaa kama ulaya, hata watalii wakipanda mlima walione jiji nzur kwa chini.
@rashidomar2771
@rashidomar2771 5 жыл бұрын
Mtazamo wangu,,watanzania tulilie kwenye kuweka mfumo ulio nzuri,,yani hata kiongozi akiwa mpaya ili mambo yaende,,,mimi nafikiria tuanze chini kwenye uajiri wetu,,,
@jojoekiza5400
@jojoekiza5400 5 жыл бұрын
Pole Makonda kweli aibu sana.
@mS-fh3dr
@mS-fh3dr 5 жыл бұрын
Kumbe ni njaa to na sio utendaji kazi
@papafikiri
@papafikiri 5 жыл бұрын
Miaka ya Rais wa sasa imebaki sita tu.....tekeleza majukumu yako tu....uache alama kubwa
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 5 жыл бұрын
Pole sana Makonda, ila watumbue wanaokukwamisha.
@erickmodest3583
@erickmodest3583 5 жыл бұрын
Sasa kumbe kuna miradi ya maendeleo alafu ulikuwa unaangaika na wanawake walioachika. Mara masela waliokimbia mimba
@stansilauseliasi7883
@stansilauseliasi7883 5 жыл бұрын
Tatizo una mambo mengi mala walio umizwa kwenye uchumba wewe hata hivo anakulea tu
Makonda Akataa Kuomba Radhi Clouds Media Sababu Hizi Hapa
9:16
Global TV Online
Рет қаралды 176 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 26 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 35 МЛН
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 53 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 19 МЛН
RC MAKONDA:'Mimi sichaguli, Nawazidi kwa vitu vingi sana''
3:27
Millard Ayo
Рет қаралды 36 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 26 МЛН